You are on page 1of 2

Kiasi cha mbolea KUVUNA

Kabla ya kuamua aina na kiasi cha mbolea ni Shughuli za uvunaji wa mpunga ni pamoja na
vyema kupima afya ya udongo (rutuba) kwenye kukata, kurundika, kupura, kusafisha, na kusafiri-
shamba. Endapo mkulima hajapima afya ya sha. Ni muhimu kutumia njia nzuri za kuvuna
udongo wa shamba lake anashauriwa kutumia mpunga ili kuweza kuongeza mavuno ya nafaka, na
viwango vya jumla kwa ekari vilivyopendekezwa kupunguza uharibifu wa nafaka na kuzorota kwa
kitaifa ambavyo ni; ubora.
Kirutubisho cha naitrojeni kwa ekari moja ina- Mwongozo wa uvunaji mzuri wa zao la mpunga :-
paswa kuwa kilo 40(N) sawa na mifuko miwili ya •Vuna kwa wakati na kiwango cha unyevu
urea. Fosiforasi ni kilo 10(P) na potashi ni kilo unaofaa (nyama nono), masuke mengi 80%
10(K). hubadilika rangi kutoka kijani na kuwa njano KANUNI BORA ZA
au kahawia kutegemea aina ya mpunga
PALIZI. •Epuka ucheleweshaji wa kupura baada ya
kuvuna
KILIMO CHA MPUNGA
Magugu huathiri sana zao la mpunga. Athari za
magugu kwa zao la mpunga ni pamoja na kushin- •Safisha/peta nafaka vizuri baada ya kupura
dana na mpunga kwa mwanga, maji na lishe, ku- •Kausha vyema (anika) baada ya kupura mpaka
punguza ufanisi wa mbolea ya naitrojeni, magugu kiwango cha asilimia 14 cha unyevu
hupunguza mavuno, huwa ni maficho ya wadudu
Mpunga uhifadhiwe vizuri kwenye sehemu isiyo
na vimelea vya magonjwa. Hakikisha unapalilia
na unyevu, wadudu, na wanyama waharibifu
vizuri shamba lako
Aina ya Palizi
• Kung’olea kwa mikono
• Kupalilia kwa mashine na vifaa rahisi mfano,
kutumia vipalizi (weeders; rotary na cono
weeder Taasisi ya utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
• Tumia viuatilifu (viua-gugu vinavyochagua Makao Makuu Makutupora,
Barabara ya Arusha,
na visivyochagua aina ya magugu) S.L.P 1571, DODOMA
Baruapepe: info@tari.go.tz & dg@tari.go.tz

Kwa maelezo zaidwasiliana na:-


Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania
KITUO CHA IFAKARA
Sanduku la Pekee -Ifakara
Morogoro- Tanzania
Simu :- +255 232 934 156
Nukushi :- +255 232 625 361
Barua pepe: cmkatrin@tari.go.tz

