You are on page 1of 6

tUMAHIRI UMAHIRI SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI MWEZI WI VIPIN REJEA VIFAA/ZANA ZA ZANA ZA MAONI

MKUU MAHUSU KI DI UFUNDISHAJI UPIMAJI


SI
1.0KUTUMI 1.1KUTU Kuwaelekeza wanafunzi kuhesabu kwa J 2 5 Kadi za namba, sinia la Mazoezi,m
A LUGHA MIA mafungu na kubainisha thamani ya namba, vifani vya noti aswali na
YA DHANA nafasi za tarakimu katika namba
A za Tanzania majibu
KIHISABATI YA zisizozidi 1 000 000 000 N T.E.T (2020)
KUWASILISH NAMBA U Hisabati
A WAZO AU KUWASIL kitabu cha
HOJA
A
IANA Mwanafunzi
KATIKA KATIKA
R Darasa la
MAISHA YA I
MAZINGI Saba, Dar es
KILA SIKU
( SEHEMU RA Salaam
YA TOFAUTI. Kuwaelekeza wanafunzi kusoma namba 3 5 Kadi za namba, chati maswali na
KWANZA) nzima zisizozidi 1 000 000 000 ya namba za maneno majibu
zilizoandikwa kwa maneno na
zilizoandikwa kwa tarakimu.
Kwaelekeza wanafunzi kuandika namba 4 5 Abakasi, kadi za maswali na
nzima zisizozidi 1 000 000 000 kwa T.E.T (2020) namba za numerali majibu
numerali na kwa maneno Hisabati
Kuwawezesha wanafunzi kujumlisha 5 3 kitabu cha Kadi za namba, maswali na
namba nzima kwa ulalo na kwa wima Mwanafunzi abakasi, chati ya majibu
kupata jumla isiyozidi 1 000 000 000 Darasa la namba, sinia la namba
kwa kubadili (kuchukua) na bila kubadili Saba, Dar es
(bila kuchukua) Salaam

Kuwawezesha wanafunzi kutoa namba F 1 2 Kadi za namba, maswali na


nzima kwa ulalo na kwa wima hadi 1 abakasi, chati ya majibu
000 000 000 kwa kubadili (kuchukua) na
E namba, sinia la namba
bila kubadili (bila kuchukua) B
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia R 1 3 Chati ya kuzidishia, maswali na
kadi za namba kuzidisha namba nzima U kadi za namba majibu
kupata zao lisilozidi 1 000 000 000
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia
A 2 3 Chati ya kuzidishia, maswali na
chati ya namba kugawanya namba R kadi za namba majibu
nzima zenye kigawanye kisichozidi 1 I
000 000 000 kwa kigawanyo kisichozidi
laki moja. Kwa kubaki namba na bila
kubaki namba
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia 2 2 Chati ya kuzidishia, maswali na
sinia la namba, chati ya kusidisha, kadi za namba majibu
kufumbua mafumbo yenye dhana ya
F
kugawanya.
E

2.0 KUFIKIRI 2.1KUTU Kuwaelekeza wanafunzi kutumia kanuni ya B 3 3 Kadi ya matendo ya maswali na
NA MIA MAGAZIJUTO katika matendo ya namba ya R kujumlisha, majibu
KUHAKIKI STADI ZA kihisabati hadi manne na mabano na U kutoa,kuzidisha na
KATIKA MPANGILI mpangilio wenye matendo na kipeo cha pili A T.E.T (2020) kugawanya
MAISHA YA O cha namba R
Hisabati
KILA SIKU KUFUMB I
(SEHEMU YA UA Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia punje 3 2 kitabu cha Vitu vinavyo uwiano, maswali na
KWANZA) MAFUMB za mahindi kubaini na kurahisisha uwiano Mwanafunzi punje, machungwa. majibu
O KATIKA wa vitu na kukokotoa uwiano wa vitu. Darasa la
MAISHA Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia kadi 4 2 Saba, Dar es Kadi za namba maswali na
YA KILA za namba kukokotoa kipeo cha pili vya Salaam majibu
SIKU. namba isiyozidi tarakimu nne.
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kutumia chati 4 3 Chati ya kuzidisha, kadi maswali na
ya kuzidisha kukokotoa kipeuo cha pili cha za namba majibu
namba isiyozidi tarakimu sita.
3.0KUTATUA 3.1KUTU Kuwaelekeza wanafunzi kwa kadi za I 3 Kadi za kugawanya namba maswali na
MATATIZO MIA michoro ya kugawanya namba nzima, M T.E.T (2020) nzima na sehemu majibu
KATIKA MATEND kugawanya namba nzima kwa sehemu na A Hisabati
MAZINGIRA O YA kurahisisha. C kitabu cha
TOFAUTI NAMBA Kuwaelekeza wanafunzi kwa kadi za H 1 2 Mwanafunzi Kadi za kugawanya maswali na
ZA michoro za kugawanya, kugawanya sehemu I Darasa la sehemu kwa sehemu majibu
KIHISABAT kwa sehemu na kurahisisha Saba, Dar es
I KATIKA
Kuwaelekeza wanafunzi kwa kadi za 2 5 Salaam Kadi za kugawanya sehemu maswali na
KUTATUA kwa desimali
desimali iliyobadilishwa katika sehemu. majibu
MATATIZ
Kugawanya sehemu kwa desimali
O
3.2KUTUMI Kuwaelekeza kuchambua vyanzo vya faida 3 3 Kadi za namba maswali na
A STADI ZA na hasara katika mauzo na manunuzi majibu
UHUSIANO Kupanga mapato na matumizi ya bidhaa Chati ya mauzo na maswali na
WA
mbalimbali. manunuzi majibu
NAMBA NA
VITU Kufanya kazi mradi kuhusu mauzo na M 3 2 Chati ya mauzo na maswali na
KATIKA manunuzi kwa kuzingatia vigezo vya A manunuzi majibu
MIKTADHA kuandaa kazimradi. C
MBALIMBA
H
LI
I

