You are on page 1of 1

! Tech, Gadgets & Science Forum

Namna Unavyoweza Kutumia internet BURE bila


kifurushi
# Khadija Mtalame · $ Jul 22, 2021 · % bure internet
kutumia namna

Khadija Mtalame
JF-Expert Member

Jul 22, 2021 & #1

Habari kwenu wanajukwaa!

Watu wengi wamekuwa wakitafuta njia bora


itakayowawezesha ili waweze kupata huduma ya
kuperuzi bure mitandaoni bila ya kuwa na kifurushi kabisa
kutokana na vifurushi kupanda Bei.

Endapo unamiliki simu Janka(smartphone) Sasa utaweza


kupata huduma hiyo bure kabisa bila ya kuwa na
Kifurushi Cha aina yoyote ile.

HATUA ZA KUFATA

1.Ingia kwenye simu yako Janja na tafuta neno Hili "


Pisphon pro"

2.Fungua app hiyo baada ya kuipakua,nenda sehemu


wameandika "option"

3.Baada ya hapo bonyeza sehemu iliyoandikwa "VPN


SETTING"

4.Kubali sehemu imeandikwa "tunnel all app"

5.Rudi nyuma na ubonyeze sehemu wameandika "Proxy


setting" weka vema sehemu pameandikwa "connect
through http proxy" hapohapo kwa chini kubali sehemu
imeandikwa "use system network settings"

6.Rudi nyuma bonyeza sehemu imeandikwa start


,itafungua browser yake,na WhatsApp chats zitaanza
kuingia hata ukiingia YouTube inafanya kazi.

Endapo utaona mtandao unasumbua,utabadilisha


"location" kwenye "select server region"

Natumaini nimeeleweka,Kuna karibuni sana.

kenny mtanashati, DGOMBUSI and SUKAH

sqianne
JF-Expert Member

Jul 22, 2021 & #2

Hamna kitu hapa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile


app

Latvia

Kasomi '
JF-Expert Member

Jul 22, 2021 & #3

Hii si sawa na ile ya HA tunnel

Computer Scientist
JF-Expert Member

Jul 22, 2021 & #4

Khadija Mtalame said: (

Habari kwenu wanajukwaa!

Watu wengi wamekuwa wakitafuta njia bora


itakayowawezesha ili waweze kupata huduma ya kuperuzi
bure mitandaoni bila ya kuwa na kifurushi kabisa kutokana
na vifurushi kupanda Bei.

Click to expand...
Endapo unamiliki simu Janka(smartphone) Sasa utaweza
kupata huduma hiyo bure kabisa bila ya kuwa na Kifurushi
Thanks

Rebeca 83
JF-Expert Member

Jul 22, 2021 & #5

Mkuu umekua banned kwa sababu gani....

Khadija Mtalame

Waterbender
JF-Expert Member

Jul 22, 2021 & #6

Emmanuel Kasomi said: (

Hii si sawa na ile ya HA tunnel

usifananishe HA tunnel na vitu vya kijinga

lindunduru

PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member

Jul 23, 2021 & #7

hakuna kitu apo utapata kweli mtandao lakini ni slow


bora ununue bando tu.

Eng. Zezudu
JF-Expert Member

Jul 23, 2021 & #8

Izi app zinaudukuzi flani ivi amazing

Latvia

Percy
JF-Expert Member

Jul 23, 2021 & #9

Kala ban ya kibabe

Mr Key, Nyani Mzee Snr, Khadija Mtalame and 1 other


person

Platov agnt
Member

Jul 24, 2021 & #10

Huku kupo slow sana

Waterbender
JF-Expert Member

Jul 24, 2021 & #11

Platov agnt said: (

Huku kupo slow sana

haifanyi kaz iyoo

Platov agnt

Phiz
Member

Aug 2, 2021 & #12

Nunueni bando tu

kowaski

itakatikiamo
JF-Expert Member

Aug 3, 2021 & #13

Waterbender said: (

usifananishe HA tunnel na vitu vya kijinga

Naipataje kaka

Punnisher
JF-Expert Member

Aug 3, 2021 & #14

ha tunnel hakuna HAT files za Tigo.....msaada


waungwana

Chris41

Desi P
Senior Member

Aug 5, 2021 & #15

Nasubiri majibu utakayopewa mkuu

Chris41
JF-Expert Member

Aug 6, 2021 & #16

Punnisher said: (

ha tunnel hakuna HAT files za Tigo.....msaada waungwana

Kwan bado inapiga kazi?

You must log in or register to reply here.

Similar Discussions

Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya


TTCL
Started by sky soldier · Aug 23, 2022 · Replies: 89
Tech, Gadgets & Science Forum

TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi


kuisha haraka
Started by Analogia Malenga · Feb 23, 2022 · Replies: 22
Habari na Hoja mchanganyiko

NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni


mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata
mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio
mpango mzima!
Started by sky soldier · Mar 27, 2022 · Replies: 310
Tech, Gadgets & Science Forum

Fibre internet ina kasi, haina kikomo, bei chee,


unawekewa bure. Wateja tupo, tunawaomba
mpanue huduma zenu
Started by sky soldier · Oct 20, 2021 · Replies: 9
Habari na Hoja mchanganyiko

Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza


kukusaidia ku-access blocked sites au apps
kwenye internet kwa kubadili DNS Servers
Started by kali linux · Mar 27, 2022 · Replies: 24
Tech, Gadgets & Science Forum

Share: ! " # $ "

! Tech, Gadgets & Science Forum

Cookies are required to use this site. You must accept


Jamii
them toForums New
continue using the site. Accept

Contact us Terms Privacy Policy Help


Learn more…

You might also like