You are on page 1of 1

WILSON JAMES,

S.L.P 194,
SENGEREMA.
10/09/2020.
KATIBU MKUU,
OFISI YA RAIS TAMISEMI,
S.L.P 1923,
DODOMA- TANZANIA.
Ndg,
YAH: MAOMBI YA KAZI YA UALIMU WA SHULE YA
MSINGI
Husika na kichwa cha barua tajwa hapo juu.
Mimi Wilson James nina umri wa miaka 30, mhitimu wa shahada ya ualimu katika
chuo kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM) mwaKa 2015, katika masomo ya Jiografia
(Geography) na Uchumi (Economics). Natumia fursa hii kuomba kazi ya ualimu
wa shule ya msingi kutokana na vigezo nilivyonavyo kama vilivyoainishwa katika
tangazo la ajira lililotolewa na TAMISEMI tarehe 07/09/2020.
Nitashukuru iwapo ombi langu litakubaliwa.
Nimeambatanisha na vyeti vyangu vya taaluma pamoja na cheti cha kuzaliwa.
Wako mtiifu katika kujenga taifa,

WILSON JAMES
( 0693535433)

You might also like