You are on page 1of 6

HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

(BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU)

HESLB House, 1 Kilimo Street, TAZARA Area, Mandera Road,; P.O.Box 76068
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286;
E-mail: info@heslb.go.tz; Website: www.heslb.go.tz
Form # :522164F2020
LOCAL UNDERGRADUATE STUDENT LOAN APPLICATION FORM - 2020/2021

Index # :S4572.0046.2016
(Fomu ya Maombi ya Mkopo kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza Ndani ya Nchi)

TAARIFA BINAFSI NA ANUANI ZA MWOMBAJI (APPLICANT'S PERSONAL DETAILS)

Jina Kamili (Full Name) : KAJELI, MWIJARUBI D


Jinsia (Sex) : Me
Tarehe ya Kuzaliwa (Date of Birth) : 1999-01-26 Wilaya Ulikozaliwa (Birth District) : Sengerema
Mkoa ulikozaliwa (Birth Region) : Mwanza Barua Pepe (E-mail) : mwija89@gmail.com
Namba ya Simu ya Mkononi (Mobile Phone ): 0766923703

TAARIFA YA ELIMU YA MWOMBAJI (EDUCATIONAL BACKGROUND)

Shule ya Sekondari Kidato cha Nne (O-level Secondary School): IPWAGA SECONDARY SCHOOL
Namba ya Mtahiniwa (Form Four Index Number): S4572.0046.2016

Shule ya Sekondari Kidato cha Sita (A-level Secondary School) : SENGEREMA


Namba ya Mtahiniwa (Form Six Index #) : S0151.1013.2020
TAARIFA ZA KIJAMII NA KIUCHUMI ZA MWOMBAJI (APPLICANT'S SOCIO-ECONOMIC DETAILS)

Hali ya wazazi/mlezi na Mwombaji. (Parents' Physical/Social-economic Status)


Baba yuko hai Mama yuko hai
Mwombaji hana ulemavu wowote (Applicant is NOT Disabled)
Wazazi wa mwombaji hawana ulemavu (Applicant's Parents are NOT Disabled)
Familia ya mwombaji haina udhamini wa TASAF (Applicant's Family is not TASAF member)

TAARIFA ZA WAZAZI/MLEZI (PARENTS' /GUARDIAN'S DETAILS)

Jina Kamili la Mama (Mother's Full Name) : Mkwaya Lusato Mapilya Makazi ya Mama : KISIMA CHA CHUMVI
Anuani ya Posta ya Mama (Mother's Postal Address) : P.O.BOX 69 Simu ya Mama (Mother's Mobile Phone ): 0783895083
Kazi ya Mama : Farmers

Jina Kamili la Baba (Father's Full Name) : Deusdedith Magafu Majura Makazi ya Baba : KISIMA CHA CHUMVI
Anuani ya Posta ya Baba (Father's Postal Address) : P.O.BOX 69 69 Simu ya Baba (Father's Mobile Phone ): 0784895083
Kazi ya Baba : Primary Education Teachers

Created on 2020-08-08 11:06:05 page 1 / 6


Form # :522164F2020
UTHIBITISHO WA MWOMBAJI (APPLICANT'S DECLARATION)

Mimi KAJELI, MWIJARUBI D Ninatamka kuwa maelezo yaliyotolewa kwenye maombi haya kwa njia ya tovuti,
ambayo sehemu yake yamechapwa hapa, kuwa ni ya kweli kwa kadri ya ufahamu wangu. Ninatamka pia kwamba ninafahamu kuwa
hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yangu endapo itabainika kwamba maelezo niliyoyatoa sio sahihi ama yanapotosha.

Jina Kamili la Mwombaji : KAJELI, MWIJARUBI D Sahihi :_________________ Tarehe : __________________

UTHIBITISHO WA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA KUHUSU MAELEZO YA MWOMBAJI

MAOMBI HAYA YATAKUWA BATILI ENDAPO HAYATAPITISHWA NA SERIKALI YA KIJIJI/MTAA


Tunathibitisha kuwa tumekagua na kuhakiki maelezo yaliyotolewa katika fomu hii pamoja na yale ya mdhamini na maoni yetu ni kama
ifuatavyo (kata isiyohusika)
i) Mwombaji ni/siyo mkazi wa Kijiji/Mtaa wetu. ii)Taarifa alizotoa mwombaji ni/si sahihi.
iii) Wazazi wa mwombaji ni/si wakazi wa Kijiji/Mtaa wetu. iv) Taarifa za wazazi ni/si sahihi.
v) Tunapendekeza/Hatupendekezi maombi haya.

