You are on page 1of 8

Mbote 7

Time: 00.00 14.00


Interviewer: Peter Waweru: Pet
Interviewee: Chris Chege: Chri
Chri: Sitaki makelele.
Swa: Sitaki makelele.
Eng: I dont want noise
Pet: Aaa huyo msee huniboo (hee) anafikiria kila mtu ni mukambondia
Swa: Aaa huyo !amaa huniuthi sana (hee) anafikiri kila mtu ni mkamba
Eng: "hat guy bores me (hee) he thinks e#ery one is a $amba
Chri: %ee huenda ha&o hi#yo ku'ubaa ma!ioni hi#i nasikia kuwa(ha&a na mawe.
Swa: %eye huenda ha&o hi#yo ku'ubaa !ioni !ioni hi#i nasikia kuwa(ha&a kwa mawe.
Eng: )e goes to idol there in the e#enings I feel like hitting them with a stone.
Pet: *anaenda kusetia kilunda (kilunda kien'e mbe'a) hhm.
Swa: *anaenda ku&ima hio mishale (mishale hai!ui &esa) hhm.
Eng: "hey are going to measure those (arrows dont know money) hhm.
Chri: )io siku tuli(he'anga na Chelsea (hmm) mala&a wee tuliruka ruka hhm wa(ha
tuu hehe+ wa(ha tuu.
Swa: )io siku tilikuwa tuna (he'a na Chelsea (hhm) ma'oe'i wewe tuliruka ruka hhm
wa(ha tuu hehe.. wa(ha tuu.
Eng: "hat day we were &laying with Chelsea (yeah) e,r(ises- you we were !ust !um&ing
!ust lea#e. )ehe+ !ust lea#e.
Pet: Aah. ma'ee hi'o kago !oo.
Swa: Aah. /wana hi'o #itu.
Eng: Aah. 0an those things.
Chri: "ume(hoka naye anashinda kwa stori 'ingine ma'e 'a kukun!a kun!a miguu wee.
Swa: "ume(hoka nay eye anashinda kwa mambo ya kukun!a miguu wewe.
Eng: *e are tired of him he waist a lot of time on folding our legs man.
Pet: 1na(hekingi ile mahali kulikuwanga na ile ngoma &ale una(heki inaitwanga ni
2etreat (hhm) hio &la(e hehehee walikuwanga wakileta hi'o maburungo (hhm)
makwara wameshona kibao (maboys nao &ia) hao sio maboy' ni mafala tuu.(hhm
mangati) 0a'ee uli(hukuwanga 'ile ndula 'ilikuwanga huko hi#yo. (Aha 'ii)
Swa: 1naona ile mahali kulikuwa na iule ngoma- &ale &anaitwa 32etreat (hhm) hio
mahali walikuwa wakileta hi'o #itu (hhm) wasi(hana walikuwa wana!aa ( na
#i!ana &ia) hao sio #i!ana hao ni wa!inga tuu (hhm wa!inga) /wana uli(hukuwa
'ile #iatu 'ilikuwa huko hi#yo (Aha ha&ana)
Eng: %ou see that &la(e they used to bring dis(os. "hat &la(e (alled 32etreat the &la(e
they used to bring those things it is normally full of girls ( and boys) those are not
4
boys they are stu&id &eo&le( hhm stu&id guys) by the way did you e#er take those
shoes that were there ( Aha no)
Chri: Aha 'ii 'ile 'iko huko- 'iko huku bado si!a(hukuwa (hau!awai endeanga)
Swa: Aha 'ile 'iko tu huko- huko bado si!a(hukuwa ( hau!awawi enda ku(hukuwa)
Eng: Aha those ones are !ust there I3#e ne#er gone to &i(k them ( you ha#e ne#er gone
to &i(k them)
Pet: )ao wasee walikutingishia mwadhara
Swa: )ao !amaa waliteta shida
Eng: "hose guys (aused a &roblem
Chri: )ee minili!aribu kutoka lakini unyowe wa&i ma'e nika dunda down bana
nikashikwa hio stori si!awahi kukutilia nikadunda nika shikwa. *alikuwa
wamenileteanga. )uyu mtu anawa'imu ye ufikiria tuu #ile atakill hii kila siku
nikimwambia asifunguwe anafunguwa ana'ima (hhm. 1namsiki'a ) ndio iskie
(hhm) )ee hi'o nati #ile 'iligo sikuamini (ilikuwa ni noma) noma na nime'ikosa
sahi'i bwana uki&ata ni #e&e.
