You are on page 1of 11

RIWAYA YA BARAKA ZA MAMA

Riwaya ya Baraka za Mama ni riwaya ilioandikwa na Vicent M Tweyambe mnamo


mwaka wa 2018 nchini Uganda.Riwaya hii inazungumzia juu ya maisha ya kijana mmoja
Baraka ambaye anafiwa wazazi wake na kuachwa chini ya ulezi na Ami yake Aitwaye
Baguma.Riwaya hii Ina wahusika kadha kama vile Mariamu,Baguma ,Mandela,Twese na
madikizela.

MAUDHUI KATIKA RIWAYA YA BARAKA ZA MAMA

BARAKA
Baraka ni hali ya mtu kupata nafasi au maisha mazuri katika maisha yake .Tunaona Baraka
Fulani katika riwaya ya Baraka za mama.

[A] Mhusika Baraka baada ya kufiwa na mama yake ami yake Baguma anamhadi kumlipia karo
kutoka shule la msingi mpaka chuo kikuu. Hatimaya ahadi hiyo ilitimika na Baraka akasoma
kozi ya uanasheria.Jambo hili linadhihirisha maudhui ya Baraka.

[B] Wakati Baraka akiwa basini akielekea kwa ami yake Entebbe wanafika sanga na police
wakiwa wasimamishakwa ajili ya ekisesi [kuwa wengi garini] baada ya kushuka basi hiyo ,gari
jingine likaja na kuwachukua jambo hili linaonesha Baraka wa husika Fulani waliyopata.

[C] katika riwaya ya Baraka za mama,mhusika Baraka anatuelezea namna alivyonusurika


miongoni mwa wale wote waliokufakwa kupata ajali katika barabara ya lami ya Masaka. Hili
ilikuwa Baraka ya mhusika Baraka kwa kutokufa miongoni mwa wale wengi.

Baraka anapata baraka wakati alivyobahatika kupata kazi kwa kampuri ya mhindi Ruviraj
group of canpanies.Alikuwa miongoni mwa wale wachache waliopate kazi .hili nayo ni Baraka

Baraka akiwa kwa nyumba ya mandeta akaishi maisha mayuma lakini siku moja wakasoma
gazeti la daily monitor wakapata kazi katika uwanja wa ndege Entebbe. Jambo hili linaonesha
Baraka Mandela na Baraka waliyopata katika maisha yao.

Baraka akiwa anafanya kazi katika uwanja wa ndege wa taifa alisingiziwa kuwa ndiye aliva
mlinzi katika kituo cha ndege akatiwa jelani na kushtakiwa lakini kwa bahati nzuri ushahidi
ukagunduliwa kuwaami yake ndiye alipanga njema ya kumwua. Rafiki yake madikizela ndiye
alimsaidia kulate ushahidi,mwishoni Baraka akaachiwa uhuru

Baraka baada ya kuachiwana uhuru kutoka jela akapata bahati nzuri na kuolewana na
msichana madikizela aliyekuwa anatamani kwa muda mrefu ,wakazaa watoto watatu yaani,
makeba , kimathi, na kambarage . Jambo hili linaonyesha Baraka ali yopatamhisika Baraka.

Katika riwaya hii tunaona kabla mamake Baraka kufa,anamtakia mtoto wake Baraka za mama.
Tunamwona akiwa hospitali mulago anamwambia mtoto wake kujitegemea. Maneno hayo

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 1


mamake Baraka aliyomwambia yanaonyesha maudhui na Baraka alizompatia mwana wake na
mwishowe akazipata .

Mandele naye akapata Baraka wakati anapopata kazi katika uwanja wa ndege Entebbe .alikuwa
katika wachache waliopata kazi baada ya muda mrefu bila kuwa kazi.

Watoto wa Baguma nao ni wenye Baraka , kwa mfano baada ya kusoma wote wakapata kazi
nzuri. Mfano Tom ali kuwa anafanyia benki kuu ya taifa,Nobel ali kuwa rubani wa kampuni ya
ndege nchini Rwanda.

