@abdallah_chimo COPYWRITING - Ni uwezo wa kutumia maandishi kwa lengo la kumshawishi mlengwa wako kuchukua hatua fulani.
Mfano : Kununua bidhaa , kubonyeza link , kujiunga kwenye
campaign Nakadhalika.
Lengo kuu la COPYWRITING ni uchukuliwaaji wa hatua kupitia
ushawishi unaofanyika kupitia maandishi. MFANO WA COPYWRITING - Maneno unayokutana nayo yenye ushawishi huandaliwa na COPYWRITER.
- Unaweza kukutana na tangazo lenye kuelezea
changamoto unazopitia na kujiuliza huyu muandikaji mbona kanielezea mimi kabisa.
- Hiyo ndio COPYWRITING , ambapo maneno yenye
ushawishi huandaliwa kwa ujuzi wa hali ya juu ili kuleta ushawishi katika soko. ENGAGING SOCIAL MEDIA CAPTIONS - Maandishi yenye ushawishi unayokutana nayo kwenye social media platforms kama Facebook , Instagram , WhatsApp , Twitter Nakadhalika......
........ huandaliwa na COPYWRITER .
Baadhi ya kampuni MAANDISHI yao ya mtandaoni
husimamiwa na COPYWRITER ambae anajua aandike kitu gani na kwa sababu gani. KILA MTU ANAWEZA KUWA COPYWRITER Jambo zuri ni kwamba :
"Huitaji kuwa na degree ili uweze kuwa Copywriter.
Unachohitaji ni kufahamu kanuni za Copywriting na kuzitumia
kwenye matangazo yako. COPYWRITING VS GRAPHICS DESIGNING Kuna tofauti kati ya Graphics Designing na Copywriting.
Watu wengi wana dhani Graphics designer ni mtu ambae
anaandaa matangazo. HAPANA.
Graphics Designer ni mtu ambae anaandaa VISUAL
CONTENT na kuzikusanya pamoja na sio kuandaa matangazo. Ndio maana BAADHI ya graphics designers hupokea maelekezo ya DESIGN kutoka kwa Copywriter.
Copywriter anaandaa maneno ambayo yatakaa kwenye tangazo,
picha zitakazotumika Nakadhalika.
Kazi ya graphics designer ni kuleta pamoja kila kitu
kilichoandikwa na COPYWRITER. JE UNATUMIA COPYWRITING KWENYE BIASHARA YAKO ?
Ikiwa hutumii COPYWRITING kwenye biashara yako huu ndio
muda sahihi wa kutumia COPYWRITING kwa sababu .......
...... umeshafahamu nini maana ya Copywriting na umuhimu
wake.
Usipotumia copywriting ni ngumu sana kuuza katika soko
lenye ushindani mkubwa. UNGEPENDA KUFAHAMU KITU GANI ZAIDI KUHUSU COPYWRITING ?
Kuwa huru kuwasiliana nami kupitia : +255 6746 76 470
Mwongozo wa Kisasa wa Matangazo ya Kulipwa kwa Wamiliki wa Biashara: Utangulizi wa haraka kwa Google, Facebook, Instagram, YouTube, na Matangazo ya TikTok