You are on page 1of 5

Misimu (seasons)

Kipupwe (Winter)

Kipupwe (Winter)
Msimu wa kipupwe (Season of winter)
Majira ya baridi (Cold season)
Solistasi ya kipupwe (Winter solstice)
Kipupwe ndiyo majira ya baridi zaidi ya mwaka, kama majira ya baridi
katika hali ya hewa ya wastani. Kipupwe hutokea kati ya demani na masika.
Wakati wa solistasi ya kipupwe, mchana huwa mfupizaidi na usiku huwa
mrefu zaidi. Kutokana na theluji, barafu na hali ya hewa nyingine ya kipupwe,
baadhi ya ndege huhama; dubu hubumbwaa. Wanyama wengine huweka
chakula kwa ajili ya kipupwe ili waweze kuishi, kama vile: kindi, biva,
vinyegere, melesi na rakuni. Manyoya ya wanyama wengine hata hubadilika,
kwa mfano, manyoya ya mbweha-aktiki hubadilika kuwa meupe kupatana na
mandhari ya theluji.
"Kipupwe" is the coldest season of the year, like the winter of temperate
climates. Kipupwe occurs between autumn and spring. At the winter solstice,
the days are shortest and nights are longest. Due to the snow, ice and other
wintery weather, some birds migrate; bears hibernate; other animals store
food for the winter to live on, such as: squirrels, beavers, skunks, badgers
and raccoons; some animals fur even changes color, for instance, the arctic
foxs fur changes to white to blend in with the snowy landscape.

Posted by MZ at 3:07 PM No comments:


Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Jiolojia (Geology)

Demani (Autumn)

Demani (Autumn)
Msimu wa demani (Season of autumn)
Majira ya mapukutiko (Season of shedding [leaves])
Majira ya kupukutika kwa majani (Season of the falling of leaves)
Majira ya mavuno (Harvest season)
Ikwinoksi ya demani (Autumnal equinox)
Demani ni mojawapo ya majira nne ya wastani. Demani huadimishwa
na ikwinoksi ya demani ambayo ni mpito kutoka kiangazi hadi kipupwe,
katikati ya Septemba (nusudunia ya kaskazini) au Machi (nusudunia ya
kusini) wakati ambapo miti huanza kubadilisha rangi, majani hupukutika na
mchana huwa fupi. Kama "autumnya maeneo ya wastani, mazao makuu
huvunwa wakati wa demani ambalo ni neno la wakati wa mwaka unaoanza
Machi na kuendelea hadi katikati ya Juni. Vuli ni majira ya mvua nyepesi
wakati upepo wa kaskazini hupoanza kuvuma na wakati mwingine
hulinganishwa na autumn.
Autumn is one of the four temperate seasons. Autumn is marked by the
autumnal equinox which is the transition from summer to winter, in midSeptember (in the northern hemisphere) or March (in the southern
hemisphere) when trees begin to change color, their leaves fall off and the
days get shorter. Like autumn (a word meaning "the season of shedding
[leaves]" or "harvest season") of the temperate zones, major crops are
harvested in "demani", which is the Swahili word for the time of year that
begins in March and lasts until mid-June. "Vuli" is the season of light rain
when the north wind blows and is sometimes equated to autumn.
Posted by MZ at 2:27 PM No comments:

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest


Labels: Jiolojia (Geology)

Kiangazi (Summer)

Kiangazi (Summer)
Msimu wa kiangazi (Season of summer)
Majira ya joto (Hot season)
Msimu wa ukavu (Dry season)
Solistasi ya kiangazi (Summer solstice)
Katikati ya kiangazi (Midsummer)
Mkesha wa Mtakatifu Yohana (St. John's Eve)
Kiangazi ni msimu wa ukavu, sawa na majira ya joto katika sehemu za
wastani. Kiangazi ni ya fufutende zaidi ya misimu yote. Mchana huwa ndefu
zaidi wakati wa solistasi ya kiangazi wakati katikati ya kiangazi (au miongoni
mwa Wakristo kama Mkesha wa Mtakatifu Yohana) husherehekewa kwa
heshima ya kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji.
"Kiangazi" is the dry season, exactly like summer in the temperates
regions. Summer is warmest of the all the seasons. Days get longer on the
summer solstice when midsummer (or among Christians as St. John's Eve) is
celebrated in honor of John the Baptist's birth.
Posted by MZ at 2:06 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Jiolojia (Geology)

Masika (Spring)

Masika (Spring)
Msimu wa masika (Season of spring)
Majira ya machipuko (Season of sprouting)
Majira ya kuchipua (Season of budding)
Ikwinoksi ya masika (Vernal equinox)
Masika ni neno linalotumiwa kueleza majira ya mvua nyingi, mara nyingi hulinganishwa na
spring (neno la Kiingereza linalomaanisha "majira ya machipuko"). Ikwinoksi ya masika
huadimisha mpito kati ya kipupwe na kiangazi wakati mimea hupoanza kukua tena na maua
hunawiri na mchana hukaribia masaa 12 kwa urefu.
"Masika" is the Swahili word used to describe the season of lots of rain, sometimes many times
equated to spring (a word meaning "the season of sprouting"). The vernal equinox marks the
transition between winter and summer when plants start to grow again and flowers bloom and
the day are close to 12 hours long.
Posted by MZ at 1:53 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Jiolojia (Geology)

Misimu Minne (The Four Seasons)

Msimu (Season)
Misimu (Seasons)
Majira (Season)
Kipindi (Period)
Wakati wa mwaka (Time of the year)
Nyakati za mwaka (Times of the year)
Masika (Majira ya machipuko)
Kiangazi (Majira ya joto)
Demani (Majira ya mapukutiko)
Kipupwe (Majira ya baridi)

Spring (Season of sprouting)


Summer (Season of heat)
Autumn (Season of the shedding
[leaves])
Winter (Season of cold)

You might also like