You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA
Ofisi ya Bunge,
S.L.P. 941,
DODOMA

Simu: +255 026 23222761-5


Fax No. +255 026 2322624
E-mail: info@bunge.go.tz

TAARIFA KWA UMMA


_________
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko mengine ya
baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge ili kuzingatia
maombi ya baadhi ya Wabunge pamoja na mahitaji mapya
yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa shughuli za Kamati za Bunge.
Mabadiliko haya yamefanywa kwa mujibu wa Kanuni ya 116(3) na (5) ya
Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili 2016 na yamehusisha maeneo
manne ambayo ni:
Kuhamishwa kwa baadhi ya wajumbe wa Kamati,
Kualikwa kwa baadhi ya wajumbe katika Kamati ya Bajeti,
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya Haki, Maadili, na Madaraka ya
Bunge kuondolewa pamoja na
Uteuzi wa wajumbe wapya katika kamati ya Haki, Maadili, na
Madaraka ya Bunge
Mabadiliko haya ya wajumbe kwenye kamati yanaanza mara moja
ambapo orodha ya wajumbe waliobadilishwa kamati na nafasi zao
imeambatishwa.
Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano
Ofisi ya Bunge
DODOMA
26 Mei, 2016.

1.0

WANAOHAMISHWA KAMATI

Na

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

8.

JINA LA
MBUNGE
Mhe. Ezekiel
Magoyo Maige,
Mb.
Mhe. Allan
Joseph Kiula,
Mb.
Mhe. Omary
Tebweta
Mgumba, Mb.
Mhe. Rhoda
Rdward
Kunchela, Mb.
Mhe. Joseph
George
Kakunda, Mb.
Mhe. Ahmed
Ally Salum, Mb.
Mhe. Neema
William Mgaya,
Mb.
Mhe. Salma
Mohamed
Mwassa, Mb.

KAMATI
ALIYOKWEPO
AWALI
Nishati na
Madini

KAMATI
ANAYOHAMIA
PAC

Mambo ya Nje,
Ulinzi na
usalaama
Sheria Ndogo

PAC

Masuala ya
UKIMWI

PAC

PIC

PAC

PAC

Huduma na
Maendeleo ya
Jamii
Ardhi, maliasili
na Utalii

Huduma na
Maendeleo ya
Jamii
Bajeti

PAC

Ardhi, Maliasili
na Utalii

2.0

WAJUMBE WAALIKWA KATIKA KAMATI


NA.

JINA LA MBUNGE

1.

Mh. Andrew
John Chenge,
Mb.
Mhe. Joseph
Roman Selasini,
Mb.
Mhe. Dkt Dalali
Peter Kafumu,
Mb.
Mhe. Japhet
Ngalilonga
Hasunga, Mb.
Mhe. Albert
Obama
Ntabaliba, Mb.
Mhe. Mussa
Azzan Zungu,
Mb.

2.

3.

4.

5.

6.

KAMATI
ALIYOPO

HADHI YA
UJUMBE

Sheria Ndogo

Mwalikwa

LAAC

Mwalikwa

Viwanda,
Biashara na
Mazingira
PAC

Mwalikwa

PIC

Mwalikwa

Huduma na
Maendeleo ya
Jamii

Mwalikwa

Mwalikwa

3.0

WALIOONDOLEWA KATIKA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA


YA BUNGE
1. Mhe. Dkt. Haji Hussein Mponda, Mb.
2. Mhe. Najma Murtaza Giga, Mb.

4.0

WANAOTEULIWA KUWA WAJUMBE WA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA


MADARAKA YA BUNGE
1. Mhe. Asha Abdalla Juma, Mb.
2. Mhe. Emmanuel Mwakasaka, Mb.
3. Mhe. Augustino Manyanda Masele, Mb.

You might also like