You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na.JA.9/259/01/A/316 06/06/2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23/11/2022, 07-13/12/2022 na 02-
19/02/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama
yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya
wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao
wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na
kuja na Kitambulisho kinachotambulika.
MAJINA YA WALIOITWA
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA
KAZINI
1 Wizara ya Maliasili na Utalii MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II
1. MWAJUMA YUSUPH
SABURY

2. ASIA OMARI KANIKI

2 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mara AFISA TARAFA II (DIVISION OFFICER II)


1. JAMES COMEDIUS
MWANANZILA

3 Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) AFISA MIPANGO DARAJA LA II


1. MWASITI IBRAHIM KAZINJA

4 Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
1. REHEMA HAMIS KABANO

5 Bodi ya Rufani za Kodi (TRAB) AFISA UTUMISHI DARAJA LA II


1. RHODA JAMES KANGERO

6 Halmashauri ya Mji wa Njombe BEE-KEEPING OFFICER II


1. MARY LUKA URASSA

7 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA MISITU DARAJA LA II


1. IGNAS MICHAEL
MAMBOSASA

2. MOGAN MWATIJA PHILOS

3. ELIWAID MBONEA KIDJOUT

8 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME OFFICER II)


1. RAMADHANI YUSUPH
ISANGO

9 Wizara ya Maliasili na Utalii MCHUMI DARAJA LA II


1. CASTOR VENANCE KANUTI

10 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA UTALII DARAJA LA II (TOURISM OFFICER II)


1. SALIMA BENSON
WANDERAGE

2. MWANAHERI JUMBE TAJIRI

3. LINA PROSPER KWAY

11 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)


1. EMMANUEL SIMONI AMONI

2. HILDA ROGASIAN EUGENI

12 Wizara ya Maliasili na Utalii MTAKWIMU DARAJA LA II


1. MONICA ATMOS MASSAWE

13 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA TAWALA DARAJA LA II


1. MARIAM ABDALLAH MWINYI

14 Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali AGRICULTURAL OFFICER GRADE II


1. COLLIN OYAMO OPIYO

15 Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali AGRICULTURAL FIELD OFFICER II


1. REHEMA ERED
MWASHILINDI

16 Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali AFISA BIASHARA DARAJA II (TRADE OFFICER II)


1. HUSSEIN BAKARI KAMANA

17 Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD


OFFICER II) 1. MABE DANIELI SULLE

18 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini AFISA UNUNUZI DARAJA LA II


Dodoma (DUWASA) 1. GEORGE DAUDI LUBACHA

2. JOANITHA RICHARD
CHALLO

19 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD


OFFICER II) 1. SALOME PHILIPO NJILE

20 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA UTUMISHI DARAJA LA II


1. ADAMU ANDREW MSEMWA

21 Wizara ya Maliasili na Utalii DRIVERS


1. ADAM LAZARO
MWAKAPANDE

2. ABDUL LEONARD MATEMBO

22 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA MISITU DARAJA LA II


1. MTUI ABEL SADIKIEL

1
23 Wizara ya Maliasili na Utalii AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
1. MEGMARY ESHIWAKWE
MUSHI

24 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mara AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
1. HASHIM IMANI UJONJO

25 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mara AFISA TAWALA DARAJA LA II


1. GRACE RONALD NKYA

26 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda MSAIDIZI UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II


1. MARCO LEONARD
MALUGULU

27 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT


FISHERIES OFFICER II) 1. KELVIN ANTHONY LUCAS

28 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda TECHNICIAN II (CIVIL)


1. ALOYCE EDWARD
KAMPELE

2. INNOCENT REMMY URIO

29 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II


1. MORICE JOHN MWAMBA

30 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini ARTISAN II (Plumber)


Dodoma (DUWASA) 1. SELEMANI HAMZA
SELEMANI

31 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE


II) 1. ASHA RAJABU MBONDE

32 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda AGRICULTURAL FIELD OFFICER II


1. DEOGRATIUS WANZARA
MKAMA

33 Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II)


1. CHRISTOPHER CHRISTIAN
KALOLO

34 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini ARTISAN II (SEWER)


Dodoma (DUWASA) 1. HAMISI RAJABU YUSUFU

35 Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu AFISA UTUMISHI DARAJA LA II 1. CHARITY JOHN TEMENAO

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like