You are on page 1of 6

HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

(BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU)

Plot No. 8, Block No. 46; Sam Nujoma Road; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286;
E-mail: info@heslb.go.tz; Website: www.heslb.go.tz
Form # :166886F2015
LOCAL UNDERGRADUATE STUDENT LOAN APPLICATION FORM - 2015/2016

Index # :S0110.0053.2010
(Maombi ya Mkopo kwa Wanafunzi wa Ndani ya Nchi)

MAELEZO BINAFSI NA ANUANI YA MWOMBAJI (APPLICANT'S PERSONAL DETAILS)

Jina Kamili: IDD, KARIMU Jinsia (Sex) : Me


Tarehe ya Kuzaliwa (Date of Birth) : 1990-05-05 Wilaya Ulikozaliwa (Birth District) : Mvomero
Mkoa ulikozaliwa (Birth Region) : Morogoro Barua Pepe (E-mail) : abdulkarimguga@gmail.com
Namba ya Simu ya Mkononi(Mobile Phone ): 0719022562

MAELEZO YA ELIMU YA MWOMBAJI (EDUCATIONAL BACKGROUND)

Elimu ya Shule ya Msingi (Primary School Education History)


Jina la shule (School Name) : MAZINDE NGUA
Year of Entry : 2000 Year of Graduation : 2006
Region : Tanga District : Mombo

Shule ya Sekondari Kidato cha 4 (O-level Secondary School): ILBORU


Namba ya Mtahiniwa (Form Four Index #): S0110.0053.2010

Elimu baada ya Form IV - Chuo cha Diploma


Jina la Chuo (College Name) : Mbeya Institute of Technology
Entry Year : 2011 Completed Year : 2014

MAELEZO YA KIJAMII NA UCHUMI YA MWOMBAJI (APPLICANT'S SOCIAL ECONOMIC DETAILS)

Hali ya wazazi na Mwombaji. (Parents' Physical/Social Status)


Mzazi Mmmoja tu yuko hai (Single parent is alive)
Wazazi wa mwombaji hawana ulemavu (Applicant Parents are NOT Disabled)

UTHIBITISHO WA MWOMBAJI (APPLICANT'S DECLARATION)

Mimi IDD, KARIMU Ninatamka kuwa maelezo yaliyotolewa kwenye maombi haya kwa njia ya tovuti,
ambayo sehemu yake yamechapwa hapa, kuwa ni ya kweli kwa kadri ya ufahamu wangu. Ninatamka pia kwamba ninafahamu kuwa
hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yangu endapo itabainika kwamba maelezo niliyoyatoa sio sahihi ama yanapotosha.

Jina Kamili la Mwombaji : IDD, KARIMU Tarehe :_________________ Saini : __________________

UTHIBITISHO WA MAELEZO BINAFSI NA KAMISHNA WA VIAPO (CERTIFICATION BY COMMISIONER OF OATHS)

Jina Kamili la Kamishna :_______________________________________ Weka Muhuri wa ofisi hapa

Saini : ____________________ Tarehe : ___________________

Created on 2015-06-15 16:46:12 page 1 / 6


Form # :166886F2015

UTHIBITISHO WA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA KUHUSU MAELEZO YA MWOMBAJI

MAOMBI HAYA YATAKUWA BATILI ENDAPO HAYATAPITISHWA NA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA

ANGALIZO: Kiongozi yeyote wa Serikali ya Kijiji au Mtaa atakayethibitisha maombi haya ya mkopo, ambaye
ama kwa kujua au uzembe akashuhudia taarifa za uongo zilizojazwa na mwombaji na wazazi wake atakuwa na hatia ya jinai na
anaweza, chini ya sheria iliyoanzisha Bodi ya Mikopo kifungu 23(1)(b), kutozwa faini isiyozidi shilingi Milioni moja
na laki tano(1,500,000) au kifungo kisichozidi miezi sita au vyote kwa pamoja. Kughushi ni kosa la jinai na mtu anayegushi
au kushuhudia makosa kama hayo atashitakiwa mahakamani.
Tunathibitisha kuwa tumekagua na kuhakiki maelezo yaliyotolewa katika fomu hii pamoja na yale ya mdhamini na maoni yetu ni kama
ifuatavyo (kata isiyohusika)
i) Mwombaji ni/siyo mkazi wa Kijiji/Mtaa wetu. ii)Taarifa alizotoa mwombaji ni/si sahihi.
iii) Wazazi wa mwombaji ni/si wakazi wa Kijiji/Mtaa wetu. iv) Taaifa za wazazi ni/si sahihi.
v) Tunapendekeza/Hatupendekezi maombi haya.
Muhuri wa Serikali ya Kijiji/Mtaa

