0% found this document useful (0 votes)
651 views19 pages

Suspension System

Uploaded by

Kelvin Mhenja
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
651 views19 pages

Suspension System

Uploaded by

Kelvin Mhenja
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd

MFUMO WA MNESO (SUSPENSION SYSTEM):

Mfumo wa mneso (Suspension system) umewekiva kwenye magari kwa


madhumuni yafuatayo : -
1. Kubeba uzito wa gari.
2. Kumeza mitikisiko inayotokana na hali ya barabara, kwa kufanya
hivyo abiria na mizigo huweza kukaa kwa starehe kwenye gari.
3. Kudumisha mkamatano wa matalri na barabara.
4. Kuyakamatia magurudumu katika hali ya unyofu (Hold the wheel
alignment). Mfumo wa mneso pia huwezesh`a gari kukona katika
hali ya kulalia upande kwa kiasi fulani.

VYOMBO VYA MFUMO WA SUSPENSION.


Vyombo vikuu katika suspension ni spring na shock absorber. Chombo
kingine ni tairi. Spring huwa zinafanya kazi ya kubeba uzito wa gari na
mzigo pamoja na kumeza mitikisiko inayotokea barabarani, wakati shock
absorber hufanya kazi ya kumeza mitikisiko inayosalia kwenye springs bila
shock absorber kwenye spring ni wazi kwamba, wakati ule gari litakapoingia
kwenye kishimo na kupanda kituta spring zingeendelea kurukaruka wa
kipindi kirefu (Spring Oscillation) jambo hili lingefanya gari kutotulia
barabarani, matokeo yake raha ya uendeshaji ingetoweka na abiria
wangekaa kwa mashaka kwenye gari.

AINA ZA SPRING.
Kuna aina mbalimbali za mifumo ya suspension springs lakini hizo
zinazoonekana pichani zimetumika sana kwenye lriagari, aina hizo ni:-
1. Coil spring.
2. Leaf spring
3. Torsional bar
4. Air

Coil spring huwa inaundwa na chuma kigumu katika umbo kama


inavyoonekana pichani, falda ya aina hii ya spring ni pamoja na:-

1. Hutoa mneso mzuri.


2. Huchukua eneo dogo sehemu inapofungwa.
3. Ni nyepesi kwa uzito
4. Hufaa sana kwenye magari madogo nayale ya kati.
5. Marekebishoyake ni kidogo.

Hasara za aina hii ni pamoja na:-


1. Hazitumiki sana kwenye magari makubwa.
2. Ni ngumu katika kuifungua na kuifunga sehemu yake hasa kama
hakuna SST (Special Service Tools).
3. Zinahitaji shock absorber madhubuti.

47
KUIONDOA COIL SPRING MAHALI ILIPOFUNGWA.

Kutokana na picha unaweza kuona namna Coil spring inavyokaa katika


mfumo wake, Coil spring huweza kuondolewa mahali ilipofungwa ikiwa
zitakuwa zimekatika au ikiwa zitaonekana kuwa zimechoka (weak). Hata
hivyo namna ya ukaaji wa Coil spring kwenye gari huwa unatofaintiana kati ya
gari moja na gari lingine. Hii hutokana na jinsi waun.daji wanavyotofautiana
katika kuunda magari.
Lakini jambo la msingi katika kufanya kaci hiyo ni kuwa na ukamilifu
kana ifuatavyo.
1. Spanazifaazo kwa kazi hiyo.
2. Jack
3. Axle stand
4. Blocks
5. Cotton west
6. Clanp nk.
Katika kuifungua shock inafunguliwa, clamp inawekwa ili kuibana Coil
spring (kamba imara pia huweza kutumika).
Gari liinuliwe kwa jack, kwa wakati huu bodi litakuwa linakwenda juu na
chassis frame itakuwa inabat<i ' chini kwa kuwa spring itakuwa imebanwa
kwa clamp, itaachwa huru, v`rakati ule bodi linapokuwa linapanda juu, kwa
hatua hii Coil Spring inakuwa huru kuondolewa kwenye eneo lake.
INB: Kuifunga Coil kwenye eneo lake ni kufanya kinyume cha kuifungupci

48
MUHIMU:
Wakati wowote Coil spring moja inapopata ubovu utaratibu katika
kuibadilisha ni lazima kuweka zote mbili mpya. Hii ni kwa sababu uwezo
wa Coil spring mpya na ile ya zamani utakuwa unatofautiana, kwa sababu
hii hali ya mneso inaweza kuathiriwa, mbaya zaldi Coil spring ya zamani
inaweza kukatika.

