You are on page 1of 53

Kijitabu cha Maswali

na Majibu Kuhusu
Kondomu
S I
.

d /

• *

a it
a
Femina

H IP C Watts.
• Kwahisaniya
Serikali ya Ujerumani
:

© Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH), 2007


Mchoraji: David Chikoko
Usanifu: Femina HIP/Lynn O'Rourke
Chapa ya Kwanza: Tanzania Printers
ISBN: 9987-8995-6-0

Haki zote za kunakili zimhifadhiwr


Kuwapa elimu ya ujinsia vijana hakuwachochei kufanya ngono katika umri mdo-
go—tafiti nyingi zinaonyesha hivyo! Kwa mujibu wa tafiti hizo imeonekana kuwa
kuwapa vijana habari zinazoweza kuwalinda wao na wapenzi wao dhidi ya madhara
na kutajenga kizazi kinachoweza kutunza afya zao.

Katika Utafiti uliyofanyika kuhusu hali ya VVU/UKIMWI nchini Tanzania (THIS


2004), imeonekana kuwa theluthi mbili ya watu wazima wanakubaliana kuwa ni vi-
zuri vijana waliofikia umri wa balehe wafundishwe kuhusu kondomu mapema. Ku-
wapa taarifa za kweli kuhusu kondomu kutawawezesha kukabiliana na taarifa potofu
kuhusiana na vifaa hivyo na matumizi yake.

Kijitabu hiki kimejikita kwenye ukweli na taarifa muhimu kwa mtu na mpenzi wake,
ama kwa vijana wanaoingia kwenye uhusiano wa ngono au watu wazima walio
kwenye uhusiano huo. Kijitabu hiki kinalenga kuwa chanzo cha habari kwa yeyote
anayejadili na kuzungumzia kondomu, na kitawawezesha waelimishaji rika kutaarifu
kiusahihi kuhusiana na kifaa hicho.

Maswali yaliyoorodheshwa kwenye kijitabu hiki yanatokana na maswali yaulizwayo


na vijana na watu wazima kila mara. Maswali haya yamejibiwa na wataalamu wa afya
kwa mchango kutoka kwa wataalamu wa PSI, Shirika Ia Viwango Tanzania (TBS),
Wizara ya Afya na TGPSH.

Ni tumaini letu kuwa kijitabu hiki kitachangia katika vita dhidi yaVVU/UKIMWI!

Z3.11 . ' Lo
Dkt. Fatma H. Mrisho
Mwenyekiti Mtendaji Tume ya Kudhibiti
UKIMWI Tanzania (TACAIDS)
12 Je, ni kweti kwaniba kondomu
nyingine ni kubwa kwa wengine
wakati wengine kwao ni ndogo?

13 Nani auvishe kondomu uume:


mwanamke au mwanaume? ... 14

14 Je, kuna tofauti ya matumizi ya


kondomu kwa mwanaume aliyeta-
hiriwa na yule asiyetahiriwa? ...15

15 Nifanyeje iwapo uume


I Kondomu ni nini? ... 1 utalegeal utasinyaa wakati
nimevaa kondomu? .16 . .

2 Kondomu zilivumbuliwa tini? ...2


16 Je, kondomu hutumika pia
3 Je historia ya maendeleo ya kwenye ulawiti? ...17
kondomu ikoje? ...3
17 Je kondomu zinaweza
4 Nini kipya katika historia ya kutumika katika mapenzi ya
maendeleo ya kondomu? ...4 kulambana sehemu za sin? ..18 .

5 Jina Ia kondomu lilitoka wapi? ...5 18 Ni kwa sababu gani kondomu in-
aweza kupasuka wakati wa tendo
6 Ni lini kondomu zilianza kutumika
Ia ngono? ...19
Tanzania? ...6
19 Yale mafuta yaliyopo kwenye
7 Je, ni kweli kwamba duniani kate
kondomu ni ya nini na yana athari
watu hutumia kondomu? ...7
kwa binadamu? ... 20
8 Watu wangapi hutumia
20 Kondomu zinaaminika kwa kiwan-
kondomu? ...
go gani na ni kwa muda
9 Ni wakati gani nianze kutumia gani naweza kuzihifadhi? ...21
kondomu? .10
. .

21 Je, nikishatumia kondomu


10 Nitapatawapi kondomu? niifanye nini? ... 22

II Kondomu inatumiwaje? ...12 22 Je, inawezekana kutumia


kondomu moja zaidi ya mara
moja? ...23
ii
Je, vijidudu vyenye madhara 35 Ubora we kondomu
vinaweza kupenya katika unathibitishwaje? .36 . .

kondomu? ... 24
36 Majaribio ya kimaabara
Kondomu ni salama kwa kiasi hufanyikaje? ...37
gani katika kuzuia maambukizi ya
VVU na UKIMWI? ...25 37 Wanaoruhusiwa kutumia
kondomu ni watu wenye
Kondomu ni salama kiasi gani umri kuanzia miaka mingapi? ...38
katika kuzuia magonjwa ya ngono
zaidi ya VVU?...26 38 Je, kuna kondomu za vijana? ... 39

Kondomu ni salama kiasi gani 39 Dm1 zinasemaje kuhusu


katika kuzuia mimba?. ..27 kondomu? ...40

Je, kondomu ma faida nyingmne 40 Je inafedhehesha kuonekana


yoyote zaidi ya kuzuia mimba unanunua au umebeba
zisizotakiwa na virusi vinai'yo- kondomu? ..41
.

sababisha UKIMWI? ...28


41 Je kutumia kondomu siyo dallil
Kuné ama ngapi za kondomu? kwamba mtu hamwamini mwenzl
wake? ...42

Je, ni kweli kwamba kuna kon- 42 Nitamshawishlje mwenzi wangu


domu zenye ladha tofauti? ... 30 kutumia kondomu? ...43

Je kuna watu wanaoathiriwa na 43 Kondomu ya kike ni nini? ...44


kondomu? ...31
44 Kondomu ya kike inatumikaje? ...45
Ni kwanini kondomu nyingmne
45 Je, kondomu ya kike ni salama kama
zina 'unyevunyevu'? ... 32
ya kiume? ...4
Je, kondomu za bel kubwa zina
46 Je, kondomu yaweza kupotelea
ubora zaidi? ... 33
kwenye uke? ..47 .

Je, kondomu zote zisambazwazo


47 Nlmwuullze nani kama
Tanzania zina ubora? ... 34
nitakuwa na maswali
Ni viwango gani vya ubora kuhuslana na matumizi ya
vya kondomu? ...
kondomu? .48. .