Na.CHEO JINA KAMILI SAHIHI TAREHE

1. MWENYEKITI __________________________ ____________________ _____________________

2. KATIBU ___________________________ ____________________ _____________________

3. MJUMBE ____________________________ ____________________ _____________________

Created on 2015-06-15 16:46:12 page 2 / 6


HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD
(BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU)

Plot No. 8, Block No. 46; Sam Nujoma Road; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286;
E-mail: info@heslb.go.tz; Website: www.heslb.go.tz
Form # :166886F2015
MKATABA WA MKOPO KWA MWANAFUNZI - 2015/2016

1.0 Wahusika wa Mkataba huu

Mkataba huu ni kati ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu , yenye anwani hapo juu, ambayo ndani ya mkataba huu
itajulikana kama "Bodi" na IDD, KARIMU ambaye namba yake ya mtihani wa kidato cha Nne ni S0110.0053.2010
na ambaye katika mkataba huu atajulikana kama Mwanafunzi an Mkopaji.

2.0 Kanuni na Masharti

2.1 Mkataba wa mkopo huu utasainiwa mara moja tu kwa kipindi chote cha masomo. Nyongeza au mafungu
ya mkopo ambayo mkopaji atapewa kila mwaka kwa pamoja yatakuwa sehemu ya mkataba huu
2.2 Kiasi cha fedha atakachokopeshwa mwanafunzi kwa mujibu wa mkataba huu, kitakuwa ni zile fedha zitakazopelekwa moja
kwa moja kwenye akaunti ya Benki ya mwanafunzi na kile kiasi kitakacholipwa taslimu moja kwa moja kwa mwanafunzi
kupitia chuo anachosoma, na fedha ambazo zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya chuo anachosoma mwanafunzi na
zile ambazo zitaendelea kulipwa ama kwa mwanafunzi ama kwa chuo zikihusishwa na gharama za masomo ya mwanafunzi.
2.3 Kwa madhumuni ya mkataba huu, Bodi itaendelea kutoa mkopo kwa muda wa kawaida wa masomo (Normal Course Duration)
hadi mwanafunzi atakapomaliza masomo yake na fedha hizo zitakuwa ni mkopo. Kwa madhumuni na masharti yaliyopo
kwenye kifungu cha 2.2 cha mkataba huu. Mwanafunzi atakuwa na jukumu la kuijulisha Bodi juu ya kutohitaji
hela za Mkopo pale ambapo hatahitaji kuendelea kukopa.
2.4 Mkopo kwa ajili ya ada ya mafunzo na mahitaji maalumu ya kitivo zitalipwa moja kwa moja katika chuo anachosoma mwanafunzi
2.5 Mkopo unaohusu gharama za mwanafunzi za moja kwa moja utapelekwa kwenye akaunti ya benki ya mwanafunzi kwa awamu
ama atapewa mwanafunzi kupitia chuo anachosoma.
2.6 Akaunti ya mwanafunzi iliyo katika kumbukumbu za Bodi haitabadilishwa isipokuwa kwa maombi ya Mwanafunzi ambayo
yamepitishwa na chuo anachosoma.
2.7 Mwanafunzi anawajibu wa kujulisha Bodi kuhusu mabadiliko yoyote yale yanayoweza kupelekea kuathiri utoaji au urejeshwaji
wa mkopo kwa namna yoyote ile. Mwanafunzi pia anawajibu wa kuipatia Bodi taarifa nyingine zozote zile zinazohusiana na .
mkopo wake pale atakapotakiwa kufanya hivyo na Bodi.
2.8 Kutokana na mkopo utakaokopeshwa na Bodi, Mwanafunzi anawajibika wakati wote wa kipindi cha masomo yake kuheshimu na kutii
sheria ndogo za chuo, kanuni na maelekezo yatolewayo mara kwa mara na chuo anachosoma. Kwa madhumuni ya Mkataba huu sheria
