You are on page 1of 7

Cambridge International Examinations

Cambridge Secondary 1 Checkpoint

KISWAHILI
Mtihani wa 2021
Saa 1 dakika 30

SOMA MAAGIZO HAYA KWANZA

Andika majina yako.


Andika kwa kutumia kalamu yenye wino nyeusi au ya buluu.

1|Page
1. Andika sentensi hizi katika wingi.

a) Kijana yule amechelewa sana.

b) Mti ule umeanguka.

c) Maji yamemwagika sana.

d) Wembe ulimkata vibaya.

e) Jiwe limenigonga tena.

[5]

2. Jaza mapengo haya ukitumia kiashiria mwafaka.

a) Jiwe ______________ (hilo,hiyo,hicho,huo) lilitutisha,

b) Nitakupa vifaa ______________ (zako, vyako,yako, chako) sasa hivi.

c) Uji ______________ (yake, wake, lake, zake) umemwagika.

d) Amechukua maziwa ________________ (yake, zake, chake, kwake)


akaenda.

2|Page
e) Nyumbani ________________ (zile, yale,pale,ile) hupendeza.

f) Kusafiri _____________ (yake, wake, zake, kwake) kulimfurahisha.

[6]
3) Jaza jedwali hili.

Kitenzi Kinyume
Keti
Ongea
Lia
Kubali
Safisha

[5]
4) Kanusha sentensi zifuatazo.

a) Mariam alienda shuleni mapema.

b) Kijana huyo anapenda masomo.

c) Mama ameenda sokoni.

d) Unapenda nini?

e) Nitalipa deni lake.

[5]

3|Page
5) Jaza nafasi kutumia maneno uliyopewa hapo nyuma.

a) ---------------- ni mtaalamu wa kuweka hesabu za fedha.

b) Awasaidiaye wajawazito kujifungua………..

c) ---------------- ana ujuzi wa kutibu wagonjwa.

Nahodha, Daktari, Mhasibu, Mkunga, Dobi,


[3]

6) Tambua ngeli ya nomino hizi

a) Jino

b) Chuo

c) Mfalme

d) Uwanja

e) Mzee
[5]

4|Page
7. Jaza jedwali hili.
Kiume Kike
Shangazi
Mke

Msichana

Mtanashati

[6]

9. Kamilisha methali hizi.


a) Haraka haraka haina --------------------------------- ( upole, baraka, amani)

b) Dawa ya moto ni ------------------- ( maji, kuzima, moto)

c) Akili ni ------------- ( nyingi, mali, kubwa)

d) Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na --------------- (ulimwengu, mwalimu, wanafunzi)

e)Akiba ------------------------- (haishi, haiozi, haitoshi) [5]

5|Page
9. Andika rangi zinazopatikana katika upinde (Rainbow)

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------------------------------

[5]
10. Taja vyombo hivi vya usafiri

6|Page
[5]

7|Page

You might also like