You are on page 1of 7

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MCT yatangaza majina ya wateule wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi


wa Habari Tanzania (EJAT) 2015
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,
Tom Nyanduga kuwa Mgeni Rasmi
Kamati ya maandalizi ya EJAT 2015 leo limetangaza majina 84 ya wateule wa
Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2015. Idadi hiyo ni
ongezeko la wateule 31 ukilinganisha na tuzo za 2014 ambapo wateule
walikuwa ni 53 tu.
Pia kamati imeeleza kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora, Tom Bahame Nyanduga ndio Mgeni Rasmi kwenye Tuzo za
Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT ) 2015 zitakazofanyika
kwenye tamasha la usiku la utoaji wa tuzo hizo Aprili 29, 2016 , Dar es
Salaam.
Kutangazwa kwa wateule wa EJAT 2015 kunafuatia kukamilika kwa kazi ya
kuzipitia na kuchagua zile zilizo na ubora zaidi iliyofanywa na jopo la majaji
10 lililokaa mwezi Machi mwaka huu. Majaji hao ambao ni wataalamu
mbalimbali wa masuala ya habari walipitia kazi za kiandishi zaidi ya 570
zilizowasilishwa kwenye makundi ya kushindaniwa 22 kwenye tuzo za
Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2015.
Ripoti ya jopo la majaji hao kuhusu wateule wa EJAT 2015, inaonyesha kuwa
kumekuwa na ongezeko kubwa kwa wateule kwa upande wa luninga
ambapo kuna wateule 27 kutoka wateule wawili katika tuzo za 2014. Pia
kuna ongezeko kwenye wateule wa redio kutoka 17 hadi 27. Hata hivyo kwa
upande wa magazeti wateule wamepungua kidogo kutoka wateule 34 wa
tuzo za 2014 hadi 32 kwa tuzo za mwaka 2015.
Idadi ya wateule wanawake pia imeongezeka kufikia 28 kutoka wateule 18
kwenye tuzo za EJAT 2014. Pia ripoti inaonyesha kuongezeka kwa kazi
zilizoletwa na redio za kijamii mwaka huu ambapo baadhi yao zimeweza
kutoa wateule kwenye tuzo za EJAT 2015.
Jopo hilo la majaji liliongozwa na mwenyekiti wake, Bi. Valerie Msoka,
wajumbe wengine walikuwa Dk. Joyce Bazira Ntobi ambaye alikuwa katibu
wa jopo, na Ali Uki. Wanajopo wengine walikuwa Jesse Kwayu, Kiondo
Mshana, Juma Dihule, Godfrey Nago, Nathan Mpangala na Pili Mtambalike.
Waandishi hao 84 wataingia kwenye kinyanganyiro cha mashindano ya EJAT
2015.
Majaji hao 10 waliapishwa na Rais wa Baraza la Habari Tanzania, Jaji Mstaafu
Thomas Mihayo Machi 11, 2016 kabla ya kuanza kazi hiyo. Hii itakuwa ni
1

mara ya saba kuwatuza waandishi waliofanya vizuri katika kazi zao za


kiuandishi chini ya utaratibu wa EJAT.
Sambamba na EJAT, Jopo la wataalam kwa ajili ya Tuzo ya Maisha ya
Mafanikio katika Uandishi wa Habari (LAJA) umeanza kazi ya kutafuta mteule
wa tuzo hiyo kwa mwaka huu ambae atatangazwa wakati wa Tamasha hilo la
usiku. Jopo la LAJA linalongozwa na Mwenyekiti wake Bi. Lilian Kallaghe lina
wajumbe watano ambao ni pamoja na Hamis Mzee, Fili Karashani, Joseph
Kulangwa na Wenceslaus Mushi.
Makundi yaliyoshindaniwa ni yafuatayo:
1. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Uchumi na Biashara
2. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Michezo na Utamaduni
3. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Mazingira
4. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Afya
5. Tuzo ya Uandishi wa Habari za VVU/Ukimwi
6. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Watoto
7. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Utawala Bora
8. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Jinsia
9. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Sayansi na Teknolojia
10 Tuzo ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi
11. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Afya ya Mama na Mtoto
12. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Elimu
13. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Utalii na Uhifadhi
14. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Watu Wenye Ulemavu
15. Mpiga Picha Bora Magazeti
16. Mpiga Picha Bora Runinga
17. Mchora Katuni Bora
18. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Kilimo
19. Tuzo ya Afya ya Uzazi kwa vijana
20. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Gesi, Mafuta na Uchimbaji Madini
21. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Manunuzi ya Umma
22. Tuzo ya Uandishi wa Habari za Kodi na Ukusanyaji Mapato
Ifuatayo ni orodha ya wateule wa EJAT 2015 ambao wanatoka kwenye
vyombo mbalimbali vya habari
WATEULE WA EJAT 2015
SN
JINA LA MWANDISHI
1.

Sylvester Joseph

CHOMBO
HABARI
Afya Radio

2.

Fatuma Mtengamani

Ulanga FM

3.

Adam Hhando

CG FM
2

CHA MKOA ANAOTOKA


Mwanza
Ulanga-Mahenge
(Morogoro)
Tabora

4.

Abisae Maeda

5.

Mwashamba Juma

TV1/Kilimanjaro
Institute
Zanzibar Leo

Film

Arusha

6.

Jackline Masinde

Mwananchi

DSM

7.

Peter Rodgers

ITV

Mwanza

8.