111
Kondomu ondomu ni kifuko kilicho-
tengenezwa na mpira laini
ni nini? ambacho hutumiwa wakati
wa kufanya ngono. Huvishwa kwenye
uume uliosimama hivyo manii yana-
vyotoka kwenye uume huo wakati mwa-
naume anapofikia mshindo huzuiwa
humo. Kondomu hutumika kama njia
ya kuzuia ujauzito na pia hutumilca ku-
zuia maambukizi yakiwemo ya VVU
(virusi vinavyosababisha UKIMWI),
kwa sababu huzuia uke usipate majimaji
yatokayo kwa mwanaume na pia huzuia
uume usipate majimaji ya mwanamke.
Kondomu zimetengenezwa kwa mpira
unaonyambulika kirahisi kutosha kari-
bu kila uume. Pia zipo kondomu za kike
1 I
kwenye uke kabla
ya kufanya ngono.

1
Kondomu ondoinu za kwanza zilitumika
miaka elfu kadhaa iliyopita.
zilivumbuliwa Ushahidi unaonyesha kuwa
hatawakati wa Wamisri kondomu ziliku-
lini? wepo.Yapata miaka 3000 iliyopita Wa-
likuwa wakitumia kifliko cha kitambaa
kujikinganamagonjwayanayoambukiza
kwa ngono. Picha zinazoonekana katika
michorp ya mapango ya miaka ya 2000
iliyopita huko Ufaransa zinaonyesha
kuwa kondomu zilikuwa zikitumiwa
katika eneo hilo. Kondomu zilizokuwa
zikitumiwa nyakati hizo zilikuwa zim-
etengenezwa kwa vitu visivyokuwa vya
kawaida kama vile mafuta ya hariri, ka-
ratasi, vibofu vya samaki au magamba
ya kobe. Baadaye, kondomu ziliten-
genezwa kwa kifuko na kufungwa kwa
utepe.
Unavumbuo
nini?

[ Kondomu 'c;
korutasi.
-

C
Je, historia ondomu ma historia ndefu.
Kwa niujibu wa habari fiJi-
ya maendeleo zopo, historia ya kondomu ni
kama ifuatavyo: Watu walianza kuten-
ya kondomu geneza kondomu kwa kutumia vifaa
mbalimbali kama vile utumbo wa wan-
ikoje? yama uliokaushwa, mafuta ya hariri, vi-
bofu vya samaki au magamba ya kobe.
Baadaye, kifuko ilitumika. Katika karne
ya 15, kaswende ilipoenea Ulaya, muit-
aliano, Gabriele Fallopius, alihamasisha
matumizi ya kondomu iii kuwakinga
wanaume dhidi ya ugonjwa huo. Alifan-
ya majaribio ambapo katika wanaume
1,100 waliokuwa wakitumia kondomu
katika utafiti huo hakuna aliyepata kas-
wende. Wakati huo kondomu zilikuwa
zikitengenezwa kwa kutumia utumbo
wa wanyama uliokaushwa.

Baadaye, umuhimu wa matumizi ya


kondomu katika kuzuia mimba ui-
ionekana na kondomu zikaboreshwa
kwa kulowekwa kwenye kemikali am-
bazo ziliharibu manii na kuachwa
zikauke kabia ya kutumiwa. Hizi zi-
likuwa kondomu za kwanza zilizotiwa
dawa za kuua manii.
Nini atika miaka ya 1800, uzalishaji
wa kondomu ulipilia mabadi-
kipya katika liko makubwa kutokana ku-
gundulika kwa utaratibu wa kuweka
historia ya kemikali ama ya salfa kwenye mpira
kisha kuuweka kwenye joto kali hivyo
maendeleo kuufanya madhubuti zaidi na wenye
kunyumbulika. Kuanzia hapo uzalishaji
ya kondomu? mkubwa, wa haraka na kwa gharama
nafuu wa bidhaa za plastiki zikiwemo
kondomu ukawezekana. Matokeo yake ni
kuongezeka kwa matumizi ya kondomu.

Hadi miaka ya mwanzoni mwa 1900,


kondomu nyingine ziliendelea kuzal-
ishwa kwa kuchovywa kwa mkono.
Kondomu za mpira za ama hii zina
faida ya kutokuzeeka haraka, kuwa
nyembamba zaidi na kutokuwa na
harufu. Katika miaka ya 50 uhakikisho
wa ubora wa kondomu na upimaji wa
kutumia mashine za umeme ulianza.
Mwaka 1957 kondomu ya kwanza iliy-
owekwa mafuta ilizinduliwa Uingereza,
na mwaka 1974 kondomu zilizowekwa
dawa ya kuua manii zilizalishwa. Mwa-
ka 1994 kondomu za kiume za plastiki
laini ziliingizwa sokpni.

Kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, ubora


wa kondomu umeongezeka kutokana
na kuboreka kwa udhibiti wa ubora na
iango vya uzalishaji.

4
Jina la
engine wanadai kuwa neno
kondomu kondomu limetokana na
neno la Kilatini "condos"
lilitoka likimaanisha chombo kinachoweza
kuhifadhi. Wengine wanaamini kuwa
wapi? Dk. Conton, daktari aliyekuwa akiishi
wakati wa utawala wa Mfalme Charles
wa Pili (1660-85) alivumbua kifaa hi-
cho na kukiita kwa jina la Kanali Con-
dum wa walinzi wa familia ya kifalme.
Wengine wanaamini kuwa kondomu
ilivumbuliwa katika mji wa Ufaransa
uitwao Condom. Hata hivyo hakuna
ajuaye jibu la swali hili. Leo, neno kon-
domu linatumika na kueleweka katika
lugha nyingi duniani.
Ni lini apiganaji wa Vita vya Pill
k/ Dunia waliokuwa
vya
kondomu wakirudi kutoka vitani
walileta kondomu Tanzania. Katika
zilianza miaka ya mwanzoni ya miaka ya sabini
Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tan-
kutumika zania (UMATI) walianzisha matumizi
ya kondomu kama njia mojawapo ya
Tanzania? kupanga uzazi nchini. Mwanzoni mwa
miaka ya tisini, Wizara ya Afya kupitia
Mpango wa Taifa wa Kupanga Uzazi
iliwezesha upatikanaji wa kondomu
nchini. Kuanzia hapo kondomu zinie-
kuwa zikitolewa bure katika sehemu
nyingi za afya za Serikali na zimekuwa
zikiuzwa katika sekta binafsi (maduka
ya kawaida, ya dawa nk). Matumizi ya
kondomu yalianza kuongezeka kufua-
tia kugundulika kwa VVU/UKIMWI.
vaka 2006, mitandao ya kibiashara,
ma na masoko ya kijamii yaliambaza
ridomu za kiume zipatazo milioni
nchini Tanzania.

0 kwanzo
1-anzan.
-
I--

6
Je ni kweli una marnilionlyawatuduniani
wanaotumia kondomu. Inaka-
kwamba diriwa kuwa kati ya kondomu
bilioni 6 na 9 husambazwa kila mwaka
duniani duniani. Watu wa umri tofauti, walio
na wasio na ndoa wanatumia kondomu
kote watu kwa ajili ya kupanga uzazi. Kimsingi
kondomu hutumika kwa sababu kuu
hutumia mbili: kujikinga dhidi ya mimba zisizo-
takiwa na kujikinga dhidi ya magonjwa
yaambukizwayo kwa ngono ukiwemo
kondomu? VVU/UKIMWI.

