You are on page 1of 2

Vyakula vya ziada Nafasi katika vifaa vya kulishia kuku 100

Kuku wanaweza kupewa mchwa, mafunza na vitu mbadala


Tumia vipimo
aina ya nafaka vinavyopatikana katika eneo husika. Funza
vinavyofahamika kupata
makadirio sahihi.
na mchwa ni chakula kizuri na rahisi chenye viinilishe aina Lishe bora kwa kuku
Picha: Leonard Marwa/ILRI
ya protini kwa kuku Vyanzo hivi vya chakula cha protini
huchangia tu vile ambavyo kuku wanatakiwa kupewa.
Inashauriwa vifaranga wapewe kipaumbele cha kulishwa
Nafasi katika vifaa vya maji kwa kuku 100 wa asili vijijini
funza na mchwa kwa sababu wao wana uhitaji mkubwa wa
Hatua ya 2: Changanya kundi la vyakula vya madini. protini.
Kwanza, yaani chokaa, chumvi, mifupa na pre-mix kupata Mbinu za kuzalisha funza
mchanganyiko Na 1.
• Changanya damu  na samadi ilyotolewa katika
Hatua ya 3: Changanya mchanganyo Na. 1 na damu pamoja matumbo ya wanyama (kwa mfano ng’ombe ama
na samaki waliosagwa - kupata mchanganyo Na. 2. mbuzi) na samadi mpya ya ng’ombe katika chungu Imetayarishwa na:
kikubwa kilicho wazi. Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI)
Hatua ya 4: Mchanganyo Na.2 uchanganye na mashudu S.L.P 00100 -30709, Nairobi, Kenya.
vizuri ambao utauita mchanganyo Na.3. • Jaza chungu na 1/3 ya maji. Simu: +254·20·422·3000
Hatua ya 5: Changanya aina za pumba ulizonazo, (mfano E·mail: b.lukuyu@cgiar.org
• Nzi watataga mayai yao katika mchanganyiko huu na
pumba ya mahindi na pumba laini ya mpunga). kisha mimina kuanguliwa kutoa funza.
mchanganyo Na. 3 juu ya rundo la pumba. Chukua beleshi Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI)
/koleo safi lililo kavu na kulitumia kuchanganya rundo la • Kiache chungu wazi wakati wa mchana na kifunike West Kilimanjaro,
chakula ili kusambaza viinilishe vizuri. Kama chakula ni wakati wa usiku. S.L.P 147 Sanya Juu, Moshi, Tanzania
kichache, unaweza kukichanganya kwa mikono. Simu +255 784 705 134
• Siku tano baadaye maji yatajazwa kwenye mtungi huo
E-mail: l.marwa@cgiar.org
na mafunza yatakusanywa wakiwa wanaelea juu.
Picha: Ben Lukuyu/ILRI
• Baada ya kukusanya waoshe vizuri na maji halafu lisha
Baadhi ya vyakula kuku moja kwa moja.
Toleo hili limefanikishwa kwa msaada wa Shirika la Marekani la Maendeleo
ya Kimataifa (USAID) kupitia mradi wa Utafiti wa kilimo endelevu kwa ajili ya
Utangulizi
vitasagwa kwa mashine Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri
• Chungu kinachooteshwa mafunza kiwekwe mbali kizazi kijacho Afrika (Africa RISING) kama sehemu ya mpango wa serikali ya
au kutwangwa. (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au
na maeneo ya makazi ili kuepuka harufu inayoweza Marekani wa Feed the Future.
Picha: Leonard Marwa/ILRI kusumbua watu. unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na
kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha kutosha na
Mbinu ya kuzalisha mchwa chenye ubora unaotakiwa kulingana na uhitaji wa miili yao.
• Chukua chungu kikubwa chenye shingo fupi chenye Lishe bora huzuia magonjwa mengi ya kuku hivyo ni muhimu
Chakula cha kuku kwa siku (kwa kuku anayefugwa ndani):
ujazo wa lita 10 hivi. kuku wapewe virutubisho muhimu. Ubora wa lishe ya
kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama
• Tengeneza mchanganyiko wa samadi ya ng’ombe na www.africa-rising.net ifuatavyo:
majani makavu na nyunyuzia maji kidogo kasha jaza
mchanganyiko huu kwenye chungu. 1. Vyakula vya kutia nguvu (asili ya wanga),