UVUMILIVU

Baraka anavumilia maisha magumu ya chuoo kikuu wakati alipokuwa akisoma.Hata


hivyo,anavumilia hali ngumu ya kazi katika kampuni ya mhindi.

Mamake Baraka mariam alivumilia maisha maguma aliishi baada ya kufukuzwa kutoka kwa
nyumba ya mama Baraka alifukuzwa nyumbani akiwa mjamzito. Alihamia katika kibandakatika
kituo cha biashara Rutoma maisha yalikuwa maguma kabisa.

Baraka alivumilia maisha ya bila kazi katika nyumba ya ami wake Baguma akifanyau kazi za
nyumbani kwa muda mrefu kabla aliumua kuhamia kwa rafiki yake Mandela.

Jack anaonasha uvumilivu wakati aliposubiri Rose aliyeonda ngambo hadi akarudi nyumbani
baada ya Rose kurudi nyumbani , akapendana na Jack na mwishoni wakaolewanau” mvumilivu
hula mbivu”

Elimu

Madikizela alisomea chuo kikuu cha makerere alisoma kazi ya uwekili

Baraka alisoma hadi chuo kikuu .

Katika riwaya kuna mhusika Daktari msomali ambaye anadhihirisha elimu

Watoto wake Baguma ami yake Baraka wanakizungumza kingereza kwe upesi wa samaki
kuogelea majini kuchanganya ndime me playa football good [uk 6] baraka anafunga sentensi ya
kingereza alikuwa na binamu zake.

MABADILIKO

Baguma aliyekuwa waziri wa biashara na mbunge aligauka kuwa mnyonge baada ya


kugunduliwa kuwa ndiye mlizi wa kituo cha ndege . Alishatikuwa kufungwa maisha . hata na
mali yake yote ikepelakwa na serikali

Baraka anadadilika kutoka kwa umaskini na kuwa mtajiri baada ya kupata kazi katika kituo
cha ndege Entebbe, alimalizamuda mrefu akiwa maskini

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 2


HAKI Vs MAOVU

Katika sura ya kwanza ,tunamuona dereva wa basi anafanya maovu kwa kujariba kumpa afande
wa polisi kitu kidogo baada ya kukamatwa na ekisesi barabarani

Pia afande wa polisi alifanya haki wakati alipokutaa bahasha ya kitu kidogo kutoka kwa
derevu

Katika sura ya pili tunaona majambazi wananyakuo bidhaa za wafanya biashara lakini tunaona
askari polisi walikuwa tuu hapo wakikodolea macho sinema hiyo .hawakufanya lolote
kuwasaidia wafanya biashara waliopokonywa mali yao

UMASKINI

Tunamwona mzee basini alieleza kwamba hajapona kikohozi kwa kukosa pesa za matibabu

Baada ya mamake Baraka kufukuzwa katika jumba lake, aliisha maisha mabaya ya umaskini .
Tunafahamishwa kuwa aliisha katika kibanda kilichoezekwa na nyansi na hata alikuwa
anafanya kazi za salubu kwa shemeji yake baguma,

Pia tunaona shule ambaya Baraka alikopelekwa ilikuwa ya maskini kwasababu tunaambiwa
kuwa majengo yaliyoezekwa kwa nyasi na hata ndani . vumbi lilijaa tele

Pia tunaona Baraka akivaa viatu vya plastiki shuleni vilivyojulikana kama bagagawale.Hata na
sare yake ilikuwa mararuraru ya rangi takasiri kama tausi. Mararuraru yalikuwa ni vipande vya
nguo za gomesi ya mamake alizowahi kumiliki.huu unaoyesha umaskini kabisa.

UTAJIRI

Watoto wa ami Baguma wana vaa jozi za viatukwakila shughuli.

Watoto wa baguma wanakula vyakula vizuri kama soseji na gorilozi

Ami yake Baraka aitwaye Bagumani mtajiri yaani ana aina mbalimbaliza gari kama tax ,BMW
na Benz.