LEAF SPRING.

Leaf spring hujulikana pia kama steel laminated. Hizi huwa zimetengenezwa
kwa chuma kigumu sana, Leaf spring kama spring zingine huwa zinafungwa
kati ya gurudumu na fremu ya gari.

AINA (TYPES):
Leaf spring ina alna zifuatazo:-
(i) Single leaf spring
(ii) Multleaf spring.
49
FAIDA (ADVANTAGES) :
Faida za aina hii ni kama ifuatavyo.

; ]k=a:=n¥aesi=a:o±g=otbly¥=ae±y::tLik£:r:bog:£o:jz;::aagmiiL;± ¥au:::,mmb#ubwa ya
3. Zinadumu mudamrefu.
4. Hacihitaji SST -katika kuzifungua.

HASARA:

2: ¥]itTkzit°kuziweka au kuziondoa sehemu yake zinahitaji watu zaidi ya


mmoja.

2: Z£:if¥°k=tbu°mvi£::i.kwenye magari madogo ya starehe.

ZILIVYOUNDWA (CONSTRUCTIONS):
Kama inavyoonekana pichani mwanzoni mwa somo hili la springi, Leaf
spring imeundwa na sehemu zifuatazo: -
1. Main leaf spring.
2. Second Leaf spring
3. Leaves spring
4. Rebound clip
5. Swingingshackle
6. U -bolt
7. Ceritre bolt
8. Bumpstoprubber.

Mwisho wa main leaf spring huwa mmewekwa matundu, matundu hayo


huwekwa bush, bushi huweza kuwa za chuma au raba, au chuma, raba nq
kipenyo cha chuma. Madhumuni makubwa ya matundu hayo ni
kuwezesha leaf spring kufungwa kwenye chassis frame ya gari.

Ili kuifanya main leaf spring kuwa imara, second leaf huwekwa chini ya
main leaf spring na ili kLi.fanya leaf spring zimudu kubeba mizigo mizito,
leaves spring huwekwa chini ya second leaf.

Karzi ya bush katika spring (leap ni kuondoa msuguano na mliko kati ya


tundu la spring na pini au bolt ambayo inapita ndani yake. Bush zepye
raba, huweza kutumika kwenye baadhi ya magari yanayotumia leaf spring
kwa madhumuni ya kuzuia mitikisiko isiweze kusafiri (kumeza mitikisiko).

50
REBOUIN.D CLEF:
Hizi huwa zinafanya kazi ya kusafirisha mzigo kwenye vipande vingine vya
spring (Transfer load to the other leaJ).

SVINGING SHACKLE:
Hizi hufanya kazi ya kuwezesha spring kujirefusha na kujifupisha wakati
ule spring zinapokuwa zinafanya kazi.

U- BOLT:
U- Bolt huwa zinafanya kazi ya kuzifunga spring kwenye axle ya gari.

CENTRE BOLT:
Inafanya kazi ya kuiweka axle kwenye spring (to locate axle on spring).

BUMP STOP RUBBER:


Hizi hufanya kazi kukomesha mwendo wa spring. Wakati ule spring
zinapokuwa zinafanya kazi.

UFANRAJI KAZI WA SPRING.

Spring zinapokuwa kwenye gari huwa zinafanya kazi kwa namna mbili kama
inavyoonekana pichani. Ufanyaji huo ni bump slrtjke na rebound stroke.

51
BUMP STROKE:
Huu ni wakati ambao bodi la gari na fremu vinakwenda chini na spring
zinagandamizwa kuelekea juu, kwa wakati huu rulbber stop huwa inafanya
kazi yake. Jambo hii hutokea wakati ule gari linapokuwa linatumbukia
kwenye kishimo mara baada ya kumaliza kupanda kituta.

REBOUND STROKE:
Huu ni wakati ambao bodi la gari na fremu vinakwenda juu, na spring
zinakuwa zinakwenda chini, jambo hili hutokea wakati ule gari linapopanda
kituta.

UFUNGWAUI WA SPRING KWENYE MAGARI (LEAF):


Kuna namna mbalimbali za ufungwaji wa Leaf springs kwenye magari, hii
ni kutokana na jinsi magari yanavyotofautiana katika kuundwa. Upo
mfumo wa Leaf spring ambao kufungwa kwake huwa zinapita chini ya axle,
upo mfumo mwingine ambapo spring katika kufungwa huwa zinapita juu
ya axle. Upo mfumo mwingine ambapo spring hufungwa kwa kuangalia
chini yaani kinyume na pia upo mfumo ambapo hutumika kwenye magari
makubwa ya mizigo yenye axle mbili kama vile;
1. Balancebeambogie.
2. Truniunbogie
3. Bellcrankbogie.

