You are on page 1of 20

Jinsi Katiba Inavyolinda Haki Zinazohusiana Na Virusi Vya Ukimwi

(Vvu) Mswada Wa Haki Za Kibinadamu Na Katiba


.

Mswada wa Kenya kuhusu haki za kibinadamu unaoorodhesha haki


zote za kimsingi za watu wanaoishi Kenya.

2
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

1
1 2 (4) Inazuia sheria za Shughuli za Shughuli zote na sheria za kitamad-
Maamlaka ya kitamaduni ambazo kitamaduni ambazo uni zinazofanya kuenea kwa virusi k.m
Katiba hazilingani na katiba. zinaongeza hatari ya ukeketaji wa wasichana, kurithi wajane,
kuambukizwa virusi khisha kutowarithisha na kuwabagua
vya VVU(HIV) au wajane, zinaweza kupingwa kulingana na
kufanya watu kuwa katiba kwa sababu zinakinzana na haki
katika hali ya zilizomo katibani.
maambukizi ya
virusi haziambatani
na katiba.

2 Kifungu 2(6) Aina yoyote ya mkataba Aina yoyote ya mka- Mikataba ya kimataifa ni kama
mamlaka ya au sheria uliofanyiwa taba wa kimataifa (a)Maagano ya kimataifa kuhusu haki za
katiba. Kenya lazima uwe katika unahusu VVU(HIV) kiuchumi, kijamii na za kiuchumi – (The
sehemu ya sharia. ni sehemu ya sharia international covenant on economic
za Kenya na mpaka social and cultural rights).
zifuatwe. b)Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu
haki za Watoto – (The UN convention on
the rights of child).
c) Mkataba juu ya kuondoa hali zote za
ubaguzi dhidi ya wanawake – (The con-
vention on the Elimination of all forms of
Discrimination Against Women)
d) Katiba/Sheria ya Kiafrika kuhusu haki
za watu na za kibinadamu – (The African
Charter on Human and Peoples Rights).
e) Katiba ya Kiafrika juu ya haki na
maslahi ya watoto – (The African Charter
on the Rights and Welfare of the Child).
e) Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu
haki za watatilifu – (The United Nations
Convention on the Rights of Persons with
Disabilities).
Mikataba hii imeingizwa katika sheria za
Kenya na katiba ya Kenya 2010.

3 Kifungu cha 6 Huanzisha serikali ze- Huhakikisha kwamba Waathiriwa wa UVV (PLHIV) wanawe-
Ugavi wa nyemamlaka ya kipekee ugavi wa majukumu za kushirikishwa zaidi katika juhudi za
Mamlaka na wa kujisimamia na zille maalum kati ya yea kufanya uamuzi kuhusu masuala yan-
kupata nafasi serikali nazoshirikiana serikali za kitaifa na ayowaathiri katika viwango vya Kitaifa
za huduma katika viwango vya kitaifa serikali za kaunti, na Kaunti hasa kwa kuhusisha sheria
mbalimbali na gatuzi/kaunti huku ikisisitiza na sera zinazostahili katika awamu
kushirikishwa/kuhu- yautekelezaji.
sishwa kwa makundi
ya waathiriwa wa
UVV (PLHIV)katika
maamuzi kuhusu ma-
suala yanayowahusu.

3
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu 10
4 maadili ya
Misingi ya ukuzaji wa
haki za binadamu
Watu wote wamefungi-
ka katika maadili ya
Mtu yeyote pamoja na wale wako katika
hatari ya maambukizi ya VVU(HIV),
kitaifa na kitaifa wanapoifasiri wanaong’ang’ana ili wajumishwe na
kanuni za katiba, kuhakikisha wasibaguliwe na usawa katika utoaji wa
utawala. sharia zinafuatwa ama huduma ili kudhibiti VVU(HIV).
kutekeleza maamuzi..

5 Kifungu14(4)
uraia kwa
Yatima kuwa raia wa
Kenya
Watoto wote walio
Kenya na wako chini ya
Inalinda uraia wa watoto yatima kuto-
kana na virusi vya Ukimwi, kwa kuhaki-
kuzaliwa miaka nane na uraia wa kisha kuwa vikwazo vyote vya kupata
wazazi wao haujulikani vitambulisho vilivyokuwa awali vimeon-
watanufaika na kud- dolewa. Kmf. Watoto wengi wamekum-
haniwa ni wakenya. bana na changamoto ili kusajiliwa baa-
da ya kutekelezwa na jamaa zao baada
ya hali yao ya(VVU) HIV kujulikana.

6 Kifungu19
haki na uhuru
Haki ni za kila mtu. Watu wanaoishi na
virusi vinavyosababisha
Watu wanaoishi na virusi vya ukimwi
wana haki kuhudumiwa kwa hadhi na
UKIMWI (PLHIV) wana heshima. Haki zao zinafaa kuhimizwa
haki ya uhuru kama na kusisitizwa..
ilivyoelezwa katika
kifungu cha haki za
binadamu.

Kifungu20(3) Mswada wa haki za Katika matumizi Wakati haki Kuhusu VVU(HIV)in-


7 (b) matumizi binadamu unatumika yanayoelezwa katika ashurutishwa mpaka koti ichukue
ya mswada katika sheria zote na mswada wa haki za hatua ambayo haiwezi kumnyima mtu
wa haki za sehemu zote za nchi. binadamu, koti itafasili yeyote au kikundi cha watu haki zao.
binadamu. ikizingatia kusisitiza Hili linaleta uwezekano wa kupata
uhuru wa wale wote huduma bora za matibabu kwa jamii
wanaoishi au wako kwa jumla.
katika hali ya
kuambukizwa
VVU(HIV).

Kifungu20(5) Majukumu ya serikali Serikali (ya kitaifa na Serikali ihakikishe kuwa imewekeza
katika utoaji haki za jamii za ugatuzi) zinafaaa rasilimali zinazopatikana katika sekta
8 matumizi
ya mswada na uchumi. kutumia rasilamali kwa ya afya na mikakati kuhusu (VVU) HIV
wa haki za njia uwazi ili kuhaki- kama Hela, uwezo n.k
binadamu. kisha kuwa ufanizi wa
kijamii na kiuchumi Watu wanaoishi na virusi (PLHIV)
unawafaidi Watu wana- wanaweza kuitisha mtaji ili kujiinua
oishi na virusi vya VVU pamoja na miundo msingi na kwa hivyo
(PLHIV) ni jukumu la serikali kufafanua kuwa
hela hizohazipatikani.

