0% found this document useful (0 votes)
543 views8 pages

Steering System

Uploaded by

Kelvin Mhenja
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
543 views8 pages

Steering System

Uploaded by

Kelvin Mhenja
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd

MFUMO WA STEERING:

(AUTOMOTIVE STEERING SYSTEM):

Mfumo wa steering umewekwa kwenye magari kwa madhumuni ya


kumuwezesha dereva kuliongoza gari likiwa kwenye mwendo barabarani, na
kumfanya dereva awe na uwezo wa kulielekeza gari kokote alikokusudia
twenda.

Mfumo wa steering unaweza kuwa MANUAL au POWER na kwamba mfumo


wa viungo kwa utaratibu maalumu vimewekwa kutoka kwenye steering
wheel, hadi kwenye steering arm (track arm) za pande zote za kwenye
magurudumu.

Mfumo wa steering ambao ni power huwa unatumia hydraulic pump au


electric motor ili kuweza kumpunguzia dereva matumizi ya nguvu nyingi
wakati ule anapokuwa anauzungusha usukani ili kuweza kuliongoza gari
linapokuwa kwenye mwendo barabarani.

Kimsingi mifumo hii miwili, yaani power na manual ufanyaji wa kazi ni


karibu sawa, kwani wakati ule usukani utakapokuwa unazungushwa,
mwendo unafika kwenye steering gear (steering box) chombo hiki kikuu
huwa kinafanya kazi ya kubadilisha mwendo wa mzunguko wa steering
wheel, kuwa mwendo mnyofu wa track rod (straight line or linear motion)
mwendo huu utakuwa unasafirishwa kwenye track arm (steering knuckle)
kupitia viungo mbalimbali kwa kutegemeana na mfumo kwa kufanya hivi
magurudumu huweza kugeuzwa.

VYOMBO VIKUU - STEERING SYSTEM:


Mfumo wa steering huwa umegawanyika katika maeneo matatu makuu
ambayo ni:-
1. Steering wheel na steering shaft ambavyo husafirisha mwenendo
wa mzunguko hadi kwe`nye steering box (steering gear).

2. Steering gear (steering box) ambayo hubadilisha mwendo wa


usukani kuwa mwendo mnyofu.

3. Steering linkage hivi huchukua mwendo ambao ni linear motion


(mwendo mnyofu) hadi kwenye steering arm (steering knuckle).

Hata hivyo, katika moja ya mfumo wa steering vyombo huwa


vimejengwa katika mfumo kama ifuatavyo: -

38
1. Steering wheel
2. Steering shaft na column
3. Steering gear box
4. Drop arm (pitman arm)
5. Drag link
6. Track rod (Tie rod)
7. Tie rod end (ball joint)
8. Steering arm (track arm)
MIUNDO YA MIFUMO YA STEERING:

Muundo huu huweza kutumia aina moja wapo ya steering box na drop arm
huwa inatumika kuchukua mwendo kutoka kwenye gear (gear box).

39
Muundo huu huwa unatumia steering gear box iriayojulikana kana rack and
pinion. Magari mengi madogo huwa yanatumia sana muundo huu. Kupitia
picha, ile ya kwanza ni RECIRCUTING BALL - STEERING SYSTEM na picha
ya pili ni RACK -AND -PINION STEERING SYSTEM.

MANUAL - RACK AHD PINION STEERING GEAR:

PINION PINION SHAFT

L„OcKET ,BEuOws RACK yb. B"o_wsrfeDEf lee

-----a---------------:--giv--ri:;}fgiv--------

\ ` -:,

Madhumuni ya picha hizo ni kutaka kuonyesha kwa uwazi zaidi rack and
pinion sterring gear. Mfumo huu pia huweza kuwa MANUAL au POWER
ASSISTED, na magari mengi ya siku hizi yanayotumia muundo huu, huwa ni
power assisted steering.

