Professional Documents
Culture Documents
Sw1622559434-Kipeperushi-ufugaji Wa Samaki Kwenye Mabwawa
Sw1622559434-Kipeperushi-ufugaji Wa Samaki Kwenye Mabwawa
1
5.0 Kurutubisha maji Baadhi ya njia za i. safisha bwawa kwa E-mail:
i. Tengeneza sehemu ya kudhibiti maadui hawa ni kuondoa tope, ziba barua@mifugouvuvi.go.t
kuweka mbolea (uwigo) pamoja na marekebisho nyufa, rekebisha kuta ili z
ndani ya bwawa kwa ya kuta na kufyeka kuliimarisha;
kutumia vijiti (fito) majani yanayozunguka ii. acha bwawa likauke
zilizoimarishwa kwa kamba; bwawa na kata miti baada ya kuvuna
ii. rutubisha kwa kutumia mirefu iliyo karibu na samaki; Kwa ufafanuzi zaidi
samadi za wanyama kama bwawa. iii. fyeka nyasi wasiliana nasi kupitia:
ng`ombe, mbuzi, kondoo, zinazozunguka bwawa;
sungura, bata, kuku na 8.0 Mambo ya iv. fanya maandalizi ya Idara ya Ukuzaji Viumbe
mboji; kuzingatia kupata vifaranga vyenye Maji,
iii. hakikisha uwigo una i. punguza idadi ya ubora kwa ajili ya S.L.P 2847,
mbolea wakati wote vifaranga vinapozidi; kupandikiza kwa msimu 40487 Dodoma
kulingana na mahitaji ya ii.ongeza mbolea kadri utakaofuata; Simu: +255
maji kwenye bwawa. inavyohitajika; (0)769220212
iii.chunguza afya ya 11.0 Soko la samaki Nukushi: +255
6.0 Ulishaji wa samaki samaki kwa kuangalia Sehemu ya samaki (0)2861908
Kwa kawaida, samaki hula uchangamfu wa samaki, wanaofugwa huliwa na E-mail:
chakula cha asili hususani wakati familia husika na ziada barua@uvuvi.go.tz
kinachozalishwa kwenye wanapolishwa ili kudhibiti huuzwa. Hata hivyo
bwawa lililo rutubishwa. magonjwa mapema; samaki wanaweza
Kwa uzalishaji wenye tija, iv.ongeza maji mara kuuzwa soko la mbali
inashauriwa kuwalisha yanapopungua; kulingana na biashara
chakula cha ziada ilivyoshamiri pamoja na
kilichotengenezwa kwa ajili 9.0 Kuvua samaki wingi wa mavuno;
ya kulisha samaki. Walishe Samaki huweza kuvuliwa
samaki wako kulingana na wakati wowote kulingana Kwa mawasiliano:
mahitaji (aina na umri). na mahitaji ya mfugaji au
Kwa ukuaji mzuri, samaki mteja. Kuna njia nyingi KATIBU MKUU (UVUVI),
walishwe angalau mara za kuvua samaki mfano, WIZARA YA MIFUGO
mbili kwa siku. ndoano, wavu na NA UVUVI,
kupunguza au kukausha S.L.P 2847,
8.0 Maadui wa samaki maji. 40487 DODOMA
Baadhi ya maadui ni Simu: +255 22
pamoja na kenge, nyoka, 10.0 Kazi muhimu 2860470/1
vyura, fisi maji, ndege baada ya kuvua Nukushi: +255 22
pamoja na binadamu. samaki: 2860472
2