Lucas Maziku

Star TV

Mwanza

9.

Maajabu Madiwa

Pangani FM

Pangani-Tanga

10.

Ezekiel Kamanga

BBC & Bomba FM

Mbeya

11.

Malongo Mbeho

Metro FM

Mwanza

12.

Annastazia Maginga

Raia Tanzania

Mwanza

13.

John Leon Lewanga

TBC

DSM

14.

Mussa Kinkaya

Sunrise FM

Arusha

15.

Victor Makwawa

Dodoma FM

Dodoma

16.

Pili Mlindwa

Pangani FM

Pangani-Tanga

17.

Zulfa Golay

Mwananchi

Arusha

18.

Tumaini Msowoya

Mwananchi

Iringa

19.

Nuzulack Dausen

The Citizen

DSM

Zanzibar Leo

Pemba-Zanzibar

Zanzibar

20.

Haji Mohamed

21.

Silvano Kayera

Mlimani

DSM

22.

Christian Msafiri

CG FM

Tabora

23.

Grace Mbise

Bomba FM

Mbeya

24.

Salome Kitomari

Nipashe

DSM

25.

Kelvin Matandiko

Mwananchi

DSM

26.

Mansour Jumanne

SAUT FM

Mwanza

27.

Frank Bahati

TBC1

DSM

28.

Khamis Suleiman

Channel Ten

DSM

29.

Emmanuel Buhohela

ITV

DSM

30.

Lusekelo Philemon

The Guardian

DSM

31.

John Nsuza

TV1

Arusha

32.

Esther Zelamula

Channel ten

DSM

33.

Elibahati Akyoo

TV1/ Kilimanjaro Film


Institute

Arusha

34.

Idd Juma

Afya Radio

Mwanza

35.

Mashaka Mgeta

The Guardian

DSM

36.

Kisali Simba

Star TV

Shinyanga

37.

Editha Kinyaiya

TV1/Kilimanjaro Film
Institute

Arusha

38.

Emmanuel Kitomari

TV1/Kilimanjaro Film
Institute

Arusha

39.

Maulid kambaya

Radio One

DSM

40.

Lulu George

Nipashe

Tanga

41.

Mussa Siwayombe

Mwananchi

Arusha

42.

Victor Eliah

TBC

DSM

43.

Cassius Mdami

Channel Ten

DSM

44.

Anthony Masai

Triple A FM

Arusha

45.

Temigunga Mahondo

Radio Country FM

Iringa

46.

Beatrice Shayo

Nipashe

DSM

47.

Rahma Suleiman

Nipashe

Zanzibar

48.

Haika Kimaro

The Citizen

DSM

49.

Halfan Lihundi

ITV

Arusha

50.

Lydia Igarabuza

EATV

DSM

51.

Valeria Mwalongo

Tumaini

DSM

52.

Peninah Kajura

HHC Radio

Mwanza

53.

Goodluck Mvamba

SAUT FM

Mwanza

54.

Said Michael

Mtanzania

DSM

55.

Abdul Kingo

Nipashe

DSM

56.

Nora Damian

Mtanzania

DSM

57.

Sauli Gilliard

The Citizen

DSM

58.

Alfayo Misiyeki

TV1/Kilimanjaro Film
Institute

Arusha

59.

Samson Kapinga

TV1/ Kilimanjaro Film


Institute

Arusha

60.

Florence Majani

Mwananchi

DSM

61.

Selemani Mkufya

TBC1

DSM

62.

Kasilda Mgeni

Star TV

Morogoro

63.

Tuma Dandi

Mlimani

DSM

64.

Eveline Mhozya

CG FM

Tabora

65.

Vivian Pyuza

CG FM

Tabora

66.

Joseph Mwendapole

Nipashe

DSM

67.

Hadija Jumanne

Mwananchi

DSM

68.

Christina Mwakangale

Nipashe

DSM

69.

Sanula Athanas

Nipashe

DSM

70.

Mwanahiba Richard

Mwanaspoti

DSM

71.

Japhary Ramadhan

ABM FM

Dodoma

72.

Bernard Lugongo

The Citizen

DSM

73.

Emmanuel Mollel

TV1/ Kilimanjaro Film


Institute

Arusha

74.

Joel Ulomi

Arusha One

Arusha

75.

Haji Nassor

Zanzibar Leo

Chake
ChakePemba
SumbawangaRukwa

76.

Peti Siyame

Habari Leo

77.

Robert Okanda

Dailynews

DSM

78.

Nuru Hassan

Afya

Mwanza

79.

Shija Felician

The Citizen

Kahama

80.

Salum Maige

Mwananchi

Geita

81.

Projestus Binamungu

Star TV

Mwanza

82.

Regina Kulindwa

Afya

Mwanza

83.

Denis Nyali

Nuru

Iringa

84.

Sam Mahela

ITV

DSM

Waandaaji wa EJAT 2015 ni pamoja na Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania


(TMF), Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika- Tawi la Tanzania
(MISA-TAN), Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA),
Jukwaa la Wahariri (TEF), Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari
(MOAT), Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Chama cha
Waandishi wa Habari Walio katika Mapambano Dhidi ya UKIMWI Tanzania
(AJAAT), Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), PSITanzania, Unicef, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Haki Elimu,
SIKIKA, Evidence for Action, Amref Health Africa na BESTDialogue/ANSAF.

Kajubi D. Mukajanga
Mwenyekiti
Kamati ya Maandalizi ya EJAT 2015

You might also like