Professional Documents
Culture Documents
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI KUANZIA
JUMATATU, TAREHE 1 JULAI 2013
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya
petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu, Tarehe 1 Julai 2013. Pamoja na kutambua bei
kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
(a)
Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe
05 Juni 2013. Katika toleo hili, bei za rejareja kwa mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa
zimeongezeka kama ifuatavyo: Sh 26/lita sawa na asilimia 1.28, Sh101/lita sawa na asilimia 5.36 na Sh
3/lita sawa na asilimia 0.20 sawia. Kwa kulinganisha matoleo haya mawili, bei za jumla zimebadilika
kama ifuatavyo: Bei za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa zimeongezeka kwa Sh 25.94/lita sawa na
asilimia 1.31, Sh 101.21/lita sawa na asilimia 5.57 na Sh 2.67/lita sawa na asilimia 0.14 sawia.
Mabadiliko haya ya bei yametokana na mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia na mabadiliko
ya viwango vya fuel levy na uanzishwaji wa petroleum levy kwenye bidhaa za mafuta ya petroli.
(b)
Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2008, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea
kupangwa na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za
bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu
manunuzi ya bidhaa za mafuta.
(c)
Kampuni za mafuta zipo huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ilimradi
bei hizo ziko chini ya bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na fomula mpya iliyopitishwa na
EWURA na ambayo ilichapwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 454 la tarehe 23 Desemba 2011.
(d)
Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana
bayana na yakionyesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na
kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta
kutoka kwenye vituo vinavyouza mafuta kwa bei ndogo zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza
mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa
kituo husika.
(e)
Wanunuzi wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo,
tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hiyo ya malipo itatumika kama
kidhibiti cha mnunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya
juu kuliko bei kikomo; ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.
A: BEI ZA REJAREJA
Mji
Bei Kikomo
Dizeli
(Tsh/Lt)
Petroli
(Tsh/Lt)
Mafuta ya Taa
(Tsh/Lt)
Dar es Salaam
2,083
1,993
1,954
Arusha
2,167
2,077
2,038
2,167
2,077
2,038
Karatu
2,185
2,096
2,056
Monduli
2,173
2,083
2,043
Ngorongoro (Loliondo)
2,224
2,134
2,094
Kibaha
2,088
1,998
1,959
Bagamoyo
2,094
2,004
1,965
Kisarawe
2,090
2,001
1,961
Mkuranga
2,093
2,003
1,964
Rufiji
2,111
2,021
1,982
Dodoma
2,142
2,052
2,013
Bahi
2,149
2,059
2,020
Chemba
2,168
2,078
2,039
Kondoa
2,175
2,085
2,045
Kongwa
2,139
2,049
2,010
Mpwapwa
2,143
2,053
2,014
Iringa
2,147
2,057
2,018
Kilolo
2,152
2,062
2,022
Mufindi (Mafinga)
2,157
2,067
2,028
Njombe
2,175
2,085
2,046
Ludewa
2,213
2,123
2,084
Makete
2,206
2,116
2,077
Wanging'ombe
(Igwachanya)
2,173
2,083
2,044
Bukoba
2,298
2,208
2,169
Biharamulo
2,273
2,183
2,143
Karagwe (Kayanga)
2,315
2,225
2,185
Kyerwa (Ruberwa)
2,320
2,230
2,191
Muleba
2,298
2,208
2,169
Ngara
2,264
2,174
2,134
Misenyi
2,307
2,217
2,177
Geita
2,248
2,158
2,119
Bukombe
2,237
2,147
2,108
Chato
2,269
2,179
2,140
Mbogwe
2,286
2,196
2,157
Nyang'hwale
2,263
2,173
2,134
Kigoma
2,314
2,224
2,185
Uvinza (Lugufu)
2,326
2,236
2,197
Buhigwe
2,303
2,213
2,174
Kakonko
2,271
2,181
2,142