Swa: )ee mimi nili!aribu kutoka lakini ni&itie wa&i /wana nikaanguka wakanishika
hi hadithi sikukwambia niliangika nika shikwa. *alikuwa wamenionea sana.
)uyu mtu anawa'imu ye ufikiria tuu #ile ataharibu hii kitu. $ila siku mimi
humwambia kuwa asifinguwe na anafunguwa halafu ana'ima( hhm na
unamsiki'a) ndio asikie (hhm) )ee hi'o nati #ile 'ili&otea hata sikuamini
(ilikuwa ni shida) shida na nime'ikosa saa hi'i- na uki&ata 'in' bei ya !uu sana.
Eng: )ee I tried getting out but where (ould I &ass I fell down and I was (aught I
didnt tell you that story- I fell down and was (aught. "hey were really on my
(ase. "his guy is (ra'y he always thinks of how he (an s&oil this thing. I always
tell him not to o&en but he o&ens and swit(hes it off. (hhm and you listen) so that
he (an hear. (hhm) )ee those nuts I when they got lost I didnt belie#e it (it was a
&roblem) a &roblem and I (ant get them know and if you get they are #ery
e,&ensi#e.
Pet: 0a'ee si!ui kama atanigei hi'o manati na roho safi sii nime understand
'imedunda 'ote.(Aauhuu.)
Swa: /wana si!ui kama atani&a hi'o nati kwa roho safi sii nime sikia kuwa 'ote
'imeanguka. (Aauhuu.)
Eng: 0an I dont know if he is going to gi#e me those nuts with o&en hurt- I ha#e
heard that they all fell. (Aauhuu.)
Chri: Anawe'a kuwa tani boy.
Swa: Anawe'a kuwa kondukta.
Eng: )e (an be the (ondu(tor.
5
Pet: 0anganya 'ako 'a (olee hu!awahi endeanga
Swa: 6akala 'ako 'a (huo hu!awahi enda ku(hukuwa
Eng: %ou ha#e ne#er gone to (olle(t your (ollege &a&ers
Chri: )ee hehee bila doo- ha&o hutoboi bila gan!i ha&o. *asee wanabebwa na gari
wanaflos na mabuda wengine ni kamwathi kanaflos na mabuda kede ikifika
anaka(ome ana(hukuliwa ana&elekwa anasa. )uyo mtu utawe'ana naye kweli
(bora wewe si uko na &angae) &anganga ndio lakini kuna &la(e inafikanga
wana(onsider mabeta. Panganga ni &oa lakini mabeta &ia wana(ons+
(wanabidi) *anataka kubebwa na mtu yuko na gari anabaiwa nyam (hom-
ma!i#aa- after that !ail. (Si ni kumweka &arking) &arking &arking ati ngo!a
m&ango wekendi. (halafu ikifika wekendi ni te&a.) )ehehe bila daso (te&a bila
daso !oo ninoma (ana&layia kadi!a.) )hm.
