You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

OFISI YA UHAMIAJI (M)


S.L.P+255
369
SIMU:
282622426
MUSOMA

BUNDA
Thursday, 12 April 2012

KUMB .NA.BND/IMM/KATA/36/62

MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA
S.L.P 126
BUNDA.
YAH: SHUKRANI.
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Kwa heshima na taadhima, ofisi ya uhamiaji Bunda inapenda kutoa shukrani za pekee kwako
kwa msaada mkubwa ulioutoa kwetu kwa kutupatia ukumbi mzuri na wa kisasa pasipo gharama
yoyote ili kufanikisha semina yetu iliyofanyika tarehe 30/03/2012.
Vilevile tunaomba utufikishie shukrani zetu za dhati kwa watumishi walioko chini yako
walioshiriki kwa namna moja ama nyingine katika kufanikisha semina hiyo.
Tunaomba ushirikiano huu udumu.
Wako katika ujenzi wa Taifa.

T.W Nyangasa
AFISA UHAMIAJI(W)
BUNDA.
Nakala:
Afisa Uhamiaji mkoa
S.L.P 369
MUSOMA

You might also like