Professional Documents
Culture Documents
Are You An Innovative Start
Are You An Innovative Start
Are you passionate about climate related issues and have great solutions to share?
Do you need a grant to help boost that project about health equity?
Apply now!
Tumekuwa kimya kidogo, kwani tulikuwa tunaedelea na mchakato wa kukamilisha suala la uwekezaji
katika kampuni zenu.
1. Mpaka sasa tumefanikiwa kuwekeza katika startup ya Okoa Products Co. Ltd (Ali and Salma),
AQUAFLEX COMPANY LIMITED (Isrel) na PEACE MASHROOM FARM LIMITED (Patricia) kila
mmoja amepata USD 10,000.
2. Bado tunaedelea kukamilisha kwa watu wengine taratiu kadhaa tukifikia naamini wataongezeka
tena.
3. Kwa wale ambao hamjapata msione kama tumewatupa, hakika tunapambana kuona mnapata
ila tunapokufikia na kuomba baadhi ya nyaraka mjitahidi kuwa active hii itarahisisha kukamilisha
mchakato kwetu.
4. Pia niwaombe vijana wezangu kuwa, anza na kidogo ulicho nacho hii itatusaidia kukufanyia
marketing maana utakuwa na kitu tayari.
5. Unapopata changamoto yoyote ile na ukapenda kutushirikisha naomba usisite kabisa milango
ipo wazi.
6. Pia ukitutafta ukaona haturespond kwa haraka naomba usichoke, kuna wakati tunakuwa bize
sana ila tupo Pamoja
Mimi
Agripioneers Hub