Swa: )ee hehee bila &esa- ha&o huwe'i faulu bila s&esa. 7amaa wanabebwa kwa gari
wanaringa na mababa wegine ni wasi(hana wanaringa na mababa- !ioni ikifika
wana&elekwa anasaa. )uyo mtu utawe'anan naye kweli (bora wewe siiuko na
rafiki wa kike) ndio lakini kuna mahali infika wanatakaa tuu wenye magari na
&esa. 2afiki ni m'uri &ia lakini wenye &esa wanaku!a+ (wanabidi) *anataka
kubebwa kwa magari na kununuliwa #ia'i na nyama ya ku(homa baada ya ha&o
(humbani. ( si ni kumweka akingo!a) ngo!a- ngo!a ati kuna m&ango siku ya
ma&um'iko.( halafu ikifika siku ya ma&um'iko ni kulewa) hee kulewa bila &esa.
1le#i bila &esa ni shida bwana. (ana(he'ewa m(he'o) hhm.
Eng: )ee with out money- you (an not make it there with out money. 8uys are dri#en
by there fathers others are girls who are brought by men flossing in the e#ening
they are taken out. Can you manage ssu(h kind of a &erson ( but you ha#e your
girlfriend) yes but there (ame a time when they &refer those who ha#e (ars and
money. 8irl friends are good but they want to be dri#en around and be bought for
(hi&s and roasted meat then after that they are taken ba(k to the house (!ust to
kee& them &arking) wait for weekend I will ha#e &lanned (when the weekend
(omes it !ust drinking) drinking with out money - it is a &roblem ( they !ust &lay
with their minds) yes.
Pet: 9akini uki&iga &angangaa #i'uri huwe'i hata (uwe'i hata) na #ile we
unakuwanga desert ki#yako.
Swa: 9akini ukimwele'wa msi(hana #i'uri huwe'i kosa ( uwe'i kosa) na #bile wewe
unakuwa na mi&ango m'uri sana.
Eng: /ut if you talk to a girl ni(ely you wont miss ( you wont miss) and the way you
&lay your (ards well you.
Chri: 0a&angae &ia magitha. 6giede ni haraka kisieri man nimakusongam inakuwa
nguruma sana.( unawe'a u&an(h) magoti.
Swa: *asi(hana &ia wa'uri ma&en'i ni haraka &ia hasara bwana ni ku!ika'a tuu
inakuwa ni ngumu sana. ( unawe'a kosa) magoti.
Eng: 8irls are beautiful. /ut lo#e is fast and wasteful man you ha#e to struggle it is
#ery hard. (you (an miss) o#er the heels.
:
Pet: 9akini si unanyam na &a&er- unanyam na sidi
Swa: 9akini si unafanya na kinga
Eng: /ut you use &rote(tion.
Chri: Saa lakini &ia una!ua githaa ndio #itu man una!ua hi'o #iti huwa fifty fity ama
hau!uangi hi#yo yaani we
Swa: Sasa lakini una!ua ma&en'i ndio #itu una!ua huwa nusu nusu ama hau!ui hi#yo
we
Eng: /ut now you know lo#e is something that is fifty- fifty or you dont know this
Pet: Ama ni #ile utamu ita&unguwa
Swa: Ama ni #ile utamu ita&unguwa
Eng: ;r the sweetness will redu(e
Chri: ;b#ious. (hhm unyama lakini usikii #ile unanyam) manyake uni!a' hu!ui u'uri
wa manyake. Ayieye lete draought Aha mbona munafunga mlango lete miraa.
<okol #okol 1nasikia saa ki'ee- home nimekaa bila kuenda (aliweka masake
'ako) hmm hi'o 'iko home (ni maworks tuu) works ndio kimeumana.
Swa= $awaida (hhm unafanya lakini husikii #ile unafanya) wasi(hana hunifurahusha
hu!ui u'uri wao. Ayieye leta miraa- aha mbona munafunga mlango 9ete
miraa.#okol #okol. 1nasikia sasa bwana nyumbani nimekaa bila kwenda
(waliweka #itu #yako) hhm 'iko nyumbani ( ni ka'si tuu) ka'i tuu ndio
imekuwa nyingi.
