You are on page 1of 2

Endapo kama wahusika watafikia muafaka, baraza Rufaa dhidi ya maamuzi ya Baraza la

litaweka kumbukumbu za muafaka kama hukumu Ardhi na Nyumba la Wilaya


yake. Pande zote mbili husaini na kuthibitishwa na
Mwenyekiti na Katibu wa Baraza.
Mtu ambaye hajaridhika na uamuzi wa Baraza la Ardhi
Baraza la Ardhi la Kata linaweza kutoa Amri za na Nyumba la Wilaya ataweza kukata rufaa
kimahakama kama ifuatavyo: - mahakama kuu katika kipindi cha siku sitini tangu
hukumu ilipo tolewa.
 Kurejesha ardhi/nyumba kwa mwenyewe
 Kumtaka mtu atimize wajibu wake ndani ya
Mahakama kuu Kitengo cha Ardhi
mkataba
 Kuweka kizuizi Majukumu yake KILIMANJARO WOMEN
 Kulipa fidia INFORMATION EXCHANGE AND
 Kulipa gharama za kesi  Kupokea na kusikiliza malalamiko ya Ardhi CONSULTANCY ORGANIZATION
 Baraza lina uwezo wa kuamauru fedha kulipwa yanayozidi kiwango cha Tshs. 50 milioni kwa mali
kidogo kidogo au kulipa kitu badala ya fedha. isiyoondosheka au mali nyingine inayozidi milioni
40.
Pale ambapo amri imetolewa na muhusika akakataa  Kupokea rufaa kutoka Baraza la Ardhi la Wilaya.
kutekeleza, Baraza la Ardhi la Kata litapeleka suala
hilo katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ili Mahakama Kuu ya Rufaa ya Tanzania
kutekeleza amri hiyo kwa nguvu. Majukumu yake
Rufaa dhidi ya maamuzi ya Baraza la  Kupokea na kusikiliza rufaa kutoka Mahakama
Ardhi la Kata Kuu.

Mtu ambaye hajaridhika na uamuzi wa Baraza La


Kata ataweza kukata rufaa kwenye Baraza la Ardhi
na Nyumba la Wilaya katika kipindi cha siku arobaini
na tano tangu hukumu ilipo tolewa.
TARATIBU
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya

Baraza linakuwa na mwenyekiti na wajumbe


wasiopungua wawili ambao watatoa ushauri/maoni
ZA
kabla ya hukumu kutolewa. Mwenyekiti atazingatia
Maoni watakayotoa wajumbe, kama atatofautiana
nao, atatoa sababu ya kutofautiana kwake.
KIMETOLEWA NA KWIECO
KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI KWA ANUANI
ZIFUATAZO
KUTATUA
MIGOGORO
S. L. P 376
Majukumu yake MOSHI - KILIMANJARO
TANZANIA

 Kupokea rufaa kutoka Baraza la Kata Simu : +255 272751121


 Kupokea na kusikiliza Mashauri ya Ardhi ya
kiwango kisichozidi Tshs. 50 milioni kwa mali
isiyoondosheka au Tshs. 40 milioni kwa
Faksi: +255 272751068
Simu ya mkononi: 0769 483636
Barua pepe: kwieco@kwieco.org
Tovuti: www.kwieco.org
YA ARDHI
mashauri mengine. Tupo Moshi Mjini, mtaa wa Kawawa jengo la Tarimo
 Kufanya marejeo (Revision) maamuzi ya Baraza
la Kata iwapo yamefanyika kinyume na Sheria.
UMILIKI WA ARDHI Taratibu za kupata Hati Miliki ya Ardhi Vyombo vya utatuzi wa migogoro ya
ya kimila ardhi
Mtu yeyote, raia wa Tanzania ana haki ya
kumiliki Ardhi. Umiliki unaweza kuwa wa mtu  Wasio wakazi ni budi wawasilishe maombi 1. Baraza la Ardhi la kijiji
mmoja au kikundi cha watu wawili au zaidi. yao kwa Halmashauri ya Kijini.
 Maombi yatafanyiwa uchambuzi wa kina na
Majukumu yake
Umiliki wa Ardhi unaweza kuwa kwa: kamati husika kabl ya maamuzi ya mwisho
- kufikiwana Halmashauri ya Kijiji.
I) Kupokea malalamiko yanayohusu Ardhi
 Kupewa hati miliki kwa mujibu wa sheria  Sheria inaweka siku 90 tangu kupokea II) Kuitisha vikao vya kusikiliza malalamiko ya
 Kutambua umiliki kwa taratibu za mila au maombi hadi hati miliki kutolewa. Ardhi
matumizi ya Ardhi ya muda mrefu miaka 12  Hati miliki inaambatana na masharti kama III) Kupatanisha na kusaidia wadaawa kufikia
au zaidi. kulipa ada. muafaka
 Umiliki kwa matumizi ya uwekezaji.  Hati miliki hutolewa kwa kipindi cha miaka
99. Endapo upande wowote haukuridhika na usuluhishi
wa Baraza la Ardhi la Kijiji, anaweza kuwasilisha
Taratibu za kupata Hati Miliki ya Ardhi mgogoro huo mbele ya Baraza la Ardhi la Kata kwa
ya mijini Umuhimu wa kupata hati miliki. utatuzi zaidi.