Pia na mzee omoro babake madikizela ni mtajiri kwani ni mbunge wa jimbo Fulani

KUKATAA TAMAA

Mzee basini aliyekuwa na ugonjwa wa kikohozi alikataa tamaa kwa kutembelea hospitali za
umaa na kuambiwa nenda rudi .

HURUMA

Tunamwona Afande Karimu alimhurumia Baraka wakati alikuwa katika kituo cha polisi kwa
ajili ya kukosa njia . Afande Karimu alimsaidia kumtoa kwa utata wa Afande matata na hata
akamsaidia kwa kumpigia simu ami yake Baguma ili amuelekeze .Anamsindikiza mpaka kituo
cha teksi za kuelekea Entebbe ami yake Baguma anapoishi.

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 3


Baada ya Baraka kuibiwa pesa zake,kondakta anamhurumia na kumsamehe kutolipa pesa za
teksi au nauli .

Daktari msamari anahurumia mamake Baraka kwa kumhudumia na kumwosha vindonda wakati
alipokuwa akilazwa hospitalini mulago .

WIZI

Tunaona majambazi wakinyankua mali ya wafanya biashara .

Pesa za Baraka kuibwa lakini hajui ni nani aliyeziiba.

KIFO/MAUTI

Mamake Baraka anakufa baada ya kuugua na ugonjwa wa saratani wakati Baraka alipokuwa na
miaka kumi.

Tweshe mke wa Baguma alijitia kitanza baada ya maisha kumwendea kombo

Hata mlinzi wa kituo cha ndege aliuawa na walinzi wenziwe wakiamrishwa na Baguma ili
wamsingizie Baraka kuwa ndiye muaji.lakini baadaye ukweli mtupu ukajitokeza.

MAPENZI

Baraka anapendana na mamake baada na hata kabla ya kufariki dunia. Baraka anasema hivi
riwayani“ingawa uko huko kusikofikika wala kuonekana najua wanipenda mama--------“

Kuna mapenzi ya Jack kwa Rose.

Kuna mapenzi ya Baraka kwa madikizela.

DINI

Kuna dini ya uisilamu ,kwamfano tunaambiwa kuwa shelk mstafa anaongoza waisilamu katika
msikiti

UNYAKUZI

Familia ikiongozwa na Baguma wakanyakua kila kitu cha mamake baraka baada ya mke huyu
maimuna kufiwa mumewe.

UNYANYASAJI

Wafanyakazi wa kampuni ya Ruviraj group of company wananyanyaswa na wanyapara wa


mhindi vibaya kwa kutowalipa pesa zao yaani mishahara na hata baadaye wakafukuzwa kazini.

Bamtindi mumewe Kinaya na akanyanyaswa na shangazi yake Baraka kwa kupigwa vibaya na
hata baadaye kumvunja mkono.

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 4


Afande matata anamnyanyasa Baraka kwa kumuliza maswali magumu na hata kumtishatisha
kwa maneno ya ukali.Hata hivyo hakumsaidai kama baraka alivyotarajia badala
akamufumanisha.

MIGOMO

Tunaona madaktari wa hospitali wakigoma kwa kutofanya kazi kwa sababu ya serikali kutolipa
mishahara yao.

MILA NA DESTURI

Baraka anatuambia kwamba katika ukoo wa Babake, kumzaa mtoto wa kiume ilikuwa nyota ya
Jaha.Mtoto wa kiume alithaminiwa sana,hata hivyo mwanamke angezaa watoto wa kike tuu,
alionekana kama mtu aliyelaaniwa.

UFISADI

Sekritari mmoja wa kampuni ya Umma alimuomba baraka atoe rushwa ya shilingi milioni moja
ili amsaidie kuajiriwa na kampuni hiyo.uk84

USHIRIKINA

Babu wa Baraka mzee kalekezi alikuwa mshirikina aliyemwamini mungu wake nyabingi.Huyu
alikuwa kifaruzimwizimwi aliyeaminiwa sana na babu yake kuwa mkuu wa miungu yake yote

Tunamwona Tweshe mkewe Baguma anauza nyumba ili apate pesa kuwaendea miungu kwa ajiri
ya kumwokoa mumewe aliyefungwa maishani.