7
Watu
wangapi D uniani, matumizi ya kondomu
hutofautiana sana kutoka eneo
moja hadi lingine na kutoka
nchi moja kwenda nyingine. Inakadir-
hutumia iwa kuwa asilimia tano ya wanawake
walioolewa na walio katika umri wa
kondomu? kuweza kuzaa wanatumia kondomu.
Nchini Botswana, asilimia 11 ya watu
wote wenye ndoa hutumia kondomu
kwa ajili ya uzazi wa mpango, wakati
Korea Kusini ni asilimia 15 na Singa-
pore ni asilimia 22. Nchini Tanzania ni
asilimia 2.7 tu ya wenye ndoa ambao
huzitumia. Kiwango cha matumizi ya
kondomu kwa uhusiano usiyo wa ndoa
ni kikubwa zaidi. Kwa mfano, nchini
Mexico asilimia 63 hutumia kondomu,
wakati Paraguay ni asilimia 79. Theluthi
Nutumia kondomu nyingi mbili ya vijana wa Ujerumani hutumia
tidi, kwa mwezi kuliko ninyi kondomu wakifanya ngono kwa mara
wawili kwa pamoja. ya kwanza. Tanzania ni asilimia 22 tu ya
vijana waliosema kuwa walitumia kon-
domu wakifanya ngono kwa mara yao
ya kwanza.

Japan ma kiwango
kikubwa zaidi cha
matumizi ya kon-
domu. Wajapani
wana historia nde-
fu ya matumizi ya
kondomu. Hivi sasa,
kondomu inakubalika
ma nchini Japan na kuna

8
unyanyapaa kidogo dhidi ya kifaa hi- ji wa habari unaochangia mabadiiko ya
cho. Karibu nusu ya wanandoa wote tabia. Kwa mfano, mwaka 1990 VVU/
hutumia kondomu, na asiimia 78 ya UKIMWI ulipewa kipaumbele nchini
wanaopanga uzazi wa mpango hucha- Thailand. Wizara ya Flabari ilizindua
gua kondomu kama njia yao pendwa ya kampeni kubwa ya kuhamasisha math-
uzazi wa mpango. mizi ya kondomu. Kampeni ya "Mpan-
go wa kondomu 100%" iifanya kuwa
Nchini Uholanzi, vijana wanaofikia bale- kondomu ni lazima kwa machangudoa
he hupata taarifa mbalimbali na elimu na wateja wao. Mpango huo ulikuwa na
ya ujinsia na uhusiano wakiwa bado na msukumo kutoka serikalini, watumi-
umri mdogo. Matokeo yake ni kwamba shi wa afya, Asasi zisizo za Kiserikali
kwa mwaka 2000, asilimia 68 ya vijana (NGOs), vyombo vya habari, wenye
walioanza ngono walitumia kondomu madanguro na umma wote kwa ujumla.
kila tendo la ngono, wakati asiimia 27 Matokeo yake matumizi ya kondomu
walitumia kondomu na vidonge. kwenye madanguro yalipanda kutoka
asiimia 14 mwaka 1988 hadi kufikia 95
Matumizi ya kondomu katika kujikinga mwaka 1995, na maambukizi mapya ya
na maambukizi ya VVU yanategemea VVU yalikadiriwa kushuka kwa zaidi ya
sana msukumo wa kisiasa na upatikana- asiimia 80 mwaka 2002.

a
Ni wakati
gani nianze U natakiwa kuanza kutumia
kondomu kuanzia mara ya
kwanza unapofanya ngono,
na kila unapofanya ngono endapo una-
kutumia taka kujikinga na mimba zisizotakiwa
na maambukizi yatokanayo na ngono
kondomu? kama VVU. Huu ni wakati mzuri kwen-
da sehemu itoayo huduma za afya kupa-
ta ushauri kuhusu njia nyingine za uzazi
wa mpango na kujikinga na magonjwa
ya ngono. Hata hivyo, uvaaji wa kon-
domu unahitaji mazoezi ih ujiamini vya
kutosha kuhusu kutumia kifaa hicho.
Hii ndiyo maana watu wengine hufanya
mazoezi ya kuvaa kondomu, hata kama
bado hawajaanza ngono.
Niarize lini kutumia
kondomu

Kumbuka:
Majaribio Huleta
Umakini!

10
Nitapata
wapi U naweza kupata kondomu
kutoka kwenye sehemu za
huduma za afya, maduka ya
dawa na maduka mengine makubwa na
kondomu? madogo. Kondomu za bure zinaweza
kupatikana katika sehemu za umma
zinazotoa huduma za afya. Kondomu
zilijulikanazo kama Salama zinaghar-
irnu kati ya sh. 100 na 200 kwa tatu na
zinaweza kununuliwa kwenye maduka
ya dawa, vioski na maduka mengine.
Ama nyingine za kondomu zinauzwa
hadi kufikia sh. 1000. Hata hivyo hii
(ondomu zinauzwa hapa.) haimaanishi kuwa hizi ni bora zaidi.
Unataka nichukue nini? J

11
Kondomu Ukishahakikisha kuwa kondomu im-
evaliwa vyema, unaweza kuanza ku-
inatumiwaje? fanya mapenzi kwa usalama.

Ukishafikia mshindo, shikilia kon-


1li kutumia kondomu, unatakiwa domu kwenye shina Ia uume na ondoa
ufuata hatua zifuatazo: uume kutoka kwenye uke kabla uume
hausinyaa (hauJalegea). Vua kondomu
Kwanza hakikisha kuwa pakiti ya kon- kwa uangalifu bila kumwaga manii.
domu iko katika half nzuri na uifun-
gue kwa uangalifu kwenye moJa ya Funga fundo kwenye kondomu ki-
kona zake. Angalia usichane kondomu sha itupe kwenye choo cha shimo au
kwa kutumia vitu vyenye ncha kali. ichome na usif ache hovyo. Tumia kon-
domu moJa katika tendo moJa Ia ngono
Wakati uume ukiwa umesimama, na siyo matendo zaidi!
minya chuchu ya kondomu iii kuweza
kutoa hewa iliyopo kwenye kondomu
hiyo kabla ya kuikunJua kuivaa. Hii
inazuia kondomu kupasuka.

