You are on page 1of 1

DUA KABLA YA KUTAWADHA

BismiLLaah

MAANA YAKE:

Kwa jina la Allaah.

KIARABU;

‫سم ِ الله‬
ْ ِ‫ب‬

DUA BAADA YA KUTAWADHA

Ash-hadu alla Ilaaha illa Allaah wahdahu laa shariyka Lahu Wa ash-hadu anna Muhammadan 'abduhu wa
Rasuuluhu, Allahumma-j-'alniy minat Tawwabiyn waj'alniy minal-mutatwahiriyn

MAANA YAKE:

Nakiri kwa moyo na kwa kauli kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Allaah peke Yake,
wala Hana mshirika wake, na ninakiri kwamba Muhammad ‫ صلى هللا عليه وسلم‬ni mja wake na ni Mtume
wake” “Ee Allaah nijaalie niwe miongoni mwa wale wanaoomba msamaha, na nijaalie miongoni mwa
wale waliosafi" isipokuwa atafunguliwa milango minane ya pepo aingie wowote autakao

KIARABU;

‫َأ ْشهَ ُد َأ ْن ال ِإلَـهَ ِإالّ هللاُ َوحْ َدهُ ال َشريـكَ لَـهُ َوَأ ْشهَ ُد َأ َّن ُم َح ّمـداً َعبْـ ُدهُ َو َرسـولُـه‬

ِ ‫اللّهُـ َّم اجْ َعلنـِي ِمنَ التَّـوّابينَ َواجْ َع ْـلني ِمنَ المتَطَه‬
َ‫ّـرين‬

You might also like