4
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu cha 21 1) Taifa lina jukumu Heshima: Serikali haiwezi Serikali inafaa kuhakikisha ya
9 Utekelezaji wa la kuheshimu, kulin- kukiuka haki za waathiriwa wa kwamba waathiriwa wa VVU
haki na misingi da, kuhamasisha na VVU(PLHIV) (PLHIV)wana usalama kwa
muhimu za kutekeleza haki za Kulinda:Lazima serikali izuie kuwezesha hali inayoendeleza
uhuru binadamu. watu wengine kuzikiuka za haki haki za waathiriwa hao. Kwa
mbalimbali za waathiriwa wa VVU (PLHIV)na mfano, kupitisha sheria ya Afya,
kutoa njia nafasi za kutoa ripoti kuelimisha watu kuhusu Sheria
na kutafuta haki kwa kunapo- hiyo na kuhakikisha kwamba
tokea hali ya kiukwaji. makadirio mema ya kifedha na
Kuhamasisha:Lazima serikali iipe bidhaa zingine zinazohitajika za
shughuli ya uhamasishaji kipa- kuendeleza haki za kiafya kwa
umbele ili kila mwananchi aweze waathiriwa wa VVU (PLHIV),
kzijua haki zake za kibinadamu. yamezingatiwa.
Kutekeleza: Ifanye jitihada zote
zinazohitajika – kisheria, usima-
mizi, katika makadirio ya fedha
na mengineyo ili kuhakikisha
kwamba VVU (HIV) vimethibitiwa.

2) Nchi yafaa ku- Inabidi mbinu zote zizingatiwe ili Waathiriwa wa VVU (PLHIV)
unda sheria, sera kuhakikisha kuwepo kwa huduma wanapaswa kuhakikisha
mbalimbali na kuz- na bidhaa zote za kushughulikia kwamba serikali na wahudu-
ingatia viwango bora ilivyo hali ya VVU (HIV). ma wengine wanajukumuka
vitakavyoendeleza na inavyostahili kuunda sheria na
kuwezesha kuwepo sera mbalimbali kuhakikisha
kwa haki za kijamii na haki inatekelezwa, kama vile,
kiuchumi . haki ya kupokea huduma ya
afya na kuhakikisha utekelez-
waji wa haki hizo kwa namna
njia ambayo inastahili kufany-
wa kwa kuzingatia vifaa/bidhaa
ziazopatikana kwa utekelezaji
wa haki hiyo.
3) Nchi ina jukumu la Upunguzaji wa uwezekano wa Hutoa nafasi nzuri ya kubuni/
kushughulikia mahi- kuathiriwa na virusi vya VVU (HIV) kupanga mipango/mikakati
taji ya makundi yali- huhitaji hatua ambazo kuwa- mwafaka zaidi ya kushughulikia
yoathiriwa na wana- hamasisha watu na wanajamii vyema hali na mahitaji maalum
chama wa makundi waweze kuelewa na kujua jinsi ya ya ya makundi haya, kwa mfano
uya watu walio wach- kufanya uamuzi kuhusu mambo makabili madogo madogo,
ache na waliotengwa yanayoathiri afya zao na waweze wakimbizi na mengineyo.
katika jamii. kupata huduma zinazosghughu-
likia masuala yanayohusiana na
VVU(HIV).
4) Nchi itaunda sheria Serikali inastahilikuunda sheria Serikali yafaa kuunda sheria na
ili kutekeleza majuku- ambazo zitashughulikia suala la sera ili kuhusisha na kutekele-
mu yake ya kimataifa utekelezaji wa majukumu yake ya za majukumu yake ya kimataifa
yanayoshughulikia haki kimataifa yanayohusiana na suala yanayohusiana na masuala ya
za binadamu. la VVU (HIV). waathiriwa wa VVU (PLHIV).

5
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu cha Kila mtu ana haki ya Hupanua zaidi njia Kimeondoa sheria kali zilizokuwa ziki-
10 22
Hakikisho la
kwenda mahakmani
kudai ulinzi wa haki za
zinazotoa ulinzi dhidi
ya ukiukaji wa haki
hitajika kuzingatiwa hapo awali kabla ya
kuwasilisha kesi inayohusiana na haki
Utekelezaji binadamu. za binadamu. Hutoa za binadamu, kimetoa nafasi kwa watu
wa Mswada nafasi kwa nyingi kwa wanaoishi kivyao ambao ni waathiriwa wa
wa Haki mtu yeyote au kun- virusi vya UKIMWI (PLHIV) au mtu yeyote
di linalojiwakilisha, anayewawakilisha watu walio katika hali
kama mwanachama hiyo ili kuleta malalamishi yao mahaka-
wa kundi fulani ama mani kutokeapo hali ya ukiukaji wa haki
kitengo cha watu fu- za binadamu.
lani katika jamii, kwa Waathiriwa wa VVU (PLHIV) wanawe-
kutetea haki za umma za kuwasilisha kesi zinazohusiana na
au muungano fulani masuala ya haki za binadamu kibinafsi
unaotetea mmoja wa ama kwa niaba ya mhusika mwingine. Pia
wanachama wao au wanaweza kufaidika kutokana na wataa-
wanachama wao wote lamu wanajiunga na kesi yao jinsi ilivyo-
fanyika wakati wa kesi ya Patricia Asero
iliyowasilishwa na watu watatu wanaoishi
na virusi ikipinga ACA 2008 ambayo iliha-
tarisha kupatikana kwa urahisi wa dawa
na ambayo ilijumuisha mashirika yasi-
yokuwa ya kiserikali ambayo yanatetea
haki zinazohusiana na ukimwi na pia
mwandishi/mtaalamu wa haki za binada-
mu wa umoja wa ujumbe muhimu ambao
uliwawezesha waliowasilisha kesi kupata
uamuzi mwafaka kortini

Kifungu cha Mahakama Kuu na ma- Kupatikana kwa haki Wahasiriwa wa VVU (PLHIV) wanawe-
23 hakama zingine ziliz- kwa wahasiriwa wa za kuhusika katika kutetea haki zao za
11 Mamlaka ya oihinishwa na kisheria virusi vinavyosaba- binadamu na kuhusika na kuteuwa kesi
mahakama zimepew jukumu la bisha wa UKIMWI zinazohitaji kushughulikiwa mahakani.
kuhakikisha kusikiliza na kuamua kumeimarishwa kwa Hivi inawapatia nafasi ya kupigania ute-
na kutekele- kesi zinazohusiana sababu mahakama kelezaji wa Mswada unaoshulikia Sheria
za Mswada na ukiukaji wa haki za zimetoa nafasi kadhaa za Haki zao.
unaoshulikia binadamu. za kusuluhisha mad-
Sheria za hara yanayohusiana
Haki zao. na ukiukaji wa haki
za waathiriwa hawa.
Mahakimu wana-
oshughulikia Haki na
Usawa wa waathiriwa
wa viini vya ugonjwa
wa UKIMWI limebuni-
wa kama mahakama
mbadala iliyo na ju-
kumu la kusikiza kesi
zinazohusiana na VVU
(HIV).