Eng: ;b#ious )hhm you !ust do it but you dont feel what you are doing) girls are
good you dont know their goodness. %ou man bring khat- why are you (losing
the door- 3#okol- #okol. %ou hear know man I ha#e stayed for along time with out
going home. (they ke&t your things) yes they are at home) works is too mu(h) yes
work has be(ome a lot.
Pet: 9akini ha&o kunahassle &ia
Swa: 9akini ha&o kuna kuhangaika
Eng: /ut here it is a hussle
Cris: 6i mahassle tuu bado ni #ile madoor hai!akuwa o&en bado Ikifunguka ni
makrui'ing tuu(hhm) mam&ira mbi(hi mbi(hi ama ni #e#e nani !oo. )akuna #ile
rungi inawe'a kuwa imekurunda 0akrui'ing kuna kibandani na kindai.hautoki
in!e. 6ilikula #e#e m&aka ika nishinda. )ii #e#e iko ngumu we 8oerge. )aa hii
#e#e man we tutafutie #e#e.
Swa: 6i kuhangaika tuu bado milango ha'i!a funguka. Ikifunguka ni mbio tuu (hhm)
mi&ira mbi(hi mbi(hi ama ni miraa bwana. )akuna #ile bangi inawe'a kuwa
imekubeba. 0bio tuu &ale (humbani na hautoki in!e. 6ilikula miraa m&aka ika
nishinda. )ii miraa ni ngumu sana- wewe 8eorge- )aa hii miraa bwana we
tutafutie miraa.
>
Eng: It is struggling it be(ause the doors are not o&ened. *hen they o&en it will be
running (hhm) raw balls or khat. "here is no way bang (an (arry you away. It will
be running u& and down in the house with out going outside. I ate khat until I
was defeated. )ee this khat is too hard 8eorge bring us other khat.
Pet: Sasa unataka!e ki!ana
Swa: Sasa unataka namna gani ki!ana
Eng: 6ow what do you want boy
Chris: 6i hassle tuu. 0aisha ni ileile.
Swa: 6i shida tuu. 0aisha ni ile ile.
Eng: It is a &roblem. 9ife is !ust like that.
Pet: )ata hii ni ya muhimu.
Swa: )ata hii ni ya muhimu.
Eng: E#en this is im&ortant.
Chri: )ee hii niya muhimu.
Swa: )ee hii niya muhimu.
Eng: %es this is im&ortant.
Pet: )u!awai amuanaga kuwa msanii uan'e ma&rodu(t hi'o.
Swa: )u!awahi amua kuwa msanii uan'e hi ka'i.
Eng: %ou ha#e ne#er de(ided to be a (elebrity you start that work
Chri: 0a'ee unasota m'ee unasota mtaani we huonangi kina nani maboy' #ile
walikaimingi ha&o walikuwa wamekaakusota na ni masaani ni ma(eleb- ma(hief
(hief wa'idi.
Swa: /wana unakosa &esa. 1nakosa &esa mtaani wewe huoni #i!ana #ile walikuwa
waki!a huku kama hawana &esa na wao ni wasanii.
Eng: 0an you lu(k money. %ou lu(k money when you (ome to the estate. %ou dont
see the way those boys used to (ome to the estate looking like they dont ha#e
money and they were the (elebrities.
Pet: Si unaona gan!i wako nayo ndai wako nayo mamutusi kibao (ngan!i gani na ni
te&a) hehehe+ eema'ee sinanga hio risto. (?.@@)
Swa: Sii unaona &esa wako na'o- gari wako nayo- wasi(hana wengi (&esa gani na ni
&ombe) hehehe+ hee bwana sina hi'o mambo.
Eng: %ou see they ha#e money - (ars- women in &lenty (what money or it is drunkard
ness) hehehe.. hey man I dont ha#e those stories.
A..:B.
Chri: 6!oto kibao man.
Swa: 7oto ni nyingi bwana.