Baadhi ya magari makubwa ya mizigo Leaf spring hufungwa kwa kuwekewa


mzigo mdogo wa spring juu yake. Kazi ya mzigo huu mdogo wa spring ni
kuusaidia mzigo mkubwa wa spring katika kubeba mzigo. Mzigo huo wa
spring hujulikana sana kama HELPER.

KUUFUNGUA MZIGO WA SPRING:


Mzigo wa Spring huweza kufunguliwa sehemu ulipofungwa kwa sababu
zifuatazo:--
1. Ikiwa bush zimechakaa.
2. Ikiwa kuna kipande au vipande vya spring kama vimekatika.
3. Ikiwa spring zimechoka (weak) hufunguliwa ill kuziweka mpya.

Unapotaka kuufungua mzigo wa spring ni lazima uwe na vifaa vifuatavyo:-


1. Spanazifaazo kwa kazi hiyo (rings na fix).
2. Jack I
3. Blocks
4. Axle stand
5. Cotton west
6. Vice
7. Wire brush.

52
UTARATIBU RATIKA KUUFUPJGUA MZ|GO WA SPRIING.

Ill kuweza kuufungua mzigo wa spring ni lacima kupitia maeneo matatu.


Lakini kabla ya yote ni lazima gari lizuiliwe vizuri ifaavyo katika eneo
salama tambarare. Katika mfumo wa spring kama inavyoonekana kabla ya
kuanzakuzifunguaU-boltnilazimakwanzakuiwekajackchiniyaspring
maeneo ya U-Bolt. Ikiwajanbo hilo halitazingatiwa, ni waci kabisa katika
kumalizia kuifungua bolt ya mwishoni mzigo wa spring huwa unarudi chini
ghaflakwanguvu,jambohililinawezakusababishafundikuumiavibaya.
Kwa maaTa hii, U - bolt zinaweza kuanzwa kufunguliwa zikafuatiwa na
shackle pin na kumalizia mbele. Baada ya hatua hiyo jack hutumika
kuliinua gari, ill kuondoa uzito kwenye spring, gari likishalnuliwa vya
kutosha axle stand huwekwa pa kwa wakati huu spring zinakuwa huru
kuondolewa. Mara baada ya mzigo vya spring kuondolewa kwenye gari, kazi
inayoendeleaniileiliyosababishamzigowaspringkuondolewakwenyegari.

Ikiwa spring zitahitaji kutawanywa, ni lacima kuzibana spl.ing kwenye vice


na kuifungua au kuikata center bolt na hapo vice hulegezwa ill kuweza
kuzitawanyisha spring na kama ikiwa ni kuzi.weka bush, basi kazi ya
kuziondoa bushi na kuziweka itafanywa kwa kutegemeana na muundo wa
bushi.

53
RIB: Kwa magari yanayotumia bush za raba fupu kwenye leaf spring
nyuma kwenye maeneo ya swinging shackle, bush hizo zinapochakaa
sio lazima kushusha mzigo wa spring kutoka kwenye gari. Kazi ya
kuziweka bush inaweza kufanyika wakati spring zikiwa kwenye gari.

I_I:!IF!TFTP.:. K±uifrnga Twizi.gp y?. spring k:wervye gcin vi hinyune rLa


¥^±:Ta_tL+Pr~,I_F±L!h?_-_.-Frif¥nqua
k_i_n_=_c_h;=f=:qu:?. ku.hambul=waT:zigo higo ~nd
help.mqra .k.ul±oha_ kLJertia
hocmba, gcwi. .rerf
chi kitanza cia unJin;a
msir;i±
mara nyingi hinakuwa cha riowi,she hafungwa.

Kama inavyoonekana pichani shock absorber za mwanzo ambazo zipo mpaka


siku hizi huwa ziliundwa kwa kuwekwa piston yenye matundu na chemba ya
mafuta (oil). Kadiri ya mwendo wa gari piston ndani ya shockabsorber huwa
inakwenda juu na chini. Jambo hili huilazimisha oil (hydraulic) kupita
kwenye matundu madogo ya kwenye piston kwa ugumu. Jambo hili ndilo
linalowezesha shockabsorber kumeza mitikisko inayosalia kwenye spring.