UNAFIKI

Baguma ami yake Baraka alimpangia njama mpwa wake [Baraka] kuwa aliva mlinzi wa kituo
cha ndege . Baraka akafungwa kuwa jelani lakini baada ya ukweli. Ukafichuliwa kuwa Baguma
mwengewe ndiyo alikuwa muaji.

UTABIRI

Kwa mfano mama baraka yaani maimuna kumuita mtoto wake baraka na badaye tunaona akipata
baraka maishani

URAFIKI

Baraka ni rafikiye Okocha.Wakapendana wakati wanapokuwa chuo kikuu wakisoma .

Pia baraka na Mandela ni marafiki , wanafanya kazi pamoja kwa kampuni ya mhindi ya ruviraji
group of companies .

Pia baraka na kiplimo masool wana urafiki wa dhati. Walisoma pamoja wakiwa shule ya msingi
baraka anampelekea kipade cha mkate kila asubuhi

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 5


Baraka anapelekea na madikizela. Hawa wawili walianza kuwa marafiki wa dhati kabla ya

kuolewana .
SIFA ZA WAHUSIKA
[ 1] Afande karimu.

Ni mwenye huruma alihumia Baraka kwa kumsaidia katika kitou cha polisi ,Alipiga simu ami
yake Baguma na baadaye akamelekeza Entebbe

[2] Baraka

Ni mhusika mkuu

Ni mwenye mapenzi ya dhati .Alipendana na marafiki wake kama madiiikizela / mke wake
kiplimo masool okocho Mandela .

Ni mvumilivu . Alivumilia maisha magumu katika chuo kikuu na hati alivumilia hali ngumu
kazini kwa kampuni ya mhindi mwaka nzima .

Ni msomi .Alisoma kutoka shule ya msingi hadi chuo kikuu na kusoma kozi ya uanasheria .

[3] Magezi

Ni mbumbumbu masomoni. Tunaambiwa kuwa hakuwezi kupata sita na kuigawi mbilina kupata
jibu . hata katika milihani angoweza kunakili kazi za wengine na hata jina.

[4] Okocha

Ni mjanja na mwenge akili darasa.

Hata tunaambiwa namna alivyokuwa wembemasomoni.

Ni Malaya/msherati.Alipenda marinda kiasi kwamba hata rinda lingefungwa mtini angeukimbilia


mti huo .Anaenda kuwapeleka violosho vilabuni kunywa Pomb ya kienyeji ilioywewana
wanywaji huko wakizingira chombo chenye kinywaji huko waki kifyonza kwa miriji mirefu .

Nimpenda michezo ya sulubu kama vile mchezo kamari .anap0teza pesangingi sana hata na pesa
za kara .shilingi million tatu za karo

Ni mwenye maradhi kwamfano ni mgonjwa wa ukimwi .Aligundua baada ya kupimwa damu


hospitalini,

(5) baguma

Ni muajikwani anapanga njama ya kuwua mlinzi wa kituo cha ndege huko akisinzia ya kwamba
baraka ndiye muaji.

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 6


Ni mnafiki kwani anageukia mupwa wake baraka baada ya kushi naye muda mrefu .

Ni mdanganyifu Alimdanganya Baraka kwamba atamtafutilia kazi na baadaye akamsaliti.

Ni mtenda maovu kwamfanokula rushwa,kuangamiza Baraka na kuua mlinzi wa kampuni.

Ni mtajiri yaani ana magari,Zaidi ya moja na hatan alikuwa waziri wa biashara

(6) Madikizela

Ni mwenye mapenzi wadhati .Anapendana na Baraka na wakaona na kuzaa watoto.

Ni mwanasheria.

Ni mwenye huruma . Alionyesha huruma wakati alipopigania Baraka alipofungwa jelani.

Ni mpenda haki wa chuo kikuu wakati waliodhulumiwa na baada ya wahadhiri wa kiume


waliowataka kimapenzi ili wapiti mitihani ya kozi zao.