6
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu 24 Maelezo Zaidi wakati Hakikisha kuwa Haki za kimsingi za Watu wanaoishi na vi-
12 wakati haki haki inaweza kosa serikali haikiuki au rusi(PLHIV) zinaweza kukiukwa ikiwakuna
inaweza kutekelezwa. haikunyimi haki zako sababu tosha inayohusu utu, usawa, na uhuru
kosa kute- bila kutoa maelezo pamoja na sababu zinginezo zinazohusiana na
lezwa kwa nini unanyimwa. hizi.

13 Kifungu
26 Haki ya
Inampa kila mtu
haki ya kuishi na
Haujanyimwa haki ya
kuishi na sheria za
Inatumika wakati mhadhiriwa ananyimwa nafasi
ya kupata dawa za kupunguza makali kwa saba-
kuishi inaruhusu uavyaji serikali. bu ya sharia iliyopo inayoweka dawa hizo katika
wa mimba ikiwa kundi la dawa ghushi. Bila nafasi ya kupata kwa
mhudumu wa afya urahisi dawa hizi za kupunguz makali, aliye na
aliyepata mafunzo HIV huwa amenyimwa haki ya kuishi.
atabainisha ya
kwamba maisha ya
mama yamo
hatarini. Pi
inabainisha wazi
wakati uhai unaanza.

14 Kifungu Inakuza usawa kati


ya waume na wan-
Inazuia ubaguzi
dhidi ya wanaoishi
Inazuia kumnyima mtu kazi, matibabu na elimu
kwa misingi ya hali yake ya VVU(HIV).
cha 27.
Usawa na awake, na inazuia na virusi(PLHIV) kwa Inazuia sharia za kitamaduni zinazomnyima
kutobagu- ubagizi wa aina sababu ya hali yao. mwanamke kumiliki, kirithi, au kutumia mali
liwa. yoyote kuhusiana na Inakuza usawa na kuwaacha wakitegemea wenzao wa kiume
afya au hali yoyote kati ya wanaume na kifedha na pia kuwa hatarini ya kuugua ama
ile. wanawake. Inatambua kutumiwa vibaya.
haki za PLHIV kumiliki
ardhi, kuoa na
kuanzisha familia.

Kifungu28
15 Utu. Inasisitiza kuwa Inajumuisha kila mtu Kutofautisha na kuwatenga Watu wanaoishi na
haki za kila mtu hata Watu wanaoi- virusi (PLHIV) ni kukiuka haki zao za kiutu.
zitekelelezwe kwa shi na virusi(PLHIV)
kuzingatia utu. wahudumiwe kwa
heshima na utu.

16 Kifungu29
Uhuru na
Inahakikisha hiari,
na kulindwa kuto-
Inawapa uwezo Watu
wanaoishi na virusi
Watu wanaoishi na virusi (PLHIV) wakati
mwingine wanajipata wakifanyiwa utafiti wa
usalama wa kana na unyama au (PLHIV) kujiamulia kimatibabu bila hiari yao.
kila mtu. matendo yanayosu- mambo yao kuhusu Mtu yeyote anayelazimishwa kupimwa VVU (HIV)
sha hadhi ya binada- matibabu na au kwa matibabu yanayohusiana na (HIV).
mu. kuwalinda kutokana Kuhudumiwa vibaya na watu au masharika.
na vitendo vyote vya Mswada huu ulitumika kupinga jinsi wagonjwa
kinyama. wa kifuakikuu walivyofungwa kwa kutofuatilia
matibabu.

7
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

17 Kifungu 31
Siri/ binafsi
Inahakikisha kuwa kuna
haki ya kufanya mambo
Inahakikisha kuwa
maelezo kuhusu hali
Kwa mfano. Kama umeadhirika na virusi
vya ukimwi, una haki ya kutoshurutishwa
yako kibinafsi. yako ya VVU(HIV) kutoa maelezo kuhusu hali yako pasipo
yamehifadhiwa kisiri hiari yako.
na hayawezi kutolewa Wakati sharia inavunjwa.
bila idhini yako. 1)vituo vya afya kuwapima wajawazito bila
hiari yao.
2)wahudumu wa afya kutohifadhi rekodi
za waadhiriwa ipasavyo na kufichua siri
hiyo.
3) waathiriwa kulazimishwa kutoa
maelezo kuhusu hali yao kwa waajiri wao
ili wapewe mapumziko.

Kifungu 33 Kilamtu ana uhuru wa Kila mtu ana uhuru Uhuru huu ni muhimu sana hasa katika
18 Uhuru wa kujieleza. wa kupata au kutoa kuhakikisha kuwa maarifa kuhusu njia za
kujieleza. maarifa au mbinu kuzuia maambukizi ya VVU(HIV) yanapa-
kuhusu njia za kutibu tikana katika Nyanja mbalimbali kama,
au kuganga shuleni, korokoroni na sanasana walio
maambukizi Zaidi. hatarini sana kama makahaba, waraibu
wa mihandarati, wasagaji na wafungwa
na wengine ili kuzuia maambukizi Zaidi.

Kifungu cha Kila mtu ana haki ya Habari kuhusu VVU Haki hii ni muhimu hasa kwa kuhakikisha
19 35 kupokea habari (HIV) na UKIMWI ni kwamba habari/ujumbe mwafaka kuhusu
Uwezo wa inayoweza kuathiri mojawapo wa haki za namna ya kuzuia VVU (HIV) zinapatikana
kupokea kufurahia huduma za za kupokea habari. kila mandhari/sehemu zikiwemo shule
habari/taarifa haki zao. au jela na kwa watu wote; wakiwemo
makundi muhimu ya watu kama maka-
haba, watumiao mihadarati kwa njia ya
kujidunga sindano, wanaume wanaonana
kimwili na wanaume wenzao – mashoga,
kundi la kimataifa la watu walio mag-
erezani – wafungwa na kundi la watu la
LGBTI – jamii ya wanaume na wanawake
inaoana/au husiana kimapenzi kwa watu
wa jinsia moja – ili kushughulikia maam-
bukizi mapya miongoni mwao. Pia habari
hii inafaa iwalenge waatilifu/watu wanao
ishi na ulemavu kwa mfano wanaotumia
lugha kwa njia kupiga chapa na ishara.

