You are on page 1of 6

Anatomia (Anatomy)

Misuli (Muscles)

Msuli / Musuli (Muscle)


Misuli (Muscles)
Misuli mishazari
Misuli ya bega
Misuli ya fumbatio
Misuli ya kifua
Misuli ya matako

Obliques (Oblique muscles)


Deltoids
Abs (Abdominal muscles)
Pecs (Pectoral muscles)
Glutes (Gluteus maximus)
Upper back muscles (Latissimus
Misuli ya mgongo wa juu
dorsi)
Msuli kati ya mbavu
Intercostal muscle
Msuli wa ukosi
Traps (Trapezius)
Musuli wa paja
Quadriceps
Shavu la chini ya mkono
Triceps
Shavu la mguu
Calf muscle
Shavu la mkono
Biceps
Ukano wa kisigino
Achilles tendon
Ukano wa mvungu wa goti
Hamstring
Posted by MZ at 4:23 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Anatomia (Anatomy)

Thursday, May 24, 2012


Mkono na Mguu (Hand and Foot)

Mkono na mguu (Hand and foot)


Mkono
Hand
Kidole cha kati
Middle finger
Kidole cha pete
Ring finger
Kidole cha shahada
Index finger
Kidole gumba
Thumb
Kidole kidogo
Pinky finger
Kiganja
Palm
Kiwiko
Wrist
Konde
Fist
Konzi
Knuckle
Ukaya wa ukucha
Cuticle
Ukucha
Fingernail
Mguu
Kidole cha mguu
Kidole kidogo cha
mguu
Kidole kikubwa cha
mguu
Kifundo cha mguu
Kiganja cha mguu
Kisigino
Tao
Ukucha wa kidole cha
mguu
Wayo

Foot
Toe
Little toe
Big toe
Ankle
Instep
Heel
Arch
Toenail
Sole

Posted by MZ at 7:22 AM No comments:


Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Anatomia (Anatomy)

Saturday, January 28, 2012


Uso wa Binadamu (The Human Face)

Uso (Face)
Jicho
Eye
Kibonyo
Dimple
Kidevu
Chin
Kinywa
Mouth
Kinyweleo Pore
Kipaji
Forehead
Kunyanzi
Wrinkle
Mabakabaka Freckles
Mdomo
Lip
Ngozi
Skin
Nywele
Hair
Panja
Temple
Pua
Nose
Shavu
Cheek
Sikio
Ear
Taya
Jaw
Tundu ya puaNostril
Ukope
Eyelash
Usi
Eyebrow
Posted by MZ at 7:52 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Anatomia (Anatomy)

Saturday, January 21, 2012


Anatomia ya Binadamu (Human Anatomy)

Anatomia (Anatomy)
Bega
Chuchu
Fumbatio (Tumbo)
Goti
Jicho
Kichwa
Kidevu
Kidole
Kidole cha kati
Kidole cha mguu
Kidole cha pete
Kidole cha shahada
Kidole gumba
Kidole kidogo
Kifua
Kifundo cha mguu
Kiganja
Kigasha
Kinywa
Kipaji
Kisigino
Kisugudi
Kitovu
Kiuno
Kiwiko
Koo

Shoulder
Nipple
Abdomen (Belly)
Knee
Eye
Head
Chin
Finger
Middle finger
Toe
Ring finger
Index finger
Thumb
Pinky finger
Chest
Ankle
Palm
Forearm
Mouth
Forehead
Heel
Elbow
Navel (Bellybutton)
Waist
Wrist
Throat

Korodani (Mapumbu)
Scrotum (Testicles)
Kwapa
Armpit
Matako
Buttocks
Mboo
Penis
Mdomo
Lip
Mfupa
Bone
Mgongo (Uti wa
Back (Spine)
mgongo)
Mguu
Leg
Mguu
Foot
Mkono
Arm
Mkono
Hand
Mkundu
Anus
Muundi
Shin
Mwili
Body
Nguyu
Knuckle
Nywele
Hair (on head)
Paja
Thigh
Pua
Nose
Shavu
Cheek
Shavu la mguu
Calf (of leg)
Shavu la mkono (Musuli) Biceps (Muscle)
Shingo
Neck
Sikio
Ear
Titi
Breast
Ubavu
Rib
Uke (Kuma)
Vulva (Vagina)
Ukosi
Nape (of the neck)
Unyonga
Hip
Usi
Eyebrow
Uso
Face
Posted by MZ at 6:57 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: Anatomia (Anatomy)

Friday, June 24, 2011


Aina za Seli (Types of Cell)

Aina za seli (Types of cell)


Besofili
Iosinofili
Limfosaiti
Manii
Monosaiti
Msuli laini
Msuli wa vifereji
Msulimoyo
Nyutrofili
Ova
Seli ya mifupa
Seli ya neva
Seli za misuli
Seli za tezi
Seli za uzazi
Selidamu
Selidamu nyekundu
Selidamu nyeupe

Basophil
Eosinophil
Lymphocyte
Spermatozoa
Monocyte
Smooth muscle
Striated muscle
Cardiac muscle
Neutrophil
Ovum
Bone cell
Nerve Cell
Muscule cells
Gland cells
Reproductive cells
Blood Cells
Red blood cells
White blood cells

You might also like