Ni shujaa. Madikizela aliwashinda wavulana wote katika kampeni na kuwa kiranja mkuu wa
shule yake Alikwangura ushindi dhidi ya mafahari alioshinolana nao.

KINAYA

Baraka alikuwa anafikiri kwamba kila kitu jijini ni cha bure kama kijijini kwao lakini hiki ni
kinyume na vile anavyofikiri kwasababu kila kitu jijini kinategomoa pesa uk.

KONDAKTA

Ni mwenye huruma . Alihurumia baraka kwa kumsamehe kulipa pesa za teksi baada ya
kugundua kuwa ameibiwa pesa zake.

Maafisi wa trafiki

Ni mkweli na haki alionyasha ukweli na haki baada ya kukataa bahasha ya pesa aliyopewa na
dereva wa basi kwa kupakia ekisesi.

Afande matata

Ni mwenye matata kama jina lake ,Alionyeshaukali na matatizo kwa Baraka alipokuwa kwa
kituo cha polisi .Alimwuliza maswali makali.

Daktari msamari.

Ni mwenye huruma ,Alimhurumia mamake Baraka alipokuwa akilazwa hospitalini mulago.

Alimhurumia mamake Baraka kama mtoto wake

Aliviosha vidonda vyake bila kuona karahe.

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 7


Mwalimu Mpamire

Ni mkali sana ,Alimpiga mwanafunzi magezi kwa kuuliza swali la kibwege.

Sheik Mustafa

Ni mkali na mnyanyasaji. Alimuharaza mtoto wake kiplimo masool kwa baraka


thelathini tumboni na kuogiza anyimwe chakula kwa siku nne nyongeza kila asubuhi
aliamshwa kwa nyongeza ya mikwaju sita ya sheria ya baraka

Ni mjukumu.Alipiga marufuku ungwaji wa pombe kijijini akitumia korofindo yake aliyopewa


na serikali kama chifu wa usalama wa kijijini aliwafunga pingu wachapa maji wote.

Nimdini . Tunamwona alikuwa anaongozawatu katika msikiti.

Ni mwenye urafiki ,Alikuwa rafiki ya mamake Baraka anamtembelea nyumbani na hata


hospitali akiwa mgonjwa.

MBINU ZA LUGHA

Nahau.

Tandika viboko uk 3 mwalimu mpamire alimtandika viboko sita , kuangua kichako. Uk 5 , kufa
moyo (25) ana kwa ana (uk 32), kukaza kisabuni (uk 32).

Utohozi

Krismasi (uks) ekisesi (uk10) mkuu wa polisi aligoka baada ya kuangalia basini ,sitetiment
(uk10) anko sista (uk18) Baraka anaeleza namna mwanamke mfanya biashara aliwashawisha
wateja kununua mikoba, oparesheni (uk44),Hapo ndipo Daktari alimwambia baraka kuwa
mamake anahitaji oparesheni.

Maswali ya Balagha

Huo ni ukweli? (uk7) Baraka anajuiliza baada ya kuambiwa kwamba mamna ya saseji nigina
ya gari.

Nao hawa kifo uhawaogofuga kweli ? wao hawaonaje maskin ? (uk15)

Sasa nifanyeje? Baraka anajiuliza baada ya kukosa anwani ya kumelekea kwa ami yake
baguma

Tangu lini kula chamcha kuchukua muda huu wote ? (45) sheik Mustafa akijiuliza baada
mkurungezi wa hospitali kutoa ripoti kuwa daktari alienda kupata chamcha

Jazanda

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 8


Hii ni mbinu ya kuficha maneno yenye aibu na kutumia maneno yasio na aibu ktk jamii kmf
kwenda uani kusukuma jiwe , kuchimba dawa , piga risaasi baada ya kuisema kuenda chooni
kunya .