54
AINA ZA SHOCKABSORBER:
Aina za shockabsorber ni pamoja na:-
1. Telescopic type (damper)
2. Liver type (Piston type).

Magari inengi hutumia telescopic type damper ambayo nayo ina aina mbili
kama vile; (1) Single acting damper (2) Double acting damper.

SINGLE ACTING DAMPER:


Muundo huu huwa inafanya kazi katika kipindi kimoja tu kwa mfano
inameza mitikisiko wakati ule bodi linapojaribu kwenda juu na wakati bodi
linaporudi chini shock absorber huwa huru.

DOUBLE ACTING DAMPER:


Katika muundo huu, shockabsober huwa huwa inafanya kazi katika
maeneo yote mawili, yaani wakati ule bodi linapokwenda chini na wakati
ule -bodi linapokwenda juu.

BILA SHOCKABSORBER NA ILIYO NA SHOCKABSORBER.

55
Madhumuni makubwa ya picha hizo ni kutaka kuonyesha mambo
yanavyokuwa kwenye gari, wakati linapotembea barabarani bila kuwa na
shockabsorber na wakati linapotembea barabarani wakati likiwa na
shockabsorber. Picha yajuu na picha ya chini huonyesha matokeo hayo.

NJE:

Miundo ya shockabsorber huwa inatofautiana kwa nje. Jambo hili


hutokana na kutofautiana kwa miundo ya suspension katika magari.
Kuna muundo wa shockabsorber ambao twenye maeneo ya kufungwa
kwenye gari huwa wanaweka matundu kwa pande zote na bush (rubber
bush) huwekwa katika sehemu hizo.

Upo muundo mwingine ambao pande zote mbili za kufungwa kwenye gari
huoteshwa stadi. Katika muundo huu rubber bush mbili na washeli nne
huweza kutumika kila upande na upo muundo mwingine ambao upande
mmoja huwekwa stadi na upande mwingine huwekwa tundu nk.

56
SHOCK ABSORBER NA STRUT ASSEMBLY:

Magari mengi madogo hutumia muundo wa shock absorber kama


inavyoonekana pichani. Shock absorber hiyo hufungwa sambamba na coil
spring. Katika mifumo ya mneso ambao shock absorber hufungwa pamoja
na coil spring huwa inaitwa STRUT AU Mczcpherson sfi.it€.

"8.. Shock absorber my;.ng;. za, sik,ii. hizi rrdarri Wake hauja wanoweka gas
maaham:u am,beyo hawezesha uizuri shock absorber harTtudu kyfanya
kazi, gasi ldyo haweza k:uwa wi Nitrogen ou gasi gegote mcralurrun.
Inaonywa kutokujcinbu kuziweka motorri pale zinapoonekcma hauja
zi.mechoka ou kypasha. joto lowa rLamrLa geyote ile, kwarvi mlipuho
unoweza hatokea rLa rrLatokeo Wake ajali mbeya inoweza .kulokea.

57
MIUNDO MINGINB YA SHOCKABSORBER:

Magari mengine huweza kutumia miundo ya shockabsorber kama


inavyoonekana pichani, miundo hiyo ni pamoja na SPRING ASSISTED,
ADJUSTABLE na AIR.

Spring assisted ni shockabsorber inayosaldiwa na spring maalumu,


adjustable shockabsorber ni shockabsorber inayoweza kurekebishwa kwa
umeme au kwa mikono ili kuiwezesha shockabsorber kuwa laini (soft) au
ngumu (harder ride). Hii ni kwa kutegemeana na mahitaji ya dereva. Na
air shockabsorber ni shockabsorber inayoongezewa uwezo wa kufanya kari
kwa nguvu ya hewa, Shockabsorber za namna hii huweza pia kurekebisha
urefu wa gari kwa kuli±.anya gari kuwa maeneo ya juu au maeneo ya chini.

UBOVU WA SHOCKABSORBER:
Shock absorber zikiwa zimechoka kwenye gari huweza kusababisha gari
kutembea barabarani kwa kuyumbayumba na wakati gari litakapokuwa
linapita kwenye barabara isiyolaini, 1itakuwa linarukaruka sana. Jambo
hili huweza kusababisha abiria kukaa kwa shida kwenye gari, bodi huweza
kuharibika na spring huweza kuchoka mapema (weak) na hatimae huweza
kukatika.

