You are on page 1of 3

TANGAZO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA







KUITWA KWENYE USAILI

1.0 Tume ya Utumishi wa Mahakamani chombo kilichoundwa kwa mujibu wa
kifungu Na. 112 (1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha,
kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4 ya mwaka 2011,
Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na kuwa na majukumu mengine
inalo jukumu la kuajiri watumishi wa Mahakama wa kada mbalimbali.

1.1 Hivyo,Wananchi wafuatao walioomba nafasi za ajira katika Tume ya Utumishi
wa Mahakama wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika katika kumbi
zilizoko kwenye uwanja mpya wa Taifa (National Stadium) unaotazamana na
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke kupitia lango kuu.

1.2 Usaili utafanyika siku ya Ijumaa tarehe 29.8.2014 kuanzia saa1.30
Asubuhi.




KUNDI A

KUNDI B

SN
AFISA TAWALA II

SN
AFISA UTUMISHI II

1 Ahimidiwe Rodrick Munuo 22 Grace IsayaKapama
2 Andrew Timothy Mosha 23 Grace Nelson Mliga
3 CastoryDanfanNgogo 24 HashimShaibuMgandilwa
4 Clement ValleryKessy 25 Hilary Daniel Ngowi
5 Fatuma Mohamed Msuya 26 Innocent Nicholas Nyagano
6 George Sabianus Mathew 27 Jamal MajutoMbuguyu
7 HamisiRajabuMbaya 28 JaphetBoniphaceNyambele
8 HanifuMussaMdidi 29 John Christopher Nyaonge
9 JacklineYoramMwankupili 30 Juni Leonard Mdede
10 Jestina Emmanuel Kayuki 31 Leonard Martin Sarao
11
Lucy MorandTirukaizile 32 Luciana Charles Kapama
12 MushobusiJosiaNsangila 33 Mariam George Kisusi
13 Mussa Hamza Iddi 34 Masanja Jiday Magese
14 Namnyaki Lazaro Mollel 35 Michael Barnabas Bazil
15 OdiliaDitrickMapunda 36 Mpoki Jaily Mwakipake
16 Rashid Mohamed Luambano 37 Mwajuma Hussein Suru
17 Wambi Ibrahim Mwasene 38 Neema Lawi Kahwili
18
Stephano Elias Goroi 39
Nyangaliga Stephen
Makumbati


KUNDI A 40 Omary Mbaraka Mnenga
AFISA UTUMISHI II 41 Pendo Aroni Mishomari
1
Ahmada Mohamed
Nimwobaruga
42 Peter Peter Madukwa
2 Amina Juma Mlanda 43 Petro Elouterius Kivike
3 Ashura Miraji Mdee 44 Renatha Alex Tibiita
4 Beatrice Silidoin Dominic 45 Reston Alon Mtafya
5 Beatrice Valerian Njau 46 Salmon Peter Isaiah
6 Catherine John Haule 47 Sarah Robinson Mdegela
7 Cecilia MorrsObwana 48 Sekela Dickson Mwakibete
9 Charles Ernest Kapondo 49 Sharifa Mbaraka Ahmad
10 Condrad Martin Mbonde 50 Simon Simon Kasapira

11 Devota Gaspar Kitaly 51 Sophia Omary Kwaangw


12 Devota Alphonce Mazengo 52 Suzana John Mfikwa


13 Ebenezery Humphrey Kombe 53 Ummy Abdallah Rwambo


14 Eliakimu Bilenge Rutanda 54 Vaileth Renfrid Mtanga


15 Emmanuel Joseph Urio 55 Violla Faustine Chuwa


16 Erick Augustino Nyamweru 56 Wales John Mhilu


17 Eva James Leshange 57 Shali Ibrahim


18 Fadhilina Hassan Mdee 58 Winnie Michael Shirima


19 Florence Adine Semwenda 59 Zebedayo Zabron Moshi


20 Fredrick Fanuel Mbonde 60 Ntuli Athanas


21 Ginaweda Nashon Eliakim


Wasailiwa Wote Wazingatie Yafuatayo:
1. Kuja na Vyeti Halisi (Original Certificates) za kuanzia kidato cha nne, Sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na kazi
aliyoomba,
2. Testimonials Provisional Results, Statement of Results pamoja na hati
nyingine za matokeo kwa ngazi zote HAVITAKUBALIWA,
3. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate),
4. Kila msailiwa aje na picha 2 Passport size,
5. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi,
6. Waombaji ambao majina yao hayakuorodheshwa hapa juu wafahamu
kwamba hawakuchaguliwa.

Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P 9183,
DAR ES SALAAM.

You might also like