You are on page 1of 3

Anuani ya Simu:

NUKUSHI:

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
IDARA YA UHAMIAJI

UHAMIAJI

YA UHAMIAJI
SIMU:OFISI
+255 282622426
S.L.P 369
KUMB .BND/IMM/INV/VOL.III/21/108
MUSOMA

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

BUNDA
Sunday, 22 May 2016

AFISA UHAMIAJI (M),


S.L.P.369,
MUSOMA.
Yah: MAHOJIANO NA WATUHUMIWA WA URAIA KIJIJI CHA TAMAU
Tafadhali mrejea kichwa cha habari hapo juu. Ofisi ilipata taarifa za uwepo wa
watu ambao si raia katika kijiji cha Tamau Kata ya Kunzugu Wilaya ya Bunda.
Ofisi ilichukua jukumu la kuwaita na kuwahoji kuhusu uraia wao. Wengi
wameamua kukiri kuwa ni raia wa Kenya ila waliingia nchini muda mrefu na
wengine wamezaliwa hapa nchini. Pia katika kuishi hapa nchini kwa muda mrefu
wako wengine ambao wameoa raia wa Tanzania na wegine wameolewa kwa raia
wa Tanzania na vile vile watanzania wameoa raia hao wa Kenya.
Wako pia ambao wameendelea kusema kuwa wana mzazi mmoja ambaye ni raia
wa Tanzania lakini wanashindwa kuthibitisha kuwa kweli mzazi mmoja ni raia wa
Tanzania hao naendelea kubanana nao hadi wanithibitishie kuwa kweli mzazi
mmoja ni raia wa Tanzania.
Wako wengine ambao wamethibitisha pasi na shaka kuwa wao ni raia wa
Tanzania kwa kumleta mzazi ambaye ni raia wa Tanzania. Juhudi za kuhalalisha
ukaaji wa wale ambao si raia wa Tanzania zinaendelea kwa kujaza fomu za
kuomba vibali vya kuishi nchini.
Kwa hali ilivyo katika Wilaya ya Bunda tutapata tatizo kubwa wakati wa
kuandikisha Watanzania kupata vitambulisho vya Taifa kwa vile wengi wanakataa
kusema kweli kuwa wao ni raia wa Kenya. Elimu ya Uraia na Uhamiaji kwa
Ujumla inaendelea kutolewa katika vijiji vyenye matatizo mengi ya uraia mpaka
sasa tumeshatoa Elimu hiyo katika vijiji vya Karukekele, Nyabuzume na jana

04/03/2015 Elimu hiyo imetolewa katika cha Tamau, kijiji cha Nyaburundu ndicho
kitakachofuata.
Ifuatayo ni orodha ya majina yaliyoitwa hapa ofisini nakuhojiwa:I.

WALIOKUBALI KUTOKUWA RAIA WAO WENYEWE


I. Paulo Aomo Bunde
II. William Joseph Bunde
III. Morisi Ochieng Bunde
IV. Esborn Oriwa Ochieng
V. Miriam Moris Ochieng
VI. Mary Opiyo Bunde
VII. Kagose Oginga Bunde
VIII. Oriwa Oginga Bunde
IX. Ayubu Paul Bunde
X. Akinyi Aomo Bunde
XI. Kabibi Jenko Bunde
XII. Onyango Opiyo Bunde
XIII. Joel Oriwa Bunde
XIV. Flora Emmanuel Majige
XV. Jenifa Aoko Rugoye
XVI. Salome Jackson Kasawa
XVII. Kijiji Okumu
XVIII. Jaoko John Otingori
XIX. Flora Emmanuel Majige
XX. Silvia Juma Mwikwabe

II.

Waliodai ni watanzania kwa kuwa na mzazi mmoja Mtanzania


I. Sisso Abiero
II. Asaf Abiero
III. Evalin Abiero
IV. Frank Abiero
V. Otunga Okech Oruwa
VI. Miriam Moris Odila
VII. Magreth Apiyo Okoth
VIII. Melda Samwel Ernest Owiti
IX.

III.

Walithibitisha uraia wao kwa kuwaleta wazazi/Mzazi


A. Simon Odongo Otingori
B. Omenya Odongo Otingori
C. Elias Odongo Otingori

D. Musafiri Ochieng
E. Akili Ochieng
F. Auma Mwita Marwa
G. Omar Ochieng
H. Roda Ochieng
I. Peter John Seda

B. Waliokaidi wito, hawa watakamatwa wakati wowote na kufikishwa


mbele ya sheria:a. Atieno Mayira
b. Joyce Mwita Marwa
Suala la uraia ni muhimu likafanyiwa utaratibu mapema ili wakati wa
kuandikisha vitambulisho vya Taifa utakapowadia wapewe vitambulisho
vinavyowastahili. Lakini pia endapo utakapokuwa vizuri naomba tusaidiwe ili
tuendelee kutoa Elimu kwa wananchi waweze kutusaidia kwa karibu kwani
tusipowashirikisha wananchi kwa sasa mbeleni tutapata taabu kwenye majukumu
yetu. Kwa sasa tunakabiliwa na upungufu mkubwa wa mafuta na kutufanya
tushindwe kufanya kazi za mbali na oofisi yetu.
Suala hili pia Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Bunda amelivalia njuga na amehaidi
pindi akipata nafasi atashirikiana nasi katika kutoa Elimu vijijini kumbe ni vizuri
kumpa ushirikiano mkubwa mahali pengine hawapati nafasi nyeti kama hii. Na si
hili tu bali tunapata misaada mingi toka kwake.

Naomba kuwasilisha

DCIS E. Mushongi
Afisa Uhamiaji Wilaya
BUNDA

You might also like