You are on page 1of 4

Grand Children

28yrs

Vincent Mercylyne Isaaac


Dorris

Anniversary Celebrations
Celebrating 28 years in marriage of
Omogaka Daniel Nyagwaya
Rebbecca Kevin, Francis & John Zawadi Enock

Nomong'ina Baskaria Nyanchama

&
Great Grand Children

Michael, Florence & Angel

15 years in religious of
Rev Sr
Ivan
Florence Moraa
Judy
12
Faith
Programme of the day
Mass
Photo Shoot
Speeches
Gifts
Cake cutting
Meals
ENTRY
TWENDE NYUMBANI
Omogaka Daniel No’mong'ina Baskaria
Twende nyumbani mwa bwana X3
Tuimbe tushangilie, tupige vigelegele,
Children
Tupige makofi, hoya! Hoyaa! X2
Sop – Twende tumsifu kwa nyimbo na zaburi wakristu – hoyaa!
S/A – Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoyaa!
Sop – Twende tumsifu kwa ngoma na kayamba wakristu, hoyaa!
S/A – Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoyaa!
Sop – Twende tukacheze vinanda na vinubi wakristu, hoyaa!
S/A – Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoyaa!
Sop – Tujitayarishe kwa neno lake Mungu wakristu, hoyaa!
S/A – Tumsujudie twende tukamwabudu wakristu, hoyaa!
KYRIE : OMONGURU
Elyvin Jared Sr. Florence
Omonguru otwabere – Omonguru otwabere – Otwabere X2
Kristu otwabere – Kristo otwabere – Otwabere X2

WANANDOA.
Basi wanandoa ,tunzeni kiapo chenu x2
Mlisema mwapendana,mtaheshiimiana,
Mtavumiliana mtasaidiana.
[Mliahidi mbele za mungu kuishi
Pamoja ka ka shida ka ka raha]
Msikubali Yule mwovu awatenganishe
Mshikamane mfike mwisho.

SHANGILIO
Muma & Nancy Linet & Joseph
All aleluye aleluya
Yesu alisema,amri mpya nawapa,mpendane x2 Kennedy
Yesu alisema sasa anatukuzwa
Ndani ya bwana, naye Mungu
Anatukuzwa ndani yake.
2 7
THANKS GIVING
MBUYA MONO

Tenor: Togoke amo tochenge ase rituko eri ria rero


Alt: Toiranerie Nyasae mbuya mono X2
Tenor (Twensi) All: Togoke amo, totogie omonene OFFERTORY
Tata toiranerie Nyasae mbuya mono
Tenor: (Na twensi) togoke … SADAKA GANI
onsi aria atokorerie amatuko onsi - Toiraneirie … X2
Ase Nitoe sadaka gani mimi,
onsi ogotokorera totebe mbuya toiraneirie … X2
Ase Ilikupendeze muumba wangu,
Toiraneire Nyasae mbuya mono ase onsi – Toiraneire … X2 Kwa huruma yako Mungu wangu,
Pokea sadaka ya unyonge wangu,
Amasesenia atoseseneire totebe mbuya – toiranerie … X2 Ingawa ni kidogo Bwana uipokee ibariki na uitakase x2
NINAKUPENDA MUNGU 1.Twaleta mkate na dirai twaomba Bwana uvipokee.
Ninakupenda Mungu (wangu) 2.Na mazao ya mashambani,twaomba bwana uyapokee.
Ninakupenda wewe milele na milele 3.Pokea na fedha twaleta,yote ni mali yako pokea.
(Bwana) nitakutukuza 4.Ee bwana Mungu twakuomba pokea pokea nyoyo zetu.
Pokea sifa zangu (Bwana)
Zinazotoka ka ka kinywa changu mimi SADAKA YANGU
(ndani) na moyoni mwangu *2
Sadaka yangu kwako ee Mungu,
Ka ka makusanyiko nitaziimba zaburi Ni moyo mnyofu na uliopondeka
Nitazitangaza sifa zako daima milele tazama wapendezwa na kweli ya moyo,
Kwenye madhabahu yako nitaitoa sadaka Wapendezwa na kweli ya moyo,
Ile ya kukupendeza ee Mungu Muumba wangu. nawe wanijulisha hekima kwa siri,
Umenitendea mengi, mema yasiyo idadi Nioshe kabisa na uovu wangu na
Ninakushukuru Bwana, ee Baba Muumba wangu kinywa change kitanena sifa zako x2
Nikiyakumbuka yote, machozi yanimwagika
Ni machozi ya furaha, ni machozi ya upendo. 1.Maana wew bwana upendezwi na dhabihu za kuteketeza,
Usiniache ee Bwana, na wala usinitupe Ama sivyo mimi ningalikutolea.
Ukinitupa wewe, nani ataniokota 2.Wapendezwa na dhabihu za haki,Kutoka kwa moyo mnyofu,
Ndiwe msi ri wangu, ka ka dunia hii
Dunia yenye mateso na yenye mahangaiko Zitolewazo juu ya madhabahu yako.
EXIT 3.Ee Mungu mungu wa wokovu wangu uniie,
TUMSIFU MARIA BARAKA ZA MUNGU Moyo radhi wa u i,usiniondolee roho wako mtaka fu.
Tumsifu Maria, enyi wanae, Baraka za Mungu zishuke na nema zake x3
tutoe salamu, tumshangilie
Salamu, salamu, salamu Maria *2 Mungu awajalie maisha mazuri,
muishi kwa amani siku zenu zote.
Nyota ya bahari, mlango wa mbingu Mkumbukeni Mungu siku zenu zote,
Mwondoa hatari, mama wa Mungu ili azibariki kazi zenu zote X2
Maria bikira, ndiwe mteule
Umechaguliwa tangu milele
Hakuna mwombaji aombaye
Kwa Kristu Mwokozi kuliko wewe
Mametu mbinguni tumshangilie
Mwanao mpenzi pamoja nawe

