You are on page 1of 8

REQUIEM MASS FOR THE LATE MASS PROGRAMME

Hon. Mzee Lawrence Mulama Itolondo 1) 9.00 a.m - Arrival of the Body
6 SEPTEMBER 2023
TH
2) 9.00 a.m to 9.45 a.m -Viewing of the Body
Born: 1932
Rested: 28th August 2023 3) 10.00 a.m - Holy Mass
4) Recognition of those present
5) Speeches (Tentative list)
▪ Wife
▪ Representative by one of the Children
▪ A sister
▪ Dr. Theophilus who will sing two gospel hymns
6) The Eulogy
7) Announcements
8) Exit

1 Thessalonians 4:13-14 (NIV):


"But we do not want you to be uninformed, brothers and sisters, about
those who are asleep, that you may not grieve as others do who have no
hope. For since we believe that Jesus died and rose again, even so, through
Jesus, God will bring with him those who have fallen asleep."

Page 1 of 8
ENTRANCE: NJOONI TUMFANYIE SHANGWE MASS: AMECEA
Utuhurumie
Viongozi Wote Bwana utuhurumie (ee Bwana) – Bwana utuhurumie x 2
1) Njoni tumfanyie shangwe Mungu wetu Njoni tumfanyie Kristu utuhurumie (ee Kristu) - Kristu utuhurumie x 2
shangwe Mungu wetu Bwana utuhurumie (ee Bwana) – Bwana utuhurumie x 2
Inukeni wote tuimbe pamoja “ “ “
Utukufu
“ “ “
1) Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Kwa miondoko ya raha na kucheza “ “ “
Na amani kote duniani (Kwa watu)
“ “ “
Wenye mapenzi mema
Kwa ngoma safi tamu na za midundiko “ “ “
“ “ “
KIITIKIO: Tunakusifu Baba tunakuhesimu
Twakuabudu sisi tuanakutukuza
KIITIKIO: Makofi x3 (tumpigie) makofi x 4

2) Ona ametenda wema wa ajabu 3) Tumpungieni 2) Twakushukuru Mungu kwa ‘tukufu’ wako 3) Bwana wetu
mikono kwa madaha mkombozi Yesu Kristu
Machozi ameyageuza kicheko Ajue kwamba Mkuu ewe Mungu Mfalme (Ee Baba) Mwana wa
leo tumefurahi pekee wake Mungu (Uliye)
Tumwimbie leo masifu yeye Na shingo Wa mbingu Baba yetu Mwana
zinesenese kwa midundo Kondoo wa Mungu
Tukipiga piga vifua kwa maringo Mwili
uyumbeyumbe kushoto kulia 4) Unayeziondoa dhambi zetu 5) Wewe
Mwili unayeketi kuume kwake
uyumbeyumbe kushoto kulia Za dunia utuhurumie (Pokea) Baba
utuhurumie (sikia)
4) Njoni tumfanyie shangwe Mungu wetu Pokea ombi letu Sikia ombi
Wajue kwamba Mungu anawapenda letu
Umati wote turukeruke juu
Tusisite Mungu yu katikati yetu 6) Kwani peke yako ndiye Bwana pekee 7) Kwa umoja
wa Roho, Mtakatifu
Yako mkuu na Mkombozi (Pekee) Ndani yake
Bwana watukuzwa (Ee Yesu)
Pekee Yeu Kristu Milele na
milele.
Page 2 of 8
Mtakatifu There is one thing I ask of the Lord, and only this I seek;
Mtakatifu, mtakatifu Bwana - Mungu wa majeshi x2 To live in the house of the Lorad all the days of my life.
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa To gaze on the beauty of the Lord, to inquire at his temple. R
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2
O Lord hear my voice when I call, have mercy and answer me.
KIITIKIO: (Hosanna juu x4 mbinguni ) x2 Of you my heart has spoken,
It is your face O Lord that I seek, hide not your face from me.
Mbarikiwa anayekuja x2
R
(Mbarikiwa x2 anayekuja kwa (jina x2) lake Bwana) x2
I believe I shall see the Lord’s goodness in the land of the
Fumbo La Imani
living
Yesu Kristu alikufa,
Yesu Kristu kafufuka Wait for the Lord, be strong, be stouthearted, and wait for
Yesu Kristu atakuja, atakuja kwetu tena x2 the Lord. R

