You are on page 1of 2

BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA 2. Sheria Na.

2 ya mwaka 2002 (The Land


Disputes Courts Act, 2002) Mtu ambaye hataridhika na uamuzi
Mfumo mpya wa utatuzi wa mi- • Imeanza kutumika tarehe 1/10/2003
gogoro ya ardhi na nyumba. • Inafuta mamlaka ya Mahakama ya wa Baraza la Ardhi na Nyumba la
1. Utangulizi Mwanzo, Wilaya na Mahakama ya Wilaya atakuwa na haki ya kukata
Hakimu Mkazi kusikiliza na kuamua rufaa Mahakama Kuu – Kitengo cha
Sheria ya Ardhi Na.4 na Sheria ya masuala yote ya madai kuhusu ardhi.
Ardhi ya Vijiji Na.5 za mwaka 1999 • Inafuta Mabaraza ya Nyumba ya Ardhi. Vivyo hivyo, yule ambaye
zimetungwa ikiwa ni mojawapo ya Mikoa, Baraza la Rufaa la Nyumba, hataridhika na uamuzi wa Ma-
mikakati ya kutekeleza Sera ya Taifa Mabaraza ya Usuluhishi wa Ardhi ya hakama Kuu – Kitengo cha Ardhi,
ya Ardhi ya mwaka 1995. Sheria hizi Wilaya/Mikoa na Baraza la Rufaa la
zinaainisha vyombo pekee vya ku- Ardhi. atakuwa na haki ya kukata rufaa
shughulikia migogoro ya ardhi na • Inaunda na inatoa majukumu na Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.
nyumba. Vyombo hivyo ambavyo ni mamlaka ya Mahakama zilizotajwa
Mahakama kwa mujibu wa sheria hizi katika Sheria Na.4 na 5 za mwaka
ni:- 1999 kushughulikia migogoro ya ardhi
i. Baraza la Ardhi la kijiji – (The Village na nyumba.
Land Council). • Baraza la Kijiji lina mamlaka ya usulu-
hishi na endapo wahusika
Ii. Baraza la kata – (The Ward Tribu- hawaridhiki na uamuzi wake, wana-
nal) ruhusiwa kupeleka masuala yao
kwenye Baraza la Kata.
Iii.Baraza la Ardhi na Nyumba la
Wilaya- (The District Land and Hous- (ii) Baraza la Kata
ing Tribunal) • Baraza hili ni lile lililoundwa chini ya
Sheria Na.7 ya mwaka1985- The Ward
Iv.Mahakama Kuu-Kitengo cha Ardhi- Tribunal Act, 1985.
(The High Court-Land Division). • Baraza hili pamoja na majukumu
yake chini ya Sheria Na.7 ya mwaka 4. Kazi za Baraza
v. Mahakama ya Rufaa ya Tanzania 1985, limeongezewa mamlaka ya ki- •Baraza la Ardhi la Kijiji linasulu-
(The Court of Appeal of Tanzania) mahakama ya kushughulikia usulu- hisha au linasaidia wananchi
hishi na maamuzi ya migogoro ya wenye migogoro katika kijiji kufikia
Mfumo huu wa utatuzi wa migogoro ardhi kwenye eneo lake. muafaka.
unaoanzia katika ngazi ya Kijiji •R u f a a ku to k a B a r a z a l a k a ta •Baraza la Ardhi la Kijiji huitisha ki-
unalenga kuchukua muda mfupi na zinapekekwa kwenye Baraza la Ardhi na kao baada ya pande zinazohusika
kutumia taratibu rahisi na shirikishi Nyumba la Wilaya. kukubali huduma ya upatanishi ya
zisizokuwa na gharama kubwa kwa Baraza hilo. Hata hivyo, wananchi
watanzania. (iii) Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya hawalazimiki kutumia huduma ya
•Baraza hili linaundwa na Mheshimiwa Baraza la Ardhi la Kijiji na hata
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo kama watatumia huduma hiyo,
ya Makazi chini ya kifungu cha 22 cha wanaweza pia kukataa maamuzi
Sheria Na.2 ya mwaka 2002. yake. Kwa sababu hiyo, wananchi
•Kwa mujibu wa sheria, linaweza wanaweza kupeleka masuala yao
kuundwa katika ngazi ya Wilaya, Mkoa moja kwa moja kwenye Baraza la
au Kanda kutegemeana na wingi wa Kata.
migogoro ya ardhi na nyumba kwenye
eneo husika.