ANGALIZO: Kiongozi yeyote wa Serikali ya Kijiji au Mtaa atakayethibitisha maombi haya ya mkopo, ambaye
ama kwa kujua au uzembe akashuhudia taarifa za uongo zilizojazwa na mwombaji na wazazi wake atakuwa na hatia ya jinai na
anaweza, chini ya sheria iliyoanzisha Bodi ya Mikopo kifungu 23(1)(b), kutozwa faini isiyozidi shilingi Milioni moja
na laki tano(1,500,000) au kifungo kisichozidi miezi sita au vyote kwa pamoja. Kughushi ni kosa la jinai na mtu anayeghushi
au kushuhudia makosa ya aina hiyo atashitakiwa mahakamani.

Na. CHEO JINA KAMILI SAHIHI TAREHE

1. MWENYEKITI __________________________ ____________________ _____________________

2. MJUMBE ____________________________ ____________________ _____________________

Muhuri wa Serikali ya Kijiji/Mtaa

UTHIBITISHO WA TAARIFA BINAFSI ZA MUOMBAJI NA KAMISHNA WA VIAPO (CERTIFICATION BY COMMISSIONER OF OATHS)

Jina Kamili la Kamishna :_______________________________________ Muhuri wa ofisi hapa

Sahihi : ____________________ Tarehe : ___________________

Created on 2020-08-08 11:06:05 page 2 / 6


HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD
(BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU)

HESLB House, 1 Kilimo Street, TAZARA Area, Mandera Road; P.O.Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286;
E-mail: info@heslb.go.tz; Website: www.heslb.go.tz
Form # :522164F2020
MKATABA WA MKOPO KWA MWANAFUNZI - 2020/2021

1.0 Wahusika wa Mkataba huu

Mkataba huu ni kati ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu , yenye anwani hapo juu, ambayo ndani ya mkataba huu
itajulikana kama "Bodi" na KAJELI, MWIJARUBI D ambaye namba yake/zake ni S4572.0046.2016
na ambaye katika mkataba huu atajulikana kama Mwanafunzi au Mkopaji.