Eng: )ey man it is too hot.
B
Pet: 6!oto kibao kwa unasakanya tu mabuu flight()hm) unasakanya mabuflight na
gan!i ya nabtwai.(&esa hakuna) kule #ako ya uko sio ngomba. <ako ya uko
nabtwai uko fomu.
Swa: 7oto ni nyingi bwana na una tafuta tuu nauli (hhm) unatafuta nauli na &esa 'a
ku!iburudisha (&esa hakuna) kule mambo ya uko sio shida 0ambo ya uko
ku!iburudisha ni sawa.
Eng: It is too hot and you are looking for bus fare (hhm) you are looking for bus fare
and money for entertainment. (there is no money.) things there is not a &roblem.
Entertainment that &la(e will not be a &roblem.
Chri: /u flight sa hii ni manga&i (bu flight- rwabe) mtu mbili one way
Swa: 6auli saa hii ni &esa nga&i (nauli- ishirini) watu wawili n!ia mo!a
Eng: )ow mu(h is bus fare now (bus fare- twenty) two &eo&le one way
Pet: 2wabe one way rwebe kwenda halafu gesi ya ha&o hi#i (kwa hi#yo unatumia kaa
soo tano hi#i- soo tano umefika) haa unafaa kutumia kaa sita hi#i. $wa hi#yo
usikam less ngiri mo!a.(yafaa ukuwe na tinga).
Swa: Ishirini n!ia mo!a- ishirini kwenda halafu bei ya ha&o hi#i (kwa hi#yo unatumia
kama mia tano hi#i- mia tani umefika) haa unafaa kuwa na mia sita hi#i. $wa
hi#yo usi!e na (hini ya elfu mo!a (yafaa uwe na akiba).
Eng: "wenty one way- twenty going and then what about this other &la(e (so you use
fi#e hundred- fi#e hundred you will rea(h) no you need about si, hundred. So
you should (ome with at least one thousand ( for emergen(y)
Chri: $wa hi#yo uta!iweka kwa ndai
Swa: $wa hi#yo utakaa ndani ya gari
Eng: So you will sit in the #ehi(le
Pet: )ee ku!iweka kwa ndai ni mwadhara.
Swa: )ee kukaa ndani ya gari ni shida.
Eng: %eah sitting in the #ehi(les is a &roblem.
Chri: )i'o mandai bado huwa 'inafly tuu hi#yo
Swa: )i'o gari bado huwCa 'inaenda tuu hi#yo kwa kasi
Eng: "hose #ehi(les still go like that in s&eed
Pet: )ee si 'ilinyogwa.( 'ilikuwa 'inaitwa!e) 0olo line. (hhm)
Swa: )ee si'i shikwa ('ilikuwa 'inaitwa!e) 0olo line (hhm)
Eng: %eah they were (aught ( what were they (alled) 0olo line. (hhm)
45.@@
Chri: 1me(heki 0a( Dan leo
Swa: 1memwona 0a( Dan leo
Eng: )a#e you seen 0a( Dan today
E
Pet: 0a( Dan leo si!amusorora.
Swa: 0a( Dan leo si!amwona.
Eng: 0a( Dan I ha#e not seen him today.
Chris: 0a( Dan ni hassler una!ua yeye ufanya maka&entry (hee u!awai meseanga)
si!awahi !ua mimi. Aliendanga m&aka (am&o-na degree ako nayo hee lakini
!anta ndio.. alifanyanga (ourse gani (alikuwa anafanya ile sisi yako alikuwa
anatinga) ma E(on (hee+ ama umeshadunga mayai nini) hhm kwa hi#yo ame!i
arrange ki#yake. (hhm ame!i arragne lakini si!ui maworks ndio simeleta
tafash)maworks ndio imeleta shida sasa kama wasee wamadegree hawa&ati ka'i
na sisi wa madi&loma tuta doo nini (lakini kismet yam see ni ya msee) Dismat
ana&anda Durfur men (ame&ata works huko) nasikia watu huuliwa kaa mbu'i
heheheh. Sisi ndio tulikuwa tukire(ord hio mo#ie.
