You are on page 1of 4

1.0 Utangulizi.

Shule ilianza kujengwa kupitia michango mbalimbali ya wadau kwa kuchangia ujenzi huo. Michanngo
hiyo kutoka kwa wadau mbalimbali ilijumuisha rasilimali fedha pamoja na vifaa vya ujenzi.

2.0 Lengo la ukaguzi .

Ukaguzi ulilenga kujua mapato na matumizi yaliyotumika hadi hakufikia hatua hii ya ujenzi wa chumba
kimoja cha darasa.

3.0 Eneo lililofanyiwa ukaguzi.

Ukaguzi umefanyika katika eneo la mapato(michango) kutoka kwa wadau pia eneo la matumizi ya
michango hiyo inayojumuisha fedha pamoja na vifaa vifaa vya ujenzi kutoka kwa wadau.

4.0 Njia zilizotumika kwenye ukaguzi.

Wakati wa ukaguzi njia mbalimbali zilitumika kufanya ukaguzi ikiwemo kupitia taarifa za benki ,kupitia
kitabu cha stakabadhi kilichotumika kukusanyia michango na ahadi mbalimbali kutoka kwa wadau
mbalimbali pamoja na mihutasari iliyotumika kufanya malipo ya ujenzi.

5.0 Matokeo ya ukaguzi.

Matumizi kutoka katika michango ya fedha na vifaa vya ujenzi.

Baaada ya kukagua mapato ya ya michango mbalimbali ya wadau pamoja na vifaa vya ujenzi tulikagua
matumizimi ya michango hiyo ili kujilidhisha na yafuatayo:

 Kama kiasi kilichopokelewa kama michango ya wadau ilitumika katika shughuli za ujenzi husika
 Fedha zilizoingizwa kwenye akaunti zilitumika kwa kazi iliyokusudiwa

Tulibaini mapungufu yafuatayo wakati wa matumizi ya fedha kwa ujenzi unaoendelea:-

 Michango kukusanywa na kuanza kutumika bila kupitia benki hivyo kuwepo na mashaka kama
fedha hizi zinatumika kwenye kazi zilizokusudiwa
 Malipo kufanyika bila kuwepo mihutasari ya vikao vinavyokubaliana manunuzi husika.
 Hakuna kamati ya mapokezi ya vifaa vinavyonunuliwa hii inatokana na kutokuwepo kwa taarifa
ya mapokezi ya vifaa vilivyonunuliwa wakati ujenzi unaendelea.
 Hakuna taarifa ya ukaguzi wa kazi zilizofanyika ilikujiridhisha na ubora wa kazi iliyofanyika
 Hakuna reja ya stoo inayoonsha mwenendo wa upokeaji wa vifaa na utoaji wa vifaa wakati wa
utekelezaji shughuli za ujenzi kitu ambacho kinaweza kusababisha upoteaji wa vifaa vya ujenzi
na pia kutokujulikana kwa takwimu sahihi za za gharama ya ujenzi unaoendelea.

Ushauri na maoni .

 Michango yote inayokusanywa inapashwa kuwekwa benki ilikujua kiasi cha fedha
kilichokusanywa
 Matumizi yote ya fedha yanapashwa kutoka baada ya kamati kufanya kikao na kukubaliana
malipo yanayoenda kufanyika.
 Reja ya stoo ni muhimu saana ilikujua idadi ya vifaa vilivyonunuliwa na kutumika.
 Kuwepo na kamati ya mapokezi ya vifaa na kuandika taarifa ya vifaa vilivyopokelewa kwa ajili ya
ujenzi.
 Kamati ya ujenzi inapashwa kufanya kazi yake na sio kazi ifanyike kwa watu wawili pekee.

6.0 Shukrani

Napenda kutoa shukrani za dhati kwa timu yangu iliyofanya kazi kwa ufanisi , pia kwa wadu wote wa
maendeleo waliochangia katika kuhakikisha kazi hii inakamilika kwa ufanisi na haraka.
1.0 Utangulizi.

Shule ilianza kujengwa kupitia michango mbalimbali ya wadau kwa kuchangia ujenzi huo. Michanngo
hiyo kutoka kwa wadau mbalimbali ilijumuisha rasilimali fedha pamoja na vifaa vya ujenzi.

2.0 Lengo la ukaguzi .

Ukaguzi ulilenga kujua mapato na matumizi yaliyotumika hadi hakufikia hatua hii ya ujenzi wa chumba
kimoja cha darasa.

3.0 Eneo lililofanyiwa ukaguzi.

Ukaguzi umefanyika katika eneo la mapato(michango) kutoka kwa wadau pia eneo la matumizi ya
michango hiyo inayojumuisha fedha pamoja na vifaa vifaa vya ujenzi kutoka kwa wadau.

4.0 Njia zilizotumika kwenye ukaguzi.

Wakati wa ukaguzi njia mbalimbali zilitumika kufanya ukaguzi ikiwemo kupitia taarifa za benki ,kupitia
kitabu cha stakabadhi kilichotumika kukusanyia michango na ahadi mbalimbali kutoka kwa wadau
mbalimbali pamoja na mihutasari iliyotumika kufanya malipo ya ujenzi.

5.0 Matokeo ya ukaguzi.

5.2 Matumizi kutoka katika michango ya fedha na vifaa vya ujenzi.

Baaada ya kukagua mapato ya ya michango mbalimbali ya wadau pamoja na vifaa vya ujenzi tulikagua
matumizimi ya michango hiyo ili kujilidhisha na yafuatayo:

 Kama kiasi kilichopokelewa kama michango ya wadau ilitumika katika shughuli za ujenzi husika
 Fedha zilizoingizwa kwenye akaunti zilitumika kwa kazi iliyokusudiwa

Tulibaini mapungufu yafuatayo wakati wa matumizi ya fedha kwa ujenzi unaoendelea:-

 Michango kukusanywa na kuanza kutumika bila kupitia benki hivyo kuwepo na mashaka kama
fedha hizi zinatumika kwenye kazi zilizokusudiwa
 Malipo kufanyika bila kuwepo mihutasari ya vikao vinavyokubaliana manunuzi husika.
 Hakuna kamati ya mapokezi ya vifaa vinavyonunuliwa hii inatokana na kutokuwepo kwa taarifa
ya mapokezi ya vifaa vilivyonunuliwa wakati ujenzi unaendelea.
 Hakuna taarifa ya ukaguzi wa kazi zilizofanyika ilikujiridhisha na ubora wa kazi iliyofanyika
 Hakuna reja ya stoo inayoonsha mwenendo wa upokeaji wa vifaa na utoaji wa vifaa wakati wa
utekelezaji shughuli za ujenzi kitu ambacho kinaweza kusababisha upoteaji wa vifaa vya ujenzi
na pia kutokujulikana kwa takwimu sahihi za za gharama ya ujenzi unaoendelea.

Ushauri na maoni .

 Michango yote inayokusanywa inapashwa kuwekwa benki ilikujua kiasi cha fedha
kilichokusanywa
 Matumizi yote ya fedha yanapashwa kutoka baada ya kamati kufanya kikao na kukubaliana
malipo yanayoenda kufanyika.
 Reja ya stoo ni muhimu saana ilikujua idadi ya vifaa vilivyonunuliwa na kutumika.
 Kuwepo na kamati ya mapokezi ya vifaa na kuandika taarifa ya vifaa vilivyopokelewa kwa ajili ya
ujenzi.
 Kamati ya ujenzi inapashwa kufanya kazi yake na sio kazi ifanyike kwa watu wawili pekee.

You might also like