Kifungu 36 Kila mtu ana haki au Watu wanaoishi na Watu wanaoishi na virusi (PLHIV) hawezi
20 Uhuru wa uhuru kujiunga ama virusi wanaweza kulazimishwa kutengana na watu
uhusiano uhusiano na vikundi kuunda kikundi au wengine na wana uhuru wa kutembea
mbalimbali. kujiunga na kikundi mahali popote nchini. Hauwezi
wanachokitaka kulazimishwa kuishi pekee mbali
na jamii ilipo.

8
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu39 Inaruhusu watu Watu wanaoishi na Inakataza.


21 Uhuru wa kutembea ndani
na nje ya Ken-
virusi (PLHIV) wana
haki ya kuingia na
Kupima hali ya VVU(HIV) mipangani au kutambulisha
hali yako ya VVU (HIV) kama kigezo cha uhamiaji.
kutembea.
ya bila vikwa- kukaa na kuishi Kutumia hali ya VVU (HIV) kama kiini cha kumnyima
zo visivyo na mahali popote nchini. mtu kukaa kwa muda mrefu, ikilinganishwa na watu
umuhimu. Hauwezi ukalazi- walio na magonjwa mengine.
mishwa kuishi peke Kuwachunguza wafanyikazi wanaohamia na
yako mbali na jamii. kuwarudisha kwao watakao patikana na virusi.
Serikali haiwezi
kuweka vikwazo
kuhusu matembezi/
kutembea kwa mtu
yeyote hata Watu
wanaoishi na virusi
(PLHIV).
Inaruhusu umi- Mtu hawezi kunyim- Inakataza.
22 Kifungu 40.
Haki ya kumi- likaji wa mali wa haki ya kurithi, Familia ya mwanamume marehemu kumkataza mjane
liki mali mahali popote au kumiliki mali kwa aliye na VVU(HIV) pamoja na watoto wake kurithi mali
pale inchini Ken- sababu ya hali yao ya ya bwanake.
ya bila kuzingatia VVU(HIV).
jinsia, umri, na
haiwezi ikatwaali-
wa kwa sababu ya
masharti Fulani.

Kifungu 41 Inatoa sharia Inahakikisha kuwa Inakatazwa.


23 Uhusiano wa
kufanya kaz
kuhusu waajiriwa
kazini na haki ya
watu wanaoishi na
virusi (PLHIV) wamei-
Kunyima haki ya kufanya kazi kwa sababu ya hali yako
ya VVU (HIV), pia jeshini kifungu hiki kinatumika
kujiunga na mu- hifadhiwa pahala pao Kumwachisha kazi mtu anapoambukizwa HIV kwa
ungano wowote pa kazi na masharti sababu ya hali yake.
wa wafanya kazi. ya kazi ni ya haki. Pia
inahakikisha maru-
purupu sawa bila
kuzingatia hali yako ya
VVU (HIV).

Kifungu43 Kila mtu ana Haki ya matibabu na Ni lazima serikali ichukuwe hatua kuhakikisha kuwa
24 Haki ya
kiuchumi na
haki ya kupata
matibabu, maji
afya, elimu, usalama
wa kijamii, makao
dawa za kupunguza makali na matibabu kwa magon-
jwa mengine na matibabu bora ya TB kwa watu PLHIV
kijamii. safi, hifadhi, na hifadhi, maji na zinapatikana na kwa urahisi.
usalama wa chakula hizi zote Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kuhaki-
kijamii na elimu. ni muhimu katika kisha kuwa sharia kuhusu haki za kijamii na kiuchumi
Haki ya kupa- kuyarefusha maisha zinatekelezwa.
ta matibabu ya ya watu wanaoishi
dharura pia. na virusi vya ukimwi
(PLHIV).
Kifungu 45 Inakupa uhakika Watu wanaoishi na Ni kinyume cha sheria serikali:
25 Familia wa kuoa na kuan- virusi vya ukimwi
zisha familia. (PLHIV)hawafai ku-
Kutarajia ithibati ya kupimwa au kutangaza hali ya mtu
ya kuwa na virusi kama masharti ya kufunga ndoa.
katazwa haki ya kuoa Kulazimisha wanawake wanaoishi na virusi vya ukim-
kwa misingi ya hali wi kuavya mimba au kuhasi badala ya kuwaelimisha
yao ya virusi. na kutoa huduma ili kuzuia uabukizaji kati ya mama
kwa mtoto. Kuwanyima wanawake haki sawa katika
ndoa,talaka kati ya familia,hii inapunguza uwezo wao
wa kujitetea katika kufanya ngono kwa uangalifu au
kuachana na uhusiano unaoweza kuwaweka katika
hatari ya kuwaambukizwa ukimwi. 9
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu 46 Wateja wana haki Watu wanaoishi na virusi vya Isiohalali:


26 Haki za anay- ya kupata bidhaa na ukimwi(PLHIV) wana haki ya Kuleta madawa na vifaa vya kupima
etumia bidhaa huduma kwa mina- madawa ya kutosha pamoja vilivyo chini ya wastani katika mahos-
jili ya ulinzi wa afya na matibabu. pitali ya kiserikali.
na usalama wao.

Kifungu 47 Inaangaza hatua za Iwapo haki au uhuru muhimu Yaliyokatazwa


Hatua zisiso- kiutawala ambazo wa mtu umedhuriwa au utad- Serikali kukata kujenga wadi za
pendelea zin- ni za haraka,mad- huriwa na hatua iliyochukuli- kuwatenga walio na kifua-kikuuilhali
27 azochukuliwa hubuti,zinazofuata
sheria na zilizo na
wa na utawala mtu huyo ana
haki ya kupewa sababu katika
wamekuwa na pesa hizo miaka kumi
iliyopita.
na utawala
maana na utaratibu maandishi kwa hatua zilizo-
ulio wa haki. chukuliwa.