• Kiweke chungu juu chini na mdomo kwenye ardhi.  2. Vyakula vya kujenga mwili (asili ya protein),

Kwa kuku wakubwa wanaoruhusiwa kujitafutia chakula kwa • Baada ya mchana mmoja na usiku mmoja,chungu 3. Vyakula vya kuimarisha mifupa (Asili ya madini),
muda wa kutosha na kupewa chakula cha kutengeneza kitakuwa kimejaa mchwa.Toa mchwa katika chungu 4. Vyakula vya kulinda mwili (Asili ya vitamin), na
kama ziada, wanakadiriwa kutumia 50-60% ya kuku wa mahali ambapo kuku wataweza kuwala.
wanaofugiwa ndani. 5. Maji.
Makundi ya vyakula Kabla maganda ya mayai na nyumba za konokono
havijatumika inashauriwa yachomwe moto mkali au
• Viini lishe katika vyakula husika. Mchanganuo wa viinilishe vya chakula cha kuku makundi
yote: Chakula hiki kimelegwa kutumika kama chakula cha
Vyakula vya kutia nguvu yachemshwe ili kuua vimelea vya maradhi.
• Matarajio ya kiwango cha uzalishaji.
ziada kwa kuku wanaojitafutia chakula wenyewe.
Hivi ni vyakula asili ya wanga vyenye kutoa nguvu katik mwili • Urahisi katika uchanganyaji.
wa kuku. Huchangia asilimia 60-75 ya mchanganyiko wote Vyanzo vikuu vya madini:
wa chakula. Makundi makubwa ya vyakula
• Mifupa iliyochomwa na kusagwa, maganda ya mayai
Vyakula vya mifugo vifuatavyo vipo katika kundi hili: na konokono yaliyosagwa.   Yapo makundi makubwa matatu, yaani chakula cha kulelea
vifranga, cha kukuzia na cha wakubwa.
1. Nafaka kama vile chenga za mahindi ,chenga za • Chumvi ya jikoni.
mchele, uwele , mtama na ulezi. Chakula cha kulelea vifaranga (chick mash): Hutumika
• Madini yaliyotengenezwa viwandani kama vile di-
wiki ya1 hadi ya 8. Kina kiwango cha protini kati ya asilimia
2. Pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, na, pumba calcium phosphate.
18 hadi 20. Uzito wa chakula cha kilo 250 unatosha kulisha
laini za ngano. • Magadi. vifaranga 100 hadi wiki ya 8.
3. Mimea ya mizizi kama vile muhogo na viazi vitamu. Vyakula vya kulinda mwili Chakula cha kukuzia (growers mash): Kina kiwango cha
Kabla ya kulisha kuku hakikisha mizizi hiyo inalowekwa protini kati ya asilimia 13 hadi 15. Hutumika wiki ya 9 hadi ya
kwa muda wa saa moja au kupikwa kabla ya Vyanzo vikuu vya kundi hili ni:
18. Uzito wa chakula wa kilo 500 unatosha kulisha kuku 100
kukaushwa ili kuondoa sumu ambayo kwa asili imo 1. Mbogamboga kama vile Mchicha,mchicha pori, wakuao hadi kufikia utagaji kwa kuku wanaofugiwa ndani.
katika vyakula vya aina hii. Inashauriwa kuwa  mizizi Chinese kabeji n.k.
hiyo ilishwe kwa kiasi cha asilimia 10 ya chakula chote Chakula cha kuku wakubwa wanaotaga: Kina kiwango cha
anacholishwa kuku. 2. samadi ya ng’ombe ambayo haijakaa muda mrefu. potini kati ya asilimia 16 hadi 18. Hutumika wiki ya 19 na
Vyakula vya kulinda mwili (Asil ya vitamin): Vitamini
kuendelea, kwa kipindi.
Vyakula vya kujenga mwili (Protini) 3. Mchanganyiko wa vitamini uliotengenezwa na viwanda (Premix)- Ni kiasi kidogo kutegemeana na maelekezo
