You are on page 1of 15

BEMBEA YA MAISHA

MFULULIZO WA 1 (DONDOO)

Maswali Matarajiwa ya dondoo Katika

Mtihani Mkuu wa KCSE

MFULULIZO WA 1

Ukihitaji majibu,

Pigia Bw. Isaboke 0746 222 000

AU 0742 999 000

MWALIMU CONSULTANCY
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA
MARUDIO HALAHALA-MASWALI
1."...anachukua vidonge vyake na kuvimeza kabla ya kuketi kwenye kochi
mpya."
a.Weka dondoo hili katila muktadha wake.(al.4)
b.Tambua aina ya taswira katila dondoo hili.(al.2)
c.Eleza umuhimu Wa mandhari ya dondoo hili.(al.14)

2."Miaka yote hiyo ningali mzima Wa afya yangu mbona sikufanya ajizi?"
a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Eleza kinachopelekea msemaji kuyasema maneno haya(al.4)
c.Msemaji Wa maneno haya anakumbwa na madhila.Thibitisha katika tamthilia
nzima.(al.12)

3."Mwache mtoto apumzike.Hivi atayashika mangapi?

a.Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b.Fafanua umuhimu Wa mbinu ya lugha katika dondoo hili.(al.4)
c.Eleza Toni mbili katika dondoo hili.(al.4)
d.Mtoto anayerejelewa ameyashika mambo mengi.yataje(al.8)

4."Jambo hili limewashinda hata wanaume wenye mishahara minono serikalini"

a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Tambua Jambo linalorejelewa.(al.2)
c.Onyesha jinsi wahusika wa kike Tamthiliani wameweza kubobea katika Jambo
hili.(al.6)
d.Fafanua umuhimu Wa msemaji Wa maneno haya.(al.8)

5."Fimbo wanarithi watoto Wa kiume."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Tambua maudhui katika dondoo hili(al.2)
c.Fafanua jinsi maudhui uliyotambua hapo juu yalikandamiza jinsia ya kike.(al.14)

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 2
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

6."Ninasema tu kwamba mzigo uliotuondolea ni mzito..."

a.Fafanua muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b.Eleza sifa nne za msemewa Wa maneno haya.(al.4)
c.Eleza umuhimu Wa mazungumzo kati ya wahusika katika dondoo hili.(al.12)

7."Pamoja na hali ngumu iliyopo..."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Kwa kurejelea tamthilia nzima,thibitisha kuwa hali ni ngumu.(al.16)

8."...Siku zote maisha sawa na safari."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(Al.4)
b.Tambua tamathali katika dondoo hili.(al.2)
c.Thibitisha jinsi Maisha ni safari Kwa kurejelea tamthilia nzima.(al.14)

9."...ninajua amepitia mitihani..."

a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Eleza umuhimu Wa mandhari ya dondoo hili.(al.10)
c.Fafanua mitihani ambayo mrejelewa amepitia.(al.6)

10."Kabla kielee kimepigwa shoka"

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.thibitisha ukweli Wa kauli kuwa 'kabla kielee kimepigwa shoka'(al.16)
This work belongs to Mwalimu Consultancy - 0746222000

11."Pamoja na ulevi wake,...alianza kumpiga..."

a.Fafanua muktadha wa dondoo hili.(al.4)
b.Taja warejelewa wawili katika dondoo hili(al.2)
c.Ni Nini kinachosababisha ulevi wa anayerejelewa?(al.4).
d.Fafanua athari za ulevi kulingana na tamthilia.(al.10)

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 3
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

12."Lakini inakujuzu uelewe kwamba Dunia ni nyumba ya mitihani"

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua sifa za msemaji Wa maneno haya.(al.6)

13."Mimi ninashukuru Kwa Hawa alionipa Mungu"

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Eleza mbona msemaji Wa maneno haya anafaa kushukuru Kwa alompa
Mungu.(al.6)

14."wenyewe tumewafanya hivyo.Mila na desturi zetu zimewajenga walivyo

na sisi tulivyo."
a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua jinsi Mila imewajenga wao walivyo na sisi tulivyo.(Al.16)
(I)Jinsi Mila imetujenga sisi-sisi ni wanawake (al.8)
(II)Jinsi Mila imewajenga wao-wao ni wanaume.(al.8)

15."Kila zuri ulitakalo ni mpaka ufike hapa mjini."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua umuhimu Wa mandhari ya dondoo hili.(al.6)

16."Mwanangu,umejaliwa watoto ujanani mwako."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua umuhimu Wa mwana anayejaliwa.(al.4)
c.Eleza jinsi mwana huyu amejaliwa.(al.12)

17."...lakini ni kama baba hakututhamini."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua sifa nne za msemaji Wa maneno haya.(al.4)
c.Thibitisha kuwa msemaji na wahusika wengine Wa jinsia yake tamthiLiani
hawakuthaminiwa.(al.12)

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 4
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

18."...Lakini itokeapo mara Moja likapiga wimbi Kali basi sisi huliona wimbi
Hilo na kusahau mengi mazuri"

