You are on page 1of 3

MAKAO MAKUU

Ghorofa ya 4, Jengo la LAPF, Barabara ya Makole


S.L.P. 2857, Dodoma, Tanzania
Simu: +255-26 2329002-3; Nukushi: +255-26 2329005
Barua pepe: info@ewura.go.tz Tovuti: http.//www.ewura.go.tz

MAJINA YA WAOMBAJI WA LESENI ZA UMEME WALIOPITISHWA NA BODI


TAREHE 23/2/2019 KUPEWA LESENI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ni Taasisi iliyoundwa kwa Sheria ya
EWURA Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, EWURA ina mamlaka ya udhibiti kwa Sekta za
Nishati na Maji. Shughuli kuu za EWURA ni pamoja na kudhibiti shughuli za umeme, mkondo wa
kati na chini wa sekta ndogo za mafuta na gesi asili pamoja na maji safi na usafi wa mazingira. Kazi
ya udhibiti inalenga kuhakikisha kuwa huduma zinazodhibitiwa zinapatikana kwa kuzingatia
viwango vya ubora, kwa bei halisi, salama na kwa uhakika, na kwamba watoa huduma wanapata
mapato ya halali na stahiki yatakayowezesha vitega uchumi vyao kutoa faida na kuwa endelevu.

Miongoni mwa majukumu ya kiudhibiti ni kutoa leseni mbalimbali zikiwemo za mafundi wa


kufunga miundombinu ya umeme (electrical installation). EWURA inatangaza majina ya waombaji
wa leseni hizo ambao wamepewa madaraja mbalimbali na Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA
katika kikao chake cha tarehe 23/2/2019 kama yalivyoorodheshwa hapa. Kwa tangazo hili,
waombaji hawa wanatakiwa kufika ofisi za EWURA kulipia ada za leseni na kuchukua leseni zao.

NA. JINA DARAJA


1 HUZEFA FAKHRUDDIN ZAVERY A
2 VICENT G. CHELANGO B
3 KULWA HOSEA B
4 EMMANUEL JOEL KADAS C
5 PHILEMON B. PIUS C
6 EDWARD JOSEPH C
7 AZARIA N MULINDA C
8 HAMISI J. HITTU C
9 STEPHEN MATHIAS C
10 ZACHARIA EMMANUEL CHISINA C

1
11 BARAKA ANSELM C
12 FRANCO P. CHENGULA C
13 HENRY E. LWINGA C
14 MWAGALAZI MASUMBUKO MWAGALAZI C
15 KISUMO CHARLES C
16 GILBERT SANGALY C
17 TANGANYIKA KABWE SONGORO C
18 FRANCIS JOHN KIMOLO D
19 HAMIS M. SHABAN D
20 RAMADHANI ABDALLAH MAKUNGU D
21 MPEKUZI HAMISI SHABANI D
22 WALLACE MDOE D
23 WICKLIF W KAYAGIRO D
24 ALISTIDES V. NTAMWANA D
25 FREDY MWANRI D
26 ALPHAN PATRICK NYAGA D
27 WITNESS MACHANGE D
28 SADATH SALIM D
29 ELIAM N. FIYABO D
30 FADHILI HASSANI MAHWA D
31 ELIAS E MKENGA D
32 CHARLES E. JOSEPH D
33 YAZIDU H.HUSSEIN D
34 NUSURA ADRIANO D
35 STANLEY THOBIAS GODFREY D
36 EPHRAIM GABRIEL D
37 GASTORY MAKONGORO WANGWE D
38 SEBASTIAN S. NZIKU D
39 EVANCE ELIFURAHA MALISA D
40 ELISHA SIMON KIVUYO D
41 HAJI MUHIBU MNAMBA D
42 SAID MOHAMED RAMADHANI W
43 HAMZA RIDHIWAN MRISHO W
44 SIFAEL ISACK W
45 RAJABU JABIR KIBWANA W

2
IMETOLEWA NA

MAKAO MAKUU
Ghorofa ya 4, Jengo la LAPF, Barabara ya Makole
S.L.P. 2857, Dodoma, Tanzania
Simu: +255-26 2329002-3; Nukushi: +255-26 2329005

Barua pepe: info@ewura.go.tz Tovuti: http.//www.ewura.go.tz

You might also like