Kifungu 48 Ni jukumu la taifa Watu wengi wanaoishi na Kwa watu wengi wanaoishi masham-
Upatikanaji kuhakikisha kuwa virusi (PLHIV) vya ukimwi bani ni shida kubwa kupata mfumo
wa haki watu wanapata haki hukumbana na ukiukaji wa rasmi wa mahakama na kuweza
kwa gharama nafuu. haki za kibinadamu na huwa kulipa ada ya sheria.Hapa ndipo
vigumu kupata haki. inasaidia kukuzaa upatikanaji wa
mifumo ya haki ya kitamaduni ambayo
ni gharama ya chini na husaidia ku-
28 tatua migogoro ya kitamaduni kuliko
mahakama rasmi.Viongozi wa haki za
kitamaduni wanafaa kupewa mafunzo
juu ya haki za kibinadamu kuhakikisha
kuwa maamuzi yao yanaafikiana na
sharia
Kifungu 51 Mtu aliye kizuizini, Watu walio kizuizini, Wafungwa wana haki ya mikakati yote
29 Haki ya walio rumande au kufung-
wa hubakiza haki
rumande au kufungwa wana-
faa kupata huduma zinazohu-
ya kitaifa na huduma za afya zilizowe-
kwa humu nchini kuzuia virusi vya
kizuizini,chini
ya ulinzi au na uhuru muhimu sisha afya.Serikali inawajibika ukimwi,kupimwa na utunzaji.
walio jela katika muswada kutomweka mhasiriwa katika
wa uhuru katika mazingira yatakayochangia
muswada wa sheria hatari ya kupata virusi vya
na haki za binadamu ukimwi na hali kama hizo.

Kifungu 53 Huwafaa walio na Watoto wana haki ya Watoto wana haki ya kulindwa kuto-
30 Watoto haki maalum za hali ya maisha inayowa- ka kwa unyanyasaji wa kimapenzi na
watoto pamoja na tosheleza,kimwili,kiakili, kudhulumiwa kimila inayowaweka ka-
haki zingine zote kidini,kimaadili na tika hatari ya kuambukizwa virusi vya
zilizotolewa chini ya maendeleo ya kijamii. ukimwi.Haki ya Utunzaji mbadala ni
muswada wa sheria Watoto wana haki ya kulind- muhimu iwapo familia haijiwezi hasa
na haki. wa kutoka kwa unyanyasaji kwa watoto walioathiriwa na virusi vya
unaoweza kuwaweka katika ukimwi kama wale wanaoishi katika
hatari ya kupata virusi vya familia zinazoongozwa na watoto na
ukimwi.Wazazi wana wajibu mayatima
wakutekeleza haki hii.Kanuni
kuu ya kumshughulikia
mtoto kwanza ndilo wazo
muhimu linapohusu
sheria,maamuzi,mikakati na
huduma zinazomhusu mtoto.

10
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

Kifungu 54 Hutoa haki kwa Walemavu wanaoishi Kulinda watu walemavu kutoka kwa
31 Watu wanaotaka huduma na virusi vya ukimwi unyanyasaji kimwili, na kubakwa ambao
walemavu maalum kama (PLHIV)hufurahia haki huwaweka katika hatari ya kupata virusi
walemavu mbali na zote pamoja na uhuru vya ukimwi.
haki nyigine zitolewazwo wa kimsingi pamoja na Serikali inahitaji kuhakikisha kuwa
chini ya muswada wa wengine. watu wanapata huduma na ulinzi wa
sheria za haki. polisi,wakili na mahakama. polisi
Kuhakikisha kuwa wanapata elimu
na habari muhimu kuhusu virusi vya
ukimwi na afya ya uzazi katika mfumo
unaofaa watu walio na aina tofauti ya
Ulemavu.

Kifungu Vijana wametambuliwa Vijana ni kiungo Kuhusisha vijana huchangia katika


32 cha 55 kuwa miongoni mwa muhimu katika masuala kuwawezesha kufanya uamuzi mwema
Vijana makundi - athirika na ya VVU (HIV) na ulizi na kuwasaidia kujumukia yao binafsi,
ambalo lahitaji kupewa wa haki zao ni muhimu ikiwemo hali ya kiuzazi na afya yao ya
nafasi ili kuhakikisha katika kuhakikisha kijinsia
kwamba wanashirikish- kwamba mwelekeo
wa na kuhusishwa na wa kuzingatia haki za
kupata nafasi zilizopo. binadamu unazingatiwa
kw kurejelea VVU (HIV).
Hii hutoa nafasi na
huhakikisha kwamba vi-
jana waathiriwa wa VVU
(HIV) wanapata matiba-
bu na huduma ya hali ya
juu huku wakihusishwa
katika nafasi kadhaa,
hali ambayo yawe-
za kuchangia katika
kupunguza uambukizaji
wao na virusi hivyo.

Kifungu cha Huhakikisha kuzingati- Haki za binadamu na Makundi haya sasa yaweza kushuruti-
33 56 wa vyema kwa haki za
makundi ya walio wach-
uhuru muhimu kwa
walio wachache na
sha kupatikana kwa njia mbalimbali za
kukabiliana na VVU (HIV) kulingana na
Makundi ya
walio wach- ache na waliotengwa waliotengwa limebakia mahitaji yao.
ache na Wali- suala ambalo halijashu-
otengwa. ghulikiwa vilivyo, hali
ambayo inachangia
kwao kuathirika na VVU
(HIV) na pia kuchangia
katika kukosa kutoa
huduma muhimu zin-
azoshughulikia hali ya
VVU (HIV).

11
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

34 Kifungu cha
57
Huhakikisha kwamba
hatua faafu zimechuku-
Ingawa wazee ni rasili-
mali muhimu katika
Kutokana na vifo vya wazazi wachanga
vinavyosababishwa na maambukizi ya
Wakongwe liwa ili kulinda haki za jamii yao, hata hivyo, VVU, kina babu na nyanya za watoto hao
katika jamii/ wakongwe na kushiriki wanakumbwa na hatari wanalazimika kukidhi mahitaji/maslahi
jumuia. kwao katika jamii. kubwa ya kutengwa ya mayatima.
katika mipango inayo- Kuendeleza haki za wazee huchangia
husika na VVU (HIV). kuhakikisha kwamba wanaisha maisha
Duru za kuaminika bora na yenye thamani na hata kuwahu-
zimethibitisha kuwa ki- sisha katika mipango ya kudhibiti VVU
wango kikubwa cha wa- (HIV); pamoja na kutetea waathiriwa
zee kinazidi kuambukiz- wa maambukizi ya VVU, kulindwa dhidi
wa na kuathirika na VVU ya dhuluma na unyanyaswaji na na
HIV. kutumiwa isivyofaa. Kwa mfano mpango
. wa hawilisho wa fedha kwa wazee.

