You are on page 1of 1

TAARIFA KWA UMMA

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limeona taarifa inayosamba kwenye mitandao ya


kijamii ikieleza kuwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika Novemba na
Desemba, 2022 yametangazwa. Baraza linapenda kuujulisha Umma kuwa taarifa hizo ni
za UONGO na zinalenga kupotosha Umma na kuleta taharuki.

Matokeo ya Kidato cha Nne 2022 yatatangazwa rasmi na Baraza la Mitihani la Tanzania
kupitia vyombo vya habari muda wowote yatakapokuwa tayari.

Imetolewa

John Nchimbi
Afisa Habari na Uhusiano

25 JANUARI 2023

Eneo la ViwandaMikocheni, BarabarayaBagamoyo, S.L.P. 2624 au 32019 DAR-ES-SALAAM TANZANIA


Simu: +255-22-2700493-6/9 +255-22-2772423 Nukushi: +255-22-2775966
Baruapepe: esnecta@necta.go.tz, Tovuti: www.necta.go.tz

You might also like