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)

b.Tamthiliani Kuna mengi mazuri,yataje.(al.16)

19."Maisha ya Sasa hayana ufundi."

a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Eleza mbinu mbili za lugha katika dondoo hili.(al.4)
c.Thibitisha jinsi Maisha hayana ufundi.(al.12)

20."Haufai kujihurumia Wala kujililia."

a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Eleza sifa nne za msemaji Wa maneno haya (al.4)
c.Eleza Kwa Nini msemewa hafai kujililia.(al.12)

21."Mambo mengi yanatuendesha kuliko sisi kuyaendesha."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Thibitisha namna mambo yanawaendesha wahusika Tamthiliani.(al.16)

22."Mila hizi zinatufanya watumwa."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Tambua maudhui katika dondoo hili.(al.2)
c.Fafanua maudhui uliyotambua Kwa kurejelea tamthilia nzima.(al.14)

23."Eti alama!My foot!"

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua sifa za msemaji Wa maneno haya.(al.6)

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 5
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

24."Mimi wajibu wangu kwenu nimeutimiza."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Eleza jinsi msemaji Wa maneno haya ametimiza wajibu wake.(al.8)
c.Fafanua umuhimu Wa msemaji Wa maneno haya.(al.8)

25."...nyumbani pakigeuka jeshi la Kambi nitafanyaje!"

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua sifa nne za msemaji Wa maneno haya.(al.4)

26."Dunia imebadilika.Ya zamani yamepita."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake,(al.4)
b.Tambua maudhui katika dondoo hili.(al.2)
c.Fafanua manufaa ya maudhui uliyotambua.(al.14)

27."Ninavaa vizuri na kujivisha tabasamu ila ndani viraka na huzuni tele."

a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b)Tambua mbinu Moja ya kimtindo.(al2)
C)Eleza mambo yanayomjaza msemaji viraka(al.14)

28."Mtu huyo atakosaje kuwa zawadi kwako?

a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Fafanua namna mtu huyo ni zawadi Kwa msemaji Wa maneno haya.(al.8)
c.Fafanua umuhimu Wa msemaji Wa maneno haya.(al.8)

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 6
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

29."Nilikupata wapi?"uk51
a.Weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b)Taja mbinu mbili za lugha katika dondoo hili(al.2)
C)Tambua Toni katika dondoo hili (al.2)
d)Onyesha jinsi mrejelewa na wahusika wengine Wa jinsia yake
wamenyanyaswa.(al.12)
Rejelea.

30."Kule shuleni hawafundishi kunga za ndoa.Ndoa ni mtihani mkubwa

kabisa."
a.weka dondoo hili katika muktadha wake.(al.4)
b.Tambua maudhui katika dondoo hili.(al.2)
c.Fafanua mtazamo Wa msemaji Wa maneno haya kuhusu taasisi
inayorejelewa.(al.6)
d.Fafanua mitihani ya ndoa(al.8)

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 7
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

Ukihitaji majibu,

Pigia bw. Isaboke

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 8
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

THE END

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 9
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

SET BOOKS AVAILABLE WITH US

 Artist Of The Floating World
 Bembea Ya Maisha
 Mapambazuko Ya Machweo
 Nguu Za Jadi
 Fathers Of Nations
 Silent Songs And Other Stories
 A Parliament Of Owls
 The Samaritan

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 10
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

OTHER SETBOOKS GUIDES AVAILABLE

SETBOOK GUIDE QUESTIONS VIDEOS CONTACT

&
ANSWERS
Bembea Ya Maisha
0746-222-000
  
Mapambazuko Ya
Machweo 0746-222-000
  
Nguu Za Jadi
0746-222-000
  

ENGLISH SETBOOKS
Fathers Of Nations
0746-222-000
  
Silent Songs And
Other Stories 0746-222-000
  
A Parliament Of
Owls 0746-222-000
  
The Samaritan
0746-222-000
  
Artist Of The
Floating World 0746-222-000
  

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 11
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

FOR THE FOLLOWING;

 ONLINE TUITION
 REVISION NOTES
 SCHEMES OF WORK
 SETBOOKS VIDEOS
 TERMLY EXAMS
 QUICK REVISION KITS
 KCSE TOPICALS
 KCSE PREMOCKS
 TOP SCHOOLS PREMOCKS
 JOINT PREMOCKS
 KCSE MOCKS
 TOP SCHOOLS MOCKS
 JOINT MOCKS
 KCSE POSTMOCKS
 TOP SCHOOLS PREDICTIONS
 KCSE PREDICTIONS
 KCSE REVEALED SETS
MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000
PAGE 12
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

CALL/TEXT/WHATSAPP

0746 222 000

or
0742 999 000

mwalimuconsultancy@gmail.com

THIS IS A PRODUCT OF
MWALIMU CONSULTANCY

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 13
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

POWERED BY MR ISABOKE

SUCCESS

REGARDS

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 14
MARUDIO YA BEMBEA YA MAISHA

MFULULIZO WA 1- FOR MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000

PAGE 15

You might also like