6 3
PRESENTATION MTAKATIFU
BABA TUNALETA VIPAJI Mtaka fu X3 Mtaka fu Bwana Mungu wa majeshi X2
A]Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokee, Bass/T enor - (Ni kweli) tuungane na malaika (Mbinguni)
Baba tunaleta twakuomba sana pokea. tumwimbie bwana Mungu wa majeshi X2
B]Twaja kushukuru kwa yote uliotujalia wanao, Mbinguni na dunia zimekaa …
Baba tunaleta twakuomba sana pokea. Mbarikiwa anayekujaa …
Sop - Baba tunasema]Asante asante
ALTO - Kutupa uzima]asante asante FUMBO
TENOR - Kwa kutukomboa]Asante asante
ASS - Kutuweka huru) Asante asante
B Sop: Ee bwana tunatangaza kifo chako,
Alt: Na kutukuza ufufuko wako mpaka utakapo kuja X2
Mkate na divai twaleta twakuomba… GREAT : AMEN
Baba tunaleta twakuomba sana pokea Amina aamina, amina amina X2
Ndizo kazi zetu wanao twakuomba.. Aniaminiye mimi, na kushika ninayosema, nitamfufua siku ya mwisho.
Mazao ya mashamba twaleta twakuomba… Mlapo chakula hiki, mnywapo kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana.
Baba tunaleta twakuomba sana pokea…
Hata ni kidogo twaleta twakuomba … EE BWANA SISTAHILI
Baba tunaleta twakuomba sana pokea.
Ee bwana sistahili, sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu X2
Nazo fedha zetu twaleta twakuomba … (Lakini) sema neon (moja) sema neon (moja tu),
Baba tunaleta twakuomba sana pokea. nami nitajongea mbele kwa karamu.
Utupe Baraka twaleta twakuomba …
Karamu ya Bwana , yatupa uzima ni mwili wa bwana na damu yake.
NAINUKA MIMI
Huu mwili wangu, hii damu yangu, njooni kwangu nyote niwashibishe.
Nainuka (mimi) ninakwenda kwa Baba, Napeleka (Kile) alichonijalia,
mikononi (mwangu) nimebeba talanta, (kweli) narudisha (ili) nikapate Baraka. Njooni nyote kwangu nyote, njooni kwangu nyote ,
Mkate na divai Bwana upokee,Ukaguze mwili na damu ya Yesu , mle mwili wangu, mnywe damu yangu niwashibishe.
Fedha za mifukoni leo ninaleta, Mazao ya mashamba pia ninaleta.
LAMB OF GOD
Mifugo nimefuga ninakuletea,
Nafaka nimevuna ninakuletea, Mwana kondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie X2
Kwa nguvu zako Baba nimefanya kazi, sehemu ya mapato yangu ninaleta Ee mwana-kondoo , ee mwana wa Baba utuhurumie
Mwana kondoo … tujalie amani
Umeniumba mimi kwa mfano wako, nakutolea nafsi yangu upokee,
Sina kitu kizuri cha kukutolea, pokea change hiki jappo ni kidogo. HOLY COMMUNION
Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu, ana uzima wa milele.
Ee Mungu Baba yetu unayo huruma, Ututakase Baba kwa zawadi hizi, Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu A/T (Asema Bwana)
Tufae mbele yako kutoa dhabihu, Tukuheshimu wewe daima na milele. ukaa ndani yangu name ukaa ndani yake X2
Njooni enyi wenye njaa, njooni enyi wenye kiu, njooni kwangu niwashibishe.

4 5

You might also like