You are on page 1of 1

PROGRAMU YANGU YA MTANDAONI

WAZO: Kupandisha hadhi na kuleta mvuto katika shughuli yako unayoifanya iwe ni
1)Biashara. 2)Fani.
SOKO:Ni Wafanya biashara na wanaojishughulisha kupitia fani zao.

ELIMU:Ni ujuzi maalum utakaopewa wa kukuongezea thamani na kukupa mvuto


katisha shughuli yako.

TAALUMA:Nipo na hiyo taaluma tayari na ni mtaalamu mbobezi katika


kulishughulikia hilo

KWA SABABU GANI NIMECHAGUA WAZO HILI

1.)Nimegundua kuwa wafanyabiashara wanahitaji aina ya hadhi maalumu na mvuto


maalumu katika shughuli zao.Ili wapate kuvutia wateja wengi zaidi na kupata pesa
zaidi baada ya kuafanya mauzo mengi katika shughuli yako

2.)Faida ya kuwa na hadhi na mvuto inakusaidia kufanya biashara kwa urahisi kuliko
kawaida.

3.)Ukiwa na mvuto utaweza kufatwa kwa haraka na wateja wengi kwa urahisi kwa
maana unawavutia.

NAMNA BORA YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA WAZO LANGU

1.)KITU CHA THAMANI: a)Hadhi katika shughuli unayo jishughulisha nayo.


b)Mvuto wa kutia wateja wako Biashara/Fani.

2.)MASOKO: a)Nitaandaa matangazo maalumu


b)Nitaandaa faida endelevu ya kuwapatia walengwa wangu kila baada siku
c)Nitaijenga Nitaikuza na kuiimarisha brandi yangu.

3.)MAUZO: Nitawageuza walengwa wangu wawe wateja.

4.)UTOAJI WA THAMANI: a)Nitawajibika kwenye kutoa thamani endelevu kadri


ya uwezo wangu
b)Nitatekeleza nilicho ahidi hadi matokeo
5.)FAIDA: Nitahakikisha natengeneza faida nzuri baada ya kuyafanya hayo yote kwa
(MAUZO) mpangilio.

Ni mimi maalim TOWBA KISAKU mtaalam wa kupandisha hadhi na kuleta mvuto


katika shughuli yako (Biashara) / (Fani)

You might also like