Professional Documents
Culture Documents
Subsidiary Legislation (Notisi Ya Tarehe Ya Kuanza Kutumika Kwa Sheria Ya Tume Huru Ya Taifa Ya Uchaguzi Ya Mwaka, 2024.)
Subsidiary Legislation (Notisi Ya Tarehe Ya Kuanza Kutumika Kwa Sheria Ya Tume Huru Ya Taifa Ya Uchaguzi Ya Mwaka, 2024.)
NOTISI
______
(Imetengenezwa chini ya kifungu cha 1)
________
NOTISI YA TAREHE YA KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA TUME HURU YA
TAIFA YA UCHAGUZI YA MWAKA 2024
Jina 1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Tarehe ya
Kuanza Kutumika kwa Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya
Uchaguzi ya Mwaka, 2024.
Tarehe ya kuanza 2. Notisi inatolewa kwamba tarehe 12 Aprili, 2024
kutumika
Sheria Na. imeteuliwa kuwa tarehe ambayo Sheria ya Tume Huru ya
2 ya 2024 Taifa ya Uchaguzi itaanza kutumika.