2.0 Kanuni na Masharti

2.1 Mkataba wa mkopo huu utasainiwa mara moja tu kwa kipindi chote cha masomo. Nyongeza au mafungu
ya mkopo ambayo Mkopaji atapewa kila mwaka kwa pamoja yatakuwa sehemu ya mkataba huu
2.2 Kiasi cha fedha atakachokopeshwa Mwanafunzi kwa mujibu wa mkataba huu, kitakuwa ni zile fedha zitakazopelekwa moja
kwa moja kwenye akaunti ya Benki ya Mwanafunzi na kile kiasi kitakacholipwa taslimu moja kwa moja kwa Mwanafunzi
kupitia chuo anachosoma, na fedha ambazo zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya chuo anachosoma Mwanafunzi na
zile ambazo zitaendelea kulipwa ama kwa Mwanafunzi ama kwa chuo zikihusishwa na gharama za masomo ya Mwanafunzi.
2.3 Kwa madhumuni ya mkataba huu, Bodi itaendelea kutoa mkopo kwa muda wa kawaida wa masomo (Normal Course Duration)
hadi Mwanafunzi atakapohitimu masomo yake na fedha hizo zitakuwa ni mkopo. Kwa madhumuni na masharti yaliyopo
kwenye kifungu cha 2.2 cha mkataba huu, Mwanafunzi atakuwa na jukumu la kuijulisha Bodi juu ya kutohitaji
fedha za Mkopo pale ambapo hatahitaji kuendelea kukopeshwa.
2.4 Mkopo kwa ajili ya ada ya mafunzo na mahitaji maalum ya kitivo zitalipwa moja kwa moja katika chuo anachosoma Mwanafunzi
2.5 Mkopo unaohusu gharama za Mwanafunzi za moja kwa moja utapelekwa kwenye akaunti ya benki ya Mwanafunzi kwa awamu
ama atapewa Mwanafunzi kupitia chuo anachosoma.
2.6 Akaunti ya Mwanafunzi iliyo katika kumbukumbu za Bodi haitabadilishwa isipokuwa kwa maombi ya Mwanafunzi ambayo
yamepitishwa na chuo anachosoma.
2.7 Mwanafunzi ana wajibu wa kujulisha Bodi kuhusu mabadiliko yoyote yale yanayoweza kuathiri utoaji au urejeshwaji
wa mkopo kwa namna yoyote ile. Mwanafunzi pia ana wajibu wa kuipatia Bodi taarifa nyingine zozote zile zinazohusiana na .
mkopo wake pale atakapotakiwa kufanya hivyo na Bodi.
2.8 Kutokana na mkopo utakaokopeshwa na Bodi, mwanafunzi anawajibika wakati wote wa kipindi cha masomo yake kuheshimu na kutii
sheria ndogo za chuo, kanuni na maelekezo yatolewayo mara kwa mara na chuo anachosoma. Kwa madhumuni ya Mkataba huu, sheria
ndogo ndogo, kanuni na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na chuo anachosoma mwanafunzi yamejumuishwa katika mkataba huu
kwa marejeo (by reference)
2.9 Bodi inaweza kusitisha mkopo kwa mwanafunzi :
a) Kama mwanafunzi atafukuzwa au kushindwa kuendelea na masomo kwa kutofaulu katika chuo husika,
b) Kwa maombi ya mwanafunzi,
c) Kama mwanafunzi atashindwa kuzingatia makubaliano yaliyopo katika kifungu cha 2.8 hapo juu,
d) Kama mwanafunzi atakataa kusaini marejesho (returns) ya fedha alizolipwa au alizolipiwa kupitia chuoni,
e) Kama mwanafunzi atafariki dunia, au
f) Kwa sababu nyingine yoyote itakayoonekana na Bodi inafaa
2.10 Endapo itabainika kwamba mwanafunzi ametoa taarifa za udanganyifu kwa kudhamiria au vinginevyo na taarifa hizo
zikawezesha mwanafunzi kupewa mkopo na Bodi; Bodi itasitisha kumpatia mwanafunzi sehemu ya mkopo uliobakia,na kiasi
chochote cha mkopo kitakachokuwa kimetolewa atatakiwa kukirejesha chote kwa mara moja. Pamoja na kurejesha
kiasi chote cha mkopo alichokopeshwa Mwanafunzi kwa mkupuo, Bodi pia itamchukulia Mwanafunzi husika hatua za
kisheria kadri ya sheria inayounda Bodi ama sheria nyingine yoyote ya nchi inayohusika.
Created on 2020-08-08 11:06:05 page 3 / 6
2.11 Endapo Mwanafunzi ataacha au kuachishwa masomo kwa sababu yoyote ile au kuthibitika kutoa taarifa za uongo,
Bodi haitakamilisha utoaji wa fedha zilizobakia na mkopo uliokwisha tolewa utatakiwa kuanza kulipwa mara moja.
Kwa madhumuni ya Mkataba huu, masharti yaliyopo kwenye sheria iliyoanzisha Bodi na kanuni zilizotungwa chini ya
sheria hiyo vitakuwa sehemu ya mkataba huu kwa marejeo (by reference).
2.12 Mkopo utaanza kurejeshwa miezi ishirini na nne (24) baada ya kuhitimu, lakini mwanafunzi yuko huru kuanza kulipa
muda wowote baada ya kuhitimu.
2.13 Kutokana na masharti ya sheria iliyoanzisha Bodi na masharti madogo katika kanuni za mikopo, mkopo utarejeshwa kwa mafungu
kila mwezi au wote kwa mkupuo au kwa njia nyingine yoyote ya malipo inayofaa kama itakavyoelekezwa na Bodi.
2.14 Bodi itatoa taarifa kuhusu kiasi cha mkopo alichokopeshwa mwanafunzi kwa kila mwaka wa masomo, na jumla ya kiasi
kilichoonyeshwa katika taarifa hiyo itakuwa ndicho kiasi anachodaiwa mwanafunzi mpaka mwaka husika. Taarifa hiyo
itachukuliwa kuwa sahihi mpaka pale itakapothibitika vinginevyo.
2.15 Bodi itakuwa huru kumkopesha mwanafunzi kiasi chochote itakachoona kinafaa kwa kuzingatia mahitaji ya kozi
anayosoma na matokeo ya uhitaji kwa mujibu wa king'amuzi uwezo.
2.16 Mkopo huu utatozwa asilimia sita au asilimia nyingine itakayopangwa na Bodi kwa mwaka kama gharama ya kuhifadhi
thamani ya fedha (value retention fee) zitakazokopeshwa na asilimia moja ambayo ni gharama ya usimamizi wa mkopo
(administration fee) ambazo zitalipwa pamoja na marejesho ya mkopo.
2.17 Bodi itatoza asilimia 10% ya mkopo kwa mwaka kama adhabu ya kuchelewa kurejesha mkopo katika muda uliowekwa na Bodi.
2.18 Bodi itakuwa na mamlaka ya kuthibitisha taarifa zinazonihusu nilizoweka katika maombi haya kutoka katika mamlaka yoyote.
2.19 Bodi itakuwa na mamlaka ya kuomba na kupokea matokeo yangu ya mitihani moja kwa moja kutoka chuo nitakachopangiwa
au ninachosoma ili kuwezesha upangaji wa mikopo kwa miaka ya masomo inayofuata.