58
KUIFUNGUA SHOCKABSORBER:

Kama inavyoonekana pichani, shock absorber kwenye magari hufungwa


kwa namna tofauti tofauti, hii ni kutokana na kutofautiana kwa magari
katika kuundwa. Unapotaka kuifungua shockabsorber kwenye gari kwanza
ni lazima kuhakikisha kwamba gari limekaa kwenye ardhi ambayo ni
tambarare na liwe limezuiliwa kwa ajili ya usalama. Na shockabsorber
itafunguliwa kadiri ya muundo wake katika kufungwa. Shockabsorber
zingine ni lazima kutumia spana mbili, moja ya kuizuia stadi, na nyingine
ni kwa ajili ya kuifungua nati. Lakini pia PIPE WRENCH huweza kutumika
kuizuia shockabsorber isizunguke wakati inapokuwa inafunguliwa.

KUIPIMA SHOCKABSORBER:
Shockabsorber inapokuwa inafanya kazi huwa inacheza ndani na kutoka
nje. Katika kuipima ni lazima shock absorber iingizwe kwa ndani na
ichomolewe nje, katika majaribio haya shockabsorber mzima ni ile ambayo
itakuwa ngumu sana wakati wa kuichomoa nje au wakati wa kuirudisha
ndani au kuwa ngumu kwa maeneo yote, yaani wakati wa kuichomoa na
wakati wa kuizamisha ndani, 1akini ikiwa shockabsorber itaonekana laini
katika majaribio ya maeneo yote, hilo ni jibu kwamb`a shock absorber hiyo
ni mbovu, haifal kutumika kwenye gari.

Ikumbukwe ya kwamba, shockabsorber ni kiungo muhimu sana katika


gari, mfumo wa mneso.

59
BUSH NA BEARING (BUSH AND BEARINGS):

Kama inavyoonekana pichani bush ni chombo kinachowekwa kati ya jumba


na shaft ambayo hupita ndani yake. Madhumuni makubwa ya kuweka
bush katika maeneo mengi mbalimbali ya vyombo na magari ni kupTnguza
mliko kati ya eneo ambalo bushi imewekwa na shaft au bolt ambayo inapita
kwenye kipenyo cha bush.

Kwa kuweka bushi, inaondoa kabisa gharama ya kufanyia marekebisho ya


mara kwa mara kwenye chombo sehemu ambayo bushi imewekwa. Kwa
kutumia bushi, inatoa uhakika wa chombo kutumika kwa muda mrefu.
Kwani kwa muda fulani bushi huwa zinapata uchakavu, huondolewa na
kuwekwa bushi mpya na chombo huendelea kutumika kwa muda mrefu.

AINA ZA BUSH:
Kuna aina mbalimbali za bush, hii ni kwa kutegemeana na namna ambavyo
vyombo hutofautiana kimiundo. Lakini kimsingi kuna bushi zilizoundwa
kwa:-
1. Chuma kwa madini mbalimbali.
2. Raba kwa aina mbalimbali za raba.
3. Plastiki.
4. Chuma na raba kwa pamoja.

60
Na zote huweza kuwa katika makundi ya:~
1. Plain bush.
2. Wrappedbush.
3. Cylindical bush.

Maeneo alribayo huongoza kwa kutumia bushi nyingi kwenye gari ni eneo la
Mfumo wa mneso (Suspension system). Kwenye injini bush unaweza
kuziona kwenye camshaft. Katika Mfumo wa mneso kwa magari mengi
madogo na yale ya kati hutumia bush za raba, pamoja na zile za chuma na
raba kwa pamoja. Inafanywa hivi kwa madhumuni ya kupunguza
makelele ambayo yangeweza kutokea kutokana na jinsi ambavyo mfumo wa
mneso unavyofanya kazi. Kwa magari makubwa yaliyomengi hasa yale
yanayotumia leaf spring huwa yanatumia bushi za chuma maalumu.
Muingio wa bushi katika eneo lake unatakiwa kuwa wa ugumu sana, na
ndiyo maana kuingia kwake ni lazima kutumia chombo maalumu (Pressing
machine) na kuziondoa ni hivyo hivyo hali kadhalika, uingiaji wa pin, shaft
au bolt kwenye kipenyo cha bush unatakiwa.
Uwe ule unaojulika kama SLIDING FIT, shaft, pin au bolt vinatakiwa
kupenya na kuzunguka bila kuwepo na mchezo huru ambao utaweza
kusababisha bush pin, bolt na shaft kufanya kazi na kusababisha kitendo
cha kugongagonga, jarnbo ambalo litapelekea kusikika kwa makelele.