35 Kifungu cha
59
Tume iliundwa ili
kuendeleza heshima na
Kutokana na kin-
yang’anyiro kirefu dhidi
Pale ambapo inadhirika wazi kwamba
haki za binadamuza za waathiriwa wa
Tume ya ulinzi ya haki za binada- ya VVU (HIV), ni dhahiri HIV hazizingatiwi, watu hawa huumia
kitaifa la Haki mu kwa watu wote. kwamba haki za kib- kutokana na kutengwa na kubaguliwa;
za binadamu inadamu ni mojawapo huugua, hushindwa kukidhi maslahi yao
na usawa wa nguzo muhimu wenyewe na ya jamii zao na, wasipopata
nchini Kenya katika kushughulikia tiba, hatimaye wao huaga dunia.
kikamilifu masuala ya
kitaifa katika jitiha- Waathiriwa wa HIV na makundi mengine
da za kukabiliana na nyeti huweza kuripoti malalamishi yao
VVU (HIV).HIV yaweza na kutafuta suluhu juu ya haki za kib-
kushirikishwa katika inadamu zilizokiukwa.
majukumu ya Tume
ya kushughulikia haki
za binadamu ili kulin-
da na kukuza haki za
kibinadamu kwa watu
wanaoishi na VVU (HIV).

36 Kifungu cha
60(1)g
Kuhimiza jamii mbalim-
bali kusuluhisha mizozo
Huhimiza Juhudi mbinu
za kitamaduni/zisizo
Mbinu za kitamaduni za kusuluhi-
sha migogoro zafaa kuhimizwa na
Kanuni zin- ya ardhi kupitia kwa rasmi katika jitiha- kudumishwa ili kuwezesha kupatika-
azohusiana na mikakati inayojulikana da za kushughulikia na kwa haki bila gharama kubwa kwa
sera za ardhi. ya kijamii, ambayo huz- ipasavyo masuala ya waathiriwa wa VVU kama suluhisho,
ingatia Katiba hii. kitamaduni na ya kijamii badala ya kutumia mfumo wa mahaka-
yanayoathiri haki za ma, kama njia rahisi na nafuu isiyow-
wathiriwa wa VVU (HIV). agharimu waathiriwa wa VVU (HIV).
Maamuzi na hatua zao zafaa kuambata-
na na matakwa ya Katiba.

12
Namb: Kifungu Hitimisho Uhusiano na VVU(HIV) Mifano

37 Kifungu 68(c)
vi
Bunge litapitisha sheria
ya kuwalinda waliom-
Hulinda haki za
waathiriwa wa VVU (HIV)
Wanawake na mayatima wanaoishi na
athari za VVU (HIV) ndivyo vikundi am-
Sheria inayo- tegemea marehemu/ kuhusu ardhi yoyote, bavyo hukumbwa na hali ya kunyimwa
husu Ardhi. mfu; wanaostahili kurithi hasa wajane na mayat- urithi kutokana na hali zao za VVU.
ardhi, zikiwemo haki ima walioachwa kuto- Kutoweza kurithshwa chochote hu-
za mjane/wajane ali- kana na wenzao walio- waathiri uwezo wao wa kuzalisha mali
yeachwa/walioachwa aga kutokana na UUV kwa njia ya kilimo,usalama wa chakula
baada ya kifo cha mwen- ambao kwa kawaida na umasikini.
zake/mwenzao wa ndoa; wanaonyimwa haki ya
kujumuisha na kudumi- kurithi ardhi..
sha haki zake/zao za
kumiliki ardhi.

Kifungu 174 Huhusika na/Hushughu- Malengo ya uongozi wa Jinsi ugatuzi unavyodhamiria kuleta
38 Malengo ya likia masuala ya ugavi ugatuzi ni kukabidhi huduma karibu zaidi na watu, waathiri-
Ugatuzi ulio sawa wa mali na mamlaka ya kujiongoza wa wa VVU (HIV), wana nafasi ya kujihu-
kuleta huduma za kitaifa kwa watu wenyewe na sisha katika mazungumzo/mashauriano
karibu na wananchi. kujumuisha watu wote yanayolengo kushirikishwa kwa jumla
katika kutumia mamla- kwa umma ili kuendeleza na kulinda
ka hayo katika kufanya haki zao na haki za makundi ya wali-
maamuzi mwafaka kwa otengwa na makundiya walio wachache.
yote yanayowahusu/
yanayowaathiri.

Kifungu cha Huelekeza juu ya kanuni Imeanzisha mabadi- Waathiriwa wa VVU (PLHIV) wanaweza
39 201 zinazolinda usimamizi liko nyeti katika usi- kufuatilia kwa makini ubadhirifu mali ya
Kanuni kuhu- wa fedha za umma. mamizi wa fedha za umma na matumizi mabaya ya mamla-
su fedha za umma, ambayo yanatoa ka/ usimamizi mbaya wa mali ya/ofisi za
umma nafasi mbalimbali kwa umma.
waathiriwa wa HIV ili Kanuni hizi nikizingatiwa kwa makini,
washirikishwe katika zinaweza kubadilisha muundo wa sera
makadirio ya Bajeti na na usimamizi wa mali ya umma na ku-
yahitaji uwajibikaji na wanufaisha waathiriwa wa VVU (PLHIV),
kujukumukia masuala watu waliotengwa katika jamii na jamii
ya uhasibu wa fedha za za walio wachache.
umma. Waathiriwa wa VVU (PLHIV) wana uwezo
Mbeleni, rasilimali za wa kuhakikisha kwamba maeneo fulani
kitaifa zililindwa katika hayanyimwi huduma nyeti kwa visingizio
kiwango cha kitaifa lak- kwamba walipiga kura dhidi ya chama
ini katika wakati huu wa kilichopo mamlakani, jinsi hali ilivyoku-
ugatuzi, mali itasima- wa katika uongozi wa enzi iliyopita.
miwa chini ya mamlaka
ya Kaunti husika.

13
Vituo Vilivyoundwa ili Kulindana Kuendeleza Haki
Za Kibinadamu Zinazohusianana Masualaya Virusi
Vya Ukimwi (VVU) na Majukumuya Vituo hivyo.