Kisha kunJua kondomu kwenye uume


uliosimama ukiacha nafasi kwenye
chuchu ya kondomu. Wakati unavaa
kondomu hakikisha kuwa ule mkun-
Jo wa kondomu uko nJe, ama sivyo
haitakunJuka. (Ikitokea kwamba ume-
vaa kondomu nJe ndani ivue na uvae
nyingine mpya). Endelea kukunJua
kondomu mpaka itakapofika kwenye
shina La uume. Wanaume ambao ha-
waJatahiriwa wanashauriwa kuvuta
nyuma govi kabla ya kuuvalisha kon-
domu uume wao.

12
Je, ni kweli
kwam ba K wa kawaida kondomu huto-
sha wanaume wote, kwa
sababu zimetengenezwa kwa
mpira unaonyumbulika kulingana na
kondomu ukubwa wa uume. Hata hivyo, kuna
saizi tofauti za kondomu. Kwa wastani
nyingine ni saizi moja ya kondomu inatosha wa-
naume wote wazima na waliobalehe.
kubwa kwa Ni mara chache sana utakuta kondomu
zilizo ndogo au kubwa sana kwa Wa-
naume wengine.
wengine
Waliofikia balehe ambao pia uume wao
wakati ni mdogo kutumia kondomu, wanashau-
riwa kutoingiliana kimwili na badala
wengine yake watumie njia nyingine kuonyesha
hisia zao za kingono, kama vile kukum-
kwao ni banana na kupigana mabusu.

ndogo?

5.aizi VT\OjQ
iriatoshU
wote.

13
Nani
auvishe U vaaji unategemea makubal-
iano ya wahusika juu ya ni
nani auvishe uume kondomu;
mwanaume au mwanamke. Mwanaume
kondomu anaweza kuvaa na mwanamke anaweza
kusaidia uvalishaji huo, kimsingi ni
uume: yeyote kati ya hao wawili anayeweza
kufanya hivyo. Hii pia ni moja ya njia ya
mwanamke kuhakikisha kuwa kondomu inavaliwa
na inaweza kuwa sehemu ya maandalizi
ya kufanya tendo Ia ngono. Pia, yeyote
au awe mwanamke au mwanaume anawe-
za kununua kondomu.
mwanaume?

14
Je, kuna
tofauti ya H akuna tofauti kubwa ya ma-
tumizi ya kondomu kati ya
mwanaume aliyetahiriwa na
asiyetahiriwa. Isipokuwa, mwanaume
matumizi ambaye hajatahiriwa hushauriwa ku-
vuta nyuma govi kabla ya kuvaa kon-
ya kondomu domu. Kondomu hupunguza msugua-
no wa govi hio wakati wa ngono, hail
kwa ambayo baadhi ya wanaume ambao
hawajatahiriwa huona kwamba hilo hu-
mwanau me wapunguzia raha wakati wa ngono. Kwa
upande mwingine wanaume wengine
wanafurahia kwamba kondomu hu-
a I iyeta hi riwa waongezea muda wa uume wao kubaki
umesimama.
na yule asi-
yetahiriwa?

15
N ifanyeje uume umelegea/sinyaa
umevaa kondomu,
iwapo uume Kam ,aa,ati wanaweza kufanya
wapenzi
kitu kingine iii kuuamsha tena uume.
utalegea/ Ni wazi kuwa kama uume haujasima-
ma, mtu hawezi kufanya ngono. Na kwa
utasinyaa kuwa baada ya uume kuiegea, itakuwa
ni shida kuirudishia kondomu lie ile
wakati kwenye uume ni vizuri kuivua, na ku-
fanya kitu kingine iii kuuamsha. Uume
ukishasimama vaa kondomu nyingine.
nimevaa Kumbuka, kila mara inashauriwa kuwa
na kondomu za ziada endapo tukio kama
kondomu? hill iltatokea.

Wokoti
unoendesho
gun,
Kuwo na
Kumbuko

16
Je, kondomu A/dt kondomu hutumika pia
ye ulawiti ikiwa kama
hutumika pia njia ya kujikinga na maam-
bukizi ya ngono ikiwemo VVU. In-
kwenye ashauriwa kutumia kondomu maalum
au madhubuti sana, kwani sehemu ya
ulawiti? haja kubwa siyo laini kama ulivyo uke,
hivyo kondomu nyembamba sana za-
wezá kupasuka.

IVA
J e, Ny di kondomuzinaweza ku-
o' katika mapenzi ya ku-
umika
ko n do in ii lambana sehemu za siri iii wa-
fanyao mapenzi ya ama hiyo wasiweze
z I flavieza kupata maambukizi kutoka kwenye
majimaji yatokayo kwenye sehemu hizo
-
kama vile ya VVU na vitu vingine vina-
kutu mu ka vyoweza kupatikana kwa ngono. Siku
hizi wawez.a pia kupata
I(atI ka harufu na ladha nzuri kama vile ndizi,
stoberi au chokoleti! Wengine hutumia
niapenzu ya kondomu kuepuka ladha ya majimaji
yatokayo
k u I a in ban a
sehemu za
sin?

18
Ni kwa kai mwingine kama
Wlkondomu hazitakuwa zi-
sababu gani mevaliwa vizuri zaweza
kupasuka. Kuacha hewa kwenye chu-
kondomu chu ya kondomu kunaweza kufanya
kondomu ipasuke wakati wa ngono.
i naweza l-iivyo, ni muhimu sana kutoa hewa
kwenye chuchu ya kondomu kabla ya
kupasuka kuivaa kwenye oume uliosimama. Pia
usiweke mafuta kama vile Vaseline
wakati wa kwenye kondomu. Mafuta kama Vase-
line huathiri uimara wa kondomu na
yanaweza kusababisha ipasuke. Mafuta
tendo Ia yaliyowekwa katika kondomu huhakik-
isha uimara wa kondomu na ni bfauti
ngono? na mafuta mengine. Ni muhimu kufua-
ta maelekezo ya matumizi mazuri ya
kondomu ill kuepuka kupasuka kwake.
Kama unataka kutumia mafuta zaidi, ni
vizuri basi ukatumia mate. Pia waweza
kutumia K-YJe11y.

eal
i iF
s df 1 1 JeL-uY

19
Yale
mafuta M afuta yaliyopo kwenye pa-
keti ya kondomu ni maa-
Jum na yako mie kwa ajili
kuiwnza kondomu mpaka siku itaka-
yaliyopo potumika. Bila mafuta haya ubora wa
kondomu usingekuwepo, kwa sababu
kwe nye kondomu ingekauka na kupoteza uwe-
zo wake wa kunyumbuka. Mafuta hayo
pia huongeza usalama na raha kwa wa-
kondomu ni nawake anibao uke wao unakuwa hau-
jatoa majimaji ya kutosha. Mafuta haya
ya nini na hayana madhara isipokuwa kwa ngozi
za watu wachache. Watu wa ama hii
yana athari wanaweza kuwashwa baada ya kutuniia
kondomu, lakini hii si tatizo kubwa.
kwa Watu wanaoathiriwa na mafuta hayo
hushauriwa kuosha sehemu 720 za sin
binadamu? tanatibu kwa sabuni isiyo kali baada ya
ngono.