Kimetayarishwa na:
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania
KITUO CHA IFAKARA
UTANGULIZI. BAADHI YA MBEGU BORA ZA MPUNGA  Kupanda miche shambani
Mpunga ni zao muhimu kwa matumizi ya ZILIZOTHIBITISHWA TANZANIA NA IKOLOJIA Shamba la kupandikiza miche linatakiwa liwe
chakula na hata biashara. Ongezeko endelevu INAYOFAAA KUPANDWA limelimwa na kuchavangwa vizuri
la uzalishaji wa mpunga linahitaji matumizi ya  Miche ya kupandikiza inatakiwa iwe na umri
IKOLOJIA MBEGU
aina bora ya mbegu, mbinu bora za kilimo, mbinu wa siku 21(au siku 8-14 kwa kilimo shadidi)
bora za uzalishaji zinazozingatia mabadiliko ya Umwagiliaji/ TXD 306 (SARO 5) TXD 88,  Nafasi inayopendekezwa ni sentimeta 20 kati
Mabondeni yenye Komboka, Tai, TARI RIC 1, ya mashina na sentimeta 20 kati ya mistari.
tabia nchi na teknolojia nyinginezo
maji ya kutosha TARI RIC 2, TARI RIC 3. (wakati mwingine sentimeta 25 kwa 25 au 15
zilizoboreshwa kwenye mnyororo mzima wa
thamani. Mabondeni TARI RIC 1, Supa, Komboka, Tai kwa 30 zinashauriwa kwa madhumuni mbali
mbali)
MAZINGIRA YA USTAWISHAJI NERICA 1 (Baraka), NERICA 2  Pandikiza miche 2-3 kwa shina
Mpunga hustawi katika Ikolojia tofauti kulingana Milimani/Miinuko (Tumaini), NERICA 4 (Pato),  Panda miche kwa mistari kama inavyo oneka-
NERICA 7(Faraja), WAB (Ziada)
na aina ya mbegu. na kwenye picha
• Ikolojia ya mabondeni Mashamba
yaliyoathiriwa na SATO 1, SATO 9
• Ikolojia ya umwagiliaji chumvi na magadi
• Ikologia ya miinuko NJIA MBALIMBALI ZA UPANDAJI WA MPUNGA
• Ikolojia ya mashamba yaliyoathiriwa na a. Kupanda mbegu moja kwa moja shambani
chumvi na magadi Mbegu zinaweza kupandwa moja kwa mmoja
shambani kwenye mashimo yaliyo kwenye mstari
au pasipo kufuata mstari (kumwaga). Hata hivyo
inapendekezwa kupanda kwa mstari kwa vile ina
UTAYARISHAJI WA SHAMBA UWEKAJI WA MBOLEA
faida nyingi mfano kurahisisha palizi
Ili kupata mavuno mengi na mazuri shamba la Virutubisho muhimu kwenye zao la mpunga ni
mpunga lilimwe na kusawazishwa udongo naitrojeni (N), fosiforasi (P) na potasiamu (K). Pia
Kupanda moja kwa moja kwenye mistari kunawe-
(leveling). Hii husaidia mtawanyiko sawa wa maji virutubisho vya salfa, zinki, na boroni vinatakiwa
za kutumia vijembe au kutumia mashine (planters)
shambani, mizizi kupata maji na virutubisho japo kwa kiasi kidogo
vingine kirahisi, huongeza ufanisi wa mbolea
b. Kupanda kwa kutumia miche Wakati muafaka wa kuweka mbolea na matokeo
kwenye kurutubisha mmea na huleta ukuaji na
 Kuandaa kitalu yake;
uwiano sawa wa muda wa kukomaa, mimea pia
Mbegu hupandwa kwanza kwenye kitalu kabla ya Mbolea ya kupandia
kudhibiti magugu shambani.
kupandikizwa miche shambani. Huwekwa wakati wa kuchavanga au wakati wa
Endapo shamba litakuwa na magugu mengi kabla
i. Andaa tuta la kitalu cha mbegu lenye upana wa kupandikiza -DAP, NPK, TSP au Minjingu
ya kulimwa unashauriwa kutumia viua gugu
meta 1-1.5 na urefu unaofaa kulingana na eneo • Zinasadia kutoa mizizi imara
(dawa za kuua magugu)
lakini usioleta kero wakati wa kuhudumia • Zinasaidia kuongeza idadi ya pacha
KUCHAGUA MBEGU BORA ZA KUPANDA ii. Pandisha udongo kiasi cha urefu wa sentimeta
Hakikisha unapata mbegu bora zilizothibitishwa 5-10 Mbolea ya kukuzia
kitaalamu na zinazoendana na ikolojia iii. Tengeneza njia ya kuingizi maji na mifereji ya Inashauriwa kuwekwa mara mbili (asilimia 70
inayolimwa. Kwa kawaida mbegu bora hupatika- kutolea maji iwekwe wakati wa kupacha na asilimia 30 iwekwe
na kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika kama iv. Ruhusu maji kuingia kwenye kitalu wakati wa mimba dume(kuzaa))
vile makampuni ya uzalishaji mbegu mfano ASA, (kifanye kiwe kimetota maji) i. Wakati wa kupacha (siku 14 baada ya
Taasisi za utafiti wa kilimo mfano TARI na pia v. Sia mbegu zilizoatamishwa na kuanza kumea kupandikiza) Urea, SA au CAN
mbegu za daraja la kuazimia (QDS) kwa kiasi cha gramu 100 kwa kila meta moja ya • Zinasaidia kuongeza idadi ya pacha
mraba ii. Wakati wa mimba dume (siku 25 kabla ya
kuchanua) –Urea, SA
• Inasaidia ujazaji wa punje na uzito

You might also like