You are on page 1of 2

-:

.,'
JAMHURI VA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA Ofisi ya Msajili Mkuu,


Telex: 41838 CR 12.
Mahakama ya Tanzania,
Simu Nambari: 2124312
26 Barabara ya Kivukoni,
Fax: 255 - 22- 27724/ S. L. P. 9004,
255-22-2127656
11409 OAR ES SALAAM.
Email: cr@judiciary.go.tz

Kumb. Na. AB.69/221/01/ 18 Oktoba, 2021

Naibu Wasajili na Watendaji,


Mahakama Kuu ya Tanzania,
Arusha, Bukoba, Oar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kigoma,
Mbeya, Morogoro, Moshi, Musoma, Mtwara, Mwanza, Songea,
Sumbawanga, Shinyanga, Tabora, Tanga, Temeke, Oivisheni ya Kazi,
Ardhi, Biashara, Uhujumu Uchumi na Kitengo cha Usuluhishi.

YAH: MABADILIKO YA SHERIA YA MAHAKAMA ZA MAHAKIMU

Tafadhali rejeeni mada tajwa hapo juu.

2. Kama mnavyofahamu kwa mujibu wa Sheria ya Mabadilikio ya Sheria mbalimbali


Na.5 ya Mwaka 2021 [The Written Laws. (Miscellaneous Amendment) (No.3) Act, NO.5
of 2021], Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limefanya mabadiliko ya Kifungu
cha 7 cha Sheria ya Mahakama za Mahakimu. Sura 11 (MeA) kinachohusu washauri wa
Mahakama za Mwanzo.

3. Katika mabadiliko hayo, Bunge limeondoa takwa la lazima la Mahakama za


Mwanzo kukaa na washauri kwa kila shauri na badala yake Mahakama za Mwanzo
zitalazimika kukaa na washauri katika Mashauri yanayohusisha Sheria za Kimila au
Kiislamu pale Mahakama itakapoona kwa maslahi ya haki inalazimu kufanya hivyo au pale
itakapoombwa na mmajawapo wa wadaawa wa shauri.

4. Kwa mujibu wa kifungu cha 1 cha Sheria ya Tafsiri ya Sheria, Sura 1, mabadiliko hayo
ya Sheria yalianza kutumika tarehe 11 Oktoba, 2021, siku yalipotangazwa kwenye gazeti
la Serlkali.

5. Kwa Mantiki hiyo, ni vema kuzingatia yafuatayo katika kutekeleza mabadiliko hayo
ya Sheria:-
(i) Kwa Mashauri vote yaliyofunguliwa kabla ya kuanza kutumika kwa Sheria hii
tarehe 11 Oktoba, 2021 yataendelea kutumia utaratibu wa awali hadi hapo
yatakapo malizika,
-.'
N.

(ii) Kwa Mashauri vote yalioyofunguliwa na yatakayoendelea kufunguliwa baada


ya mabadiliko hayo ya Sheria yafuate matakwa ya mabadiliko ya Sheria husika.

6. Tafadhari hakikisheni maelekezo haya yanawafikia Mahakimu wote walia chini yenu

katika maeneo yenu ya utawala ~. 1

Wilbert M.Chuma
MSAJILI MKUU
MAHAKAMA YA TANZANIA

Nakala: Mhe. Jaji Mkuu,


Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 9004,
OAR ES SALAAM.

Mhe. Jaji Kiongozi,


Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 9004,
OAR ES SALAAM.

Wahe. Majaji Wafawidhi,


Mahakama Kuu ya Tanzania,
Arusha, Bukoba, Oar es Salaam, Oodoma, Iringa, Kigoma;
Mbeya, Morogoro, Moshi, Musoma, Mtwara, Mwanza, Songea,
Sumbawanga, Shinyanga, Tabora, Tanga, Temeke, Oivisheni ya Kazi,
Ardhi, Biashara, Uhujumu Uchumi na Kitengo cha Usuluhishi.

Mtendaji Mkuu,
Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 9004,
OAR ES SALAAM.

Msajili,
Mahakama ya Rufaa,
S.L.P. 9004,
OAR ES SALAAM.

Msajili,
Mahakama Kuu Tanzania,
S.L.P. 9004,
OAR ES SALAAM.

Mtendaji,
Mahakama Kuu ya Tanzania,
S.L.P. 9004,
OAR ES SALAAM.

Mkurugenzi,
Kurugenzi ya Usimamizi wa Mashauri,
Mahakama ya Tanzania
OAR ES SALAAM .

•••

You might also like