You are on page 1of 4

Kazi ya Ziada - KIPINDI CHA PILI https://docs.google.com/forms/u/0/d/1LDarphgP...

Kazi ya Ziada - KIPINDI CHA PILI

Fanya maswali yote katika zoezi hili

Majina *

Emmanuel

Namba ya Usajili shuleni Ziada School *

Emmanuel

Zoezi
Hatua ya tatu - Tathmini

1. Utamshinda mwanafunzi _____? * 1 point

(a) mgani

(b) yupi

(c) gani

1 of 4 5/28/20, 1:22 PM
Kazi ya Ziada - KIPINDI CHA PILI https://docs.google.com/forms/u/0/d/1LDarphgP...

2. Utaufanya mtihani _________? * 1 point

(a) lini

(b) ngapi

(c) nini

(3) Utalichinja buzi _________ ? 1 point

(a) nani

(b) lini

(c) lipi

4. Ni _________ aliyenunua makabati? 1 point

(a) mgani

(b) nani

(c) gani

2 of 4 5/28/20, 1:22 PM
Kazi ya Ziada - KIPINDI CHA PILI https://docs.google.com/forms/u/0/d/1LDarphgP...

5. Achimabaye mashimo ni ______ ? 1 point

(a) nani

(b) lini

(c) nini

6. Ubwabwa umepikiwa watoto _________ ? 1 point

(a) gani

(b) nani

(c ) lini

7. Mkunga atamsaidia _______ ? 1 point

(a) lini

(b) nini

(c) nani.

3 of 4 5/28/20, 1:22 PM
Kazi ya Ziada - KIPINDI CHA PILI https://docs.google.com/forms/u/0/d/1LDarphgP...

8. Maji hunywewa kwa ________ ? 1 point

(a) gani

(b) nani

(c ) nini

Ubabwa ni chakula. Tafuta ujue ubwabwa ni chakula cha aina gani...Andika 2 points

jibu lako hapa.

Kipindi Kifuatacho

Tutaweza kuangalia 'Ki' ya masharti.

This content is neither created nor endorsed by Google.

4 of 4 5/28/20, 1:22 PM

You might also like