14
Namb Jina La Majukumu Faida zinzazo- Jinsi Unavyo Weza Jinsi unavyo weza
Kituo patikana kituoni Kushirikiana Na kituo kuwasilianana kituo
hicho hicho hicho

Sheria • Majukumu yake •Kulipa fidia Hupatikana kote nchini Kwa Msajili Mkuuwa
1 (Mahakama hutokana na Katiba. • Makatazo dhidi Sheria,
zote) • Jukumu la Kituo cha ya kuhini haki za Watu binafsi waweza Mahakama Kuu ya
Sheria ni kutekeleza wengine kuwasilisha kesi. Kenya, Barabara ya
haki kwa wote haraka • Notisi City Hall.
iwezekanavyo na bila • Kutekeleza ma- Mashirika yasiyoyakiser- Sanduku La Posta
ubaguzi wa aina yoyote jukumu maalum ikali yaweza kuwasilisha 30041-00100 Nairo-
kwa kila ahusikaye. Pia • Kugharamia kesi. bi, Kenya
jukumu lake ni faida za walio-
kuendeleza njia kosewa. Weledi waweza kujihusi- Simu: (020) 2221 221
mbadala za kusuluhisha sha katika kesi iliyo
migogoro. wasilishwa. Baruapepe:
info@ judiciary.go.ke

Kikundi cha • Kikundi hiki kina mam- Kinaweza Njia hii haina urasmi Gorofa ya 15 katika-
Mahakimu laka ya kupokea iusha- kuamrisha mwingi an lalamishi jengo la NHIF
2 wanaohusi- hidi,kusikiliza maelezo yafwaayo: laweza kuwasilishwa (Bima ya afya kitaifa)
ana na masu- ya mashahidi, kusikiliza kwa njia
ala ya VVU na kesi na kufanya uamuzi • Malipo kwa ya barua tu, linalopatikana
UKIMWI wa kesi zinazohusiana wahasiriwa au Upper Hill, katika-
na masuala ya VVU. • Gharama Watu binafsi wanawe- barabara ya Arwings
• Majaji hawa wana za kupata msaada huu Khodek
uwezo wa kushughulikia hata bila kuwakilishwa Sanduku La Posta
Sheria inayohusiana na kisheria. 37953 – 00100
uzuiaji na mbinu za kud- Nairobi
hibiti masuala haya, bali Kesi husikilizwa
hawana uwezo kikatiba faraghani/kisiri na wala Baruapepe:
kushughulikia masuala haihusishi watu wasio hivtribunal@gmail.
kuhusu uhalifu. husika moja kwa moja com
• Inaweza kutenga, wakati waku sikizwa kwa
kuthibitisha au bainisha kesi yenyewe.
maamuzi, alika wajuzi,
na kuelekeza hatua
maalum ziweze
kuchukuliwa ili
kukomesha mienendo
ya kiubaguzi.

15
Namb Jina La Majukumu Faida zinzazo- Jinsi Unavyo Weza Jinsi unavyo weza
Kituo patikana kituoni Kushirikiana Na kituo kuwasilianana kituo
hicho hicho hicho

Shirika la Jukumu la shirikahil- • Kwa kesi za Kesi huendelezwa kwa Afisi ya Nairobi
3 Kitaifa linalo-
husiana na
inikuendelezausaw-
awakijinsianakutobagu-
zinazohusiana
na uhalifu, wafaa
njia isiyo na urasmi
mwingi ambapo mala-
inapatikana:
Solutions Tech
Masuala ya liwakulingananakifungu kutoa ripoti yako lamishi yana wezaku- Place, Upper Hill
Usawa cha 27 cha Katiba. kwa Mkurugen- wasilishwakwa kuandika (BarabarayaLon-
waKijinsia wa Mashtaka wa barua tu. gonot Road, kari-
Shirika hili hushu- Umma. bunaHoteliiitwayo
ghulikia makundi ya • Wanatoa Yeyote anaweza kupata Crown Plaza Hotel)
fuatayo: vijana, watoto, mapendekezo huduma za shirika hili S.L.P. Box 27512-
kina mama, waatili- kwa walala- hata bila kutafuta msaa- 00506,
fu, makundi ya jamii , mishi kuhusu da wa kisheria. Nyayo Stadium,
watuwaliowachache na njia mbadala Nairobi, Kenya.
watuwaliotengwa. za kusuluhisha NambariyaSimu:
malalamishi yao. +254 20 2727778
Mjukumu yao pia • Kutoa nakala ya Baru-pepe:
huhusisha kuhakikisha repoti hiyo. info@gendercom-
kwamba kuzingatiwa mission.org
kwa maagano nami
kataba inayoshughu- AfisiyaKisumuhupa-
likia usawa na uhuru tikanakatika jingo
dhidi yakubaguliwa kwa la:
wanawake, waatilifu na Reinsurance Pla-
watoto. za,gorofayaTatu
3rd, Barabaraya
Kuchunguza masuala Bank Street
yoyote yanayokashifu Kisumu.
sera zausawa na uhuru NambariyaSimu:20
dhidi ya ubaguzi. 2727776

AfisiyaNakuruhupa-
tikana:
S.L.P. 15263 Nak-
uru,
Jengo la Tamoh
Plaza, Goro-
faya Kwanza,
BarabarayaKijabe-
Street,
NambariyaSimu:
+254 722 824303 -
BwanaWanyonyi
Barua-pepe:
gwanyonyi@ngeck-
enya.org

AfisiyaGarissa:
Katika-
BarabarayaThika-
Garissa, Afisi-

16
Namb Jina La Majukumu Faida zinzazopati- Jinsi Unavyo Jinsi unavyo weza kuwasilianana
Kituo kana kituoni hicho Weza kituo hicho
Kushirikiana Na
kituo hicho

Shirika • Huchunguza jinsi Baaday a kufanya Baada ya kufa- Afisi ya Nairobi inapatikana:
4 la kitaifa ambavyo serikali uchunguzi, shirika nya uchunguzi, CVS Plaza Gorofa
linaloshu- inavyoshughulikia hili laweza: shirika hili ya kwanza,Barabara
ghulikia masuala ya haki za •Kupendekeza laweza: ya Kasuku, baada ya barabara ya
kibinadamu. kesi husika kwa • Kupendekeza Lenana.
Haki za
• Huchunguza na Mkurugenzi wa kesi husika kwa S.L.P.74359-00200 Nairobi, Ken-
Kibinada-
kutoa masuluhisho Mashtaka ya Mkurugenzi wa ya Simu ya Afisini: +254-020-
mu nchini
yanayohusiana na Umma au kwa Mashtaka ya 2717908/00/28
Kenya. Simu-tamba: 00733 78 00 00 / 0736
ukiukaji wa haki za shirika lingine Umma au kwa
78 00 00/0724 256 448 / 0726 610 159
kibinadamu. lililo na uwezo wa shirika lingine
• Hufwatililia kwa kushughulikia kesi lililo na uwezo Kwa Maelezo ya
makini na ku- hiyo. wa kushughulik- jumla:haki@knchr.org
hakikisha kwam- • Kutoa mapende- ia kesi hiyo. Kwa Malalmishi: complaint@knchr.
ba maadili na kezo mwafaka kwa • Kutoa org
matarajio ya haki mlalamihi. mapendekezo
za kibinadamu • Pendekeza njia mwafaka kwa Afisi ya Kitale inapatikana:
yameshughulikiwa tofauti za kusu- mlalamihi. Ambwere Plaza,Ground Nyumba ya
inavyopaswa kika- luhisha suala hilo • Pendekeza chini,
milifu. au kuleta nafuu. njia tofauti za S.L.P. 2999 - 30200 Kitale N0
• Kutoa mafun- • Kutoa nakala kusuluhisha sua- ya simu ya afisini: +254-054-31773
zo kuhusu haki ya ripoti kuhusu la hilo au kuleta Barua - peepe:
za kibinadamu, uchunguzi huo nafuu. northrift@knchr.org
kundaa mafunzo, kwa makundi yote • Kutoa nakala
kampeni na utetezi yanohusiana na ya ripoti kuhusu Afisiya Wajir:
kuhusu haki za kesi hiyo/suala uchunguzi huo Barabara ya Uwanja wa ndege/hudu-
kinadamu pamoja hilo. kwa makundi maza Umma – (Airstrip Road/Public
na kushirikiana yote yanohusiana Works)
S.L.P. 363-70200 Wajir Simuya afisi-
na washika-dau na kesi hiyo/sua-
ni: (046)-421-512
wengine walio la hilo.
Barua-pepe:
nchini Kenya. northernkenya@knchr.org