Mwana Kondoo 2ND READING: Revelations 21: 1 – 5a, 6b – 7


Mwana kondo wa Mungu OFFERTORY: SASA WAKATI UMEFIKA
Uondoaye dhambi – za dunia ee utuhurumie x2
KIITIKIO: Sasa wakati umefika, wa kushika nilicho nacho
Mwana kondoo wa Mungu uondoaye dhambi (mimi)
Za dunia ee Bwana Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi
Utujalie amani Sasa wakati umefika , kwenda mbele ya Mungu
wangu (ili)
1ST READING: 2nd Maccabees 12: 43 – 45 Aone nilivyo andaa zawadi ya leo
Nitamwambia Bwana pokea (hiki), Kidogo
RESPONSORIAL PSALM nilicho nacho
Response: I believe I shall see the Lord’s goodness in Kwani Mungu wewe wanijua (mimi), siwezi hata
the land of the living kueleza
Nakusihi sana Baba, unipokee
The Lord is my light and my salvation, whom shall I fear Nigawie na Baraka, niwe salama.
The Lord is the stronghold of my life, whom should I dread? R
Page 3 of 8
1) Mema yote niliyokuwa nayo yametoka kwa Mungu Peleka kwa Bwana, uliojaliwa x2 Tupate
Hivyo nami nikose kusahau kumshukuru. Baraka, mbele zake Bwana x2
Kwani kuwepo hapa leo hii ni kazi ya nani?
Kamwe mimi sitapata uwezo pasispo Mungu. 4) Sadaka ya fedha, fedha za mifuko 5) Mavuno,
mifugo, ni mali ya Bwana
2) Mema aliyo tenda Mungu nijibu lini na vipi? Amka upeleke, mezani mwa Bwana x2 Amka
Mbona hofu yazidi kuwa ndani ya moyo wangu? upeleke, mezani mwa Bwana x2
Mbele za Bwana Mungu wangu kufanya siri ni bure
Yeye ndiye mpanga mambo yote ya wanadamu 6) Mavuno, mifugo, ni mali ya Bwana
Amka upeleke, mezani mwa Bwana x2
3) Pumzi inayonipa uhai inatoka kwa nani?
Bila Mungu hakika mwanadamu siwezi kitu 7) Twende ndugu twende, mbele zake Bwana
Nimepata nafasi hii ya leo kwenda kutoa zawadi Tupeleke nafsi, zetu kwake Bwana x2
Heri niende ya kesho sio yangu ajua Baba
COMMUNION: ROHO YANGU YESU
4) Ee muumba wa vyote duniani na vyote vya mbinguni
Mimi leo nakuja kwake Baba, nihurumie KIITIKIO: Roho yangu, Yesu inakutamani
Baba wewe ndiwe unayetawala kulala na kuamka Njoo kwangu Yesu unipe heri x2
Juu yangu utake nini Baba lisifanyike.
1) Unilishe Yesu mwiili wako 2) Maumbo ya
OFFERTORY PROCESSION: TUSIMAME NDUGU mkate na divai
1) Tusimame ndugu (leo), twende kwake Bwana (kweli) Uninyweshe Yesu damu yako Umo ndani
Tusisite ndugu kweli nasadiki
Amka twende hima x2
3) Nakupenda kwani wewe mwema, 4) Naja
KIITIKIO: Beba mikononi, uliojalia kwako Yesu nipokee
Peleka kwa Bwana, upate baraka x2 Uniimarishe siku zote Uniongoze
kwa wema wako

2) Peleka kwa moyo, moyo wa mapendo 3) Mkate 5) Uje kwangu Yesu nakungoja 6) Na uzidi
divai, tupeleke kwake Yesu kuwa nami

Page 4 of 8
Kwani wewe u rafike mkuu Unipe Pokea sifa zangu, zinazotaka katika kinywa
uzima wa milele changu
Mimi na moyoni wangu x2
POKEA MOYO WANGU
KIITIKIO: Pokea moyo wangu ee Mungu wangu 1) Katika makusanyiko, nitaziimba zaburi
Niweze kukupenda kwa pendo lako Nitazitangaza sifa, zako daima milele
Unipe moyo wako Kwenye madhabahu yako, nitaitoa sadaka
Ewe Yesu Mkombozi wangu shinda kwangu Ile yakukupendaza, ee Mungu Muumba wangu
Nami daima kwako. 2) Umenitendea mengi, mema yasiyo idadi
Ninakushukuru Bwana, ee Baba Muumba wangu
1) Onjeni mwone kwamba Bwana yu mwema Nikiyakumbuka yote, machozi yanimwagika,
Na heri yule mtu, Machozi ya furaha, ni machozi ya upendo
Anayetumaini Yesu Kristu
3) Usiache Bwana, na wala usinitupe
2) Katika nguvu za ngiza, katutoa Ukinitupa wewe, nani ataniokota
Nakutufungulia Ndiwe msitiri wangu, katika dunia hii
Katika Ufalme pendo Ndunia yenye mateso, na yenye mahangaikO