AINA ZA STEERING GEAR BOX:


1. Rack and pinion
2. Worm and roller
3. Cam and peg
4. Screw and nut
5. Recirculating ball.

PJB: Kwa magari yanayotumia drop arm kwenye mfumo wa steering drop
arm huweza kufungwa, katika mifumo miwili ambayo ni:-
1. Transverse drag link
2. Longitudinal drag link

40
Castor angle kwenye mfumo wa usukani huwa iriafanya kazi ya kuufanya
usukani uweze kujirudisha wenyewe baada ya kukona (To provide the self
centring action of the steering wheel). Kuna aina mbili za Castor angle
ambaro ni, Negative castor angle, na Positive castor angle, castor angle
inatakiwa kuwa kati ya nyuzi 20 mpaka nyuzi 50. Ikiwa castor angle itakuwa
ndogo itasababisha gari kuyumba yumba wakati likiwa kwenye mwendo
barabarabi na mara nyingine magurudumu huweza kutetema yanapotembea
(wobbling) na castor angle ikiwa kubwa huwa inasababisha usukani kuwa
mgumu kuuzungusha.
CAMBER ANGLE:

POSITIVE CAMBEB NEGATIVE CAMBEB

Camber angle nayo imo kwenye mfumo wa steering, kazi ya pembe hii ni
kuufanya usukani uwe rahisi wakati ule unapokuwa unazungushwa.

Camber angle huwa inapatikana kwa kulitoa gurudumu nje kwa juu au
kuliingiza ndani kwa juu (Positive camber na Negative camber angle) kwa
maana hii pembe inayopatikana kati ya muelekeo ule wa kwanza na
muelekeo ule mpya ndiyo camber angle.
Camber angle za pande zote za magurudumu zinatakiwa kuwa sawa bila
kutofautiana ikiwa camber ya upande mmoja itakuwa kubwa kuizidi ya
upande mwingine, gari litavuta upande mmoja na kusababisha camber angle
kuwa kubwa inbayo itayafanya matairi kuchakaa mapema. Ikiwa matairi
yatakuwa yanaliwa pembeni kwa nje hilo ni jibu kwamba kuna hitilafu
kwenye positive camber, na ikiwa matairi yatakuwa yanaliwa pembeni kwa
upande wa ndani, hilo ni jibu kwamba negative camber inahitilafu.
NB: Marekebisho ya camber angle huwa yanafanyika kwa kuajasti urefu
wa track rod (Tie rod) kwa kuzitoa ball joint (Tie rod end) nje au

41
ACKERMAN ANGLE:

ACKERMAN ANGL]}

g€|~¥~se , ^aKN:a:.i:\A`i \.`_ _-;'=`,-`=:\`+`T ,`-i


/
.,,I;I

\\ _-\
\d--_
`J
irl- ir- ~1 `_i':`rTIzr.
•,-- -`
-̀,-\--/\--`:L\
r i - ,I i J``J-<-•`J`,`,r`-
` ``- /

:i:::+i:i:±=::i:i:i:>, \-.--`` :-i -=>-==< I, i.: ,_+


iT2R`ckQOD |`|`` _`}. `-ms> %.t\

Kama inavyoonekana kwenye mchoro, Ackerman angle ni pembe ambayo


hufanyika kwa mistari miwili kutoka kwenye pinion nose hadi kwenye king
pin kwa pande zote mbili, jambo hili huweza kuonekana kupitia mchoro
ikiwa usukani itakuwa haujazungushwa, wakati usukani utakapokuwa
umezungushwa, track rod haiwi sambamba pamoja na axle bean, jambo hili
huonyesha kwamba, wakati wa kona gurudumu la ndani na lile la nje huwa
yanakata kona kwenye pembe zinazotofautiana (angalia mchoro kwa makini).
CASTOR ANGLE:

Castor angle ni moja ya pembe muhimu zilizo kwenye mfumo wa usukani


(steering system). Pembe hii inapatikana (katika uundwaji) kwa kurudisha
nyuma king pin kutoka katika muelekeo wake mnyofu katika eneo la juu
(Tilted back ward at the Top), kwa maana hii, pembe inayopatikana ya
muelekeo ule wa kwanza na muelekeo huu wa pili inaitwa CASTOR ANGLE,
na pembe inayofanyika chini inaitwa CASTOR TRAIL

42
kuziingiza ndani, chombo maalumu huwa kinatumika.

