You are on page 1of 6

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. JA.9/259/01/98 08 Novemba, 2021

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 25 - 29 Oktoba, 2021 kuwa
matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa
waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa kada mbalimbali ambao
wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha


kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo
katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose
Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na
baada ya hapo barua ambazo hazijachukuliwa na Wahusika zitatumwa
kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa
kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia
1
kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya
Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine
nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa
Barakoa.

MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA


NA KADA
AJIRA KAZINI
1 MKURUGENZI MKUU, ICT OFFICER II 1. FELIX LAZARO SAMUEL
MAMLAKA YA (SECURITY
SERIKALI MTANDAO MANAGEMENT) 2. SELEMAN ABDALLAH
(eGA) DADI

ICT OFFICER II 1. MARIJANI HUSSEIN


(BUSINESS ANALYST) KARANDA

ICT OFFICER II 1. JOSEPH SIMON


(SYSTEMS MWALUNYIKA
ADMINISTRATOR)

ICT OFFICER II 1. EMMANUEL SAMWEL


(APPLICATION SAI
PROGRAMMER/MOBILE
APPLICATIONS)

ICT OFFICER II 1. ELIAS VEDASTUS


(APPLICATION YOHANA
PROGRAMMER/WEB
DEVELOPER)

2 MKURUGENZI FUNDI BOMBA 1. MUSA AMOS


MTENDAJI, BIKALAKALA
MAMLAKA YA
MAJISAFI NA USAFI 2. SAMWEL EDSON
WA SENENTA
MAZINGIRA MJINI
MULEBA 3. ALONE ELIAS
(MLUWASA) NTAHONDI

2
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
3 MKUU WA CHUO, LIBRARY ASSISTANT 1. RAJABU SAIDI
CHUO CHA MUHULUKA
USIMAMIZI WA
WANYAMAPORI
(MWEKA)

4 MKURUGENZI MKUU, AFISA KUMBUKUMBU II 1. MARYAM AYOUB


OFISI YA RAIS, ATHMAN
IDARA YA
KUMBUKUMBU NA
NYARAKA

5 MENEJA ICT OFFICER II 1. ISSA RAJABU JUMA


MWANDAMIZI
RASILIMALIWATU, 2. SALUM KONDO
SHIRIKA LA UMEME MFAUME
TANZANIA
(TANESCO) – 3. ELINEKA DANFORD
UBUNGO UMEME MALEO
PARK
4. DENIS AMANI NJELEKA

5. CHRISTOFFER
MANASE SKILLA

6. BUKHARY HARUNA
KIBONAJORO

7. LUCAS JOHN NSIMBA

8. PAUL JAMES
NYANDAGO

6 MKURUGENZI WA ICT OFFICER II 1. MATHEW SIMON


UTAWALA NA MATILIA
RASILIMALIWATU,
OFISI YA RAIS, 2. PAULO MADOSHI
SEKRETARIETI YA MANONI
AJIRA KATIKA
UTUMISHI WA UMMA
(PO – PSRS)

3
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
7 MKURUGENZI AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. KWEKA VICTOR
MTENDAJI (W), II CRISTOPHER
HALMASHAURI YA
WILAYA YA KYELA

8 MKURUGENZI AFISA MASOKO II 1. SALIMU ALLY


MTENDAJI, KASUMARI
BODI YA TAIFA YA
WAHASIBU NA
WAKAGUZI WA
HESABU
(NBAA)

9 MKURUGENZI MSAIDIZI UFUGAJI 1. SARAH KAMBARAGE


MTENDAJI (W), NYUKI II MAJIGE
HALMASHAURI YA
WILAYA YA SINGIDA

10 MKURUGENZI MKUU, ARTISANS II 1. SELEMANI HUSSENI


SHIRIKA LA RELI (MECHANICAL - MAGOHE
TANZANIA WELDING)
(TRC) 2. NASHON AMOSY
MADENGE

3. RAMADHANI SELEMANI
KIMWERI

4. SALUMU AFLAHA
MOHAMEDI

ARTISANS II (DIESEL 1. YOHANA SIMION SIJILA


ELECTRICAL)
ARTISANS II (SIGNAL 1. KULWA MASOUD
AND BUNDUKI
TELECOMMUNICATION
S) 2. ALLEN NELSON
KABUMBIRE

3. LEAH ANDREW
BUZARE

4
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
4. FRANK NELSON LANDA

RECEPTIONIST II 1. BONIFACE MSAFIRI


WILLIAM

2. ISAYA COSMAS
MWAMBENE

3. REJOICE ANTHONY
NONI

4. MAIMUNA TALIBU
HASSANI

ASSISTANT 1. SHABANI RAMADHANI


COMMERCIAL OFFICER MWARABU
II (MARKETING)

ASSISTANT 1. JAMILA SAIDI MSAGULA


COMMERCIAL OFFICER
II (TRAVELLING TICKET 2. FOSTENE SEDEKIA
EXAMINERS) MPELEYE

3. ISSA BASHIRI
BILEGEYA

4. EMMANUEL CHARLES
SONJE

5. ELIZABETH CHARLES
WILLIAM

6. ALLY IDDI MDOE

7. SALUMU AMOUR
BAKARI

STATION MASTER II 1. ZAINABU JUMA


MDABULO

2. AGATHA THOMAS
MGANILWA
5
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI

3. RAMADHANI NGONDAE
NGONDAE

4. DEUS KOBERO DEUS

5. BUNDI SALU MASHITA

ICT OFFICER II 1. ROBERT EMMANUEL


(SYSTEM MAWERE
ADMINISTRATOR)
2. TUMAINI STEVEN
KILENGA

3. REWARD ISAACK
MASALLA

4. ELISONGUO WILFRED
MOSHI

ACCOUNTS ASSISTANT 1. REAGANI JOSIAH


II YUSTO

11 MKUU WA CHUO, HEALTH ATTENDANT 1. NAOMI OMBENI ISAYA


CHUO CHA UFUNDI
ARUSHA
(ATC)

LIMETOLEWA NA

KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like