You are on page 1of 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. JA.9/259/01/A/400 06/10/2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-09-2022 na tarehe 26-07-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

1 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER


Mlele GRADE II) 1. HAPPYNESS FRANCISCO
BENARD

2. NICOLAUSI SAULO NTANGEKI

3. LUPELENGETYA MAHUMA
LEONARD

2 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II)


Muleba 1. GEOFREY AKIMU KAJIGILI

3 Halmashauri ya Wilaya ya FOREST OFFICER II


Muleba 1. SABINA EVOD KESSY

4 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER


Muleba GRADE II) 1. JUMANNE JAMES MICHAEL

2. FIDEA NYABATURI MWITA

3. VICTOR JOSEPH KIMHENGE

4. ALEX BUNDALA SAIMON

5. JOYCE JOHN KIDAI

5 Halmashauri ya Wilaya ya AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER


Nzega, GRADE II) 1. TERESA CHARLES
NYAMSEKELA

2. GODLACK MATHEI MTWEVE

6 Chuo Kikuu cha Dodoma DRIVER II


(UDOM) 1. DAVID MODESTY MALLYA

2. RICHARD SAMSON MAGUHWA

3. ALVIN DUNSTAN GIGA

4. MPELI FREDY LUGELO

5. IMANI ELISIFA MALEKO

6. ISMAIL KIVULO MUSTAPHA

7. MAGAMBO PETER MASIGE

8. OSCAR THOBIAS TWEVE

7 Chuo Kikuu cha Dodoma LIBRARY ASSISTANT II


(UDOM) 1. ABDULAZAKI MOHAMED MBENA

2. CLEMENCIA FELIX MUSHI

8 Chuo Kikuu cha Dodoma TECHNICIAN II (Electrical)


(UDOM) 1. AMONI ATILIO MBOWELA

9 Chuo Kikuu cha Dodoma NURSE II


(UDOM) 1. ALEX NICAS KATUNZI

2. JOSEPH KWASLEMA BAYYO

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like