20
Kondomu ondomu zinaaminika sana
kama zitahifadhiwa vizuri
zinaaminika mbali na joto kali au uny-
enyevu. Matokeo ya utafiti yanaonyesha
kwa kiwango kuwa kondomu zenye ubora na zilizo-
fungwa vizuri haziharibiki kwenye nchi
gani na ni za joto.iki). Ikiwa imefungwa vyema na
kuhifadhiwa vizuri kondomu yenye ub-
kwa muda ora wa hail ya juu inadumu hadi miaka
mitano tangu kuzalishwa kwake.
gani naweza
kuzihifadhi?

1/

) Angalia terehe ya
kuisha ubora wake

rrfl~ kwenye pakiti.

21
Je,
nikishatumia '9 aada ya kufikia msbindo,
shikilia kondomu kwenye
shina la uume kisha chomoa
uume kutoka kwenye uke kabla hau-
kondomu jaanguka. Toa kondomu kwa uangal-
ifu bila kumwaga manii. Funga fundo
niifanye nini? mwishoni mwa kondomu. Ivibangil-
ishe kwenye kipande cha karatasi ya
chooni au nyingine yoyote kisha itupe
kwenye choo cha shimo, ichome au
ifukie. Kamwe usiache ovyo kondomu
iliyotumika kwani watoto wanaweza
kuiokota na kuichezea. Na, zaidi ya
hapo ni uchafu kutupa kila mahali
kondomu zilizotumika.

22
Je,
inawezekana Hp aana, huwezi kutumia kon-
domu zaidi ya mara moja.
Kondomu inatakiwa kutumi-
wa mara moja tu, kwa sababu ikitumiwa
kutumia zaidi ya mara moja hazitakuwa na ufanisi
katika kuzuia mimba na maambukizi ya
kondomu ngono au VVU. Kondomu hazitakiwi 1w-
oshwa wala kutumiwa tena. Kwa hiyo, ni
moja zaidi ya vizuri kuwa na kondomu kadhaa tayari
tayari; ii endapo lolote litakapotokea
mara moja? hivyo kukulazimu kutumia kondomu
zaidi ya moja unakuwa na za akiba.
Mfano wa tukio hilo ni kondomu moja
ilcianguka sakafuni kabla ya kutumiwa,
au kama imekunjuliwa kimakosa, au
kama kuna uwezekano wa kufanya ngo-
no zaidi ya mara moja.

23
- -_
Je, vujidudu bali zinaonyesha
a matundu vyo-
vyenye T .,tiv=
ia,fi
vyote kwenye kondomu. Hata
kondomu ikinyooshwa, hakuna matun-
madhara du! Kwa mantiki hiyo kondomu haipiti-
shi vijidudu vyenye madhara. Iii kuhak-
vinaweza ikisha hill unaweza kujaza maji kwenye
kondomu kucheki kama maji yatatoka
ku penya kwenye kondomu. Watu wengine hudai
kuwa wana ushahidi kuwa kondomu
zina matundu kwa kuzisugua na pilipili
katika ya unga kisha kujaza maji ndani ya kon-
domu. Kitu ambacho watu hawa hawajui
kondomu? ni kwamba pilipili huharibu mpira—hii
ndiyo sababu inayofanya kondomu iliy-
osuguliwa na piipii kisha kujazwa maji
kupata matundu na kuonyesha matone
ya maji nje ya kondomu. Lakini, hakuna
atakayesugua pilipili kwenye kondomu
kabla ya kuitumia!

D
I:Q!

•1,

24
Kondomu ni ondomu ni salama sana ka-
tika kuzuia maambukizi ya
salama kwa VVU. Tafiti za kimaabara zi-
naonyesha vijidudu haviwezi kupita
kiasi gani kwenye kondomu ambayo haijahari-
biwa. Tafiti nyingine ziiangalia wapenzi
katika kuzuia ambao mmoja wao alikuwa ameshaam-
bukizwaVVUwakati mwingine bado.
Kwa taflti ambazo zilihusisha kondomu
maambukizi nyakati zote hakuna mwenzi aliyepata
maambukizi kwa kipindi chote cha
ya VVU na mwaka mmoja wa utafiti. Kwa tafiti
nyingine ambazo matumizi mazuri ya
UKIMWI? kondomu hayakufanyika kwa kila tendo
Ia ngono, wengi walipata VVU. Hii in-
aonyesha kuwa kondomu ikitumiwa vi-
zuri ni kinga nzuri dhidi ya VVU.

Mara nyingi, kushindwa kuzuia mim-


ba au maambukizi ya VVU haku-
sababishwi na kondomu, bali makosa
katika matumizi ya kondomu. Flivyo
ni muhimu kujifunza, kuzitunza na
kufanya majaribio ya matumizi! Hata
o, kutokufanya ngono ni njia pekee
hakika kwa asilimia 100 ya kujik-
dhidi ya maambukizi ya VVU!

25
Kondomu ni
salama kiasi V i)idudu vinavyosababisha ma-
gonjwa ya ngono haviwezi
kupita kwenye kondomu im-
ara. Hivyo, kondomu hutoa kinga nzuri
gani katika dhidi ya magonjwa mengi ya ngono.
Hata hivyo kumbuka kuwa magonjwa
kuzuia mengine husababisha vidonda na vipele
kwenye sehemu nyingine za mwili am-
magonjwa bazo hazikingwi na kondomu. Katika
ha1i hii kumbuka kwamba kupitia vi-
ya ngono donda au vipele hivyo mwenzi mwingine
anaweza kuambukizwa. Pia kumbuka
kwamba magonjwa ya zinaa yanaweza
zaidi ya kusababisha matatizo makubwa, lakini
magonjwa mengi ya ngono yanatibika
VVU? endapo mhusika atakwenda kwenye
sehemu ya huduma ya afya kwa uchun-
guzi na tiba mapema!

cr

26
Kondomu ni ondomu ni njia thabiti ya ku-
zuia mimba. Manii hayawezi
salama kiasi kupenya kwenye kondomu
ambayo haijaharibiwa. Ni wastani wa
gani katika wanawake 7 kati ya 100 wanaotumia
kondomu tu wanaopata mimba kwa
mwaka. Hata hivyo tafiti zinaonyesha
kuzuia kuwa uthabiti wa kondomu unategem-
ea zaidi jinsi zinavyotumika! Kondomu
mimba? zinakuwa thabiti dhidi ya unachota-
ka kujikinga nacho ikiwa zitatumiwa
kiusahihi kwa kila tendo Ia ngono! Hii
inamaanisha kuwa kondomu inatakiwa
likucmbia utumie kuvaliwa kabla uume haujaingizwa uke-
flkondomu sivyo? ni na inatakiwa kuwa imevaliwa mpaka
utakapokuwa umechomolewa
Utafiti umeonyesha kuwa kadri
izi wamekuwa na taarifa sahihi
1 matumizi ya kondomu, na jinsi
ryohamasika kuzuia ujauzito, ndi-
kadri kondomu zilivyofanya kazi
barabara. Kama unataka kuwa na
ika na azma yako ya kutokupata
au kusababisha mimba isiyotaki-
wa pamoja na kondomu basi in-
abidi muongeze njia nyingine ya
uzazi wa mpango ya kutumia.

