You are on page 1of 1

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND


TECHNOLOGY

MZUMBE UNIVERSITY
MBEYA CAMPUS COLLEGE

MZUMBE UNIVERSITY STUDENTS’ ORGANIZATION (MUSO)

Tel: +255 (0) 758489848 Old Forest Street


Fax: +255 (0) 654671346 P.O.BOX 6559
Cell: +255 (0) 693167241 MZUMBE,
Email: mcc@mzumbe.ac.tz MBEYA, TANZANIA
Website: www.mcc.mzumbe.ac.tz
th
24 November,2022

WIZARA YA ELIMU.
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA KWANZA NA WANAOENDELEA NA
MWAKA WA MASOMO 2022/23.

Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe ndaki ya Mbeya kupitia Wizara ya Elimu inawataarifu
wanafunzi wote watembelee akaunti zao za MU-ARMS na wakamilishe usajili wao. Kama usajili
haujakamilika kutokana na sababu ya mfuno wa chuo (management), tunaomba waziwasilishe kwa
admission ofisa kwa ajili ya kukamilisha usajili.

Mwisho wa kuwasilisha changamoto izo ni siku ya jumatano tarehe 30/11/2022.

NOTE: Ukiona na kusoma taarifa hii mwambie na mwenzako.

Kwa mawasiliano zaidi ni ADMISSION OFFICER~MU

0755 036 281

0755 527 767

Kwako katika utendaji;


Reconciliator Leonard Lukumay.

…………………………………..

WAZIRI WA ELIMU - MUSO

Administration and Lecture theatre Building, P.O.BOX 6559, MZUMBE, Tel: +255 (0) 25 2502863/57/58 : Fax+255 (0) 25
2502862
Email: mcc@mzumbe.ac.tz, Website: www.mcc.mzumbe.ac.tz

You might also like