You are on page 1of 6

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb.Na.JA.9/259/01/A/402 10/10/2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-09-2022 na tarehe 25-08-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

1 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa INTERNAL AUDITOR II


1. ANASTAZIA JAILOS MKISI

2 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II)
1. NESTORY SATALIUS
GOLIAMA

3 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA BIASHARA DARAJA II (TRADE OFFICER II)


1. ISSA HASSAN SULE

4 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)


1. INNOCENT JEROME
THOMAS

5 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT


OFFICER GRADE II) 1. MACKSONI AGREY
MWAKAMELA

2. JOYCE CHUMA MAKWEBA

3. GRACE STEPHEN LUKWELE

4. BAKARI OMARY KOMBO

5. MUSSA RAJABU
SHEKIMWERI

6. HIDAYA NASSIB SWEDY

6 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA UKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDIT OFFICER II)
1. CLEMENT CHRYSANT
LUNGWA

7 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II


1. THOMAS RICHARD KOMBA

8 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA UTALII DARAJA LA II (TOURISM OFFICER II)


1. JOVINALYCE BENJAMINI
BALOMI

9 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME OFFICER II)


1. DATIVA TOMAS MTUI

10 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa MSAIDIZI UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II


1. KEFALETI NDURUMA
STEPHANO

11 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa INTERNAL AUDIT OFFICER II


1. MOSES BHUDO TUMAINI

12 Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II)
1. KIJA DAUDI NGONGHO

13 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la TABIBU DARAJA LA II (CLINICAL OFFICER II)


Kujenga Taifa 1. RAMADHANI ABDUL MWITA

2. MDUSHI GELARD MDUSHI

3. PATRICK BONIFACE
MGWENO

4. WINFRIDA MAKOKO
MTANGO

14 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la AGRICULTURAL ENGINER II


Kujenga Taifa 1. HERIBERT SHIJA DEUS

15 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es LABORATORY TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN)


Salaam (DUCE) 1. BONIPHANCE MAHENDE
KANGOYE

16 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es MWALIMU DARAJA LA IIIC (TEACHER GRADE IIIC)
Salaam (DUCE) 1. MUSA BOMANI PAUL

17 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es ESTATE OFFICER GRADE II


Salaam (DUCE) 1. JOSEPH WILSON MALISA

18 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es LABORATORY SCIENTIST II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN) - MOLECULAR
Salaam (DUCE) BIOLOGY/MICROBIOLOGY 1. KULENGWA HASMA HASSAN

19 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es LABORATORY SCIENTIST II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN)-


Salaam (DUCE) PARASITOLOGY 1. ADAM RAPHAEL MBUMILLA

1
20 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es LABORATORY TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN)
Salaam (DUCE) 1. STEVEN LAMECK IBRAHIM

2. ELINURU NDETIYWA
PALLANGYO

3. KELVIN KATTO AMWESIGA

4. SALOME ERASMO KIHAKA

5. JUMA AMANI JUMA

6. HAZINA THOMAS MADUHU

21 Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es LIBRARY OFFICER II-DUCE


Salaam (DUCE) 1. ANASTAZIA ESSAU
MAHENGE

22 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua ACCOUNTANT GRADE II


1. DEBORA AUGUSTINE SAMBA

23 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA BIASHARA DARAJA II (TRADE OFFICER II)


1. WITNESS RAYMOND MSUYA

24 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)


1. WILFRED GIDION LEMA

25 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT


OFFICER GRADE II) 1. BUDALAH FIDELIS MASASI

2. TUMAINI EMMANUEL MTIKI

3. ANDREW AMBENDWILE
KYANDO

4. HABLA HAMISI CHINDULI

5. OCTAVIAN DEOGRATIAS
MUSHOBOZI

6. ELIZABETH JEREMIAH
KATARAMA

7. ERICK MECK MGONJA

26 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER II)
1. FADHILA HUSSEIN
SENKONDO

2. FRANK ERICK MAKIDIKA

3. AGNES BARNABA MPAPA

4. THERESIA DANIEL MKOBA

5. FESTO STANLEY SAMWELI

6. DOMICIAN BINEMUTONZI
KALENZYO

7. EMANUEL JOHNSON
MASSAWE

8. NSHELA KASEBELO
MCHENYA

9. FILOTEO CHRISTOMS
LUGOME

10. NURU ELIUD LULENGA

27 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA MISITU DARAJA LA II


1. ESTER JOEL NISAGURWE

28 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II


1. DENIS BUNDALA DENIS

29 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II (GAME OFFICER II)


1. YESSE JULIUS KOLINGO

30 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua AGRICULTURAL FIELD OFFICER II


1. NELSON HAMIS MSILU

2. DEUS WAINDI OGALO

3. JOSEPHAT MAKWEGA
JACKSON

4. ISAACK SIMONI KITWIKA

31 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua BEE-KEEPING OFFICER II


1. LUGANO CORNEL
MWAKIBWAGA

32 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua GAME WARDEN II


1. AMANI BERNARD MATARA

2
33 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua MHANDISI DARAJA LA II (CIVIL ENGINEER II)
1. IMANI YOHANA MWANO

34 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II)