Hati miliki kwa mujibu wa sheria hutolewa na  Hati miliki ni kielelezo cha uhakika cha Baraza la Ardhi la kijiji halina nguvu za shurti (kutoa
Kamishna wa Ardhi. Upatikanaji wa hati miliki umiliki wa Ardhi na mastawisho yake. hukumu) bali kusuluhisha tu. Halina uwezo wa
 Ni rahisi kutumia haki miliki kama dhamana kuweka kizuizi au kutoza faini wala kupitisha
kwa mijini husimamiwa na Halmashauri au maombi ya rufaa.
Serikali kuu. ya mkopo au penginepo.
 Kubadilisha umiliki huwa rahisi kwa mtu
 Maombi yote ni budi yawasilishwe kwa mwenye hati miliki. Hata hivyo, kupeleka mgogoro wa ardhi mbele ya
kujaza fomu maalum yenye picha ya Baraza la Ardhi la kijiji ni hiari, kama mtu hapendi
mwombaji na malipo na kuwasilishwa kwa Migogoro ya Ardhi anaweza kuupeleka mgogoro wakemoja kwa moja
afisa wa Ardhi aliyeteuliwa kushughulikia kwanye Baraza la Ardhi la Kata.
maombi. Neno mgogoro linaashiria hali ya kutoelewana/
 Maombi pia yataambatanishwa na maelezo ugomvi katika mambo fulani kati ya pande mbili
mengine kama Kamishna wa Ardhi atakavyo ambapo kila upande una maslahi katika jambo 2) Baraza la Ardhi la Kata
elekeza. hilo.
 Maombi yote yatachambuliwa na hati Baraza la Ardhi la Kata lina uwezo wa kusikiliza na
kutoa maamuzi juu ya mgogoro wowote ambao mali
kutolewa na Kamishna. Kuna aina mbili za migogoro ya Ardhi, au ardhi inayogombaniwa thamani yake haizidi
 Hati ya toleo (offer) itaonyesha masharti ya ambayo ni: shillingi milioni tatu. Mali au ardhi hiyo lazima iwe
umiliki ikiwa ni pamoja na sharti la ndani ya eneo la Kata.
kuendeleza kiwanja. I) Migogoro ya Mipaka - Kati ya Kijiji na Kijiji au
Kijiji na mamlaka nyingine (mfano Hifadhi ya Majukumu yake
Taratibu za kupata Hati Miliki ya Ardhi maliasili).
II) Migogoro ya Ardhi iliyomo ndani ya mipaka ya
ya Kijiji  Kuleta AMANI na UTULIVU katika Kata husika
Kijiji - yaani kati ya mtu na mtu, mtu au kundi la
watu na Kijiji au mamlaka fulani. kwa njia ya Usuluhishi na kwa kuhimiza wa-
Mtu mmoja mmoja au kundi kuwasilisha kwa daawa kufikia mwafaka katika suala lolote li-
Mwenyekiti wa Kijiji mipango yao ya kuweka Migogoro ya aina hii ni pamoja na; Mgongano wa nalohusu Ardhi.
makazi ya kudumu hapo kijijini. maslahi kati ya wakulima na wafugaji – kama vile  Kuchunguza na kutatua migogoro ya Ardhi
kugombea maeneo ya kilimo au malisho. yenye thamani isiyozidi Tshs. 3 milioni.

You might also like