Afisi ya Mombasa inapatikana:


Karibu na barabara ya Panal
Freighters Lane kando ya Haille
Selassie
S.L.P. 90171 - 80100 Mombasa
Simu ya afisini: (041)-2220468 /
2220584
Barua -pepe:
coast@knchr.org

Afisi ya Kisumu inapatikana:


Jengo la Central Square, gorofa ya
pili, Barabara Oginga Odinga,
S.L.P. 1967-40100
Simu ya afisini: (057)-2020078
Barua - pepe:
kisumu@knchr.org
2270000/2303000/2603765/2441211
/8030666

17
Namb Jina La Majukumu Faida zinzazopatikana Jinsi Unavyo Weza Jinsi unavyo weza
Kituo kituoni hicho Kushirikiana Na kuwasilianana
kituo hicho kituo hicho

5 Shirika Shirika hili limekabidhiwa


majukumu mbalimbali ya
Baadayakufanyauchun- Lina uwezo mkuu
wa kuchunguza
guziwowote, shirikahil-
KatibuMkuu,
Shirika la kushu-
linaloshu-
ghulikia kutekeleza kupitia kwa ilaweza: malalmishi dhidi ghulikia Ute-
Utekelezaji- Katiba pamoja na Kifun- ya maafisa wa- kelezajiwa Haki,
wa Haki. gu kinacholipa Shirika la • Kupendekeza suala naotendakaziwa Orofayapili,
Uekelezajiwa Haki mamla- lishughulikiwe na Mku- umma, kuanzisha afisiyaWest End
ka ya kushughulikia usawa rugenzi wa Mashtaka ya kesi, fanya ua- Towers Mkaba-
katika utendaji maongozi, Umma Refer au shirika muzi juu ya kesi lana Shule ya
suala lililomuhimu chini yalingine lililo na uwezo husikakirasmi, Upili ya Aga Khan,
Kifungu nambari 47 kina- wa kushughulikia suala kupendekeza su- kando ya baraba-
cho shughulikia masuala hilo. luhisho mwafaka ra yaWaiyaki Way
ya Katiba. Majukumu ya • Kutoa mapendekezo la na hatakutoa - Westlands
Shirikahilini: mwafaka na yaliyo na malipo/ridhaa S. L.P. 20414 –
uwezo wa kumfaidi ikiwayahitajika. 00200
- Kuchunguza malalamishi mlalamishi. Nairobi, Kenya.
yanayohusiana na ma- • Pendekeza mbinu
tumizi mabaya ya mamlaka, zingine mwafaka za Nambariza-
kubaguliwa, kunyimwa haki kusuluhisha suala au Simu: +254-20-
ama kunyanyaswa ambako kuleta suluhu.
ni kunahusiana na ukiukaji • Kutoa nakala za
wa sheria na dhuluma ama uchunguzi uliofanywa
kuozingatia haki au maten- kwa washika – dau
do ya yasiyoridhisha had- wote wanaohusika.
harani kwa watumishi wa
sekta ya umma;

Kutoa ripoti kwenye Bunge


la Kitaifa kuhusu malalami-
shi yaliyofanyiwa uchunguzi
na hatua iliyochukuliwa
kuhusiana na uchunguzi
huo; na
- Kuchunguza tuhuma
zinazohusiana na ute-
lekezaji wa viongozi katika
utekelezaji wa wajibu,
kuchelewa, kunyimwa kazi
12 katika kimaongozi, kukose-
wa uungwana, kutokuwa na
uwezo wa kutekeleza wa-
jibu ipasavyo, tabia mbaya,
kutokuwa na uwezo wa
kutimiza majukumu inavyo-
paswa/inavyostahili katika
huduma za umma.

18
Namb Jina La Majukumu Faida zinzazo- Jinsi Unavyo Weza Jinsi unavyo weza ku-
Kituo patikana kituoni Kushirikiana Na wasilianana kituo hicho
hicho kituo hicho

6 Mkurugenzi - Huanzisha na pia • Faini Afisi ya Mkurugenzi wa


wa Mashtaka anaweza kukabidhiwa ili • Kukamata Mashtaka ya Umma,
ya Umma. kuendeleza kesi zinazo- • Kifungo, Jengo la NSSF, Block a,
husiana na uhalifu. • Kutoa huduma 19th Floor
kwa jamii, Barabara ya Bishop,Nai-
- Kusitisha kesi kwa • Kifungo cha robi
kupewa ruhusa na ma- nje. S.L.P. 30701-00100
hakama ikichukuliwa na GPO, Nairobi
Mkurugenzi wa Mashta-
ka ya Umma ikiwa katika Simu ya Afisini Nairobi ni:
awamu yoyote mradi tu +254 202732090
hukumu iwe haijatolewa. Barua - pepe:
info@odpp.go.ke

Simu ya Afisi ya Kisumu:


057-2024620

Shirika Kulinda ardhi ya umma, Shirika la kitaifa linalo


7 la kitaifa pendekeza sera za ardhi shughulikia masuala ya
linaloshughu- kwa serikali yakitai- ardhi,
likia masuala fa,pendekeza kipindi cha Nyumba ya Ardhi House,
ya ardhi. kusajili hati-miliki za Mtaa wa kwanza wa
ardhi, na Kuchunguza Ngong Avenue, kando ya
madhara ya ukiukaji wa Ngong Road,
haki kuhusu ardhi ulio- S.L.P. 44417 –00100,
fanywa kihistoria. Nambari ya Simu:
+254 20 2718050

Barua-pepe:
info@ nlc.or.ke

19

You might also like