Swa: 0a( Dan ni wa bidii una!ua yeye hufanya ka'i ya mbao. (hee u!awahi !ua)
si!awahi !ua mimi. Alienda m&aka (huo kikuu na aka&ata shahada lakini ka'i
ndio imeleta shida na alisomea nini(alisomea ile dadako alisomea) E(on (hee..
ama umesha kula mayai wewe nini) hhm kwa hi#yo ame!i&anga #i'uri hi#yo.
(hhm ame!i&anga lakini ka'i ndio ha!a&ata) $a'i ndio imeleta shida- sasa kama
watu wenye shahada hawa&ati ka'i sisi tuta&ata wa&i (lakini bahati ya mtu ni y
amtu) Dismat anaenda Durfur bwana (ame&ata ka'i huko) nasikia watu hu uliwa
kama mbu'i huko. Sisi ndio tulikuwa tuki(hukuwa hio sinema.
Eng: 0a( Dan is a #ery hard working guy you know he e#en does (ar&entry. (yes you
ha#e ne#er known) I#e ne#er known he e#en went to the uni#ersity and e#en
has a degree but getting a !ob is a &roblem. And what did he study (what your
sister was studying) E(onomi(s. (yes.. ha#e you eaten eggs or not) so he has
organi'ed himself well ( yes but he has no !ob) 8etting a !ob is a &roblem know if
the graduates are not getting !obs then what about us with di&lomas where are we
going to get !obs Dismat has gone to Durfur( he got a !ob there) I understand
they kill &eo&le like goats. *e are the ones who were re(ording that film.
Pet: )ee kule ni blunder ()hm) ikwara gani hii tena (nimwingine ndani ya mtaa +
latest ka(h hehehe+) 9akini ametinga start ingine kali !oo+.
Swa: )ee kule ni shida (hhm) ni mambo gani hii tena ( ni mwingine ndani ya mtaa+
yule ameku!a mgeni hehehe+) 9akini amean'a mtindo ingine mbaya sana+
Eng: )ee there it is a &roblem (hhm) who is this know ( it is another one in the estate+
the latest (a(he hehehe+) but she has started with #ery bad habit man+
Chri: )uyu ata ku&iga roundi na yeye mtaani ni shida man.eeii.1na!ua wasee
wanaku(heki tuu hi#i unamegotea msee lakini ameku(heki na #ako ingine
una!i!a'ia tuu huyu msee anakuonea huruma+
Swa: )uyo ati kutembea na yeyey mtaani ni shida bwana eeii. 1na!ua !amm
wanakuangalia tuu hi## unamsalimia lakini anakuangalia na ma(ho ingine
una!i!a'ia tuu hyuy !amaa anakuonea huruma+
F
Eng: "his one you (an not e#en walk with her around the estates. %ou greet your
friends and they look at you with strange eyes- then you !ust (on(lude for yourself
that they &ity you.
Pet: 1namshow yee ni mbo(h unaenda kumshow kule ya kubuy ma&burungo.
Swa: 1namwonesha yeye ni msaidi'i wa ka'i unaenda kumwonesha mahali &a
kununua #itu.
Eng: %ou show them that she is a house hel& and you are going to show her a &la(e to
buy stiff.
Chris: )hm mahali &akubuy sukuma- unga ametoka o(ha !u'i !u'i ( hhm ndio
asikutu&ishe rada)
Swa: )hm mahali &akununua sukuma wiki- unga- ametoka mashambani !u'i !u'i (hhm
ndio asikuaibishe)
Eng: %es a &la(e to buy sukuma wiki- flour she is !ust from u& (ountry (hhm so that she
(an not a shame you)
?

You might also like