Created on 2020-08-08 11:06:05 page 4 / 6


Form # :522164F2020
3.0 Matamko
Sehemu hii itashuhudiwa na Wakili au Mahakama

3.1 Tamko la Mwanafunzi


Jina Kamili : KAJELI, MWIJARUBI D Anwani ya Posta : P.O.BOX 69
Kijiji/Mtaa : Butonga Kata/Shehia : Sima
Wilaya : Sengerema Mkoa : Mwanza
Barua pepe : mwija89@gmail.com Namba ya Simu ya Mkononi : 0766923703

Mimi KAJELI, MWIJARUBI D ambaye ni mwanafunzi mkopaji, bila shinikizo lolote, na nikiwa na akili timamu
nimesoma na kuelewa na kukubali kanuni na masharti ya mkataba huu nikishuhudiwa na kamishna wa viapo aliyesaini fomu hii

Sahihi (ya mwanafunzi): ______________________ Tarehe : ______________________

3.2 Tamko la Mdhamini (lazima awe mzazi au mlezi wa mwombaji)

Jina Kamili : MAJURA, DEUSDEDITH MAGAFU Anwani ya Posta : P.O.BOX 69


Kijiji/Mtaa : Kisima cha chumvi Kata/Shehia : Nyatukala
Wilaya : Sengerema Mkoa : Mwanza
Barua pepe : deusdedith88@gmail.com Namba ya Simu ya mkononi : 0784895083
Namba ya kitambulisho: 19640722-33345-00001-22
Aina ya kitambulisho: Not Found

Mimi MAJURA, DEUSDEDITH MAGAFU nikiwa na akili timamu bila kulazimishwa, kurubuniwa, ama
kushurutishwa na mtu yeyote yule, nathibitisha kwamba nimesoma, kuelewa na kukubali kanuni na mashariti ya mkataba huu. Pia
ninatambua nina jukumu la kuhakikisha mkopo huu unarejeshwa kama taratibu zinavyoelekeza na kuwa muda wote nitakuwa na
taarifa za mahali mkopeshwaji alipo.

Sahihi : ______________________ Tarehe : ______________________

3.3 Ushuhuda wa Wakili/Mahakama

Imetiwa sahihi na __________________________________(jina la mkopaji) ambaye ninamfahamu AU

ametambulishwa kwangu na ___________________________________________ ambaye ninamfahamu. Muhuri wa ofisi hapa

Jina Kamili la Wakili/Hakimu


_________________________________
: Sahihi : _____________ Tarehe : ________________

3.4 Kwa Matumizi ya Ofisi ya Bodi ya Mikopo TU

Jina Kamili la Ofisa wa Bodi :____________________________________________


Cheo : _____________________________
Sahihi : ____________________________ Tarehe : _____________________________
Muhuri wa ofisi hapa

Created on 2020-08-08 11:06:06 page 5 / 6


Form # :522164F2020

Orodha ya Viambatisho (List of Attachments)

Tafadhali ambatanisha nakala za vivuli vilivyothibitishwa (certified copies) za nyaraka zifuatazo ili kuthibitisha maelezo yako.

1. Cheti cha kuzaliwa (Uthibitisho wa uraia) : Birth Certificate Number : 161/99

2. Kitambulisho cha Taifa (National identification document) : Number : 19990126333040000226

3. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini : Not Found Number : 19640722-33345-00001-22

Maelekezo Mengine

1. Tuma fomu halisi iliyosainiwa na viambatanisho vyake kwa njia ya "EMS" kisha tunza risiti kama uthibitisho.

2. Tuma Kwa Mkurugenzi Mtendaji, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, S.L.P 76068, Dar Es Salaam.

3. Fomu iliyokamilika ni fomu ambayo imesainiwa na Mwombaji sehemu mbili, imesainiwa na mdhamini, Mahakama/Wakili,

Serikali ya Mitaa/Kijiji, pamoja na kuambatanisha na nyaraka za vyeti vilivyothibitishwa

4. Tunza nakala (copy) ya fomu iliyosainiwa pamoja na viambatisho vyote kwa kumbukumbu yako ya baadaye.

5. Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni 31st-August-2020

Created on 2020-08-08 11:06:06 page 6 / 6

You might also like