You are on page 1of 2

Nimfi (Nymphs)

Nimfi (Nymph / Nymphs)

Nimfi katika mitholojia ya Kigiriki ni mungu mdogo wa kike wa


mazingira mwenye kufanana na hurulaini ambao huishi peponi
katika desturi za Kiislamu. Hitilafiana na miungu, nimfi kwa
kawaida huchukuliwa kama mapepo ya kimungu ambayo hupa
uhai mazingira na kwa kawaida huchorwa kama wanawali
warembo ambao hupenda kuimba na kucheza dansi.
Wanaaminika kuishi katika milima na vijisitu karibu na chemchemi
na mito, na pia kwenye miti na mabonde na groto zenye baridi.
Ingawa kwa kawaida hawafi kwa uzee wala ugonjwa, kama
wakipandana na mungu, wataweza kuzaa watoto wasiokufa
kamili; hata hivyo, nimfi wenyewe waweza kufa. Kuna aina tano
ya nimfi: nimfi wa mbingu, wa bahari, wa ardhi, wa msitu na wa
jehanamu.
A nymph in Greek mythology is a minor female deity of nature
similar to the houri who live in paradise in Islamic traditions. In
contrast to gods, nymphs are generally regarded as divine spirits
who animate nature and are usually depicted as beautiful
maidens who love to sing and dance. They are believed to live in
mountains and groves by springs and rivers, and also in trees and
valleys and cold grottoes. Although they generally do not die of
old age nor illness, if they mate with a god, they can give birth to
fully immortal children; however, nymphs themselves are able to
die. There are five types of nymphs: celestial, sea, land, wood and
underworld nymphs.
mazingira (nature; environment)

-a kimungu (divine)
kupa uhai (to animate)
mwanamwali (maiden)
kijana (young; youthful)
kucheza dansi (to dance)
kijisitu (grove)
chemchemi (spring)
bonde (valley)
groto (grotto)
-enye baridi (cold)
ingawa (although)
kupandana na (to mate with)
asiyekufa (an immortal)

You might also like