You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/E/41

26 FEBRUARI, 2014

KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anatarajia kuendesha usaili kwa waombaji kazi wa Tangazo la tarehe 27 Novemba,2013 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili. Kila mwombaji aliyekidhi vigezo na kuchaguliwa kwa ajili ya usaili anapaswa kwenda kufanyia usaili katika mkoa aliopangiwa kama anwani yake inavyoonesha katika tangazo hili.

Wasailiwa wanapaswa kuzingatia yafuatayo: 1. usaili utaanza na ukaguzi wa vyeti halisi saa moja kamili asubuhi(1:00) na utafanyika mahali na tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika, Wasailiwa hawaruhusiwi kubadilisha kituo cha usaili. 2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k 3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji. 4. Testmonials, Provisional Results, Statement of results, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA. 5. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size). 6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi. 7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili 8. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate) 9. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)

10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa. 11. Kada zenye mchujo, wasailiwa watakaofaulu mtihani wa mchujo wazingatie mahali na tarehe za usaili wa mahojiano kama ilivyooneshwa kwenye tangazo.

NA.

MKOA

KADA/TAALUMA

TAREHE YA USAILI WA MCHUJO

TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO

1. 2. 3. 4. 5.

DAR ES SALAAM ARUSHA SHINYANGA GEITA MWANZA MKOA WA ARUSHA

MLINZI II MLINZI II MLINZI II MLINZI II MLINZI II

HAKUNA MCHUJO HAKUNA MCHUJO HAKUNA MCHUJO HAKUNA MCHUJO HAKUNA MCHUJO

04 MACHI, 2014 04 MACHI, 2014 04 MACHI, 2014 04 MACHI, 2014 04 MACHI, 2014

KADA: MLINZI II MAHALI: OFISI YA MKUU WA MKOA ARUSHA. TAREHE: 04 MACHI, 2014 MUDA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI Na. 1. JINA HASSANI A. SAIDI ANUANI P.O.BOX 9503 SIMANJIRO ARUSHA.

MKOA WA DAR ES SALAAM


KADA: MLINZI II MAHALI: OFISI YA MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM. TAREHE: 04 MACHI, 2014 MUDA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI Na. JINA ANUANI P.O.BOX 45050 DAR ES SALAAM P.O.BOX 426 DAR ES SALAAM C/o KITANDU PAULO UGULA P.O.BOX 7883 DAR ES SALAAM Na. 2. 4. 6. JINA MRISHO OMARI CHRISTOPHER THOMAS EDIUS E. KAMBWOGI ANUANI P.O.BOX 42644 DAR ES SALAAM P.O.BOX 196 DAR ES SALAAM P.O.BOX 76661 DAR ES SALAAM

1. ALPHONCE MAGANGA 3. KOMAJI G. MASELE 5. STEPHANO GODFREY MANGUZU

Na.

JINA

ANUANI P.O.BOX 2271 DAR ES SALAAM P.O.BOX 6213 DAR ES SALAAM

Na. 8.

JINA ISSA S. MWAGILA

ANUANI P.O.BOX 105797 DAR ES SALAAM P.O.BOX 31902 DAR ES SALAAM

7. JOSEPH BOMA 9. KAYOKA ATHUMANI

10. ALEX J. MAGANYA

MKOA WA MWANZA
KADA: MLINZI II MAHALI: OFISI YA MKUU WA MKOA MWANZA. TAREHE: 04 MACHI, 2014 MUDA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI Na. 1. JINA LUKANDA ABEL ANUANI P.O.BOX 2308 MWANZA Na. 2. JINA SINDI D. NTALIMA ANUANI P.O.BOX 31 MAGU-MWANZA.

MKOA WA GEITA
KADA: MLINZI II MAHALI: OFISI YA MKUU WA MKOA GEITA. TAREHE: 04 MACHI, 2014 MUDA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI Na. JINA 1. ELIZAPHANI M. CHIRATO ANUANI C/o HELENI KAHIDI P.O.BOX 170 CHATO-GEITA

MKOA WA SHINYANGA
KADA: MLINZI II MAHALI: OFISI YA MKUU WA MKOA SHINYANGA. TAREHE: 04 MACHI, 2014 MUDA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI Na. JINA 1. ATHUMANI ABDALLAH ANUANI P.O.BOX 834 SHINYANGA

Xavier Daudi.
Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

You might also like