You are on page 1of 2

1.

0 Utangulizi
 Reli za kuningíniza nyama ziwekwe  Jiwe maalum la kukatia nyama
Biashara ya nyama inahusisha shughuli mbali ndani ya bucha linalosafishika badala ya magogo, au
mbali za utayarishaji wa nyama ili kuuzwa kwa mashine ya kukatia nyama au msumeno
mlaji zikiwemo uchinjaji, usafirishaji, ukataji,  Bucha iwe na sinki la kunawia mikono wa mkono (pasipo na umeme), panga,
upimaji wa uzito, ufungashaji na uhifadhi. Bucha na maji ya uhakika; na visu;
ni kiungo muhimu katika kumfikishia mlaji nya-  Kijengwe choo kwa ajili ya wafanyakazi  Vifaa vya kuhifadhia uchafu na mabaki
ma bora na salama. Hivyo, Bucha lijengwe kwa kinachokidhi viwango vya usafi. ya nyama vyenye mfuniko
kuzingatia vigezo vya ubora. Vile vile lizingatie Mazingira ya ndani ya bucha  Kabati au majokofu la kuonyeshea nya-
vigezo vya usafi na usalama wakati wa kutayarisha ma na/au kuhifadhia nyama na mzani
 Ndani ya bucha kuwa na hali ya ubar- wa digitali uliyokaguliwa;
nyama na kuuza ili kuzalisha nyama bora na sala- idi, kusiwepo na inzi/wadudu na liwe
ma. katika hali ya usafi kwa kuwekewa feni
au kiyoyozi, taa maalum ya kuulia
wadudu, sehemu ya kunawia mikono
2.0 Sifa za bucha bora na kuoshea vifaa vya kukatia nyama;
2.1 Eneo
Bucha bora liwe katika eneo la biashara 
lisilojaa maji wakati wote wa mwaka, lisiloku-
wa na mifereji ya maji machafu na rahisi ku-
fikika. Pia, eneo lisiwe na harufu mbaya,
moshi, vumbi au aina yoyote ya viashiria vya
uchafu kwani ni rahisi vijidudu kuingia  Nyama inapaswa kufungashwa kwenye
mifuko maalum kwa kutumia mashine
kwenye nyama na kusababisha maabukizi ya ya kutoa hewa au kwenye visahani vya
maradhi. plastic vilivyozungushiwa nailoni laini.
Sio sahihi kutumia mifuko ya rambo au
2.2 Ujenzi magazeti ya zamani, au mifuko ya kaki
Ili kuhakikisha ubora na usalama wa nyama ambayo si salama kwa afya ya mlaji.
kwa mlaji ujenzi wa bucha uzingatie mambo  Chumba cha bucha kitenganishe eneo
yafuatayo:- la wateja, eneo la kuning’iniza nyama
 Ujenzi uftumie vifaa imara na vya kudumu. au kuonyeshea nyama, eneo la kuhifad-
Kiwango cha chini cha ukubwa wa chum- hia nyama, eneo la kukatia na kupima
ba kisipungue mita 3.0 za urefu na mita 2.5 na kuuzia.
za upana na kimo mita 3.0.  Chumba cha bucha kiwe na mpagilio
 Kuta za ndani zijwekewe marumaru anga- mzuri ili kuhakikisha nyama haigusani
lau kwa urefu wa mita 1.2 kutoka sakafuni, na wateja.
sakafu iwe imara na silingi inayosafishika
na ipakwe rangi nyeupe; 2.3 Vifaa na vyombo vinavyohitajika
 Kuta za nje zisilibwe na kupakwa rangi Bucha bora lazima liwe na vifaa vyote
nyeupe; muhimu kwa ajili ya utayarishaji na ufun-
 Madirisha yawe makubwa yenye vioo, gashaji wa nyama ambavyo ni pamoja
mlango kuzuia vumbi, inzi na wadudu na:-
wengine kuingia;
 Ndoano za kuning’iniza nyama
 Kaunta ya bucha ijengwe kwa terazo na zisizopata kutu
iwe na upana usiopungua sentimita 60.
Usafirishaji wa nyama Ukataji
Nyama ikatwe kwa kutumia vifaa sahihi kama JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Usafirishaji wa nyama ufanyike katika
mazingira mazuri ili kulinda ubora na mashine au msumeno wa mkono. Hii itapunguza WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
usafi ambapo ni pamoja na:- upoteaji wa nyama na kuongeza muda wa uhifad-
BODI YA NYAMA TANZANIA
hi na mvuto kwa mlaji.
 Isafirishwe na magari maalumu yenye
ubaridi (kutegemeana na umbali na Uhifadhi: Nyama ihifadhiwe kwenye chumba
hali ya hewa/joto); chenye baridi au kwenye jokofu kwa wakati wote.
 Iningínizwe wakati wote wa kusafirish- Nyama iendelee kuhifadhiwa kwenye ubaridi na
wa “ïsilundikwe”; itolewe tu pale inapounzwa. Badadiliko ya kiwan-
 Gari lisibebe bidhaa nyingine isiyoku- go cha joto kila mara yanasababisha nyama
wa nyama, pia isibebe watu katika se- kuharibika.
hemu ya kubebea nyama;
Wafanyakazi: Wahudumu wa bucha wawe na
ujuzi wa kutayarisha nyama toka chuo kinacho-
tambuliwa na serikali. Ujuzi huo utawawezesha
kuzingatia kanuni za utayarishaji wa nyama ili
kuuza nyama bora na salama. Pia wapimwe afya BIASHARA YA NYAMA
zao kila baada ya miezi sita ili kujiridhisha kuwa
hawana magonjwa ya kuambukiza. Wahudumu
wavae nguo ya kujikinga (appron nyeupe ya
tetron au ya nailoni) na kuzingatia usafi wa mava-
zi hayo. Usafi wa Bucha ndani na nje ni muhimu
wakati wote. Bucha iwe na wafanyakazi wawili
mmoja wa kukata nyama na mwingine wa
kupokea fedha. Aidha, kama muuzaji ni mmoja
Upokeaji anatakiwa kunawa mikono pindi anaposhika
Nyama ipokelewe katika mazingira safi. fedha kabla ya kukata nyama tena.
Aidha, inashauriwa kutunza kumbukumbu Wanunuzi: Tambua bucha bora ambalo litakupa-
ya kupokea nyama ili kubainisha nyama ili- tia nyama iliyoandaliwa katika mazingira ya safi na
yoingia kwanza, iuzwe kwanza ili isikae mu- salama. Aidha, usiingie sehemu ya kutunzia nya-
da mrefu kabla ya kuuzwa. ma hii inaweza kusababisha maambukizi ya
vimelea vya magonjwa kwenye nyama, mfano
vimelea vya TB.
NB; Nyama iliyopoozwa ni bora kuliko ya mo-
to(yaleoleo)
Kimetayarishwa na:
Bodi ya Nyama Tanzania,
Regent Estate.
Mtaa wa Ursino, Nyumba Na. 13,
S. L. P 6085, “NYAMA BORA NA SALAMA KWA
DAR ES SALAAM. WOTE”
info@tmb.go.tz
Mobile: 0713 412 756

You might also like