ndogo ndogo, kanuni na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na chuo anachosoma mwanafunzi yamejumishwa katika mkataba huu
kwa marejeo (by reference)
2.9 Bodi inaweza kusitisha mkopo kwa mwanafunzi :
a) Kama mwanafunzi atafukuzwa au kushindwa kuendelea na masomo kwa kutofaulu katika chuo husika
b) Kwa maombi ya mwanafunzi
c) Kama atapuuzia masomo katika chuo anachosoma
d) Kama mwanafunzi atashindwa kuzingatia makubaliano yaliyopo katika kifungu cha 2.8 hapo juu
e) Kama mwanafunzi atakataa kusaini marejesho (returns) za fedha alizolipwa au alizolipiwa kupitia chuoni
f) Kama mwanafunzi atafariki
g) Kwa sababu nyingine yeyote itakayoonekana na Bodi inafaa
2.10 Endapo itabainika kwamba mwanafunzi ametoa taarifa za udanganyifu kwa kudhamiria au vinginevyo na taarifa hizo
zikapelekea mwanafunzi kupewa mkopo na Bodi; Bodi itasitisha kumpatia mwanafunzi sehemu ya mkopo uliyobakia,na kiasi
chochote cha mkopo kitakachokuwa kimetolewa atatakiwa kukirejesha chote kwa mara moja. Pamoja na kurejesha
kiasi chote cha mkopo alichokopeshwa mwanafunzi kwa mkupuo, Bodi pia itamchukulia mwanafunzi husika hatua za
kisheria kadri ya sheria inayounda Bodi ama sheria nyingine yoyote ya nchi inayohusika.
2.11 Endapo mwanafunzi ataacha au kuachishwa masomo kwa sababu yoyote ile au kuthibitika kutoa taarifa za uongo,
Created on 2015-06-15 16:46:12 page 3 / 6
Form # :166886F2015
Bodi haitakamilisha utoaji wa fedha zilizobakia na mkopo uliokwisha tolewa utatakiwa kuanza kulipwa mara moja.
Kwa madhumuni ya Mkataba huu masharti yaliyopo kwenye sheria iliyoanzisha Bodi na kanuni zilizotungwa chini ya
sheria hiyo vitakuwa sehemu ya mkataba huu kwa marejeo (by reference).
2.12 Mkopo utaanza kurejeshwa mwaka mmoja baada ya kuhitimu, lakini mwanafunzi yuko huru kuanza kulipa
muda wowote baada ya kuhitimu.
2.13 Kutokana na masharti ya sheria iliyoanzisha Bodi na masharti madogo katika kanuni za mikopo, mkopo utarejeshwa kwa mafungu
kila mwezi au wote kwa pamoja au kwa njia nyingine yoyote ya malipo inayofaa kama itakavyoelekezwa na Bodi.
2.14 Bodi itatoa taarifa kuhusu kiasi cha mkopo alichokopeshwa mwanafunzi kwa kila mwaka wa masomo,na jumla ya kiasi
kilichoonyeshwa katika taarifa hiyo itakuwa ndicho kiasi anachodaiwa mwanafunzi mpaka mwaka husika. Taarifa hiyo
itachukuliwa kuwa sahihi mpaka pale itakapothibitika vinginevyo.
2.15 Bodi itakuwa huru kunikopesha kiasi chochote itakachoona kinafaa kulingana na kozi nitakayosoma na matokeo ya uhitaji
wangu kama itakavyothibitishwa na Bodi
2.16 Mkopo huu utatozwa asilimia sita au asilimia nyingine itakayopangwa na Bodi kwa mwaka kama gharama ya kuhifadhi
thamani ya fedha (value retention fee) zitakazokopeshwa na asilimia moja ambayo ni gharama ya usimamizi wa mkopo
(administration fee) ambazo zitalipwa pamoja na marejesho ya mkopo.
2.17 Bodi itakuwa na mamlaka ya kuthibitisha taarifa zinazonihusu nilizoweka katika maombi haya kutoka katika mamlaka yoyote.
2.18 Bodi itakuwa na mamlaka ya kuomba na kupokea matokeo yangu ya mitihani moja kwa moja kutoka chuo nitakachopangiwa
au ninachosoma ili kuwezesha upangaji wa mikopo kwa miaka ya masomo inayofuata.