27
Je. kondomu
ma faida P aida kubwa ya kondomu ni
kwamba inatoa kinga nzuri
dhidi ya maambukizi ya ngono
ikiwemo VVU na dhidi ya mimba zi-
nyingine sizotakiwa. Hata hivyo wengine huona
ma faida zaidi: kwa mfano inaweza
yoyote kuchelewesha mtu kufikia mshindo na
kwa wanawake wengine hujisikia vizuri
zaidi ya kuitumia.

kuzuia Wengine hupenda kuitumia kwa saba-


bu za usafi kwa vile inazuia manii na

mimba majimaji mengine ya sehemu za sin


kuingia kwenye mashuka au nguo
hivyo kusababisha madoa. Pia inazuia
zisizotakiwa kujisikia kama cckJ> maji ambako
wanawake husikia baada ya ngono.
na virusi Wanaume pia huweza kujisikia vizuri
kwa kuonyesha utaalamu wao katika
vi navyo- kutumia kondomu na kwamba wana-
wajibika vipi katika mahusiano salama
sababisha kingono.

UKIMWU?

ov
Kuna ama imsingi, kuna kondomu za
kiume ambazo huvaliwa
ngapi za kwenye uume, na kondomu
za kike ambazo huingizwa kwenye
kondomu? uke kabla ya ngono. Kondomu za
kiume hutengenezwa katika maumbo
na rangi tofauti na kwa kuweka ama
na kiasi tofauti cha mafuta. Halafu pia
kuna tofauti ndogo katika ukubwa na
uzito. Kondomu nyingine zina 'vipele
vipele ambavyo vinatakiwa kumfanya
mwanamke kujisilcia vizuri zaidi waka-
II wa ngono, au nyingine zinakuwa na
rangi na harufu nzuri. Hata hivyo mara
nyingi watumiaji huwa hawazthisi to-
fauti hizi ndogo. Kuna ama moja tu ya
knnAnmii ya kike.

29
Je,
ni kweli N iyo, ni kweli kwamba siyo
kondomu zote zina harufu
au ladha moja. Kwa kawaida,
kondomu zote zina harufu kidogo ya
kwam ba mpira. Mbali ya hii, zinaweza kuwa na
harufu ya mafuta yaliyowekwa kwenye
kuna kondomu, harufu ambayo baadhi ya
watumiaji haiwapendezi. Hata hivyo,
kondomu harufu hii hupungua haraka mara baa-
da ya pakiti ya kondomu kufunguliwa.
Kisha kuna kondomu zenye harufu na
zenye ladha ladha fulani kama vile ndizi, chokoleti,
stroberi au vanilla. Hata hivyo tofauti
tofauti? hizi haziathiri ubora wa kondomu.

30
Je kuna watu diyo, watu wengine Wa-
naweza kuathiriwa na kon-
wanaoathiri domu. Athari hiyo yawèzä
kusababishwa na mpira au mafuta yal-
wa na iyowekwa kwenyekondomu. Kutumia
ama nyingine ya kondomu kunaweza
kondomu? kurnaliza tatizo kwa baadhi ya watu.
Kuosha sehemu za siri kwa sabuni baa-
da ya ngono kuna weza kusaidia pia.

31
Ni kwanini zote zina unyenyevu,
inatotautianakwa U-
kondomu Koan,di-onu
wango cha unyevu. Wakati ny-
ingine ni nyevu zaidi, nyingine ni nyevu
nyingine Icidogo. Mafuta yaliyomo kwenye kon-
domu ambayo hutumika katika utun-
zina zaji na kurahisisha ukunjuaji wa kon-
domu wakati wa kuivisha kwenye uume

'Unyevu nye- husababisha hail hii. Bila mafuta haya,


uimara ha kondomu hauwezi kuhakik-
ishwa kwa sababu kondomu itakauka
vu'? na kupoteza sifa yake ya kunyumbu-
lika. Unyevu uliopo kwenye kondomu
ni dalili pia kuwa muda wa matumizi
wa kondomu husika haujakwisha. Hii
ndiyo maana kuna maelekezo kwa wa-
tumiaji wa kondomu kuhakikisha kuwa
ikiwemo kwenye paketi bila kufungua
ishike kuona kama inafanya inatembea
bila shida. Hil ni dalili kwamba muda
wa matumizi wa kondomu hiyo hauja-
kwisha. Kama kondomu hazijatunzwa
vizuri, unyevu huo hupotea. Kumbuka
kuhifadhi kondomu kwenye sehemu
iliyo baridi na kavu na epuka kuiweka
kwenye eneo la joto. Hata hivyo, ama
tofauti za kondomu zina kiwango to-
fauti cha mafuta. Jaribu kupata ambayo
wewe na mwenzi wako mnaipendelea.

32
Je,
kondomu za H apana, kondomu zote zina-
.
zosambazwa na kuuzwa zina
ubora mzuri bila kujali bei.
Ubora wa kondomu unahakikiwa kupi-
bei kubwa tia vipimo mbalimbali vinavyochuku-
liwa kabla ya kusambazwa na kuuzwa.
zina ubora Bei ya kondomu inatokana na jinsi
ambavyo imefungwa kwenye pakiti, na
zaidi? vitu vya ziada kama vile rangi, ladha au
harufu iiyowekwa kwenye kondomu
na hata mahali ambako kondomu hiyo
inauzwa. Kutegemeana na mahali am-
bapo duka liko, jina la kibiashara la kon-
domu na kiasi cha faida cha muuzaji pia
huchangia tofauti hizo za bei. Kondomu
zinazouzwa kwa mtindo wa "soko la ki-
jamii" kama vile "Salama' "Dume" au
" Rama' na kondomu za bure ni rahisi
kwa sababu serikali na wahisani wanali-

IL /
pa sehemu ya bei au bei

cz Z " ndomu zote ni


bUa kujoli umbo, rangi,
harufu au unene

----I

33
Je, kondomu hirika La Viwango Tanzania (TBS)
huzipima kondomu zote zina-
zote zisam- zosambazwa na kuuzwa Tanza-
nia. Vipimo hivi hufanyika ih kuhak-
bazwazo ikisha kuwa kondomu zote zina ubora
unaotakiwa kwa mujibu wa viwango
Tanzania vya kimataifa na kitanzania. Hata hivyo,
ubora wa kondomu unaweza kutofau-
zina ubora? tiana kwa jinsi ambavyo utaisikia utaka-
poivaa, itakavyobana na kutokana na
harufu. Hii inatokana na tofauti ndogo
kwa umbo an ukubwa, mafuta yaliy-
owekwa kwenye kondomu an uzito wa
mpira.