"8.. Mara nyingi gari crmbalo bushi zake zinechakaa h:uwa li,nctioa kelele
gch tinapolouwa hoenye rTwendo barabarand nasa kwenye barabara
zil.e zenye mashim;o rnashimo.

BEARINGS:

OD CORNEPI

OUTEPI BING

LOADING
SH0ULDEF3S
I---

_E]u
INNER RING

BORE COPNEB

I N N E F}-P I N G
BALL FtACE

SEPAF}ATOFi

0UTEF}-Fi1NG
BALL PACE

61
Kalna inavyoonekana pichani, bearing ni chombo kinachotumika
kwenye maeneo mengi ambayo yanafanya kazi kwa njia ya
kuzunguka. Kwa kawaida bearing huwa inakaa kati ya shaft na
chombo husika, na hufanya kazi ya kupunguza mliko na msuguano
na kukifanya chombo kuzunguka kwa ulaini kabisa.

Moja wapo ya aina ya bearing inaundwa kama inavyoonekana kwenye


picha ya kushoto na inakukuwa na sehemu kana inavyoonekana
pichani kwa aupande ule wa kulia. Lakini kwa uelewa zaidi tuseme
bearing inaundwa na sehemu zifuatazo: -

1. OUTER RACE: Hili ni eneo la nje la bearing arnbalo hukaa eneo


maalumu kwenye jumba.

RACE: Hili ni eneo maalumu ambalo ball au roller hutembea


wakati ule bearing inapokuwa inafanya kazi.

INNER RACE (BORE):Hili ni tundu ambalo shaft hupita na kukaa.

BALL: Hizi hutembea kwenye race (groove).

5. CAGE (SEPARATOR): Hizi hubeba ball (roller) na kuziwezesha


kufanya kazi bila kugusana.

Kwa ujumla kuna aina nne za bearing zitumikazo, ingawa katika aina
hizo zingine zimegawanyika katika aina kadhaa. Aina za bearing ni
panoja na:-
1. Ball bearing (imeonyeshwa pichani).
2. Rollerbearing
3. Taper roller bearing
4. Splitbearing.

62
ROLLER BEARING NA TAPER ROLLER BEARING.

Kulia ni roller bearing na kushoto ni taper roller bearing. Bearing zote


hutumia roller, 1akini roller bearing hutumia roller yenye unyoofu wakati taper
roller bearing inatumia roller yenye umbo la mlalo. Bearing ambazo ni roller
type zina aina nyingine kama vile spherical roller, cylindrical roller na self
aligning roller.

Ball bearing zinaundwa kama ilivyoweza kuonekana pichani kwenye ukurasa


mwanzo wa somo hili la bearing ball bearing kwa ujumla ina aina zifuatazo.
1. Singlerowbearing.
2. Double row, Deep Groove bearing
3. Double row, Angular contact bearing
4. Self aligning ball bearing.

Hub nyingi za magari, zile zinazotumia bearing mbilimbili hutumia taper roller
bearing. Sehemu nyingine ambazo tapper roller bearing ni kwenye baadhi ya
Manual gear box, differential nk. Wakati ball bearing (Single rowbearing)
huweza kutumika kwenye hub za mag,ari zile zinazotumia bearing moja, hub
hizi ni kama vile three quarter hub, sehemu zingine ambazo ball bearing
huweza kutumika ni kwenye baadhi za manual gcaT.box.
"8.. Bearin,gs haweza halalrrishoa kuja grease ou oil, hii inategemecma na
erLeo ambalo bec[ring zineijjetwa.

63
SPLIT BEARING:
Bearing hizi ni zile zinazogawanyika katika sehe`mu mbili. Bearing hizi
zimetumika sana kwenye shaft zisizo na unyofu, mfano wa shaft hizo ni
Cransh shaft na cam shaft (Over head cam shaft) kwa ujurl}1a`isplit
bearing ni bearing maalum kwa injini, katika mambo ya injini
hujulikana sana kama engine bearing.

SPLIT BEARING.

Madhumuni ya picha hiyo ni kutaka kuonyesha sehemu ya kipande


kinachounda bearing. Vipande hivyo huwa viwili ili kuweza kukamilisha
mduara. Maandishi na mishale imewekwa ili kuweza kuonyesha
sehemu kuu za aina hiyo ya bearing.

NB: Kimsingi kuna aina mbili za bearing ambazo ni:-


1. Plainbearing.
2. Friction bearing.

64

You might also like