3) Habari njema alituhubiria, EXIT HYMN: EE MAMA YETU MARIA


Nakutufungulia
Akatangaza mwaka wa neema
KIITIKIO: Ee Mama yetu Maria, twaomba sana ee Mama
4) Mchungaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesu, Usituache gizani, kwa mwanao tuombee x2
Sikosi kitu kamwe, huniongoza kwenye njia nyofu
5) Baraka ne heshima na utukufu, 1) Mama yetu Maria, utusikilize,
Na uwezo kwa yeye Sisi wanawako tunaosumbuka
Mwanakondoo wa Mungu milele. Maisha yetu Mama, hayana furuha
Tujaze neema, tupate baraka
THANKSGIVING: NINAKUPENDA MUNGU
KIITIKIO: Ninakupenda Mungu, ninakupenda wewe 2) Utuombee kwake, mwanao mpendwa,
Milele na milele, ninakutukuza Atutie nguvu, tushinde maovu
Ndunia kuna giza, dunia ni ngumu
Page 5 of 8
Bila nguvu zake hatuwezi kitu BWANA U SEHEMU YANGU
1) Bwana U sehemu yangu 2) Mali
3) Tuombee Maria, tuombee Mama hapa sikutaka
Ili wana wako, wafike mbinguni Rafiki yangu wewe Ili
Maisha yetu Mama hayana furaha: Tujaze neema, tupate
niheshimiwe
baraka
Katika safari yangu
FUNERAL HYMNS Nayanikute mashaka
CHA KUTUMAINI SINA Tatembea na wewe
1) Cha kutumaini sina 2) Njia Sawa sawa na wewe
yangu iwe ndefu Pamoja na wewe x2
Ila damu yake Yesu Pamoja na wewe x2
Yeye hunipa wokovu Katika safari yangu
Sina wema wakutosha Heri nikute mashaka,
Mawimbi yakinikinga Tatembea na wewe
Dhambi zangu kuziosha Sawa sawa na wewe
Nguvu zake ndizo nanga
3) Niongoze safarini
Kiitikio Mbele ya unichukue
Kwake Yesu nasimama Mlangoni mwa mbinguni
Ndiye Mwamba ni salama x 3 Niingie na wewe
3) Nikiitwa hukumuni 4) Pamoja na wewe x2
Damu yake na sadaka, Mlangoni mwa mbinguni
Rohoni nina amani Niingie na wewe
Nategemea daima
Nikivikwa haki yake ATAKAPOKUJA BWANA YESU
Yote chini yakiisha 1) Atakapoja Bwana Yesu mawinguni, )
Sina hofu mbele zake Atakapoja kwa umeme na ngurumo ) x2
Mwokozi atanitosha
Kiiitikio
Page 6 of 8
Viongozi: Sauti x2 Wote: Zitalia parapanda Tufikapo kule tutamwona Baba, tembea na Bwana
zitalia x2 Yesu.
Na wafu watakuwa
wamekwisha kufufuka 4) Kitambo kidogo tutafika huko, tembea na Bwana Yesu
Na kwenda Kumlaki Bwana Kule ambapo tutakaa milele, tembea na Bwana Yesu.
Yesu Mawinguni
2) Wasio na dhambi watamwona Mwokozi )
POKEA MOYO WANGU
Walio na dhambi waogope kwa ngurumo ) x2
Kiitikio: Pokea moyo wangu ee Mungu wangu
3) Jiadhari ndugu siku zake Bwana Mungu ) Niweze kukupenda kwa pendo lako
Atakapokuja kama mwizi alisema ) x2 Unipe moyo wako, ewe Yesu Mkombozi
wangu)
Shinda kwangu, nami daima kwako
KATIKA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI ) x2
1) Katika safari ya kwenda mbinguni, tembea na Bwana
Yesu 1) Onjeni muone kwamba Bwana yu mwema
Katika safari Yetu tuongoze, tembea na Bwana Yesu Na heri yule mtu
Anaye tumaini Yesu Kristu
KIITIKIO: Tembea naye x2
Tembea na Bwana Yesu 2) Katika nguvu za giza katutoa
Ingawa usiku ingawa mchana, tembea Na kjutukaribisha
Tembea na Bwana Yesu Katika Ufalme wa pendo lake

2) Safari ni ndefu ya kwenda mbinguni, tembea na Bwana


Yesu
Tufikapo kule tutapumzike, tembea na Bwana Yesu. 3) Habari njema alituhubiria
Nakutufungulia
3) Makao mazuri tayari mbinguni, tembea na Bwana Yesu Akatangaza mwaka wa neema

Page 7 of 8
4) Mchangaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesu NEARER MY GOD TO THEE
Sikosi kitu kamwe 1) Nearer my God to thee, nearer to thee
Huniongoza kwenye njjia nyofu Even though it be a cross, that raises me.
Still all my song shall be, nearer my God to thee
Nearer my God to thee, nearer to thee
5) Baraka na heshima na utukufu
Na uweza kwa yeye 2) Deep in Thy Sacred Heart, let me abide
Mwanakondoo wa Mungu Milele. Thou who has bled for me, sorrowed and died
Sweet shall thy weeping be, grief surely leading me
O LORD MY GOD Nearer my God to thee, nearer to thee
1) Lord my, when I in awesome wonder
Consider all, the works thy hands have made. 3) Friends may depart from me, night may come down
I see the stars, I hear the rolling thunder Clouds of adversity , darken and frown
Thy power throughout, the universe displayed Still through my tears I’ll see, hope gently leading me
Nearer my God to thee, nearer to thee
CHORUS: Then sings my soul, my savior God to
thee
How great thou at, how great though

2) And when I think, that God His Son not sparing


Sent Him to die, I scare can take it in
That on the cross, my burden gladly bearing
He bled and died, to take away my sins.

3) When Christ shall come, with shouts of acclamation


And take me home, what joy shall fill my heart
When I shall bow, in humble adoration
And there proclaim, my God how great thou art.

Page 8 of 8

You might also like