Hivyo kama kutakuwa na ama mbalim-


bali za kondomu, watumiaji wataweza
kuchagua wazipendeleazo. Hata hivyo,
kondomu za ubora wa bali ya juu
zinaweza kutoa kinga ndogo tu kama
zitatumiwa baada ya muda wa mwisho
wa matumizi yake kuisha, an kama
zimehifadhiwa katika sehemu yenye
joto na jua kali. Pia, ukibeba kondomu
kwa muda mrefu, kwa mfano katika
mfuko wako an pochi fikiria kuzibadil-
isha baada ya muda kwani pakiti yake
inaweza kuharibika baada ya muda
mrefu hivyo kusababisha kondomu
iliyo ndani kuharibika.

34
Ni viwango ondomu zimewekwa kwenye
kundi Ia vifaa vya hospitali na
gani vya zinaratibiwa na Mawakala wa
udhitibiti duniani. Usalama na uwezo
ubora vya wake wa kazi hutangazwa na manilaka
za udhibiti za kitaifa na kimataifa na ma-
kondomu? shirika ya viwango kwa kutoa kiwango
cha chini kabisa cha ubora. Viwango hivi
pia hutoa na kuanisha njia za udhibiti wa
ubora. Chombo kikubwa cha mamlaka
ya viwango, shirikisho Ia mashirika ya
viwango vya kitaifa duniani iii Shirika Ia
Kimataifa Ia Viwango (ISO). Ih kuhak-
ikisha ubora wa kondomu, kiwango cha
kimataifa cha uzalishaji wa kondomu
(ISO 10993) hutumika kupima uw-
ezo wa mzalishaji kutengeneza bidhaa
yenye ubora na pia kuipima tenakabla ya
kusafirishwa kwake.
I

35
Ubora wa
kondomu U bora wa kondomu unahakiki-
wa kwa utaratibu wa kucheki
sehemu mbalimbali za she-
hena moja. Shehena ni mkusanyiko wa
unathibitish- kondomu za ama moja, rangi, umbo na
ambazo zimezalishwa kwa wakati mmo-
waje? ja, kutumia mchakato mmoja, mali ghafi
na vifaa. Kondomu kutoka kwenye she-
hena huchukuliwa bila utaratibu maa-
lum. Njia hii hutoa uhakika kwamba
sampuli ziizochukuliwa zinawakili-
sha shehena yote. Kondomu hupimwa
kwenye eneo Ia kukusanyia malighafi
wakati na baada ya uzalishaji—kwenye
maabara zao, hata kwenye maabara bin-
afsi na maabara za udhibiti za kitaifa
kama Shirika la Viwango Tanzania, am-
bayo mnalazimika kuzingatia viwango
vya kimataifa kwa kupima kondomu
zote zinazosabazwa na kuuzwa Tan-
zania. Wanunuzi wanapata ripoti za
maabara: na kama kondomu zote zina-
pasishwa, zinaruhusiwa kuuzwa. Kama
1-- 1 ------
zmnakuwa hazijafikia kiwango
i kinachotakiwa, mzalishaji
hizo kuelekezwa kuziharibu.
haya hufanyika kwa ufanisi
mkubwa, hivyo unaweza
kuwa na uhakika kuwa
kiufundi kondomu zina
ubora wa bali ya juu sana.

36
Majaribio ya Kipimo kingine kinapima kuangalia
nguvu inayotumika katika kupasua kon-
kimaabara domu, urefu wa kondomu inapopasuka
na nguvu ya mpasuko. Katika test sam-
hufanyi kaje? puli yenye upana wa 20 mm inakatwa
kwenye sehemu ya kati ya kondomu na
mduara We wenye mkunjo wa kondomu

K ondomu zinajaribiwa kuangalia:

• Uwezo wa kutanuka
• Uimara na urefu wa maisha kabla ya
huvutwa hadi ipasuke.

Kipimo kingine kinaitwa "mpasuko wa


hewa' Kondomu hujazwa hewa kama
puto kisha wingi wa hewa na msu-
kutumika kumo unaohitajika kupasua kondomu
• Matundu na kasoro hupimwa.
• Ufungaji na uwekaji wa lebo
Pia kondomu inatalciwa kufungwa vi-
Kwanza kabisa, upana na urefu zuri. Kondomu ilciwemo kwenye pakiti
hupimwa. Kondomu hunyooshwa ki- yake huwekwa kwenye mfumo wa hewa.
dogo na upana na urefu wake hupimwa. Kama kondomu inawekwa kwenye
Pia vipimo vitatu vya uzito hufanyika mfumo wa maji na mapovu yakatokea
kwa kila kondomu iliyotolewa kama kwenye pakiti, inaonyesha kuwa kuna
sampuli. kasoro an vitundu kwenye kasha La
kondomu. Kama pakiti hiyo itawekwa
Baadaye jaribio lingine hufanyika kwenye hewa kavu inatakiwa kujaa hewa
kuangalia kama kondomu inavuja, ii kuweza kupasishwa.
kuchunguza kama hakuna matundu.
Katika "njia ya kuning'iniza" kondomu Upimaji wa mwisho hufanyika kwa ku-
hujazwa maji na mtaalam huiangalia banikwa kipimo ambacho kitaonyesha
kama inavuja. Kondomu ya kawaida bidhaa inahimii vipi jinsi itakavyohi-
inaweza kujazwa hadi kufikia lita 20 fadhiwa. Wakati wa upimaji huo, kon-
za maji! Kisha kondomu hufungwa na domu huzeeshwa kibandia kwenye oven
kubingirishwa kwenye karatasi yenye iliyoongezwa joto kwa muda fulani am-
uwezo wa kunyonya ambapo huchun- bapo vipimo vingine vya msukumo na
guzwa kama ma maji. mpasuko wa hewa hufanyika.

37
Wanaoruhusi-
wa kutumia M tu yeyote aliyeanza ku-
fanya ngono anatakiwa
kutumia kondomu, ih
aweze kujikinga yeye na mwenzi wake
kondomu ni dhidi ya mimba zisizotakiwa na maam-
bukizi yatokanayo na kufanya ngono,
watu wenye VVU ikiwemo. Nchini hapa mtu yeyote
anaruhusiwa kununua an kupata kon-
umri kuanzia domu kutoka kwenye sehemu zitoazo
huduma za afya. Ni uamuzi wako na
mwenzi wako kama mnataka kufanya
miaka ngono na kama mnataka kutumia kon-
domu.
mingapi?
Hata hivyo wazazi, walimu, viongozi
wa dini na watu wengine wanaweza ku-
kataa vijana an wasio na ndoa kufanya
Naweza kukuuliza "ono. Lolote kijana atakaloamua,
swali juu ya kondomu? anatakiwa ajue jinsi ambavyo
atakavyoweza kujilinda ikiwa
' t
ni pamoja na kujua wapi ataka-
4
popata kondomu na jinsi ya
kuzitumia kwa usahihi.