TOE IN NA TOE OUT:


Haya ni marekebisho ambayo pia huweza kufanyika kwenye magurudumu
ya mbele kwa kuyaingiza magurudumu kwa ndani kidogo (Toe in) au kwa
kuyatoa kwa nje kidogo (Toe out) madhumuni ya utaratibu huu ni
kuyawezesha magurudumu ya mbele kutembea kwenye uwiano sawa wakati
ule gari linapokuwa linatembea katika hali ya kunyosha.
WHEEL ALIGNMENT:
Wheel alignment ni marekebisho yanayofanyika kwenye magurudumu ya
mbele ili kuweza kurekebisha camber angle na pembe zingine. Chombo
kiitwacho wheel alignment gauge huwa kinatumika kwa kazi hii na wheel
alignment huwa inafanyika kwa kuajasti urefu wa track rod (Tie rod).
Kabla ya wheel alignment haijafanyika, mambo yafuatayo ni lazima
yazingatiwe.
1. Kukagua hali za ball joint (steering joint)
2. Kukagua hali ya matalri
3. Kuhakikisha kwamba matairi yote yanaujazo wa hewa kadiri ya
mapendekezo ya waundaji wa gari hilo.
4. Kuhakikisha kwamba wheel bearing play ni sahihi.
5. Gari linatakiwa lisimame kwenye sakafu ambayo ni tambarare kabisa.
POWER ASSISTED STEERING
Main Shaft in
Steering Column

43
Kama inavyoonekana pichani mfumo huu huwa unaundwa na vyombo
vifuatavyo (Hydraulie System).
1. Fluid reservier
2. Power -Steering Pump
3. Steering gear box.
Kimsingi mfumo huu ni sawa na manual steering system, isipokuwa mfumo
huu umewekewa usaidizi unaomsaidia dereva asitumie nguvu nyingi wakati
ule anapokuwa anauzungusha usukani.

Fluid reservier hiki ni chombo ambacho kinatunza thafuta (ATF Dextron 11)
Power steering pump hii huwa inafanya kazi ya kuyasukuma mafuta kutoka
kwenye reservier hadi kwenye steering gear box.

YA
Baadhi ya marekebisho ambayo hufanywa kwenye magurudumu ya mbele ni
panoja na:-
1. King pin inclination
2. Wheel alignment
3. Wheel balance

MATATIZO BRADHI YA MFUMO WA STEERING:


Ikiwa gari linayumbayumba barabarani tatizo huweza kuwa:
- Hewa inatofautiana kwenye matairi.
-Gari kupakia mzigo mwingi au kupakia upande.
- Kulegea au kuchakaa kwa viungo vya steering
- Wheel alignment kama si sahihi
- Kuvunjika kwa spring
- Adjustment ya steering gear box kama si sahihi

2. Steering inakuwa ngumu kuizungusha (Steering hard to turn).


- Kuwepo kwa hewa pungufu kwenye matairi
- Ikiwa ajastment ya steering box kama sio mzuri.
- Kukosekana kwa grease kwenye viungo vya steering.
- Wheel aligniment kama haiku sahihi.

44
3. Katika mfumo wa steering ambao unasaidiwa na mafuta usukani
unaweza kuwa mgumu ikiwa:-
- Kutokuwepo na ATF ya kutosha kwenye tenki
-Kuharibika kwa power -steering pump
- Kuwepo kwa hewa kwenye mfumo wa ATF inamopita
- Kuchakaa sana kwa viungo vya steering
-Ikiwa baadhi ya viungo vimekosa ulainishaji.

Matairi ya mbele ikiwa yamelika kwa utofauti huweza kusababisha


steering kutetema gari linapofikisha kwenye kasi Fulani (Wheel
wobbling) tatizo hili huweza kusababishwa pia ikiwa ujazo wa hewa
itarfuwa unatofautiana kwenye magurudumu ya mbele, vile vile
ikiwa magurudumu yatakuwa yamepata ulemavu au kuchakaa kwa
baadhi ya bush, tatizo hili huweza kujionyesha gari linapokuwa
linatembea kwenye kasi ya kilometa 70, 80 au 90.

45

You might also like