3.0 Matamko
Sehemu hii itashuhudiwa na Wakili au Hakimu

3.1 Tamko la Mwanafunzi


Jina Kamili : IDD, KARIMU Anwani ya Posta : P.O.BOX 15
Kijiji/Mtaa : MAZINDE NGUA Kata/Shehia : MAZINDE
Wilaya : Mombo Mkoa : Tanga
Barua pepe : abdulkarimguga@gmail.com Namba ya Simu ya Mkononi : 0719022562

Mimi IDD, KARIMU niliye mwanafunzi mkopaji, bila shinikizo lolote, na nikiwa na akili timamu
nimesoma na kuelewa na kukubali kanuni na masharti ya mkataba huu nikishuhudiwa na aliyesaini hapa chini

Sahihi (ya mwanafunzi): ______________________ Tarehe : ______________________

3.2 Tamko la Mdhamini (lazima awe mzazi au mlezi wa mwombaji)

Jina Kamili : BEKU, UZZIAH IBRAHIM Anwani ya Posta : P.O.BOX 82


Kijiji/Mtaa : MONGWE Kata/Shehia : MLALI
Wilaya : Mvomero Mkoa : Morogoro
Barua pepe : uzziahibra@gmail.com Namba ya Simu ya mkononi : 0658141461
Namba ya kitambulisho: T-1001-3879-636-6
Aina ya kitambulisho: Voter Registration Card

Mimi BEKU, UZZIAH IBRAHIM nikiwa na akili timamu bila kulazimishwa, kurubuniwa, ama
kushurutishwa na mtu yeyote yule, nathibitisha kwamba nimesoma, kuelewa na kukubali kanuni na mashariti ya mkataba huu.

Sahihi : ______________________ Tarehe : ______________________

3.3 Ushuhuda wa wakili/hakimu

Imetiwa sahihi na ___________________________________________(jina la mkopaji) ambaye ninamfahamu AU

ametambulishwa kwangu na ___________________________________________ ambaye ninamfahamu.

Jina Kamili la Wakili/Hakimu


____________________________________________
:

Created on 2015-06-15 16:46:12 page 4 / 6


Sahihi : _______________________________ Tarehe :__________________________ Weka Muhuri wa ofisi hapa
Form # :166886F2015

3.4 Kwa Matumizi ya Ofisi ya Bodi ya Mikopo TU

Jina Kamili la Ofisa wa Bodi :____________________________________________


Cheo : _____________________________
Tarehe : ____________________________ Weka Muhuri wa ofisi hapa Sahihi : ____________________________

Created on 2015-06-15 16:46:12 page 5 / 6


Form # :166886F2015

Orodha ya Viambatanisho (List of Attachments)

Tafadhali ambatanisha nakala za vivuli vilivyothibitishwa (certified copies) za nyaraka zifuatazo ili kuthibitisha maelezo yako.

1. Uthibitisho wa uraia : "Birth Certificate" Number :L.03336/2011

2. Cheti cha matokeo ya mtihani ya kidato cha 4(Form 4 certificate)

3. Cheti cha matokeo ya mtihani ya kidato cha 6 (Kama unacho)(Form 6 certificate (optional)) AU

cheti cha Stashahada (kwa waombaji wanaotokea ngazi ya Stashahada)).

4. Endapo mzazi/wazazi hawapo hai, cheti cha kifo (in case of deceased parent, death certificate)

5. Endapo mwanafunzi au mzazi ni mlemavu, Barua ya uthibitisho ya Daktari (if parent/applicant is disabled, Doctor's Letter)

6. Endapo mzazi ni mstaafu, Barua ya kustaafishwa (if parent is retired, official letter of retirement)

7. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini : Voter Registration Card

Maelekezo Mengine

1. Tuma fomu iliyosainiwa, kuwekwa picha na viambatanisho vingine kwa njia ya "EMS" kisha tunza risiti kama uthibitisho.

2. Tunza nakala (copy) ya fomu iliyosainiwa pamoja na viambatisho vyote kwa kumbukumbu yako ya baadaye.

3. Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni 30th-June-2015

Created on 2015-06-15 16:46:13 page 6 / 6

You might also like