38
Je, kuna
kondomu za H apana, hakuria kondomu zi-
Jizotengenezwa mahsusi kwa
vijana. Kuna kondomu zi-
lizo kubwa au ndogo kidogo, kutosha
vijana? tofauti za ukubwa wa uume na tofauti
za rnapenzi ya watu wanaopenda kon-
domu zinazowabana zaidi au zinazoba-
na kidogo. Kimsingi, kondomu zinawa-
tosha wanaume karibu wote, hata kama
ukubwa wa uume wao ni tofauti.

Kama kondomu inaonekana kuwa ni


kubwa sana, kuna uwezekano mkubwa
kwamba mvulana huyo bado anakua. Na
kwa mantiki hiyo, mvulana huyo ana-
takiwa kufikiria kama kweli yuko tayari
kuwa na uhusiano wa kingono, au labda
asubiri. Kumbuka kuna njia nyingine za
kuonyesha mapenzi na kupoteza muda
na marafiki.

39
Dini aadhi ya viongozi wa kidini ha-

zinasemaje R. ana matafizo yoyote na kon-


domu; hata wanahamasisha
itumike kwa ajili ya uzazi wa mpango
kuhusu na kujikinga na maambukizi ya VVU.
Wengine, kama Kanisa Katoliki, wana-
kondomu? pinga matumizi ya kondomu. Viongozi
wengi wa kidini wanaidhinisha matu-
mizi ya kondomu kwa wanandoa, lakini
siyo wakati ambapo wanafikiri kwamba
kondomu zinatumiwa kwenye uhusiano
wa ngono nje ya ndoa. Kwa mujibu wa
karibu dini zote uhusiano wa ngono nje
ya ndoa ni dhambi, lakini kumlinda
mwenzi kwa kutumia kondomu haku-
wezi kuonekana kuwa ni dhambi.

rIll
Je tu wengi wanaona fedheha

inafed- Wa'j' uenekana wakinunua ken-


domu, kwa vile kondomu
zinahusiana na kitu nyeti sana, cha usiri
hehesha na ujinsi. Hata hivyo, kuwa na kondomu
kunaonyesha kuwa ni unajali, hata kama
kuonekana huitumii bali unaibeba kwa muds mrefu
au unampatia rafiki! Siku hizi, wazazi
unanunua wengi wanapata ahueni kuona kuwa Wa-
tote wao wana kondomu, kwani inaonye-
sha kuwa wana ufahamu na watatunza
au umebeba afya zao na za wenzi wao, hata kama mza-
zi bade hataflirahi kuona kuwa mwanaye
kondomu? anafikiria kufanya ngono.

Pombe na
kondomu?

41
Je kutumia
kondomu siyo K utumia kondomu, au ku-
pendekeza kutumia kondomu
ni dalili kwamba mtu anam-
jali mwenzi wake. Ni dalili ya kuwa mtu
dalili kwamba anayewaj ibika, mtu mwenye uelewa
na ambaye anataka kulinda afya yake
mtu hamwa- na ya mwenzi wake. Inaonyesha kuwa
ni mwenzi anayemjali mwenzake na
mini mwenzi kwamba hakufikiria tu kuhusu kin-
ga dhidi ya magonjwa bali pia, dhidi
ya mimba zisizopangwa. Hata kama
wake? wapenzi wanaaminiana kwamba ha-
wawezi kuwa na magonjwa ya ngono,
bado labda wangependa kuzuia mimba
zisizopangwa!

Utokuwa na
imani
nami nikitumia

t- kondomu?

42
N itamshaw- wanza kabisa, kama mwenzi
wako pia anajali matokeo ya-
ishije nayoweza kusababishwa na
kutotumia kondomu unaweza usiwe na
mwenzi sababu ya kumshawishi. Mara nyingi,
wapenzi wanakuwa na aibu kuanza
wangu kuongelea suala hili hata kama wote
wawili wangependa kutumia kondomu,
kutumia na unaweza kugundua kuwa mwen-
zi wako atafurahi kwamba umeanza
kuongelea kondomu! Kwa vile unajali
kondomu? kuhusu rnatokeo, jaribu na mfaham-
ishe mwenzi wako faida za kutumia
kondomu. Pill mwambie ni kwa sababu
gani unataka mtumie kondomu. Kama
anaogopa ni jinsi gani anaweza kupata
kondomu, jitolee kwamba wajibu wa
kuzipata kondomu hizo utakuwa wako.
Kama inawezekana mpe mwenzi wako
muda wa kufikira suala hill.

Hapana, baudo
yako BwanaJ
J

Kumbuka:
Hutajuta kuwa na
uhusiano wa ngono
salama zaidi!

43
Je,
kondomu ya N yo. Watafiti duniani Wa-
thibitisha kuwa kondomu
E:kikeni thabiti katika ku-
zuia ujauzito na maambukizi ya ngono
kike ni ikiwemo VVU.

salama kama
ya kiume?

r
Je,. ondomu inaweza kuchomoka
na kubakia kwenye uke waka-
kondomu ti wa ngono. Hata hivyo hal-
wezi kupotelea kwenye uke, kwani uke
yaweza umefungwa kila upande wa mwili. Sc-
hemu iliyo wazi ni ndogo tu ya njia ya
kupotelea uzazi, ambayo damu ya hedhi na ma-
nii hupita. Tundu hill lilipo kati ya mji
kwenye uke? wa inamba na uke ni dogosana sawa
na risasi ndani ya penseli. (Inafunguka
wakati wa kujifungua na hujifunga tena
baada ya hapo). Hivyo, kama kondomu
itavuka na kubaki ukeni, inaweza ku-
tolewa kwa kuvutwa na vidole.

47
Nimwuulize ehemu nzuri ya kuuliza maswali
uhusu kondomu ni kwa mlu
nani kama jk
yeyote anayetoa huduma za uzazi
wa mpango katika sehemu zote za afya
n itakuwa za umma, binafsi, wauzaji kondomu wa
rejareja na maduka ya dawa. Watu wa-
na maswali naojishughulisha na kutoa ushauri na-
saha na upimaji wa VVU pia unaweza
kuhusiana kuwauliza maswali yako. Kwa wale
walio na barua pepe au wavuti unaweza
kuuliza maswali yako katika tovuti ya
na www.chezasalama.com, www.info@psi.
or.tz, na simu za msaada za masuala ya
matumizi ya VVU na UKIMWI.

kondomu?

Ninaweza
kukuuiiza swal
kuhusu kondomi

48
a
0

t-o -

You might also like