You are on page 1of 1

DEO WOOD WORKS.

Location: Vijibweni-Kigamboni, barabara ya shimo la mchanga


Contacts: +255 767 786 268
Email: dioclesdeogratias797@gmail.com
MAKUBALIANO YA KAZI:
Na…………………………………………tarehe…………………………..

I. Jina la Mteja…………………………….Simu No…………………………


II. Kazi iliyo/zilizoagizwa na mteja
i. ………………………………………………
ii. ………………………………………………
iii. ………………………………………………
iv. ………………………………………………
III. KIPINDI CHA MAKUBALIANO
i. Tarehe ya kuanza kazi…………………………………..
ii. Tarehe ya kukabidhiwa kazi…………….........................
IV. MALIPO
i. Jumla ya gharama ya kazi nzima Tshs…………………..
ii. Kiasi cha malipo ya awali Tshs………………………….
iii. Kiasi cha malipo ya mwisho Tshs………………………….
V. MASHARTI YA KUZINGATIA
i. Bidhaa/kifaa kitachukuliwa baada ya kukaguliwa.
ii. Bidhaa/kifaa kikishachukuliwa hakitarudishwa na kukubaliwa isipokuwa kwa
makubaliano mapya.
iii. Endapo malipo yatachelewa kwa majuma mawili au Zaidi ya muda wa makubaliano
mteja atalazimika kulipia Tshs 3,000/= kila siku kwa ajili ya ulinzi pia ikipita Zaidi ya
mwezi mmoja kabla bidhaa/kifaa hakijalipiwa na kuchukuliwa basi kitauzwa na pesa
iliyotangulizwa haitarudishwa.

Sahihi ya mteja……………………………Tarehe…………………………………
Jina la Fundi………………………………Tarehe…………………………………
Sahihi ya Fundi……………………………

You might also like