MITIHANI YA KUFUNGIA NUSU MUHULA WA KWANZA 28/03/ HADI 8/04/2024 MITIHANI YA KUFUNGIA NUSU MUHULA WA KWANZA

4.0KUFIKIRI NA 4.1KUTUMIA Kuwelekeza wanafunzi kubainisha kanuni ya mwendokasi na 2 5 Uwanja/eneo maswali na


KUHAKIKI STADI ZA kufafanua vipengele vyake la wazi.
A T.E.T (2020) majibu
KATIKA MAISHA VIPIMO KATIKA
YA KILA SIKU MIKTADHA
Kuwelekeza wanafunzi kukokotoa umbali , muda na P 3 5 Hisabati kitabu Picha za maswali na
mwendokasi, kutumia dhana ya mwendokasi kubaini vitu R cha Mwanafunzi vyombo vya
(SEHEMU YA MBALIMBALI majibu
vinavyosafiri nchi kavu , majini na angani. Darasa la Saba, usafiri,chati
PILI) IL
Dar es Salaam ya kanuni
I
4.2 KUTUMIA Kuwaelekeza wanafunzi kubainisha kimo, kitako, na kiegama 4 5 Kipima maswali na
STADI ZA ZA katika pembetatu mraba na kuzitofautisha. pembe, chati majibu
MAUMBO ya picha ya
KATIKA maumbo
MIKTADHA YA T.E.T (2020)
HISABATI Kutumia kanuni ya Paithagorasi kukokotoa kitako, kimo, na 1 5 Hisabati kitabu Chati ya maswali na
kiegama katika maumbo na kutumia kanuni ya Paithagorasi cha Mwanafunzi mchoro wa
M majibu
katika maisha ya kila siku. Darasa la Saba, pembetatu
EI
5.0KUTUMIA 5.1KUTUMIA Kuwaelekeza wanafunzi kurahisisha mitajo ya namba nzima, 5 Dar es Salaam Chati ya maswali na
LUGHA YA STADI ZA sehemu na desimali katika matendo ya kihisabati. 2 namba majibu
KIHISABATI ALJEBRA
KUWASILISHA KATIKA MAISHA
WAZO AU HOJA YA KILA SIKU Kutumia chati ya namba kukokotoa milinganyo sahili ya namba 3 10 Chati ya maswali na
KATIKA MAISHA nzima sehemu na desmali & namba majibu
YA KUILA SIKU 4
(SEHEMU YA MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA
PILI)

LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA -


31/05/2024- 04/07/2024

Kufumbua mafumbo ya milinganyo sahili ya namba nzima. J 1 10 Chati ya namba maswali na


Sehemu na desimali & majibu
U
L 2
A
I
5.2 KUTUMIA Kuwaelekeza wanafunzi kuchora grafu kwa michiri kwa J 3&4 10 Chati ya maswali na
STADI ZA kuzingatia taarifa muhimu (kichwa cha grafu, vipimo, majira na takwimu,
U majibu
TAKWIMU michiri) karatasi ya
KUWASILISHA L
grafu
TAARIFA A
MBALIMBALI I

Kuwaelekeza kutafsiri grafu kwa michirizi na kufanya kazimradi 1&2 10 Chati ya maswali na
kuhusu takwimu mablimbali kwa kuzingatia vigezo takwimu
A majibu
G
Kuandaa kazimradi kuhusu takwimu mbalimbali kwa kuzingatia O Chati ya maswali na majibu
3&4 10
vigezo S takwimu
T
I

MAANDALIZI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI


HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
SHULE YA MSINGI TULIENI
AZIMIO LA KAZI LA HISABATI DARASA LA VII 2024
MUHULA WA 1&2
JINA LA MWALIMU …………………………………..
: Umahiri utakaojengwa kwa mwanafunzi darasa la VII
Umahiri Mkuu Umahiri Mahsusi
1.01. Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti
katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza).
2.02.Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu 2.1
ya Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika
kwanza). maisha ya kila siku
3.0 3.Kutatua matatizo katika mazingira tofauti. 3.1 Kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatua matatizo
3.2 Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu katika miktadha
mbalimbali
4.0 4.Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu4.1
ya Kutumia stadi za vipimo katika miktadha mbalimbali
pili). 4.2 Kutumia stadi za maumbo katika miktadha ya Hisabati
5.0 5.Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja 5.1 Kutumia stadi za aljebra katika maisha ya kila siku
katika maisha ya kila siku (Sehemu ya pili). 5.2 Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali

MALENGO YA UFUNDISHAJI WA SOMO LA HISABATI KWA SHULE ZA MSINGI


a. Kujenga uwezo wa kufikiri kimantiki kwa mwanafunzi.

b.kujenga udadisi,uwezo wa utatuzi wa matatizo.

c.kuweka misingi muhimuya matumizi ya teknolojia,mawasiliano,ufikiri na tafakuri

d.kujenga uwezo wa kuchambua na kuwasilisha taarifa

e.kukuza uelewa wa mambo, vipimo na matumizi yake katika maisha

f.kujenga uwezo wa kujiamini katika kutumia maarifa, stadi na mwelekeo wa kihisabati katika maisha ya kila siku.

You might also like