METHALI

Majuto ni majukuu( uk22) ,jogoo wa shamba hawiki mjini (uk7) mungu ni mwenye kudra
(uk28) kuishi kwingi ni kuona mengi (uk29) ahambo chema ni baraka ya mvuvi (uk32),
Ahadi ni deni (uk54) mvumilivu hula mbivu (uk56), mwenye macho haambiwi tazama (uk70)
Tamaa mbele, mauti nyuma (uk82), penye nia pana njia (uk121).

Tashibihi

Watoto wakiporomosha kingereza mithilia ya wazungumzaji wazaliwa (uk7)

Kubanana basini kama magunia ya mafaka yaliyo kuwa yakisafirishwa sokoni

Uvundo uliomtoka kinywani ulikuwa mithilia ya yai viza.

Wafanya biashara wote walitawanyika kmfrwa kundila panya lililongiliwa nap aka

Nilingia huku nikutetemeka kama mgonjwa wa homa ya matumbo (uk23)

Mkali kama pilipili (uk35).

Kuchanganya ndimi

Stop police chauk (uk9)under a rrest please (uk10) afija wa polisi alitoa amii This is terrible my
friend (uk10) Afanda wa polisi akalalamika kwa ekisesi , city Authority (uk19) watu
walinyankua bidhaa za mwanamke walikwa wanavaa ngowo za manjano zilizokuwa
zimeandikwa city Authourity mgongoni , city boys (uk27) jina la teksi Baraka alisafiria
kuelekea Entebbe , Radio therapy , break down (uk44) please my friend don’t dare (uk76).

Tamathali za sauti

Tulia tuli (uk29) nyeupe pepepe kama theluji (uk10) sare za maafisa wapolisi zilikuwa ujeupe,
kiza totoro (uk 23) wakwti Baraka alipoingia kituo cha polisi.

Kuboroga Sarufi

Huyu basi inaruhusiwa kubeba wantu Baraka hasmini lakini wewe maweka wantu mingi sana
(uk10)

Sarufi iliborogwa katika barua Mandela aliyoandikia Baraka (uk72)

Kinaga

Afisa wa polisi kukataa bahasha aliyopewa na dereva ili asunurike lakini afisa polisi
alikataa .Alisemahivi “my friend mimi ni afande wa gavumenti”

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 9


Baraka anasema wengi walidhani mamake.hakuwa na pesa za kuyakimu maisha yao wawili
lakini ilikuwa tofauti kwake kwa vile alisitahidi kuyamudu mahitaji yake yote (uk32)

Wimbo

Kuna wale wale walishabarikiwana mungu wale-----------(uk15)

Kutia chumvi macho mekundu zaidi ya damu (uk50)

Takriri

Mikoba. Mikoba mikoba (uk18) liponi liponi liponi (uk27) .

Kuweka chumvi

Maneno ya kumtua nyoka pangoni (uk17) chumvi, macho mekundu zaidi ya dama (uk50)

Ulinganishaji

Baraka alipofika ktk kituo cha polisi alimsalimu afande wakati alipokuwa na hafu akitetemeka
kama mwanafunzi mbele ya mwalimu.

Mwanndishi analinganisha okocha na Sungura kwa ujanja wake na akili.

Okocha alikuwa wembe masomoni (uk79) mwandishi alinganisha okocha na wembe kwa ukali
wake na akili ktk masomo

Mbinu rejeshi

Baraka anakumbuka siku mamake alimwaga hospitalini mulago anadeza hali yote yalikuwa ktk
hospitalini (uk30)

Kimajazi

Afande matata .Alipewa jina matata kwa kuwa na matata kmf alimtatiza Baraka ktk kituo cha
polisi .

Afanda karimu alipewa jina karimu kwa ukurimu wate kwani alimsaidia Baraka ktk kituo cha
polisi (uk25)

Mhusika mashamba anaitwa jina la mashamba kwaungwa, matikitimaji

Barua.

Kuna barua ambazo Jack alikuwa amandika Rose Barua zilikuwa za mapenzi

Mandela aliandikia Baraka barua alipokuwa shuleni (uk71).

P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 10


P320/3 Baraka za Mama DAKTARI FAGIL MONDAY 0780947386 Page 11

You might also like