1. ATUPAKISYE ISACK KIPIKI

35 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua MSAIDIZI WA MISITU DARAJA LA II


1. MELKYOR OPTATIUS
NAMBUO

36 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua MTAKWIMU DARAJA LA II


1. NDAISHIMIYE NESTORY
NTANYENYA

37 Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua COOPERATIVE OFFICER II


1. HAGAI EMMANUEL
MWANTEMBE

38 Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi COMPLIANCE OFFICER


(WCF) 1. CATHERINE ELIA KAWISHE

2. AISHA MWALIMU
MWINYIKOMBO

3. CALVIN JUBLATH URASSA

39 Wizara ya Maliasili na Utalii LABORATORY TECHNOLOGIST II


1. ELINEEMA SAYUNI BEE

40 Wakala wa Vipimo (WMA) ACCOUNTANT GRADE II


1. JANETH DAVID MWEGOHA

2. CLARA BONIFACE MREMA

41 Wakala ya Barabara Tanzania ENVIRONMENTAL OFFICER II


(TANROADS) 1. EVANCE THADEUS MAKYAO

2. JACKLINE JACOB RINGO

42 Wakala ya Barabara Tanzania ACCOUNTANT II


(TANROADS) 1. JACQUELINE MATHIAS
MGWADZI

2. ABBAS ILAKIZA MAPFA

3. AZADI ZAHORO SABU

4. GEOFREY JAPHET MTANI

43 Wakala ya Barabara Tanzania ECONOMIST II


(TANROADS) 1. WINIFRIDA ALFRED
MKANDALA

2. HUSSEIN BASHIRU
TARATIBU

3
44 Wakala ya Barabara Tanzania ENGINEER II (CIVIL)
(TANROADS) 1. RICK HAMISI ATHUMANI

2. ELIA JOSEPH MWAMLIMA

3. DEUSDEDITH MASWI
NYAMONI

4. SADIFU STARFORD
KIHOMBO

5. LUGHANO WISTON NGAJILO

6. MAGNUS MSIGWA
MUTAYOBA

7. MWAJABU ATHUMANI
SENZOTA

8. ANNA CHRISTOPHER
MSANDI

9. ALEX DANSTAN KONAKUZE

10. VICTOR DIONIS RUGAKIRA

11. ADIEL NAKOL MBEDULE

12. MBARAKA MOHAMEDY


BUYEYE

13. BROWN ANGELLO KIBASSA

14. LETICIA NDEBHA NKANWA

15. BONIFACE ELIAS


MWAKALUKWA

16. MARIAM HUSSEIN LUGETO

17. JUMA MWIN'DADI MSHEWA

18. FRANCIS CONDRAD


MASAWE

19. DANIEL CHARLES


MWAKABOLE

20. ABDULRAZAK MZAMIRU


KACHWAMBA

21. MAWATA JUMA MATUKUTA

22. ANGELA FRANCIS


MWALUSEPO

23. PHILEMON PHILIP NDUCHA

24. VICTOR VALERIAN MATERU

25. VERONICA HONEST NGOWI

26. SAID MOHAMED LUGENGA

27. AGNES MARTIN


MWAKABENDE

28. ELISHA ELIUD RUBOHA

29. GABRIEL MARISA SALIM

30. PHILIPO CHARLES


MALAGILA

31. JOSEPHAT PATRICK


TWEVE

32. ELIYA JONAS MALIVA


45 Wakala ya Barabara Tanzania ENGINEER II (ENVIRONMENTAL)
(TANROADS) 1. JACKSON JOSEPH
KULANGWA

46 Wakala ya Barabara Tanzania ICT OFFICER II (DATABASE ADMINISTRATOR)


(TANROADS) 1. JOANITHA ZACHARIA KITALE

2. PETER PETER DAVID

47 Wakala ya Barabara Tanzania ICT OFFICER II (NETWORK MANAGEMENT)


(TANROADS) 1. CATHBERT EMMANUEL
NYARENDA

2. SHARIFU IDD KIFIKA

4
48 Wakala ya Barabara Tanzania ICT OFFICER II (PROGRAMMER)
(TANROADS) 1. ELIZABETH EVARIST
BUNDALA

2. PATRICK CORNEL
SHILOGILE

49 Wakala ya Barabara Tanzania LEGAL OFFICER II


(TANROADS) 1. OMBENI IBRAHIM LIKOWA

2. BARAKA MURASIRA MAUGO

50 Wakala ya Barabara Tanzania PROCUREMENT OFFICER II


(TANROADS) 1. PASCHAL EDWARD
MAKUNGA

2. RAJABU SEIF MWENDO

3. ABDALLAH AIDANI
MFINANGA

4. KENNEDY AMSTONE
MAGANGA

5. HAPPINESS OGIGO NSABI

6. NESTORY OWINO NYODERA

51 Wakala ya Barabara Tanzania QUANTITY SURVEYOR II


(TANROADS) 1. AMOS MOSES MWIDETE

2. SARAH GEORGE
NGAILEVANU

52 Wakala ya Barabara Tanzania SOCIAL WELFARE OFFICER II


(TANROADS) 1. KELVIN GERION MHEMA

2. WINSTON WILSON SENYAELI

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like