• Wajumbe wa Baraza la Kata, kwa Uwakilishi
•Kazi ya Baraza la Kata na Baraza la mujibu wa Sheria Na.7 ya mwaka Mawakili hawaruhusiwi kuwakilisha
Ardhi na Nyumba la Wilaya kimsingi ni 1985 (The Ward Tribunal Act, 1985), wananchi katika Baraza la Kata isipo-
kupokea na kusikiliza migogoro ya wanatakiwa wawe kati ya wanne kuwa katika Baraza la Ardhi na
ardhi na nyumba. (4) na wanane (8) na kati yao, wa- Nyumba la Wilaya. Hata hivyo, kama
• Migogoro yote ambayo thamani tatu (3) lazima wawe wanawake. mtu hawezi kufika mbele ya Baraza la
yake kifedha haizidi milioni tatu (3) • Baraza la Ardhi na Nyumba la Kata kutokana na sababu za msingi,
huanza kushughulikiwa na Baraza la Wilaya, kwa mujibu wa Sheria Na.2 Baraza linaweza kumruhusu ndugu wa
Kata. Hata hivyo, kama mhusika ya mwaka 2002 lina wajumbe karibu kumwakilisha mtu huyo.
anawakilishwa na Wakili au yapo maz- wasiozidi saba (7) na watatu (3) kati
ingira mengine maalum, kesi hiyo yao, lazima wawe wanawake. Wa-
inaweza kufunguliwa moja kwa moja jumbe hawa huteuliwa na
katika Baraza la Wilaya. Mheshimiwa Waziri wa
•Baraza la Wilaya linapokea mi- Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya
gogoro yote ambayo thamani ya Makazi kutokana na mapendekezo
nyumba, ardhi au kinachodaiwa ni ya Mkuu wa Mkoa na lazima wa-
zaidi ya milioni tatu (3) na haizidi mili- toke katika eneo la Wilaya husika.
oni arobaini (40) kwa vitu vinavyo-
hamishika na milioni hamsini (50) kwa Sifa za Mjumbe
vitu visivyohamishika. (a) Awe mtu mwenye heshima, mtu
mwenye msimamo na ufahamu wa
5. Wajumbe/Washauri (Assessors) wa Sheria za Ardhi za eneo husika.
Baraza (b) Lazima awe raia wa Tanzania na
• Mfumo mpya wa utatuzi wa mi- mkazi wa Kijiji, Kata au Wilaya hu-
gogoro ya ardhi ni mfumo shirikishi sika.(c) Umri wake uwe miaka 18 na
kwa sababu unawashirikisha wanan- kuendelea kwa Baraza la Ardhi la Kijiji,
chi katika kutatua migogoro yao, na Baraza la Kata ni miaka 21 na
kuanzia ngazi ya Kijiji hadi Ma- kuendelea na pia kwa Baraza la Ardhi
hakama Kuu- Idara ya Ardhi. Wanan- na Nyumba la Wilaya.
chi wanashiriki kutokana na baadhi (d) Awe na akili timamu na asiwe na 8.Utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza
yao kuteuliwa kuwa wajumbe au kumbukumbu zozote za makosa ya Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya
washauri (assessors) wa Baraza. jinai. hutekeleza hukumu zake lenyewe
• Kwa mujibu wa Sheria Na.5 ya (e) Asiwe Mbunge au Hakimu katika kwa kutumia madalali wake (tribunal
mwaka 1999, Baraza la Ardhi la Kijiji Wilaya husika, Diwani au Mjumbe wa Brokers). Vilevile Baraza hili linasima-
lina wajumbe saba (7) na lazima wa- Halmashauri ya Wilaya, Kata au Kijiji. mia utekelezaji wa hukumu za Baraza
tatu (3) kati yao wawe wanawake. Kwa Baraza la Ardhi na Nyumba la la Kata. Kwa sababu hiyo. Baraza la
Wajumbe hao wanateuliwa na Hal- Wilaya, kiwango cha chini cha elimu Kata halina mamlaka ya kukaza hu-
mashauri ya Kijiji na majina yao yake kiwe kidato cha nne (4) kumu zake lenyewe.
yanafikishwa kwenye Mkutano Mkuu
wa kijiji ili yathibitishwe kabla ya Kwa maoni au maswali
kuanza kazi. wasilana na:
Msajili,
Baraza la Ardhi na Nyumba ,
S.L.P 9132, Dar es Salaam.
Simu: 212009, E-mail rhat@ardhi.gp.tz

You might also like