You are on page 1of 1

MUNGU ATUBARIKIE

Zab 66, 2-3, 5, 6 na 8


Siku ya 1 Yanuari. octava ya Noeli
Sherehe ya Maria Mtakatifu Mzazi wa Mungu
Musique : IBRAHIM BAKENGA Alexandre

 
                 
Mu - ngu a - tu - hu - ru - mi - e, a - tu - ba - ri - ki - e.
          
              
  


 
  
  
  
 

       
        

1. Mungu atuhurumie, atubarikie,


atuangazie sisi uso wake:
ili watu watambuwe njia yake duniani,
na wokovu wake katika mataifa yote.

2. Mataifa wakutukuze, ee Mungu,


mataifa wafurahi na kushangilia:
kwakuwa unawahukumu kwa njia sawa,
nakuwaongoza mataifa duniani.

3. Mataifa wakutukuze, ee Mungu,


makabila yote wakutukuze.
Mungu atubarikie sisi,
aheshimiwe na mipaka yote ya dunia.

You might also like