Kasulu
2,300
2,210
2,171
Kibondo
2,278
2,189
2,149
Moshi
2,157
2,067
2,028
Hai (Bomang'ombe)
2,160
2,070
2,031
Mwanga
2,150
2,060
2,021
Rombo (Mkuu)
2,178
2,088
2,048
Same
2,143
2,053
2,014
2,163
2,074
2,034
Lindi
2,142
2,052
2,013
Kilwa Masoko
2,117
2,027
1,988
Liwale
2,163
2,073
2,034
Nachingwea
2,171
2,081
2,042
Ruangwa
2,169
2,079
2,040
Babati
2,205
2,116
2,076
Hanang (Katesh)
2,216
2,126
2,087
Kiteto (Kibaya)
2,216
2,127
2,087
Mbulu
2,218
2,128
2,089
Simanjiro (Orkasumet)
2,237
2,147
2,108
Musoma
2,261
2,172
2,132
Rorya (Ingirijuu)
2,270
2,180
2,141
Bunda
2,253
2,163
2,123
Butiama
2,258
2,168
2,129
Serengeti (Mugumu)
2,307
2,217
2,178
Tarime
2,272
2,183
2,143
Mbeya
2,190
2,100
2,061
Chunya
2,200
2,110
2,070
Ileje
2,203
2,113
2,074
Kyela
2,206
2,116
2,077
Mbarali (Rujewa)
2,174
2,084
2,045
Mbozi (Vwawa)
2,199
2,110
2,070
Momba (Chitete)
2,208
2,118
2,079
Rungwe (Tukuyu)
2,199
2,109
2,070
Morogoro
2,108
2,018
1,979
Mikumi
2,124
2,034
1,995
Kilombero (Ifakara)
2,146
2,056
2,017
Ulanga (Mahenge)
2,157
2,067
2,027
Kilosa
2,127
2,037
1,997
2,119
2,029
1,989
Mtwara
2,156
2,066
2,026
Nanyumbu (Mangaka)
2,204
2,114
2,075
Masasi
2,181
2,091
2,052
Newala
2,187
2,098
2,058
Tandahimba
2,181
2,091
2,051
Mwanza
2,233
2,143
2,104
Kwimba
2,269
2,179
2,140
Magu
2,241
2,151
2,112
Misungwi
2,239
2,149
2,109
Sengerema
2,265
2,176
2,136
Ukerewe
2,292
2,203
2,163
Sumbawanga
2,256
2,166
2,126
Kalambo (Matai)
2,248
2,158
2,119
Nkasi (Namanyele)
2,269
2,179
2,140
Katavi (Mpanda)
2,291
2,201
2,161
Mlele (Inyonga)
2,269
2,179
2,140
Songea
2,206
2,117
2,077
Mbinga
2,240
2,150
2,111
Namtumbo
2,236
2,146
2,106
2,242
2,152
2,113
Tunduru
2,265
2,175
2,136
Shinyanga
2,212
2,122
2,083
Kahama
2,225
2,136
2,096
Kishapu
2,240
2,150
2,111
Simiyu (Bariadi)
2,253
2,163
2,124
Busega (Nyashimo)
2,246
2,156
2,117
Itilima (Lagangabilili)
2,256
2,166
2,127
Maswa
2,245
2,155
2,115
Meatu (Mwanhuzi)
2,252
2,162
2,122
Singida
2,174
2,084
2,044
Iramba
2,186
2,096
2,057
Manyoni
2,158
2,068
2,029
Ikungi
2,169
2,079
2,040
Mkalama (Nduguti)
2,198
2,108
2,069
Tabora
2,237
2,147
2,108
Igunga
2,191
2,101
2,062
Kaliua
2,255
2,165
2,126
Ulyankulu
2,249
2,159
2,120
Nzega
2,202
2,112
2,072
Sikonge
2,249
2,159
2,120
Urambo
2,250
2,160
2,121
Tanga
2,129
2,039
2,000
Handeni
2,109
2,019
1,979
Kilindi
2,143
2,053
2,014
Korogwe
2,122
2,032
1,993
Lushoto
2,132
2,042
2,003
Mkinga (Maramba)
2,144
2,054
2,014
Muheza
2,129
2,039
2,000
Pangani
2,136
2,046
2,007
B: BEI ZA JUMLA
Petroli
(Sh/L)
Dizeli (Sh/L)
2,009.24
1,919.45
Haruna Masebu
MKURUGENZI MKUU
EWURA
Mafuta ya Taa
(Sh/L)
1,879.96
Exchange Rate
DESCRIPTION
Plus
Sub
Total
UNIT
1,626.20
0.736
0.833
0.786
Petrol
Diesel
Kerosene
PRICE
PRICE
PRICE
Tzs/Ltr
1,129.59
1,145.04
1,146.99
Tzs/Ltr
48.68
66.38
82.05
Tzs/Ltr
1,178.27
1,211.41
1,229.04
Tzs/Ltr
14.12
15.99
15.09
Tzs/Ltr
4.80
4.80
4.80
Tzs/Ltr
1.00
1.00
1.00
TBS Charge
Tzs/Ltr
1.24
1.24
1.24
Tzs/Ltr
0.20
0.20
0.20
Tzs/Ltr
3.43
3.89
3.67
Tzs/Ltr
Tzs/Ltr
0.07
0.03
0.12
Tzs/Ltr
11.78
12.11
12.29
Regulatory Levy
Tzs/Ltr
6.10
6.80
3.50
Tzs/Ltr
5.89
3.63
3.69
Tzs/Ltr
6.33
6.33
6.33
Tzs/Ltr
54.97
56.03
51.92
Fuel Levy
Tzs/Ltr
263.00
263.00
Excise Duty
Tzs/Ltr
339.00
215.00
425.00
Petroleum Levy
Tzs/Ltr
50.00
50.00
50.00
Tzs/Ltr
652.00
528.00
475.00
Plus
Tzs/Ltr
13.00
13.00
13.00
Plus
Tzs/Ltr
111.00
111.00
111.00
Tzs/Ltr
2,009.24
1,919.45
1,879.96
Plus
Dealers Margin
Tzs/Ltr
57.50
57.50
57.50
Plus
Tzs/Ltr
10.00
10.00
10.00
Plus
Tzs/Ltr
6.50
6.50
6.50
Price
Tzs/Ltr
2,083
1,993
1,954
1,983.30
1,818.24
1,877.29
GOVERNMENT TAXES
1.31%
5.57%
0.14%
2,057
1,892
1,951
1.28%
5.36%
0.2%