You are on page 1of 7

Cambridge International Examinations

Cambridge Primary Checkpoint

KISWAHILI
Mtihani wa 2021
Saa 1 dakika 30

SOMA MAAGIZO HAYA KWANZA

Andika majina yako.


Andika kwa kutumia kalamu yenye wino nyeusi au ya buluu.

1|Page
1. Andika sentensi hizi katika wingi.

a) Kikombe kimevunjika.

b) Mtoto wangu analia sana.

c) Mti umekatika.

d) Maji yamemwagika chini.

e) Jino langu linauma.

[5]

2. Pigia mstari vivumishi katika sentensi zifuatazo.

a) Msichana mmoja amewauwa nyoka wawili

b) Siku kumi zimepita tangu Bi Safina alipojifungua watoto watatu.

c) Msichana huyu ni mkubwa kuliko yule.

d) Jani hili la mwembe limekauka.

2|Page
e) Tupa mpira huo.

[5]

3) Jaza jedwali hili.

English Kiswahili
Uncle
Aunt
Brother
Grandfather
Grandmother

[5]
4) Pigia mstari vitenzi katika sentensi zifuatazo.

a) Mariam alienda shuleni mapema.

b) Kijana huyo anapenda masomo.

c) Mama ameenda sokoni.

d) Unapenda nini?

e) Nitalipa deni lake.

[5]

3|Page
5) Jaza nafasi kutumia maneno uliyopewa hapo nyuma.

a) ---------------- ni mtaalamu wa kuweka hesabu za fedha.

b) Awasaidiaye wajawazito kujifungua………..

c) ---------------- huendesha meli.

d) Afuaye na kupiga nguo za watu pasi kwa malipo.

e) Anyoaye nywele.

Nahodha, Daktari, Mhasibu, Mkunga, Dobi, Kinyozi.


[5]

6) Taja rangi ya vitu vifuatavyo.

a) Damu

b) Matawi ya mti wa mchungwa

c) Unga wa ngano

d) Makaa

e) Chungwa

(Nyeusi, Nyeupe, Kijani, Buluu, Nyekundu) [5]

4|Page
7. a) Mtoto wa binadamu huitwa--------------------------

b) Mtoto wa ng’ombe huitwa -----------------------------

c) Mtoto wa kuku huitwa ---------------------------------

d)Mtoto wa ndege huitwa-------------------------------------

e)Mtoto wa simba huitwa -----------------------------

f)Mtoto wa mbwa huitwa--------------------------------

( Kilebu, Kifaranga, Ndama, Malaika, Shibli, Kinda) [6]

9. Kamilisha methali hizi.


a) Haraka haraka haina --------------------------------- ( upole, baraka, amani)

b) Dawa ya moto ni ------------------- ( maji, kuzima, moto)

c) Akili ni ------------- ( nyingi, mali, kubwa)

d) Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na --------------- (ulimwengu, mwalimu, wanafunzi)

e)Akiba ------------------------- (haishi, haiozi, haitoshi) [5]

5|Page
9. Taja shida tano zinazoletwa na janga la ukimwi.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------------------------------

[5]
10. Taja vyombo hivi vya usafiri

6|Page
[4]

7|Page

You might also like