You are on page 1of 1

K.K.K.T USHARIKA WA DAUDI MTAA WA SANJAL.

TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI SEP - DEC 2023

A: MAPATO

1. Salio anzia 16,700/=


2. Changizo mkono wa pole 8500/=
3. Mchango wa sherehe ya sandeschool 108,800/=
4. Mchango wa vyombo vya usharika 12,000/=
5. Mauzo katani 30,000/=
6. Mchango huduma ya kichungaji 50,100/=
7. Mchango ugeni Aicho 60,500/=
8. Harambe msiba 14,500/=
9. Mauzo ya mahindi 13000/=
10. Mchango ugeni Getafro 81,750/=
11. Changizo maafa Hanang 25,500/=
12. Sadaka ya kawaida 708,800/=
13. Harambe mchango kusomesha 56,000/=
JUMLA 1,185,150/=
B:MATUMIZI
1. Mkono wa pole 13,000/=
2. Sherehe ya watoto 1,149,000/=
3 Mawasilisho mchango vyombo 12,000/=
4. Jiwe la msingi senta ya dayosisi 20,000/=
5. Ukwata 4000/=
6. Huduma ya kichungaji 41,850/=
7. Ugeni kwaya Aicho 63,700/=
8. Pole ya msiba 10,000/=
9. Ugeni kwaya Getafro 107,000/=
10. Mawasilisho changizo Hanang 24,500/=
11. Mawasilisho mchango kusomesha 56,000/=
12. Mawasilisho sadaka ya kawaida 678,200/=
JUMLA 1,145,150/=
A:MAPATO – 1,185,150/=
B:MATUMIZI – 1,145,150/=
C:SALIO ISHIA – 48,400/=

You might also like