vya madawa (vitamin premix). ya mtengenezaji. Yaweza kuchanganywa kwenye maji ya
Hivi ni vyakula vya asili ya protini na huchangia asilimia 20
Angalizo:
Kuchanganya chakula cha kuku kunywa au kwenye chakula. Kuku wapewe mbogamboga
hadi 30 ya mchanganyiko wote wa chakula cha kuku. Kuna njia kuu mbili za kuchanganya chakula cha kuku, nazo mbichi, watakula kulingana na uhitaji wao.
Mfano wa vyakula katika kundi hil: • Jua ni muhimu katika kuhakikisha vitamini A na D ni:
zinatumika vizuri mwilini, kwahiyo banda ni lazima
1. Mashudu: Aina zote za makapi ya mbegu za mimea lijengwe kwa mtindo ambao unaruhusu mwanga kupita • Kuchanganya chakula kwa mashine: Njia hii hutumika
aina ya mikunde na vyakula vinavyotoa mafuta mfano hasa nyakati za asubuhi na jioni. viwandani kuchanganya chakula kwa ajili ya kuku
alizeti, karanga, soya, mawese, ufuta na korosho. wanaofugwa katika mashamba makubwa.
• Chakula cha kuku wanaofugwa ndani ni lazima
2. Damu ya wanyama iliyokaushwa (waliochinjwa na kichanganywe vyakula vyenye vitamini, yaani • Kuchanganya chakula majumbani (home made
kukaguliwa). mbogamboga, mimea kama moringa, lusene au kuku ration): Hii ni njia inayotumika kuchanganya chakula Angalizo:
wapewe vitamini zinazotayarishwa viwandani. kwa ajili ya kulisha kundi dogo la kuku na njia ambayo
3. Mabaki ya nyama, samaki/dagaa. Usitumie vyakula vyenye kuvu ama vilivyo geuka rangi.
inaweza kutumiwa na wafugaji wadogowadogo.
4. Wadudu kama vile minyoo, mchwa na mayai ya Mambo ya kufikiria kabla ya kuchanganya chakula cha kuku: Vyakula hivi vina madhara kwa wanyama na binadamu
Kuchanganyia chakula majumbani
mchwa. Dhumuni la kundi linalokusudiwa kutumia chakula, mfano maana vimethibitika kuwa chanzo cha saratani.
Vifaa
Vyakula vya kuimarisha mifupa kuku wa mayai, vifaranga n.k.
• Vyakula vitakavyochanganywa
• Unaweza kutumia beleshi, mikono au pipa Hatua za uchanganyaji chakula
Hivi ni vyakula vya madini ambavyo huhitajika kwa ajili ya lililotengenezwa kwa utaratibu wa kuweza kuzunguka. Hatua ya 1: Pima viini lishe vyote vitakavyotumika katika
kujenga mifupa na maganda ya mayai. Huchangia 3-5 ya • Je vinapatikana kwenye eneo husika.
• Vifaa vingine ni pamoja na Turubai/sakafu safi, Viinilishe kutengeneza mchanganyiko wa chakula. Baadhi ya viinilishe
mchanganyiko wote.  Madini ya muhimu ni madini ya chokaa
• Gharama ya manunuzi yake na Viroba/Magunia kwa ajili ya kuhifadhia chakula mfano mashudu, mifupa, dagaa na damu vilainishwe kwa
(calcium) na fosiforasi (phosphorus). Unapoongeza madini
kilichochanganywa. kuvitwanga au kuvisaga katika mashine.
ya fosforasi inakubidi uongeze pia madini ya chokaa kwani • Ubora na usalama wake kwa kuku.
uwiano wa kiasi cha aina moja ukizidi kuliko wa aina nyingine
husababisha upungufu wa kile kidogo. • Urahisi wa usagaji tumboni mwa kuku.

You might also like